Ngumi za Ridhaa yanapokuja mashindano unaweza kucheza gem tano hadi kumi.kwenye mashindano mamoja.Na hawa wenzetu Record zao sio za maneno huwa kila kitu kimehifadhiwa ktk kumbukumbu.Sio maswala ya kuropoka tu bila uthibitisho.Huyu nimemfuatilia katika mahojiano yake na mwenendo wake.Ni Bondia mwenye Akili nzuri na Tabia njema.Maadili na nidhamu yake yupo sawa.Ni muungwana na mstaarabu sana licha ya uimara na umahiri wake ulingoni.Atafika mbali sana ikiwa mipango ya Uongozi wake itasimama kidete na serious ktk kumfanya Atoboe
@moizjohnston3841Ай бұрын
Haters wa Mwakinyo kunyweni sumu tu mufe maana kila mnapoomba apigwe anapiga watu Tena kwa TKO,Mwakinyo kashinda game ulaya mara 2,huyu Kiduku wenu mpaka piko anachapika ndani na nje,Mwakinyo anajua professional boxer,na ana msimamo......!!
@ismailsoud3634Ай бұрын
Hamna kitu. Anapigana na bondia wa nusu nyota,!! Na apigane na Kiduku mwenye nyota 2 tuone kama atachomoka.
@AbdallahMchaga-e5qАй бұрын
Ila awe makini bongo watu hawapendani wasije kumuaribia malengo yake
@SaidiIduriАй бұрын
Sasa hapo mwambieni mwakinyo acheze na huyo jamaa muone atakavokimbia mbio
@pettymsungu6420Ай бұрын
Brother Mwakinyo anaonekana Bora kwa mabondia wa Level yake, lkn kwa ngumi ya mafunzo yenye nidham kama ya Walem sio ya Mwakinyo jamaa, anauwezo mkubwa kuliko mwakinyo. Kama utakuwa na kumbukumbu, kati ya mechi ambazo mwakinyo amekutananazo ndandi ya nchi na bondia bora, utagundua kuwa TINNAMPAY nibondia ambae alimchachafya sana mwakinyo, ingawa kwakinyo alipewa ushindi, lkn ushindi ulikuwa wa mtoto wa nyumbani, kwaiyo champez huwa anaonekana bora kwa nafasi yake kutokana na mabondia anao share nao ulingo,
@Chibu-n4mАй бұрын
Fact@@pettymsungu6420
@ChristopherK4Ай бұрын
Kila mwaka mapambano kumi na nane mhh kila wiki tatu pambano Kuna uwongo hapo
@AsadKissensiАй бұрын
Uwongo upi tuelezee kwa ufahamu wako wewe ili tukuelewe
@ismailsoud3634Ай бұрын
Huyu ni boxer, Ana kila kitu Mwakinyo hawezi kukubari kucheza na huyu, kisingizio atataka pesa nyigi ili kukwepa kama alivyo kwepa kwa Twaha kiduku. Mabondia anao kutana nao Mwakinyo hawana ubora . angalau huyu wa majuzi naye hakuwa na stamina. Lakini hayo ni maoni yangu Mimi tu.
@directorsongАй бұрын
Wewe ni shoga kapigane nae wewe mwenye stamina
@ismailsoud3634Ай бұрын
Matusi na sports ni vitu viwili tofauti , Mohammed Ali alikuwa bingwa wa Dunia, lakini hakusuka nywele. Mwakinyo ni kijana ambaye anainukia kwenye ngumi lakini bado hajajuwa ngumi. Lakini ameanza hata kumuhasi Mola wake kwa kujinasbisha na Shoga kusuka nywele.
@munuoisaack418Ай бұрын
Matusi ya nini mtandaoni huyo ni mshabiki ametoa maoni yake kuwa mtu mzima@@directorsong
@felixngaiza3078Ай бұрын
Mwakinyo maneno mengi vitendo vichache, apigane tutaongea washabiki/watazamaji