No video

"DIAMOND HAKUNIPA KAZI KWA KUNIHURUMIA, ALIAMINI UWEZO WANGU" - ZUNGU AELEZA MBELE YA MAKONDA

  Рет қаралды 33,851

Wasafi Media

Wasafi Media

Ай бұрын

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 59
@mfalmekaitaba2425
@mfalmekaitaba2425 Ай бұрын
Zungu na Charles William pale wasafi ni wataalam sana wa mambo ya kisiasa wanajuwa kuchambua siasa na kuhoji wanasiasa kwa ufanisi mkubwa mno🎉🎉
@halimadamasi2770
@halimadamasi2770 Ай бұрын
Mashaallah zungu ❤❤❤
@ConfusedClipperButterfly-rk1gz
@ConfusedClipperButterfly-rk1gz Ай бұрын
Nakupenda sn makonda kwa. Utendaji wako
@saidsemainda1005
@saidsemainda1005 Ай бұрын
Mkuu wa wakuu wa mikoa yote Tanzania
@Peterchila-un2lx
@Peterchila-un2lx Ай бұрын
Sahihi siyo wa mkoa ni wadunia nzima
@frankngoloka5416
@frankngoloka5416 Ай бұрын
​@@Peterchila-un2lxYuko vzr kwa kweli ktk uwongozi,Sema mafisadi hawampendi
@BigZhumbe
@BigZhumbe Ай бұрын
Zungu ni bonge la presenter 🎉🎉🎉🎉
@pablohpaul560
@pablohpaul560 Ай бұрын
Inafurahisha sana
@sallyeliya5213
@sallyeliya5213 Ай бұрын
MUNGU akuinue juu juu juu,kadri impendezavyo YEYE
@johariyahaya8794
@johariyahaya8794 Ай бұрын
makonda jembe sana mungu akuweke mno
@erastosanga1694
@erastosanga1694 Ай бұрын
Zungu hongera sana
@HenryNuhu
@HenryNuhu Ай бұрын
Huyu ndie mkuu wa mkoan wa Tanzania nzima
@Peterchila-un2lx
@Peterchila-un2lx Ай бұрын
Sahihi ndugu siyo tanzaniatu ni rc wa dunia
@MohamediKalanje
@MohamediKalanje Ай бұрын
😂😂😂😂
@HusseinAmiri-pp8dy
@HusseinAmiri-pp8dy Ай бұрын
4sure ndugu
@user-fh3yb4fk8j
@user-fh3yb4fk8j Ай бұрын
Makonda yani wewe ni magufuli mtupu chapa kazi baba
@doctormkulima9474
@doctormkulima9474 Ай бұрын
Makonda anafaa kuwa rais ajeye mwaka fulan ujao
@jasirimjasirimedia7940
@jasirimjasirimedia7940 Ай бұрын
My leader makonda 💪💪💪
@erastosanga1694
@erastosanga1694 Ай бұрын
Diamond mtu kazi nakuaminia sana
@HenryNuhu
@HenryNuhu Ай бұрын
Lik za kutosha wakwanza Leo
@kisinza6077
@kisinza6077 Ай бұрын
Absolutely for you ZUNGU, are you very strong and Genius brother! 🎉🎉🎉
@JohaivenMzee-vo1dl
@JohaivenMzee-vo1dl Ай бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 mkuu wa mkoa nakuelewa sana.
@kalistuschaula
@kalistuschaula Ай бұрын
Asante makonda
@elidifridajingu3153
@elidifridajingu3153 Ай бұрын
Safi sana. Kwa nn watanzania tusimchague makonda kuwa raisi??? Wewe ni raisi ajaye
@Butondo
@Butondo Ай бұрын
Safi sana Makonda.
@saadabakar7750
@saadabakar7750 Ай бұрын
Zungu umenenepa kaka 😂
@user-ry8xf1no2s
@user-ry8xf1no2s Ай бұрын
Mueshimiwa laisi wangu mpendwa Samia suluhuhasani nakuomba Ikikupendeza inshallah usimuache Mueshimiwa makonda Kwakazi nzuri anayo fanya Alha akuongoze salama mueshimiwa
