NABII ATOA UNABII MZITO WA TAIFA”Madhabau za MASHETANI Zimejaa, OMBENI TOBA” ATAJA Mkoa wa DAR

  Рет қаралды 23,892

EastAfricaTV

EastAfricaTV

Күн бұрын

Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp....
Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5

Пікірлер: 117
@peterkarimu00
@peterkarimu00 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu,Kwa kujitoa na kulieleza Taifa Ukweli, Watanzania Kila mmoja tuombe Toba mbele za Mungu atusamehe pia tuokoke Sasa Kwa kumuamini Yesu Kristo Kwa kuwa hakuna njia ya kwenda Mbinguni Bali ni Yesu Kristo pekee kubali kataa huo ndio Ukweli.
@rubefabi8366
@rubefabi8366 Жыл бұрын
Mimi ni miongoni mwa watanzania tunaozunguka nchi mikoa yote. Ukweli nchi yetu haiko vizuri tofauti na wengi wanavyodhania.
@penuelfullsalvationchurch3350
@penuelfullsalvationchurch3350 Жыл бұрын
Amina mtumishi wakati mwingne pita Kila makanisa ya kiroho sio wote wanaotumia mtandao kina Yeremia hawakukaa walitembea kote.ilipsa waitwe wachungaji wote wapewa hii taarifa
@aaronswai3092
@aaronswai3092 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana Mtu wa Mungu, Mwl. Tengwa. Yeye asikiaye na asikie; naye akataaye na akatae!
@kaombwepaschal1027
@kaombwepaschal1027 10 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu Kwa Kuonyeshwa mambo makubwa aendelee kukupa ujasiri wa kuyanena yaliyo ya kweli na nikweli mungu amechukizwa mno .waeleze watumishi wanao tudanganya wa mungu kumbe wa shetani wasipotoshe kweli ya mungu
@blankajohn6016
@blankajohn6016 Жыл бұрын
Tuache kupenda miujiza, madhabahu nyingi za uongo zimejaa miujiza ya kipepo, Mungu anaona kila kitu
@davidmnyela2459
@davidmnyela2459 Жыл бұрын
Mimi pia mwanzoni mwa mwaka huu nilishawahi kuota Majengo dar es salaam yameanguka,Mungu atuepushie
@brownmtofole
@brownmtofole 10 ай бұрын
Hofu ni dhambi.Tazama kwake Mungu...,yatakayokuwako yamekwisha kuwako na kwamba kila jambo ni jema kwa wakati wake chini ya mbingu...Mhubiri 3:1-9..tuendelee kujitakasa kila wakati kwa maana hakuna ajuaye siku wala saa ya ukengeufu na uharibifu ila Baba Peke yake
@user-sc5nj4zq1w
@user-sc5nj4zq1w 9 ай бұрын
Mungu aliehai hatakuacha pamoja
@vedastooswald6748
@vedastooswald6748 Жыл бұрын
Ni kweli kabisa m sibishi hata kidogo ee mungu tusaidie sisi na utuhurumie na utusamehe zambi zetu
@EsauBakari
@EsauBakari Жыл бұрын
huo ni ukweli kabisa nakubaliana nao Asante sana mtumishi wa mungu
@happylynguya3464
@happylynguya3464 Жыл бұрын
Nimeogopa! 🙆🙆🙆
@vedastooswald6748
@vedastooswald6748 Жыл бұрын
Me ndo usiseme
@ashatybella8641
@ashatybella8641 Жыл бұрын
Homba mungu 😢
@hatangimbabazisenzoga3245
@hatangimbabazisenzoga3245 Жыл бұрын
Asante kwa habari Mungu amekupatia lakini hizo mazabahu tutazijua je? Wote wanataja jina la Mungu
@wakayakaya6
@wakayakaya6 Жыл бұрын
Mshindwe Kwa jina La Yesu kutabiria Nchi hii mabaya tena Mungu awe kinga yetu
@ProphetRomly
@ProphetRomly Жыл бұрын
Mungu sio Kinga ya uovu... Tukitubu na kuacha uovu Wala hakuna mabaya yatakavyokujia. Soma Yeremia sura ya 18 yote, utafahamu kuwa watu wakiacha maovu na kufanya mema Mungu huzuia mabaya yasiwapate na kuruhusu mema. Ila wakiacha mema na kufanya mabaya hata kama alitoa neno jema basi hatolifanya na badala yake ataachilia mabaya juu Yao.
