No video

RELI NA MATUKIO, NDANI YA VIWANDA VYA TRENI, VICHWA NA MABEHEWA YA SGR, KOREA KUSINI

  Рет қаралды 33,338

TRC RELI TV

TRC RELI TV

Жыл бұрын

Пікірлер: 55
@abdallahselemani6423
@abdallahselemani6423 Жыл бұрын
Hongera mama piga kazi hakikisha miradi yote inaisha wanao piga kelele waache mwisho wa siku na wao Wata kukubali
@user-kx5oc7nt5p
@user-kx5oc7nt5p Жыл бұрын
Kazi nzur vivah John pombe magufuli 🙏🙏🙏🙏🙏
@TwalibuAlbaamiryShoka
@TwalibuAlbaamiryShoka Жыл бұрын
Mwambie pombe huko alipo ajee aendeleze sgr, pongezi ziendee kwa mama samia suluhu hasani kwa kuthubutu kutekeleza mradi uliopo
@AjiaMohamed-rt5pb
@AjiaMohamed-rt5pb Жыл бұрын
​@@TwalibuAlbaamiryShokakwa kuuza bandari
@user-kx5oc7nt5p
@user-kx5oc7nt5p Жыл бұрын
Magufuli tunamkumbuka kama mtu aliedhubutu,, hakukuwa na mtu ccm wa kufanya haya. Hata mama samia anaendeleza maono ya mtangulizi wake. Ha2po kumbeza samia suruhu hassan laa! Toka magu afariki hata mfumo wa uendelezaji miradi umebadirika sasa tunategemea mikopo siyo ilivyokuwa kwa John pombe magufuli alikuwa akifanya miradi mikubwa bila kuandafia wazungu.. Ukweli magu mungu alitupa gift. Vivah Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@chumamasunga8855
@chumamasunga8855 Жыл бұрын
Tujipongeze kama Taifa congrats
@shinipapaya846
@shinipapaya846 Жыл бұрын
RIP mzee baba Magufuli 😢😢😢😢
@mkude
@mkude Жыл бұрын
Kazi nzuri sanaaa hongera Mama Samia hongereni TRC
@EliahParpulisEvalyneMkulati
@EliahParpulisEvalyneMkulati Жыл бұрын
Hongereni sana TRC - Mmefanya vyema kwenda South Korea kuona maendeleo ya vitu vyetu. Kongore sana kwenu wote mnayofanya huko kwa niaba yetu wote. Mambo mazuri huchukua muda.
@mussamussa8181
@mussamussa8181 11 ай бұрын
Matumizi mabaya ya pesa weye wawapongeza..haya labda ni sahh,maono yangu yakawa sio sawa..ila pind maguful anatengeneza ndege canada atukuona alie enda
@amanrashid7061
@amanrashid7061 Жыл бұрын
Sema wamefanya kaz nzuri wa Tz tuache kuponda hadi vitu vya maana big up for this💯💯
@Nedjadist
@Nedjadist 15 сағат бұрын
Magufuli alikuwa na uthubutu usio wa kawaida Tanzania!
@elibaricksadock9562
@elibaricksadock9562 10 ай бұрын
Kazi nzuli Sanaa kwa rais wetu Magufuli mwanzilishi wa kazi nzulisanaaa but muundo wa vichwa ivyo ndo mmezingua Yani Shoo ya uso wa mbele
@pascojm6816
@pascojm6816 8 ай бұрын
Kazi nzuri
@zidatv1122
@zidatv1122 Жыл бұрын
Iko vizuri
@abubakarharuna6712
@abubakarharuna6712 Жыл бұрын
👍
@omaryyusuph7877
@omaryyusuph7877 7 ай бұрын
Good job government of tanzania
@yusuphmpenja3288
@yusuphmpenja3288 Жыл бұрын
Mama siamini macho yangu kazi iendelee
@user-ck2mc6nw8m
@user-ck2mc6nw8m Жыл бұрын
Jpm viva
@jamesnteleva7073
@jamesnteleva7073 Жыл бұрын
