BONGO NYOSO: MPOKI MUUZA ALKASUSU

  Рет қаралды 133,179

BONGO NYOSO

BONGO NYOSO

2 ай бұрын

Пікірлер: 91
@DullaJonson-dw4vy
@DullaJonson-dw4vy 16 күн бұрын
mpoke kwa tanzania ckusifu ila ww ni namba 1
@adidacemwakatika1569
@adidacemwakatika1569 2 ай бұрын
Kila kazi inachangamoto zake,kilichotokea hapo limetokea tukio halisi na hii ni baada ya kanzu kumtega mpoki na kutengeneza uhalisia zaidi hata ya script yenyewe,kazi nzuri hongereni na poleni kwani ndiomaana halisi ya kazi.
@ahmadsimba4969
@ahmadsimba4969 Ай бұрын
Chupa pia imepasuka kweli
@abdulswamadfakih7327
@abdulswamadfakih7327 Ай бұрын
Sisi huku ZANZIBAR tukimpelekea mgonjwa uji au chai Chupa hueka katika mkoba au mfuko kwa Sitara Zaid hapo mpoki unatufahamisha kua tusitiri Zaidi maana kama tutabeba kama ulivo beba ww yanaweza kutokea matatizo kama hayo
@LazaroBenjamin
@LazaroBenjamin Ай бұрын
Ila watu uelewa wetu mdogo hua mnachanganya masuala ya Imani na utamaduni.Mavazi yanatambulisha tamaduni za watu na sio dini,ila dini inaweza weka utaratibu fulan unaoweza ingilia na utamaduni.Kanzu ni vazi la watu wa Arabuni na mashariki ya kati ndo maana ata sisi WAKRISTO tunajua kua YESU KRISTO alivaa kanzu maana ni tamaduni za wayahudi kama jamii ukiachilia mbali kua pia Uyahudi ni dini.
@YUSUPHMOSHI-yw3wr
@YUSUPHMOSHI-yw3wr Ай бұрын
Mjinga saana ww huna elimu yoyote
@GodfreyMsisi-dn2gt
@GodfreyMsisi-dn2gt Ай бұрын
Upo sasa ....sema watu wamegeuza kanzu kuwa dini
@user-ly9lp2ed4m
@user-ly9lp2ed4m 19 күн бұрын
Una minyoo ww
@user-ww2xd9cg5e
@user-ww2xd9cg5e Ай бұрын
Hiyo kali mbavu zangu jamani bongo laha sana
@jumajuma8263
@jumajuma8263 Ай бұрын
Hii bwana haijakaa vizr
@nujakaluhende9428
@nujakaluhende9428 2 ай бұрын
Hapo mpoki kanzu imemuangusha na imekuwa kivituo
@sanjaybin-tu2ue
@sanjaybin-tu2ue Ай бұрын
Asante vijana.ila nyani mpiga Ngoma achunge ulimi namatusi
@user-fh3ce8cu9d
@user-fh3ce8cu9d 2 ай бұрын
Nlichoona yan hakuna mtu muoga kama ERIUDI 😂😂😂😂
@FabianMgaya
@FabianMgaya Ай бұрын
Yani ndowakwanza kukimbia
@FabianMgaya
@FabianMgaya Ай бұрын
Yani Leo nimechk mbk nimejikojolea mamaang tn kahaaa jmn ukifa nastrees umeamua
@lucresiashee1289
@lucresiashee1289 2 ай бұрын
Nisindikize kwa mgonjwa wangu 😀🤣🤣🤣
@issajuma1948
@issajuma1948 2 ай бұрын
Wakwanza leo
@smstore5535
@smstore5535 11 күн бұрын
😂😂😂ila mpokiii
@AdamClassic-uj9ed
@AdamClassic-uj9ed 2 ай бұрын
Kwa Mbaali Nasikia Sauti Jaman Muacheni Aende Huyo 😂😂😂😂
@priskusoisso
@priskusoisso Ай бұрын
🎉🎉
@leonardmhagama5828
@leonardmhagama5828 Ай бұрын
😅😅😅😅😅😅
@mariawasad
@mariawasad Ай бұрын
Umeona msiizalilishe kanzu
@Omarymgaywa
@Omarymgaywa 2 ай бұрын
Ety mkanda hauna rangi 😅😅😅😅😅😅😅
@NaseebuHussein
@NaseebuHussein 20 күн бұрын
Haki yamungu nimejikuta nacheka kwa sauti😅😅😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