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 Жыл бұрын
Ushoga Tanzania Umejaa Kweli Wachungaji Wanapga Pesa Wamesahau Neno Tena Yesu Anatumika Kama ATM Kwao Kukamata Pesa
@quintavitalis926
@quintavitalis926 Жыл бұрын
Mungu aturehemu , bila toba ya kweli na kugeuka na kuacha laxima Nchi yetu na Dunia itapigwa ,,
@lucymsheshi5871
@lucymsheshi5871 Жыл бұрын
Mathayo 24 3 Hata alipokuwa ameketi katika mlima wa Mizeituni, wanafunzi wake wakamwendea kwa faragha, wakisema, Tuambie, mambo hayo yatakuwa lini? Nayo ni nini dalili ya kuja kwako, na ya mwisho wa dunia? 4 Yesu akajibu, akawaambia, Angalieni, mtu asiwadanganye. 5 Kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu, wakisema, Mimi ni Kristo; nao watadanganya wengi. 11 Na manabii wengi wa uongo watatokea, na kudanganya wengi. 12 Na kwa sababu ya kuongezeka maasi, upendo wa wengi utapoa.
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 Жыл бұрын
Mbona Mimi Niliwai Oneshwa Kimbunga Cha Ajabu Daresalamu Nyumba Zinaanguka Sijui Itakua Kweli Au Vipi
@psttitonakazaelimjema.9562
@psttitonakazaelimjema.9562 Жыл бұрын
Naomba watanzania tutambue na Kuelewa hilijamba sio la kupuuzia kabisana.
@lawijosephezekieli1078
@lawijosephezekieli1078 Жыл бұрын
MUNGU atusaidie atusame sisi wakosefu baba unapatikana wp kanisani liko wp
@BRYNGROUP
@BRYNGROUP Жыл бұрын
Eeee Mungu Tuongoze Mimi kuogelea siwezi na kimbelembele cha kukaa baharini huku mpaka utumbo umecheza
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 Жыл бұрын
Kuna mwingine aliona haya adi kauza nyumba uko dar kaondoka,,ila tumuombe mungu airehemu tz tz itubu
@josephatjoseph1755
@josephatjoseph1755 Жыл бұрын
@@janethmwihumbo1289 heeeh nani huyo video iko wap
@neemakusuhibwa347
@neemakusuhibwa347 Жыл бұрын
Mungu awape maçho ya Rohon watumishi tuombe rehema.
@eliazenno9463
@eliazenno9463 Жыл бұрын
Mwenye kusikia na asikie
@fatmaismail7683
@fatmaismail7683 Жыл бұрын
Mwenyezi mungu tusaidie tusamehe baba
@NtanunuraWillsonBaru
@NtanunuraWillsonBaru Жыл бұрын
Wachungaji wamekuwa wapo kibiashara Tu hawapo tena wakati wa uamsho wapo kisiasa tu
@mpokimwakaje8178
@mpokimwakaje8178 Жыл бұрын
Sasa kwanini hizo mathabau zisipigwe maana zinatupa shida kwenye huduma unaposema tuombe inamana unazitetea hizo mathabau za katara tuombe Mungu hizo mathabau zisipigwe Bwana azitandinke Hizo mathabau tuombe Toba Tena kwajili ya mathabau za kishetani Hapa ndugu zipigwe tu hizo mathabau , Bwana yesu Mungu wangu nakuomba Sana hizo mathabau piga zinatupa shida
@BRYNGROUP
@BRYNGROUP Жыл бұрын
Eee Mungu tusaidie
@ramadhanisalum3898
@ramadhanisalum3898 Жыл бұрын
Samahan mchungaji wewe mwenzetu utakimbilia wapi na mimi nije nipo siliaz mchungaji 🙏🙏
@josephatjoseph1755
@josephatjoseph1755 Жыл бұрын
We kziw au kasema yeye suo mchungaj na hana kanisa
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Allah ndiye mjuzi wa yote Allah atunusuru kibwana Dogo. Kwa sababu yeye ni kunufa ya kunu
@user-ob2ik5gy1b
@user-ob2ik5gy1b Жыл бұрын
Msiwasikilize hao manabii wa uongo mtume wa kweli ni Muhamad Peace be upon him ,hao walishakufuru amri za mungu ,wakaabudu miungu 3 ,Soma quran ndiyo muongozo na katiba yetu waislam.hakina shaka ndani yake.