Dah! Always nikiona hivi, hujikuta namkumbuka Mwamba JPM 💪🏾 I wish angekuwepo ajionee matokeo ya juhudi zake. Bravo JPM.👏🏾👏🏾👏🏾 R.I.P. JPM.🤝
@jrumesele9843
@jrumesele9843 7 ай бұрын
Hapa kuna mkanganyiko kuna watu hawaelewi hv vichwa vipo aina mbili vile mchongoko ni set zitakuwa na behewa 8 kwajili ya abiria hv vichwa vyakawaida nikwajili ya tren za mizigo
@alfinmbilinyi5985
@alfinmbilinyi5985 5 ай бұрын
Mie nataka nipande yale mabehewa ya ghorofa lini na yenyewe yatatembezwa?
@Bmstar-pz4qt
@Bmstar-pz4qt Жыл бұрын
Lakini bado tunaitaji kama nchi kuwa na mikakati, just imagine up now ndo tunapeleka wataalamu wetu kujifunza juu ya treni za umeme( kukagua ni vitu vidogo sana kwa utaalamu walionao) kwel kwel tupo serious kama taifa huku tunajua kabisa hii project ni ya mda mrefu na inatughalimu trillion za Tz ...Mimi binafsi nilitegemea kama nchi tumejipanga kuwa na wataalamu wa treni za umeme atleast more than 3yrs ago ambao ni wazoefu na wanaujuz wa Hali ya juu, juu ya project kama hii...hapo ndo tungeenda kusema tumepeleka wataalamu kufanya ukaguzi sio kujifunza!! 🙏🙏🙏
@mohammedal7864
@mohammedal7864 10 ай бұрын
Japo hata kidogo mjue kumshukur mama yetu
@stevengeorgetibenda1647
@stevengeorgetibenda1647 Жыл бұрын
Hiki kichwa kilichochongoka mbele tunaweza sema anagalau cha kisasa kwa kiasi fulani ila hiki cha kwanza ni kichwa cha kizamani kama vile vya kenya
@explorewithbertin
@explorewithbertin Жыл бұрын
Mnaona miji yao...ona side walks, no bodaboda...superorganized....Sisi uwa tunafeli wap
@zawadix9574
@zawadix9574 Жыл бұрын
Wizi......ujinga.....na mambo ya Ku shukuru mungu kila SAA .....na uvivu!!!!!
@explorewithbertin
@explorewithbertin Жыл бұрын
@@zawadix9574 sijui kwa nini hawajifunzi hawa watu na knowledge kuzileta nyumbani.....sisi Tz hatuna jiji ambalo lina organised city centre...hata Dar inabidi wachague eneo moja liwe superorganized...no electricity cables, no boda, no mama ntilie na kuwe na sehemu za kupumzika...tena kwa dar..ile posta yote wangeifanya hivyo...
@Maconcepty
@Maconcepty Жыл бұрын
Kukagua tu tupo vzur KUTENGENEZA XAXA....
@youngb8672
@youngb8672 11 ай бұрын
Magufuli oyeeee
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 9 ай бұрын
Pongezi kwa seeikali ya tz
@sportsnyahanga5504
@sportsnyahanga5504 10 ай бұрын
Kwani bado ni unatifiti
@fortyyellu9971
@fortyyellu9971 Жыл бұрын
Mmekosea ni bora tenda hii mngewapa wachina na kilakitu kingekuwa sawa, sasa mnawapa wakolea alafu mnamashaka nao sasa ndo nini
@citylinkproject9901
@citylinkproject9901 8 ай бұрын
wakorea wako vizuri
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 Жыл бұрын
Mbona zipo Kaa panzi au misioni vizuri 😂😂😂
@qariabdulrahman6460
@qariabdulrahman6460 Жыл бұрын
😂 😂 😂 😂
@ShafiiStar
@ShafiiStar 2 ай бұрын
Iyoo TREN inanza lini Kaz yake na iloo xio TREN kama za nchi za njee
