VITASA: Pambano zima Mfaume Mfaume alivyomtwanga Chikondi Makawa - Usiku wa Mabingwa 26/12/2020

  Рет қаралды 230,668

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Пікірлер: 375
@abdulykiliga4791
@abdulykiliga4791 4 жыл бұрын
Kwa Bongo iiii, km ngumi uyu Mfaume yuko vizuri sana, sema t upepo ira Mfaume bongo namba 2 moja Mwakinyoo
@fadhili2293
@fadhili2293 4 жыл бұрын
Mfaume namuelewa Sana Ila huu ushindi ata yeye akirudia kuangalia ili pambano atakubali kuwa chikonde Ali score zaidi
@mrjoetv4966
@mrjoetv4966 4 жыл бұрын
Mfaume alipigwa Sana sanaaaaa
@mirajibendera8795
@mirajibendera8795 4 жыл бұрын
Nakupongeza champ. Umecheza kutokana na mpinzani wako alivyokuwa akicheza. Wanatakiwa watambue yakuwa ngumi za kuangalia kwenye kideo ni tofauti na kuingia ulingoni. U r always winner.
@beatbyrich2891
@beatbyrich2891 4 жыл бұрын
Usimubaribu kapigwa Mfaume sana sana
@fatmabaraka3191
@fatmabaraka3191 4 жыл бұрын
Miraj umeongea point✌
@stanleyhalfanihblybgcsp.9572
@stanleyhalfanihblybgcsp.9572 2 жыл бұрын
Mfaume mfaume kapigwa hii game, kwa style hii Tanzania hatutoboi
@yuzzoandrew8982
@yuzzoandrew8982 4 жыл бұрын
Makinyooo atakua bro yule ni balaaaaa
@kibwamoko8767
@kibwamoko8767 4 жыл бұрын
Mfaume Mfaume asijidanganye, umepigwa kwa point. Ila mcheza kwao hutunzwa. Afadhali majaj wangetoa hata draw basi. Lakin tuache kwakuwa kulikuwa kuna Mkanda ule ndio mana wamekupa ushindi, ila mfaume umepigwa. Hata wachambuzi ukiwasikiliza kwa makini wanaelewa hilo.
@ashurasukuzi1831
@ashurasukuzi1831 4 жыл бұрын
Namkubali sana Mfaume mfaume
@elizayanga9756
@elizayanga9756 4 жыл бұрын
Ndo mana mkiendaga uko nje mnapigwa mpk mnazindukia i.c.u.... kwa mpng huu mabondia wa nje watakataa kuja kucheza apa kwetu mnapenda sana kulea ujinga na ipo cku mtambeba mtu mshangae kinanuka mnapigwa mpk majaj wote
@hassanbachu630
@hassanbachu630 4 жыл бұрын
Ufaume usiwasikilize machoko umeshinda vizuri
@rizickmbilinyi8260
@rizickmbilinyi8260 4 жыл бұрын
Mie nampenda sana mfaume but jana umembwela umepigwa openly
@christianrukurugu4341
@christianrukurugu4341 4 жыл бұрын
Aibu sana, Mfaume kapingwa Vibaya, alafu mnamtangaza kashinda
@emmanuelmathayo9275
@emmanuelmathayo9275 4 жыл бұрын
Japokuwa uzalendo kwanza....! Ila hii game kapoteza ila kabebwa!