@godsonndamgoba8053
@godsonndamgoba8053 Жыл бұрын
Uko sahihi ,madhabau za shetani zimekua nyingi
@user-ob2ik5gy1b
@user-ob2ik5gy1b Жыл бұрын
Aliye soma dini ya kweli ambaye si msomi wa dili kama wewe hawezi kukuelewa bali wapiga dili watelewa acheni huo utapeli karibuni kwenye dini ya kweli ya mwenyenzi mungu, hayo unayoyaongea hayaingii akilini. kwani huo si unabii ni dili ya kusaka tonge .
@rmaryp6269
@rmaryp6269 Жыл бұрын
Tharau zitawaangamiza kama wakati wa Sodoma na wakati wa Nuhu! Eti Kiki!!
@derrikdesertman4564
@derrikdesertman4564 Жыл бұрын
Hahaha yaani wewe unamuamini aisee Mary acha basi
@jenifercynthiakazimoto5392
@jenifercynthiakazimoto5392 Жыл бұрын
Kwakweli hasa wa Tanzania sijuhi tunashuda gani kwani? Mu vu anaongea na watumishi wake tuingie tu kwenye toba tuombe, na kama mtu aamini aache aina haja yakulazimishana kila mtu atabeba mzigo wake yeye mwenyewe kwisha ifike kipindi iwe hvyo.
@janembalinga7074
@janembalinga7074 Жыл бұрын
Kipindi cha nuhu watu waliambiwa tujenge safina wakapuuza kilichovwa kuta kiliwakuta
@lukasshuwaka-dj9wv
@lukasshuwaka-dj9wv Жыл бұрын
Mw..tengwa..pole..💌💟💐🌹🥀🌺🌷🌸💮🏵️🌻🌼🍂🍁🍄🌾🌱🌿
@ashatybella8641
@ashatybella8641 Жыл бұрын
Hafu watu wanachukuliya Powa tu😢😢😢 eeee mungu 🥲🥲
@charleszmgonde753
@charleszmgonde753 Жыл бұрын
Ujumbe wa hekima tokenikwake enyi watuwangu
@wakwabibi5423
@wakwabibi5423 Жыл бұрын
Mungu baba utusamehe
@pelecymsemwa8107
@pelecymsemwa8107 Жыл бұрын
Mungu wetu tunaomba rehema
@roselinemoshi5008
@roselinemoshi5008 Жыл бұрын
Eee Mwenye Enzi Mungu tuhurumie nchi yetu Tanzania 🇹🇿 na Africa yangu! Usimame Mwenyewe na utulinde nchi yetu Tanzania 🇹🇿 na Africa yetu! Asante na tunaa amini ulinzi wako na upendeleo wako! Aaamina🤲🏽❤ Wakati huu wa Kristo wana funga Kwaresma na Waislamu wamefunga Ramadhan 😫😫😫sikia kilio chetu na uponye kabisa nchi yetu Tanzania 🇹🇿 Aaamina 🤲🏽😭😭😭😭
@fredimpare-mq4uo
@fredimpare-mq4uo Жыл бұрын
Tuombe rehema za Mungu maana atatusikia na kutuponya
@lilianmathayo7638
@lilianmathayo7638 Жыл бұрын
Mungu tunaomba rehema sisi viumbe vyako
@mjumbewaaganoduniani
@mjumbewaaganoduniani Жыл бұрын
Sio Tanzania tu yupo mjumbe wa agano Duniani mwenye ufunuo wa siri ya Mungu.