@GodfreyMsisi-dn2gt
@GodfreyMsisi-dn2gt Ай бұрын
Watu humu ndani wana complain kuhusu kanzu wakat huku dubai wanaingia na kanzu night club amaa kweliii bongo n mkia wa fisi
@drmahwa8166
@drmahwa8166 6 күн бұрын
Hujaisoma bibulia wala qur an ndiomaana huelewi
@bilsonstewart2661
@bilsonstewart2661 Ай бұрын
😂😂😂 Noma kweli
@saumodzumbo9671
@saumodzumbo9671 Ай бұрын
😂😂😂😂😂 ostadhi nae hatariii
@Seat_cover98
@Seat_cover98 Ай бұрын
Nimesikia Muacheni aendeee huyoooo
@liylahahmed829
@liylahahmed829 13 күн бұрын
Iyoo mitamaa😂😂😂😂😂😂
@shillaedmund
@shillaedmund Ай бұрын
Daaah 😂 Mpoki jau 😂😂😂
@alextzmmary5121
@alextzmmary5121 2 ай бұрын
Chupa imepasuka kweli 😂😂😂😂😂
@AmusedAstronomicalModel-lq3yu
@AmusedAstronomicalModel-lq3yu 2 ай бұрын
Hata mimi nilijua anauza kasusu
@IbrahimHassan-ex7sn
@IbrahimHassan-ex7sn Ай бұрын
Mkanda huna rangi
@musaamos2431
@musaamos2431 Ай бұрын
Eliudi mapema
@henrygwalema1860
@henrygwalema1860 2 ай бұрын
Ila Eliud, haiwezi kukuingia akilini😂😂😂😂
@ronaldreagan7772
@ronaldreagan7772 Ай бұрын
Gawa vikombe
@HamisiBatyli
@HamisiBatyli 3 күн бұрын
Hahahahah
@KhadijaKhatibu-rp2ps
@KhadijaKhatibu-rp2ps 2 ай бұрын
Asakazalilixha kanzu kivp kwan kakaa uch
@user-tx4bk9rx7n
@user-tx4bk9rx7n 2 ай бұрын
Mzee mate basii
@dnashkiba9010
@dnashkiba9010 8 күн бұрын
Mwanangu mzazi😂😂
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 2 ай бұрын
Umeanguka kiukweli
@selemanmaganga-le4zg
@selemanmaganga-le4zg 2 ай бұрын
Ilo teke sasa!
@Seifbrown
@Seifbrown Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 mpoki 😂❤
@pierreh255
@pierreh255 2 ай бұрын
Kweli huku Tanga 80% ndo pigo zao izo
@LinuslusianLinuslusian
@LinuslusianLinuslusian 2 ай бұрын
We mshamba sana kavu vazi ls waharabu kwenye joto kali
@AHMADA515
@AHMADA515 2 ай бұрын
Sio waharabu ni waarabu
@mohammedsalim3315
@mohammedsalim3315 Ай бұрын
Ata yesu alivaa kanzu na kofia .
@hemedrashid2921
@hemedrashid2921 Ай бұрын
huyooo ni ng'ombeee sanaa tu kukaaa town umeshauu babu zako kijijini kwenu wanavaa kanzu kunyweaaa pombeee 😂😂😂
@mfaumeseif5872
@mfaumeseif5872 21 күн бұрын
Gawa vikombe 😅
@JamesJulius-po2ue
@JamesJulius-po2ue 2 ай бұрын
😁😁😁😁😁
@musaamos2431
@musaamos2431 Ай бұрын
😂😂😂😂mpoki unajua naskia muacheni aende
@user-xg7tv5je6b
@user-xg7tv5je6b Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 maclegan
@annakessy6060
@annakessy6060 10 күн бұрын
😂😂😂😂
@jacquelinefabian6217
@jacquelinefabian6217 2 ай бұрын
Jaman eliudi😂😂😂
@nemesapollo4846
@nemesapollo4846 2 ай бұрын
😅😅😅muuza alikasusii
@msamgunda7684
@msamgunda7684 Ай бұрын
kwan ,wauza alkasusi lazima wavae kanzu?
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 Ай бұрын
Wavaa kanzu na Kofia ndo wauza Alkasusi?
@SalehChogero
@SalehChogero 2 ай бұрын