@mwatelaedward1638
@mwatelaedward1638 4 жыл бұрын
Kweli mm sina timu hapo lakini ukweli huyo mrundi alistahili ushindi
@fatmabaraka3191
@fatmabaraka3191 4 жыл бұрын
Kampe ushindi
@tatuomary6745
@tatuomary6745 4 жыл бұрын
Kabsa
@mwinyibakari5164
@mwinyibakari5164 4 жыл бұрын
Akuna kitu
@charlesnurumwasha7834
@charlesnurumwasha7834 4 жыл бұрын
@@mwinyibakari5164 mfaume kapigwa sana
@enockkifaru4121
@enockkifaru4121 4 жыл бұрын
Asee kila mtu anahaki ya kukoment ila binafsi naona mfaume alistaili kubaki na mkanda.. Yaani ni Kama sare tu.. Sioni Kama mgeni alistaili kumpokonya mfaume mkanda.. Hongera mfaume.. Umestaili
@matatasaid733
@matatasaid733 4 жыл бұрын
Sawa sasa haikuwa sare majaji wa 3 wamempa mfaume majaj elfu moja wa mtaan wamemp chikonde jaj we umempa.sare horeng mfaume hiz stor za luongelewa mtandaon. Tulizoea kuwasikia wahjun wa nje (morison) leo muun wangu MFAUME
@enockkifaru4121
@enockkifaru4121 4 жыл бұрын
@@matatasaid733 namkubali Sana mfaume vile anavokwepa punch Za mpinzani.. Ila mechi Ya juz ilibalance.. Na mfaume kastahili uwo mkanda
@constantinochalle856
@constantinochalle856 4 жыл бұрын
Wa tz tunagogwa Sana ila tunabebwa Sana!!hatutafika popote zaidi ya kelele za tandale tu!
@eventelias3566
@eventelias3566 4 жыл бұрын
Mfaume ulijisahau sana kuweka guard sababu mpinzani wako alikuwa amefunga mda wote lkn kazi umeifanya #respect
@midoy8769
@midoy8769 4 жыл бұрын
Mfaume hana kitu kapigwa sana
@fabylyimo300
@fabylyimo300 4 жыл бұрын
😂😂😂😂duu
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 4 жыл бұрын
Faby Lyimo hatar
@abubakaribyabato4384
@abubakaribyabato4384 4 жыл бұрын
Alafu ana maneno mengi
@abubakaribyabato4384
@abubakaribyabato4384 4 жыл бұрын
Anasema mwakinyo hana kitu
@fatmabaraka3191
@fatmabaraka3191 4 жыл бұрын
Nendeni nyie tuwaone
@coolruler6820
@coolruler6820 4 жыл бұрын
Mfaume bondia mzuri,,ila kwa mwakinyo bado hajafika levo ya kumtaka ulingoni, cjaona ufundi ameonyesha unaomfanya amtake mwakinyo. Mamshauri ajongee taratibu na itafika wakati muafaka atamvaa Mwakinyo ila si kwa kiwango icho kaonyesha hapo. Nampongeza kwa ushindi japo haulingani na maneno yake nje ya ulingo
@jingwunmaster7907
@jingwunmaster7907 4 жыл бұрын
Acheni mambo yaujanjaujanja mfaume mechi imekushinda mapema mpinzani alijua malengo yako lakini hukubadilisha chochote badilika mjomba mechi umepoteza jipange acha kucheza kwamazoea hayo nimatokeo mabaya
@desmunduwandameno8610
@desmunduwandameno8610 4 жыл бұрын
Leo ndo nimejuwa kuwa watanzania tunapenda sana nichezo lakini hatuijuwi michezo yenyewe. Ndo maana kila mmoja anasema lake huwo mpambani hakuna aliye shinda. Waliye sema Mfaume kashinda ni waongo na waliyesema kuwa Mfaume kapigwa ni waongo
@beatbyrich2891
@beatbyrich2891 4 жыл бұрын
Tunahitaji mabondia wetu wakapigane nje sana wapate exposures tusifikirie sana ushindi ila exposure nayo ni ushindi mwingine unajenga kitu.