@happinesskalionga1855
@happinesskalionga1855 Жыл бұрын
Ee Mungu tusaidie tunaangamia
@magrethmushi5108
@magrethmushi5108 Жыл бұрын
Mungu tuongoze
@benedictinelusambo069
@benedictinelusambo069 Жыл бұрын
Sema watu wengi hawapendi kuomba,kusali na kufunga badala yake hukimbilia miujiza TU hapo ndo tunapopotea
@neemamhongole2801
@neemamhongole2801 Жыл бұрын
Jamani nawaomba litiliwe mkazo HILO JAMANI!!
@gloryvicent813
@gloryvicent813 Жыл бұрын
Yesu turehemu
@NtanunuraWillsonBaru
@NtanunuraWillsonBaru Жыл бұрын
Mungu Baba tunusiru na haya majanga
@MabelKaaya-hl2je
@MabelKaaya-hl2je Жыл бұрын
Naomba ukaonane na Rais wetu ana kwa ana pia mtumishi wa Mungu. Tutafanya toba
@frankdanford8245
@frankdanford8245 Жыл бұрын
Unapoambiwa neno na Mungu na akakuambia useme unatakiwa useme. Umesema umeonyeshwa kuna maeneo matetemeko yatatokea basi useme ni maeneo gani usiache kuongea
@lukasshuwaka-dj9wv
@lukasshuwaka-dj9wv Жыл бұрын
Ni ..Mimi..Lukas .shuaka..jitaidi..mungu ..atakusaidia .
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 Жыл бұрын
Wachungaji wakipepo niwengi sana wanatamaa napesa wanatumia jina lamungu kuzulumu pesa zawa Tz maskini
@abdallahsaid1968
@abdallahsaid1968 Жыл бұрын
Uo unabiii kakupa nani ukiona majini yamekujia kwenye ndoto unakuja kuwaongopea wapumbavu wasio jielewa muogope mungu mzee
@sophiamvungi1425
@sophiamvungi1425 Жыл бұрын
Sasa jamani mbona una jaziba Eleza tu na wewe awe sehem ya mwombaji
@rhobimedia5677
@rhobimedia5677 Жыл бұрын
Taifa tuingie kwenye toba
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Wewe Muongo huwezikuongea na Mungu. ,, na Mungu hanashidana ww. Kama umeongea na Fillmasso sheitwani sawa ila ww umeangalia kwenye mitandao. Nchinyingi zinamitihani ya mafuriko unahisi Tz pia itatokea ww unabahatishatu Allah atunusuru kwayoote ww kemea maovu yamezidi zambi zimejaa. Kemeatu nasi kuongopa umeongea na Mungu
@filorammbaga5710
@filorammbaga5710 Жыл бұрын
Mungu uturehemu maana sister ni wenye dhambi.
@neemalauwo9642
@neemalauwo9642 Жыл бұрын
Baba tunusuru ukakumbuke rehema zako kwetu Sisi wenye dhambi. Tuna masikio lakini hatusikii,tuna macho lakini hatuoni. Turehemu Tu Mungu tusikie Sisi ukaghairi haya
@oscanyakunga
@oscanyakunga Жыл бұрын
TOBA MUNGU ATUSAIDIE
@mullestv2680
@mullestv2680 Жыл бұрын
KAONGEA NA MUNGUU UKIANGALIA SURA LAKE TU UNAJUA JIZII
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 Жыл бұрын
Mh ndo angesema haya na kutumia hela nyingi kutangaza ,muogopeni mungu
@derrikdesertman4564
@derrikdesertman4564 Жыл бұрын
Hahahaha aisee etii anaongea na God.. Jamaa noma sana
@psttitonakazaelimjema.9562
@psttitonakazaelimjema.9562 Жыл бұрын
Hata wakati wa Nuhu walizihaki kama wewe unavyo zihaki, subiri saa ya Bwana.
@derrikdesertman4564
@derrikdesertman4564 Жыл бұрын
@@psttitonakazaelimjema.9562 hamna lolote hapo
@mariahaloyce5190
@mariahaloyce5190 Жыл бұрын
Mwenye masikio na asikie
@derrikdesertman4564
@derrikdesertman4564 Жыл бұрын
@@mariahaloyce5190 haha dada yetu na wewe unakubaliana na huyo jamaa?
