BONDIA MCHANJA YOHANA ALIVYOMPASUA JICHO MPHILIPINO

  Рет қаралды 18,307

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 62
@happyemanuel9324
@happyemanuel9324 11 сағат бұрын
Sasa kashindaj hyu jamaaa jmaniii😅😅😅 au Kuna pambano lingine
@paulmushi2428
@paulmushi2428 Күн бұрын
Mchanja kapigwa sema tu kabebwa
@dalugadaluga308
@dalugadaluga308 11 сағат бұрын
Eti Kashinda 😂😂😂😂😂😂😂
@josephvenus3259
@josephvenus3259 6 сағат бұрын
Kapigwa alafu kashinda 😂😂😂😂 bongo nyoso
@MusaJuma-y6s
@MusaJuma-y6s 7 сағат бұрын
Kweli kabebwa
@MusaJuma-y6s
@MusaJuma-y6s 7 сағат бұрын
Bondia wetu kapigwa
@godfreymwacha8711
@godfreymwacha8711 Күн бұрын
Yan tayar kashikwa mkono kabla hata ya kutanganzwa mbelekoooo
@onesmomwakasege5215
@onesmomwakasege5215 16 сағат бұрын
Bongo ni uhuni mtupu kwenye Kila jambo Yani huyo mtanzania kapigwa alafu anapewa ushindi duh!🦾
@ChristopherK4
@ChristopherK4 9 сағат бұрын
Ngumi zilianza kupamda sasa mnazishusha wenyewe
@abuumohamed7090
@abuumohamed7090 10 сағат бұрын
Huu ni ujinga Mafia boxing 🥊 hakuna kitu
@omikaokazembe6691
@omikaokazembe6691 23 сағат бұрын
Kaka mkubwa Omar kazembe..huyu ibta mafia ni hatar sana
@josephjohn2114
@josephjohn2114 13 сағат бұрын
Au mm ndo sijui ngumi mbona sioni kama mbongo kashinda au paoint zinatolewaje tolewaje. Mnijuze mnaojua sheria za ngumi.
@Kevworx
@Kevworx 11 сағат бұрын
Mtu kwao yaani mtu kashikwa mkono kabla hata ya kutangazwa😂😂
@Yassin-z6o
@Yassin-z6o 13 сағат бұрын
Ni wap mfilipino kapasuliwa jicho?? Mnatetea upuuzi. Yohana alipigwa
@rickyejohn3921
@rickyejohn3921 14 сағат бұрын
Huyo Mchanjo Kapigwa Mnampa Ushindi Wa Mezani Ndio Maana Wakienda Nje Wanapigwa Tu
@KarimSalum-c9m
@KarimSalum-c9m 14 сағат бұрын
Nyie acheni zuluma mchanja kapigwa vizuri
@gregorybakuza5796
@gregorybakuza5796 11 сағат бұрын
Mchanja kachezea sana, boxing ya Bongo ujinga mtupu
@HassaniMakhalani
@HassaniMakhalani Күн бұрын
Ndo maana boxing bongo aiendelei mtu kapigwa kisha mnampa ushindi
@FahadAbubakari-y3f
@FahadAbubakari-y3f 18 сағат бұрын
Boxing duniani kote ushindi wa uhakika ni knock out (ko) hususani ukiwa ugenini kupata ushindi wa point inakua ngumu hii duniani kote si tz tu ka kweli unafatilia ngumi utajua.
@mahembaelias1722
@mahembaelias1722 13 сағат бұрын
​@@FahadAbubakari-y3f Uko sahihi ila hii imezidi
@FahadAbubakari-y3f
@FahadAbubakari-y3f 12 сағат бұрын
@mahembaelias1722 kama mtu wangumi utakumbuka Mayweather na mtu wakuitwa Meidana, ngumi ukipigana ugenini namna pekee ni ko kila bondia anajua hilo duniani kote coz maamuzi ya mezani vyovyote watavyotoa ndo hayo hayo we upo ugenini wanaamua wanamjua mwenyeji basi uwe umemdunda kweli mpaka waone aibu kumpa lakini hii ya Kuna mda umempiga na yeye kakupiga wanapita umo umo
@MwazoaMwazoa
@MwazoaMwazoa 9 сағат бұрын
Ipo siku itafika tutakuona ukiwa bingwa wa Dunia haswa ukiamua uende huko ukiwa umeshusha weight kidogo.
@FatimaFati-pu4lb
@FatimaFati-pu4lb Күн бұрын
Aaaah nyinyi teneni haki simulate mabondio kutoka inje alaf muwadhulimu
@ce-08
@ce-08 8 сағат бұрын
Mtu kwao
@tatalyzer382
@tatalyzer382 14 сағат бұрын
Mbona Refa kahesabu alipofika eight 8 akaweka pozz kidogo hajaendelea na tisa hadi alipoinuka?