@bekamaujuz
@bekamaujuz 4 жыл бұрын
Aisee wasiende watakufa uko kwa mbereko izi
@ireneindah5236
@ireneindah5236 4 жыл бұрын
Mh mimi ckupingi ila jee wakidundwa huko watarudije Makwao
@matatasaid733
@matatasaid733 4 жыл бұрын
Wakienda uko kichapo alafu utasikia wakija nyumban wanatak kuvbiana wenyewe x2 mkali anatakiw abweke popote
@charlesabednego9424
@charlesabednego9424 4 жыл бұрын
Tony rashid, Dula Mbabe, na seleman kidunda wamefanya kwel
@paulinasenavuri8890
@paulinasenavuri8890 4 жыл бұрын
Mfaume kagongeka chikondi💪
@jumaiddy9859
@jumaiddy9859 4 жыл бұрын
Bongo nyoko kwakweli hii yaleo mfaume kabebwa nishabikiake lakini kwaleo hapana
@sarahrajabu9812
@sarahrajabu9812 4 жыл бұрын
Mfaume mfaume kapigwa sana vip mnatangaza ameshinda
@pastorstevenmdoe5143
@pastorstevenmdoe5143 4 жыл бұрын
Sasa hivi mambo mengi hapa nchini yanenda kijecha jecha aiseeh! Mtu aliyepigwa ndio mshindi yaani kusema kweli hili ni janga
@dariokisitu9134
@dariokisitu9134 4 жыл бұрын
Tena kubwa
@freshshabani1752
@freshshabani1752 2 жыл бұрын
Safi kijana mfaumu wa mfaume
@innocentmussa9724
@innocentmussa9724 4 жыл бұрын
Kapigwaaaaah mfaume
@hassansaid9154
@hassansaid9154 4 жыл бұрын
Ongera mfaume umesko vzr tu
@abdulkaoneka7368
@abdulkaoneka7368 4 жыл бұрын
Mfaume fala kwl wew ndio wamtak mwakinyo kwa ngumi gn, wallah round 4 utoboi kwa mwakinyo
@betrandymligo1889
@betrandymligo1889 4 жыл бұрын
Kwakweli wa tanzania hatuta kuja kufanikiwa kwastaili hii yani mtu kapigwa halafu mnamtangaza mshindi duuuuuuu??????
@fatmabaraka3191
@fatmabaraka3191 4 жыл бұрын
Nendeni nyie mnadhani ni kazi ya kukata viuno ile
@arriyamistamp4945
@arriyamistamp4945 4 жыл бұрын
Nan alie ikubali song
@saidalsalmi9313
@saidalsalmi9313 4 жыл бұрын
Mfaume kapigwa, sijaona hayo mapafu ya mpwa
@faridymohamedy2567
@faridymohamedy2567 4 жыл бұрын
Sio mpwa ni mbwa
@fatmabaraka3191
@fatmabaraka3191 4 жыл бұрын
Ni mbwa, sio mpwa😹
@erastomwinuka8099
@erastomwinuka8099 4 жыл бұрын
Game hii hakuna alieshinda hata mgeni hajashinda iila mfaume unyumbani pia kumbuka hata yeye angekua ugenini kacheza Kama alivyo mgeni bado asinge shinda ugenini kushinda uhakikishe mpinzani wako hamalizi raund
@mandaidejunior8378
@mandaidejunior8378 4 жыл бұрын
Kabebwaah
@rahimmarions5712
@rahimmarions5712 4 жыл бұрын
Huyo mmalawi kascore ngumi vizur sana...na ukifuata kwa ngumi za point mmalawi kashinda kabisaaaaaaa
@issamganga7078
@issamganga7078 4 жыл бұрын
Mfaume kafanya sana mazoezi kwa mechi hii kwaiyo kachoka naona 50% kwa wote
@TALLUBOY
@TALLUBOY 4 жыл бұрын
UYU TAILA KIPIGWA SANA JANA wakujiita MFAUME MFAUME
@begaca
@begaca 4 жыл бұрын
Jamaa Alikutana na Mfaume Ni Fundi Ndo Maana Kashindwa kufanya Chochote....