@stevemwandambo587
@stevemwandambo587 Жыл бұрын
kn watu huwa mnashangaza sana yaani kila kitu huwa mnapinga tu,,kwani Mungu ndio ameanza leo kuzungumza na watu wake na hyo hali ya kupuuzia ndio itakayotucost
@abdirizakibrahim1975
@abdirizakibrahim1975 Жыл бұрын
Hahaha pumbavu anjua kutengeza mazingira hakuna kitakacho tokea
@rwenyumizabarongo6920
@rwenyumizabarongo6920 Жыл бұрын
acha pepo ujinga ww utapigwa panga acha ujiga ukikuta mtu mwenye imani namungu uta uwawa
@stevensosipita2851
@stevensosipita2851 Жыл бұрын
HAKIKA MTUMISHI WA MUNGU MADHABAHU ZA KISHETANI ZIPO NYINGI NA MIUJIZA YA KISHETANI EEMUNGU TUSAMEHE NA UTUONGOZE KATIKA NJIA YA HAKI.
@abdallahsaid1968
@abdallahsaid1968 Жыл бұрын
Kumbe umefilisika ndomana umekuja kute geneza mazingila yakupiga ela hhh
@ashatybella8641
@ashatybella8641 Жыл бұрын
Acha hupumbafu wewe😢hipo siku hutalikumbuka neno hili
@juniversal.onlinetv4163
@juniversal.onlinetv4163 Жыл бұрын
Sawa nabii lkn usitumie nafasi iyo kuwapinga wengine
@antonialasway4733
@antonialasway4733 Жыл бұрын
0 L0
@rev.harunichaula6509
@rev.harunichaula6509 Жыл бұрын
Tanzania tuache mizaa
@costantinebahakaso3736
@costantinebahakaso3736 Жыл бұрын
Akinazumalidi waenda Mbinguni kwa basi
@vedastooswald6748
@vedastooswald6748 Жыл бұрын
😆😆😆😆😆😆
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 Жыл бұрын
mungu akupe ujumbe wewe nani? kwa ucha mungu gani ulonao? uongo tu huna lolote hakuna nabii wala Mtume Kwenye Dunia hiii
@charzykazimilymajahasy703
@charzykazimilymajahasy703 Жыл бұрын
Wewe nae ni mpuuz Mmoja tu.
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 Жыл бұрын
@@charzykazimilymajahasy703 mpuuzi wewe unaedanganywa mjinga tu
@charzykazimilymajahasy703
@charzykazimilymajahasy703 Жыл бұрын
Mpuuz Mmoja tu usie jua,
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 Жыл бұрын
@@charzykazimilymajahasy703 hahahaha wewe ndio.mpuuzi wala hujitambui
@prophetzakayomkemwa5154
@prophetzakayomkemwa5154 Жыл бұрын
ILA MIMI SISEMI MTUMISHI NAUPINGA UNABII WAKO HUO KABISAA MTUMISHI WA MUNGU MUNGU HAJASEMA NA WEWE KABISAAA KAMA NADANGANYA NILAANIWE KABISAA MIMI YAANI UMETUNGA NA MIMI NI PROPHET WA BWANA ILA KWA HAYA YAKITOKEA NTAACHA UCHUNGAJI MAANA MUNGU AMESEMA ATASEMA NA MANABII WAKE NIKWELI MANABII NI WENGI NAKUWEPO KWAO NI KUKAMILISHA UNABII WA YESU KRISTO LAKINI MAJI HAYATAWEZA KUPIGA MAJENGO TANZANIA NAIONA IKIFANIKIWA NA WATU WAKE MWAKA HUU
@stevenaleston
@stevenaleston Жыл бұрын
Nikwel kabisa tuombe rehema kama watu wa ninaw
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 Жыл бұрын
Kiki tu eti Mungu kamwambia, awa Wachungaji wa ck izi pasua wako after money 💰, apo anatafuta kiki,
@rosemuhandoofficial5676
@rosemuhandoofficial5676 Жыл бұрын
Uzima TU nadi unafanya udharau ujumbe huu Toka Kwa mungu, ni afadhali unyamaze TU kuliko kujifanya unajuwa kukosoa mpaka mungu, kumbuka kijapo kiburi ndipo ijapo aibu
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 Жыл бұрын
@@rosemuhandoofficial5676 acha kudanganywa uyo mungu kamwambia saa ngapi?c muongo uyo, Manabii ndio wanao shushiwa ujumbe na Mungu, Na Mungu mwenyewe kasema kupitia vitabu vyake, ato shusha wahii tena, Sasa uyo Nabii feki uyo Mungu kaongea nae saa ngapi?Na mungu alikua anaongea na Manabii wake kupitia Malaika Gabriel, Nabii Musa pekee ndo alikua akiongea na Mungu, sasa uyo Nabii cjui Mnyakyusa maana wanyakyusa ndo manabii ck izi!!!