@Nedjadist
@Nedjadist 15 сағат бұрын
Siyo kabisa, hii ni ya bei ndogo, kama vile lami zetu ni standard 3
@ibrahimmasanja7277
@ibrahimmasanja7277 Жыл бұрын
Acheni utumwa wakifikra pakeni rangi yabendera yetu Acheni ujinga huo.
@omarhussein-po6wg
@omarhussein-po6wg 8 ай бұрын
Nilitaka kusema Kama wewe nikasema ngoja Kwanza nisome comments nimekukuta wewe uzarendo wa dhati ukweli hata mm nilitamani Sana kuona rangi ya bendera yetu
@HABARYTv-vd7lq
@HABARYTv-vd7lq 7 ай бұрын
Acheni ujinga nyie kwani rang ya bendera ndio uzalendo acheni wazim
@zawadix9574
@zawadix9574 Жыл бұрын
MLI sema mwezi July ma behewa yana ingia dar na tuta onna majaribu sasa ni mwezi August .......mbona MNA uwongo sana!!!!!!! Lini tuta ona treni !
@hashimshaban4675
@hashimshaban4675 Жыл бұрын
Walete sasa hv kwenye uchaguzi wataongea nini?we subiri uchaguzi ukikaribia utaona miradi itavyokuwa inazinduliwa
@user-ov9xs9ho4p
@user-ov9xs9ho4p Жыл бұрын
Hii ndio bongo😅😅😅
@godfreyraphaely637
@godfreyraphaely637 Жыл бұрын
Mmejiridhisha vitu msivyovijua?💥...hujui kugawanya wala kujumlisha utawezaje kuhakiki jibu la hesabu?
@mohammedal7864
@mohammedal7864 10 ай бұрын
Nyie kama hamridhiki nendeni kwenu ugiriki tuachieni nchi yetu jamani
@kambamazig02024
@kambamazig02024 Жыл бұрын
More delays!
@mainaimma1114
@mainaimma1114 Жыл бұрын
mbona mmepeleka wazee wengi sion vijana😢
@kingxule6562
@kingxule6562 Жыл бұрын
wanatumalizia hela tu hizo zote ni pesa za watanzania2 wanazitumia vibaya 😢
@fortyyellu9971
@fortyyellu9971 Жыл бұрын
Hivyo vichwa vyenu visivyochongoka hatuvitak, viacheni huko huko.. huku mvilete vilivyochongoka tu ndo tunavyovitaka
@ernestkilaryo1015
@ernestkilaryo1015 Жыл бұрын
Hivyo vingine nikwajili ya mizigo boss, treni yenye vichwa vilivyochongoka inakuwa na vichwa viwili mbele na nyuma na nikwajili ya abiria pekeake, yale yasiyochongoka yatabeba mizigo
@machumujuma6399
@machumujuma6399 10 ай бұрын
Vichwa mchongoko ni vya masafa mafupi haziezi kutembea kwa muda mrefu, hizo za flat ndo za mwendo mrefu Dar to Mwanza
@SATZ-news
@SATZ-news Жыл бұрын
Acheni mbembwe leteni train zianze kazi mmekuwa waongo waongo sana!!!!
@IconIcon-yz5vm
@IconIcon-yz5vm Жыл бұрын
Tuna taka speed test 😂😂😂
@yusuphmpenja3288
@yusuphmpenja3288 9 ай бұрын
Bc tupeni nafasi na sisi watumiaji tuje kukagua tujiridhishe sote.
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 12 МЛН
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 7 МЛН
Inside Out Babies (Inside Out Animation)
00:21
FASH
Рет қаралды 23 МЛН
"RELI YA SGR KUUNGANISHA NCHI ZA AFRIKA"
8:33
TRC RELI TV
Рет қаралды 12 М.
Riding the Japan's Fastest Bullet Train l HAYABUSA First Class Seat 🚄
28:11
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 12 МЛН