@ibexdomnineer5664
@ibexdomnineer5664 4 жыл бұрын
All the way from South Africa ,Dah jana umetuangusha bro wanao w mabibo , Sema sokesi next time najua tutakuja kivyengine fundi " mapafu ya mbwa" Ilaa support kwa mwakinyo muhimu bro ili boxing y Tz izidikupewa attention ulimwenguni.
@rogerhunda8616
@rogerhunda8616 4 жыл бұрын
Mchezo ulikuwa mzuri sana kulikuwa hakuna kushikana shikana
@novatusabond9253
@novatusabond9253 4 жыл бұрын
Mfaume kapigwa sana
@fatmabaraka3191
@fatmabaraka3191 4 жыл бұрын
Kapigwa na nan
@japhetpetro9598
@japhetpetro9598 4 жыл бұрын
Bongo Tunabebana Sana, Mfalme Kapigwa , Ndio Maana Tunachelewa Sana! .ufala Huu
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 4 жыл бұрын
kapigane ww
@fatmabaraka3191
@fatmabaraka3191 4 жыл бұрын
@@mnzavachris5423 😹😹😹safiiii jibu zuri jomba
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 4 жыл бұрын
Fatma Baraka ungempatia na la kwako ingependeza pia, kwani lingekuwa zuri zaidi 😀
@eventelias3566
@eventelias3566 4 жыл бұрын
kweli
@jafarchambuso5953
@jafarchambuso5953 4 жыл бұрын
Sisi wabongo bna napendaga kwenye ukweli tunaongea kwahizi comments naamin mfaume kapigwa , Halafu wanalilia kupigana na mwakinyo kwa stahili Hiyo mwacheni mwakinyo apigane na wazungu na tunaona wakipigwa hawainuki.!!!!! 👍au👎
@frankyohana5617
@frankyohana5617 4 жыл бұрын
Mfaume safi sana uncle , chikondi alikuwa hataki kuchez mda wote anajilinda tuu
@elibarickelineema8989
@elibarickelineema8989 4 жыл бұрын
Wamembeba,kumbe hata kwenye ngumi wanabebwa duh! Ni hatari watoke nao wakapigane nje ya nchi
@charlesnurumwasha7834
@charlesnurumwasha7834 4 жыл бұрын
Hata waoohojiwa shaka tu sio kweli
@jafari2nabwakaka755
@jafari2nabwakaka755 4 жыл бұрын
Mfaume mfaume ameniboa sna jana
@mosesmwaisela2455
@mosesmwaisela2455 4 жыл бұрын
Ivii hamma sheria ya kuwafungia majaji. Wanapuyanga sana. Kwa aibu hii ni bola mngempa dloo.
@abuuduhatarcnsalim8804
@abuuduhatarcnsalim8804 4 жыл бұрын
Mfaume amna kituy kapigwa Asa mwambieni asijikanyage kwa mwakinyo
@iddyally3342
@iddyally3342 4 жыл бұрын
Kabisaaaa atakufa
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 4 жыл бұрын
Iddy Ally ndo walewale!
@elizayanga9756
@elizayanga9756 4 жыл бұрын
Hahahaaaaaaa ashukuru Mungu mwakinyo apigan na vitu vya kijinga alafu nimejikuta namuonea huruma mpinzan ila dah!!amejikaza ata ajapinga matokeo
@sirizawa3360
@sirizawa3360 4 жыл бұрын
@Abuu duh Chikondi makawa kapingwa kwahaki na ndomana hajalalamika mfaume alikua ana piga snap ningumu kuona kama ww si bondia kitu chapili popote duniani hakuna bondia Alie maliza round zote akapewa ushindi ugenini
@Ram_1893
@Ram_1893 3 жыл бұрын
@@sirizawa3360 Acha upotoshaji wewe 😀😀😀
@husseinabdallah7458
@husseinabdallah7458 4 жыл бұрын
Champion ✌
@elibarickelineema8989
@elibarickelineema8989 4 жыл бұрын
Mfaume Leo kachezea
@salumbatez2640
@salumbatez2640 4 жыл бұрын
mfaume kagongwa
@elaysonzacharia6607
@elaysonzacharia6607 4 жыл бұрын
Mmmh! Ni wa kwetu lkn haki imetendeka hapo? Kwa uelewa wangu mdogo mbona Chikond ameskoo nyingi Sana kuliko Mfaume?