Nimexheka hatar
@user-jk2ov7qs3k
@user-jk2ov7qs3k Ай бұрын
basi huzi alikasus😂😂😂
@abdallahkambangwa7215
@abdallahkambangwa7215 Ай бұрын
🤣🤣🤣🤣 Mpoki
@user-lk7bb6nd1s
@user-lk7bb6nd1s Ай бұрын
Uji umekuwa maziwa na chupa yapasuka kweli
@mbanimohamedi6900
@mbanimohamedi6900 Ай бұрын
Lete na hiki 🤣🤣🤣
@jessicaanania6326
@jessicaanania6326 Ай бұрын
😂😂
@OmaryhusseinOmaryhussein-vi5kq
@OmaryhusseinOmaryhussein-vi5kq 2 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@user-uy8si7zg8r
@user-uy8si7zg8r Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@bankbudha2863
@bankbudha2863 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@SmartVicenzo
@SmartVicenzo Ай бұрын
Awa jamaa noma kweli 😆😆😆😆
@user-xg5se4sy2t
@user-xg5se4sy2t 2 ай бұрын
Mbona mumezalilisha vazi la kanzu jamani kueni hata na adabu
@vinny.morales
@vinny.morales 2 ай бұрын
Acha itikadi za kindezi
@ikabako2454
@ikabako2454 2 ай бұрын
Kanzu ni vazi la asili la waarabu na wakazi wa mashariki ya kati wala halina ishu yoyote
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 2 ай бұрын
We vip Kuma nn sasa wame zalilisha nn apo chokoweee
@MilloWamilonga-ft8ir
@MilloWamilonga-ft8ir 2 ай бұрын
Hujui kitu wewe pimbi. Kanzu ni vavi kama vazi lingine tu haliusiani kabisa na dini yoyote. Ukitaka kujua subiri wakati wa hija kule Makka uone ni nani katika mahujaji aliyevaa kanzu. Acha ubwege.
@magembekisabo9632
@magembekisabo9632 2 ай бұрын
Huna akili na wewe kanzu ni vazi la kushindia uarabuni wewe unasema la heshima🤣🤣🤣
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj Ай бұрын
Chupa imevunjika kweli😢😅
@black_queen_vibe
@black_queen_vibe 2 ай бұрын
🤣🤣🤣
@mwanaidihassani2217
@mwanaidihassani2217 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@user-pp9hb2eo6x
@user-pp9hb2eo6x Ай бұрын
😂😂😂😂
@SameerKhan-zr8oq
@SameerKhan-zr8oq 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂
你们会选择哪一辆呢#short #angel #clown
00:20
Super Beauty team
Рет қаралды 55 МЛН
БОЛЬШОЙ ПЕТУШОК #shorts
00:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 10 МЛН
CHEKESHA : MCHAWI WA UKOO | MAMA EMMA, MPOKI NA MASANJA
9:28
DEMU WANGU
8:46
Joti TV
Рет қаралды 405 М.
MAPENZI YA BODABODA YAME MPONZA
8:52
Mr Uky
Рет қаралды 60 М.
WAUZA DUKA NDARO NA STEVE MWEUSI UTACHEKA
13:31
Ndaro Tz
Рет қаралды 399 М.
ELIUDI / MPOKI BIBI YETU MCHEZA KAMARI MZURI
4:51
BONGO NYOSO
Рет қаралды 15 М.
Chekesha : Mpoki kayakanyaga kwa Washikaji
8:32
CHEKESHA
Рет қаралды 25 М.
BONGO NYOSO: ELIUDI BABA MKWE MBONA MFUPI IVI JAMANI
5:09
BONGO NYOSO
Рет қаралды 13 М.
BONGO NYOSO: MASHAIRI YA ELIUD KWA DEMU
7:04
BONGO NYOSO
Рет қаралды 56 М.
BONGO NYOSO: MPOKI  SIPANGISHI VIBONGE
7:42
BONGO NYOSO
Рет қаралды 17 М.
你们会选择哪一辆呢#short #angel #clown
00:20
Super Beauty team
Рет қаралды 55 МЛН