@sweetbertsangi2397
@sweetbertsangi2397 Жыл бұрын
​@@mangulimanguli3974kwani uturuki ilikuaje???
@ashatybella8641
@ashatybella8641 Жыл бұрын
@@rosemuhandoofficial5676 amen mama 😢 wa Tanzania wanazarawu neno hili hila hiposiku watalikumbuka
@chrismassawe2939
@chrismassawe2939 Жыл бұрын
Punguza mkwara bhana
@joeljotham6689
@joeljotham6689 Жыл бұрын
Samahani ndugu huu sio mkwara.Mungu hana mkwara.Mungu huzungumza kwa upendo!!SORRY FOR THIS.
@rwenyumizabarongo6920
@rwenyumizabarongo6920 Жыл бұрын
nyie mugu kwenye kuruan aliwataja kwamba mtakuja mpaka makudi 99 yafike ndoo kije kihama sasa ww sijui niwangapi iyombingu ulipoeda ulipitia ngazi ipi na ss twende
@mullestv2680
@mullestv2680 Жыл бұрын
HAHAAAA WENZETU AKIL ZAO TOPE BDO WANA MANABII NA MUNGU KAMUONESHA YAN UPUMBAVU WE HYO MUNGU KAKUONESHA LN
@siporachobasamie9123
@siporachobasamie9123 Жыл бұрын
Mumhexhim mungu akianza na wewe je?
@dativajoachimwai1194
@dativajoachimwai1194 Жыл бұрын
Ni ngumu kwa aliyezoea kuongea na majini kuamini kama kuna Mungu muumba mbingu na nchi anaeongea na watu. bora ungeamini maana Mungu hana dini
@lucymakuya2040
@lucymakuya2040 Жыл бұрын
Hii ni kweli maana nabii wa uongo hakemei dhambi
@robertmayombyaonline891
@robertmayombyaonline891 Жыл бұрын
Utaanzia wewe kupigwa,, nyamaza, Mimi namjua Mungu akisema, huyu mtu wa Mungu Yuko sahihi
UNABII WA TANZANIA OMBA
27:01
Azaria Kasunga
Рет қаралды 172 М.
Alat yang Membersihkan Kaki dalam Hitungan Detik 🦶🫧
00:24
Poly Holy Yow Indonesia
Рет қаралды 11 МЛН
He bought this so I can drive too🥹😭 #tiktok #elsarca
00:22
Elsa Arca
Рет қаралды 47 МЛН
Violet Beauregarde Doll🫐
00:58
PIRANKA
Рет қаралды 53 МЛН
Dad gives best memory keeper
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 21 МЛН
ASKOFU GWAJIMA AFUNGUKA MAZITO BUNGENI ISHU YA CHANJO YA CORONA
10:20
| VOL. 2 | IMANI NI KUPOTEZA NAFSI YAKO _ | MWL. TENGWA |
1:58:16
TENGWA TV
Рет қаралды 4,7 М.
Alat yang Membersihkan Kaki dalam Hitungan Detik 🦶🫧
00:24
Poly Holy Yow Indonesia
Рет қаралды 11 МЛН