@abdallahhussein6249
@abdallahhussein6249 4 жыл бұрын
Majaji wameamua kuadhimia maamuzi yao...lakin uhalisia mfaume kapigwa
@jamesmwita2995
@jamesmwita2995 4 жыл бұрын
Umeona
@fatmabaraka3191
@fatmabaraka3191 4 жыл бұрын
Nenda wewe
@expert5898
@expert5898 4 жыл бұрын
@@fatmabaraka3191 Kweli ndio huo kijana
@charlesnurumwasha7834
@charlesnurumwasha7834 4 жыл бұрын
@@fatmabaraka3191 kapigwa mfaume acha unazi
@hassanmichael7068
@hassanmichael7068 4 жыл бұрын
Mfaume kapigwa ngumi nyingi sana za kichwani ngumi za point sasa nashindwa kuelewa anapewa vipi ushindi?
@gwakisageofrey6359
@gwakisageofrey6359 4 жыл бұрын
Majaji wemetutia Aibu pambano la mfaume Bora lisingeonyeshwa yani pambano liliandaliwa na mshindi aliandaliwa hata bila kupambana angepewa mkanda.
@jumannemwaka210
@jumannemwaka210 2 жыл бұрын
Mfaume umepigwa, ipo wazi
@jacobmrema467
@jacobmrema467 4 жыл бұрын
Daaah Tanzania kwa mfumo huu hatufiki,,,mfaume kapigwa afu awe mshindi Tena duuu Ina Mana hatuoni hapa jaaman
@amirikiponda3993
@amirikiponda3993 2 жыл бұрын
Hapo mfaume alipigwa sana
@salmaayub61
@salmaayub61 4 жыл бұрын
KWELI CHIKONDI KASHINDA MFAUME KAPIGWA .
@saidhuma9171
@saidhuma9171 4 жыл бұрын
Mfaume acha kumtaka mwakinyo atakuua laund ya 4 hufiki,, hii game umebebwa2, hakuna kitu hapo niutopolo2
@graphixmaster6146
@graphixmaster6146 4 жыл бұрын
😁😁😁Aibu nimeona mimi
@beatbyrich2891
@beatbyrich2891 4 жыл бұрын
1. Huwa hawashangiliii Kabla ya kutangazwa mshindi 2. Suala la mabondia wengine kuingia kwenye Ring si sawa nenda katika chumba chake cha kubadilishia nguo kamsalimie please acheni timu yake hapo katika ring.
@stevemwakisimba5986
@stevemwakisimba5986 4 жыл бұрын
Wachambuzi mandazi mnamlaumu nfaulme hamsifii umakini wa mpinzani Huyo mpinzani ni mpiganaji mzuri mzoefu na ana nguvu kuliko mabondia wote wanaoletwa Tanzania ila nimempeda sana nfaime kwa Tanzania inawezakua namba moja au wa pili kati ya show show na nfalme wa tatu mwakinyo ngumi zinaonekana
@elizabethmbunda6183
@elizabethmbunda6183 4 жыл бұрын
Kamdunda vizuriii
@soduxrashol2480
@soduxrashol2480 4 жыл бұрын
Aibu Naona mim sikuwez hata kumaliza round zote
@ibrahimkalebi9604
@ibrahimkalebi9604 4 жыл бұрын
Mfaume mfaume umezingua sana mm kashabiki nakuponggeza kwa ushindi wa point inaonekana umefanya mazoezi mazuri ila hukua mapambano sana
@yusufngalema7442
@yusufngalema7442 4 жыл бұрын
Mfaume kapigika...Tuache kubebwa hovyo kisa tunacheza nyumbani..figisu hizi hazitujengi coz kulewa huu ujinga tutaaibika mbele huko...mfaume ngumi nyingi anajichosha tu sio professional km huyo wenzie anapiga panapostahili.