@MandyJuma
@MandyJuma 12 сағат бұрын
Majaji wakibongo waongo sana mchanjo kapigwaa asilimia mia ila wamemzurum mzungu
@ce-08
@ce-08 8 сағат бұрын
Mbona wao waliwaibia Babu zetu acha na sisi tuwazurum tu
@jimsjoelwisdom88
@jimsjoelwisdom88 7 сағат бұрын
Mbona kashinda tena kulikoni tena.. Haya ni maajabu.. Tatzo mfilipino
@abuumohamed7090
@abuumohamed7090 10 сағат бұрын
Bondia ni Mwakinyo
@AlexKijomoko
@AlexKijomoko 15 сағат бұрын
Duuu Bongo hakuna marefa hadi kwenye ngumi
@MussaIbrahim-p2s
@MussaIbrahim-p2s 8 сағат бұрын
Bondia nimmoja tu champeziiii
@IbrahimSongoro
@IbrahimSongoro 18 сағат бұрын
Mnaiharibu wenyew hii sanaa inaanza kua km kichekesho sasa
@kingwandeinvestment8002
@kingwandeinvestment8002 15 сағат бұрын
KWA HILI LA NGUMI RAISI WANGU C SAPOTI UEMSHIRIKI KUTOKANA MAADILI YAKO
@bajutatravels9779
@bajutatravels9779 16 сағат бұрын
Mtu kapigwa alafu mnampa ushindi 😢
@hansharuna
@hansharuna Күн бұрын
Mbona kapigwa alafubkapewa ushindi
@Gmanartist08
@Gmanartist08 16 сағат бұрын
Huyo Sister aliona kbs mkanda ni wa mfiliphino hl mzee akaja kumnyanga duuuuh bongo noma sn dhuluma kila kona
@ce-08
@ce-08 8 сағат бұрын
Tembea nje ya nchi utaona kwao
@jumaseif2140
@jumaseif2140 Күн бұрын
Kapigwa huyo 😂
@paschalewamtaa726
@paschalewamtaa726 15 сағат бұрын
Mbona kapigwa uyo mchanja
@alfredndau9195
@alfredndau9195 15 сағат бұрын
Kwanini wamemshika mkono hata kabla ya matokeo? Duuh hii hatarii sana hawajatenda haki
@Mousa817
@Mousa817 23 сағат бұрын
Mbeleko hadi kwenye ngumi😅😅😅
@zuheorsalim7759
@zuheorsalim7759 18 сағат бұрын
Huyo aliepewa ushindia poa aona aibi 😂
@stevenpyuza7154
@stevenpyuza7154 8 сағат бұрын
Ngumi na marefa wa kibongo mafala sana
@EliaTish
@EliaTish 15 сағат бұрын
tunapenda kubebwa
@MusaJuma-y6s
@MusaJuma-y6s 7 сағат бұрын
Mmemzulumu Filipino wabongo mkoje
@DhahabuJoseph-en8ht
@DhahabuJoseph-en8ht 17 сағат бұрын
Mmmm mchanja alipigika bwana duuu ila mmmm mbeleko
@JohnJoseph-qq7ow
@JohnJoseph-qq7ow 19 сағат бұрын
Nilijuwa inabebwa yanga tuu kumbe hadi mabondia
@chidybwax8080
@chidybwax8080 17 сағат бұрын
Wabongo wengi wamebebwa san cjui kwann au ndo utaratibu wa ngumi
@EastCodersSwahili
@EastCodersSwahili 16 сағат бұрын
Yan ni aibu aibu aibu, mbaka watu hawashangilii... Kubebwa kupo ila hizi ni aibu.
@athumanhassani805
@athumanhassani805 14 сағат бұрын
Sasa huyu mchanja kushinda vip 😢😢😢😢😢
@SalimMasemo
@SalimMasemo 17 сағат бұрын
Mkumbuke mafia awana cocha khamis sio kocha ni mtu wakuonyesha ngumi zinavyo rushwa akasomee waache janjajanja
@iranangole7007
@iranangole7007 17 сағат бұрын
Nilichogundua ngumu Haramu huu mchezo unazuluma sana
@SaidAwadh-mq2tn
@SaidAwadh-mq2tn 18 сағат бұрын
Kapigwa Sana tena wabongo hawataki kupigwa
@stanslausjohn8791
@stanslausjohn8791 23 сағат бұрын
Bondia wetu kapigwa ngumi kaamka akadhani yupo nyumbani anaongea na mke wake
@SimonGabriel-f7f
@SimonGabriel-f7f 18 сағат бұрын
Jawajielewi ushamba kweli
@ApolloniaAyoub
@ApolloniaAyoub 17 сағат бұрын
Upuuzi mtupu mtu kapigwa anashinda yeye
@user-zairo3ki1m
@user-zairo3ki1m 18 сағат бұрын
Kashinda ushuzi
@didierdrogbar2302
@didierdrogbar2302 16 сағат бұрын
Kuna chukii kwrnye boxng dunia nzma , kushnda ugenini bila kumkalisha mtu kwa k0 ,huwez ,lazma umpge mtu had wakose mbeleko ya kumbeba , tusisahau mcheza kwaooo.........., hi kitu boxing imeitengeneza kua ivo karne kwa karne na wanoumia ni wachezaji wenywe.
@mohamedramko3631
@mohamedramko3631 20 сағат бұрын
Mwazulumu live dah 😂😂😂
@athumanmsuya2688
@athumanmsuya2688 16 сағат бұрын
Sio hapa Tanzania tu mabondia wote Duniani wakicheza nje ya taifa lao wanaonewa,so mcheza kwao hutunzwa
@ShebbyTheparadiso-hf6fz
@ShebbyTheparadiso-hf6fz 14 сағат бұрын
Mmmmm
@barakamasijita2259
@barakamasijita2259 19 сағат бұрын
Ujinga tu
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 15 МЛН
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 62 МЛН
FULL FIGHT: IBRAHIM MAFIA VS LUSIZO MANZANA
31:41
MafiaOnlineTv
Рет қаралды 148
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Cinewatch
Рет қаралды 10 МЛН
Стыдные вопросы про Китай / вДудь
3:07:50
вДудь
Рет қаралды 1,4 МЛН
MAKABIDHIANO YA VITU NA NYARAKA YAFANYIKA TAG MAJUMBA SITA
27:37
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН