Рет қаралды 7,600
Ungana na BMG Online TV kufahamu unabii huo kisha chukua hatua. Nabii Deo Njeni wa Kanisa la Revival (Huduma ya Utukufu wa Mwisho), lililopo Mtaa wa Shamaliwa B Kata ya Igoma Jijini Mwanza, ameonyeshwa unabii mwingine kulihusu taifa la Tanzania.