@tazaaatv9757
@tazaaatv9757 4 жыл бұрын
kapigwa
@yuzzoandrew8982
@yuzzoandrew8982 4 жыл бұрын
Mfaume mfaume kapigwa na kabebwa hii game
@ruderesangara6650
@ruderesangara6650 4 жыл бұрын
Mfaume mechi hii umepoteza, majaji wameongopa hapa mmalawi kashinda hill pambano
@zulfikakalumba1977
@zulfikakalumba1977 4 жыл бұрын
Hii game Mfaume amepoteza, majaji miyeyusho tu wamembeba.
@issazuber6823
@issazuber6823 4 жыл бұрын
Kweri kapigwa mfaume
@riadikhalifa9306
@riadikhalifa9306 4 жыл бұрын
Tunatia huruma
@michaelpaul4902
@michaelpaul4902 4 жыл бұрын
Aibu kubwa sana hao majaji waache kuwaharibia mabondia CV tendeni haki mfaume kashindwa chikonda kaporwa ushindi wake waziwazi
@livinusmugisha5469
@livinusmugisha5469 2 жыл бұрын
Huyu ndo anataka kupigana na Mwakinyo
@andulilemwakihabha2048
@andulilemwakihabha2048 4 жыл бұрын
Tanzania 🇹🇿🇹🇿💪🏼💪🏼💪🏼💪🏼
@babylonyNgwembe
@babylonyNgwembe 4 жыл бұрын
UYU MTANGAZAJI NDIYE TULIYE MTAFUTA KWNY MCHEZO HUU HVYO UYU NDO ANAFAA KUTANGAZA MCHEZO WA BOXING BONGO
@reubenreuben2902
@reubenreuben2902 4 жыл бұрын
Kadundwa.nusu.angekunya.mavi.ila.mbeleko.bana
@selemaniswalehe2987
@selemaniswalehe2987 4 жыл бұрын
CA c c gyvfished gym j FL j
@selemaniswalehe2987
@selemaniswalehe2987 4 жыл бұрын
Mt go c jsj jyf
@yusuphamani72
@yusuphamani72 4 жыл бұрын
MTU anaweza akapigwa akafa na bado akaambiwa marehemu ameshinda
@omarimwigula3248
@omarimwigula3248 4 жыл бұрын
Jamaa anapiga ngumi nyingi za point daah mfaume kapewa vip ushindi?
@allychaye2925
@allychaye2925 4 жыл бұрын
Watanzania tunakwama wapi mshindi chikundi mnampa mfaume kweri jamani mungu anawaona
@themuni5733
@themuni5733 4 жыл бұрын
Dah tunahitje na sisi mabondia wetu waend nje washind nao kama wao wanaume
@yahayakiliwasha9791
@yahayakiliwasha9791 4 жыл бұрын
Tutachelewa kufikia hayo malengo mnatafikiria kwa upuuzi huu
@mbarakajummadindamadinda491
@mbarakajummadindamadinda491 4 жыл бұрын
Et alivyomtwanga 😀😀😀
@robisonmabaso4720
@robisonmabaso4720 4 жыл бұрын
Mfaume anapigana kizamani Mchezo wa ngumi ni burudani ngumi hazina kashikashi kapigwa sana aachane na ubondia
@mustafamwedy8298
@mustafamwedy8298 4 жыл бұрын
Mfaumee kabebwa leo asije kujichangany kwa mwakinyooo!!!!!!
@malekangunza8609
@malekangunza8609 4 жыл бұрын
Kapigwa Mfaume
@kimlolakimlolanelly6330
@kimlolakimlolanelly6330 4 жыл бұрын
Mfaume alipigwaaaa
@charlesnurumwasha7834
@charlesnurumwasha7834 4 жыл бұрын
Angalia furaha ya kulazimisha ndio utajua matokeo
@malkavoice2570
@malkavoice2570 2 жыл бұрын
Hapo ndio msanii anapromotiwa afu mnadai wcb wananyonya sio madee?
@mohamedmzeeassuufiyy1334
@mohamedmzeeassuufiyy1334 4 жыл бұрын
Tanzania bado kabisa
@masanjanhega3017
@masanjanhega3017 4 жыл бұрын
Hii ngoma ilipaswa kuwa droo aisee
@badymedia9648
@badymedia9648 4 жыл бұрын
me too bro , thought bso
@bintui.mrissa.6361
@bintui.mrissa.6361 4 жыл бұрын
Fact
@mudriqhamidu6031
@mudriqhamidu6031 4 жыл бұрын
Haina drow ndugu yetu, alipigika sema imetumika t ule usemi mcheza kwao hutunzwa ndicho kilichofanyika
@maggie54876
@maggie54876 4 жыл бұрын
Mfaume kapigwaaaaaaaaaaaa
@deusmauka9626
@deusmauka9626 4 жыл бұрын
Chikondi anaweka gadi kwa kuwa anajitambua, Mfaume hana maujanja ya upiganaji, anavizia tu, Chikondi mjanja sana hapigwi kizembe.
@olaissaitoti3550
@olaissaitoti3550 4 жыл бұрын
Mfaume amepewa mpiganaji mzuri
@mack_vita_onyango8409
@mack_vita_onyango8409 4 жыл бұрын
Bondia kutoka Malawi, tuna mwona kaja kwa jambo moja tu.. Gurd au kujikinga...
@omaryswear6501
@omaryswear6501 4 жыл бұрын
Mfaume kachezea jamani
@nassoribrahim6400
@nassoribrahim6400 4 жыл бұрын
Bondia wetu mfaume na corner yake wamekosa plan B mimi nilivyoona mchezo kashinda mmalawi no doubt amejilinda vema na amepiga ngumi on target tumeona kwa kweli mmalawi amekuwa bora kimbinu amecheza vzr dhidi ya mtanzania.
@augustinewilliam8281
@augustinewilliam8281 4 жыл бұрын
Chikondi kashinda sasa wew ndo unamtaka tanga boy utapigwa round ya 3
@hemedikijiwe5428
@hemedikijiwe5428 4 жыл бұрын
Umegongwa buroo
@Captain-nj1mq
@Captain-nj1mq 4 жыл бұрын
Hakumtwanga!! Ila alitangazwa 2 mshindi
@franciscomasungulwa3575
@franciscomasungulwa3575 4 жыл бұрын
Tuweni waungwana kwa kutoa haki sawa
@mandaidejunior8378
@mandaidejunior8378 4 жыл бұрын
Kabebwaah mfaume kapigwah ujinga huo kweli tanzania atuendelei kwenye ndondi mabwege nyie
@rachelmdoe8331
@rachelmdoe8331 4 жыл бұрын
Dhambi tupu majaji mungu anawaona hamjatenda haki hata kidogo aibu
@franklutindi4167
@franklutindi4167 4 жыл бұрын
Watu wanapambana kuinua box majaji wanashusha box ss watanzania natunapenda tushinde kila pambano lakin inapotokea tunapigwa bas maamuz yawe saii kiukweli jana tumepigwa hata asiyejua box awez mpa ushindi mfaume mmetia aibu kika mtanzania anajua tumepigwa
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.
NYANGE YOUSSOUF
2:17
GAME IN
Рет қаралды 14 М.
PAMBANO KAMILI: IBRAH CLASS  v  SIMON NGOMA
53:50
Azam TV
Рет қаралды 227 М.
VITASA | Twaha Kiduku alivyomtwanga Dullah Mbabe - 20/08/2021
23:03