@mohamedathman3310
@mohamedathman3310 Ай бұрын
Huyu jamaa mkimuamini kwa uraisi mtafika mbali sana Tz ❤from🇰🇪
@abdillahrashidnassor7973
@abdillahrashidnassor7973 Ай бұрын
Makonda anampenda sana zungu. Siku moja Makonda akiwa mkubwa zaidi zungu atakula shavu
@hajiramadhan6970
@hajiramadhan6970 Ай бұрын
Kweli umeona mbali kama mimi kaka
@amoootradertz2350
@amoootradertz2350 Ай бұрын
makonda awe Rais
@Bumutz-po2df
@Bumutz-po2df Ай бұрын
Unaonaje uwe raisi wewe 😅😢😅
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Ай бұрын
Acha wivu​@@Bumutz-po2df
@nelykaaya6503
@nelykaaya6503 Ай бұрын
Kweliii kaka
@erastosanga1694
@erastosanga1694 Ай бұрын
Mkuu wa mkoa Arusha piga kazi
@jafethleonard5821
@jafethleonard5821 Ай бұрын
❤❤ Makonda
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 Ай бұрын
Magufuri
@shamzone388
@shamzone388 Ай бұрын
Kweli huku gulf wapo madoctor na engineer ni maalbino… kweli nchi zetu za afrika ndio wanawabagua
@marymanoni5536
@marymanoni5536 Ай бұрын
Zungu makonda kakupenda mimi nakwambia wewe unatoka ww umeshatoka utakuwa mtu mkubwa sn kwanza bwana mdogo elimi unayo amini.
@alexmaira8118
@alexmaira8118 9 күн бұрын
Exactly
@MartinSilungwe-ws2se
@MartinSilungwe-ws2se Ай бұрын
Namupenda makonda❤
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 Ай бұрын
Brother mimi nakupenda Sana maconda
@jabirihanthu
@jabirihanthu Ай бұрын
Tumpe uraisi
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 Ай бұрын
Mungu akutunze baba. Nikija Arusha siku moja Mungu aniwezeshe nikuone na nipate kibali cha kukuona
@shabanirojo
@shabanirojo Ай бұрын
Namkubali sana kiongozi wa kweli kwa nini mama asituludishie dar es salaam
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm Ай бұрын
Bgp. Diamond platnumz na makonda
@MaryShayo-tg4vq
@MaryShayo-tg4vq Ай бұрын
Da🎉
@DewingeJuma-k3h
@DewingeJuma-k3h 29 күн бұрын
🎉🎉🎉❤❤❤
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 Ай бұрын
Makonda ni mtu na nusu
@shukranitv2971
@shukranitv2971 Ай бұрын
Makonda awe president tu tz
@chisongastephen7299
@chisongastephen7299 Ай бұрын
Makonda ni bonge la Kiongozi,kwani ni mbunifu sana.
@DominikiChristian
@DominikiChristian Ай бұрын
Tesi kugombe uraisi ili ujue sisi tuna akri timamu au uwone kivumbi cha wana ichi
@stevengeorge4661
@stevengeorge4661 Ай бұрын
Mwamba kabisa
@stanslauskiwal7441
@stanslauskiwal7441 29 күн бұрын
makonda hiyo nafasi aliyo nayo samia ni ya kwako 2030
@nassolongonyaningonyani8984
@nassolongonyaningonyani8984 Ай бұрын
Daa Yan makonda pamoja na mapungufu ya kibinadam ni mchapakaz sana Yan daa
@SufianFrench
@SufianFrench 28 күн бұрын
Piga Kaz kk wananchi tunakuona ata ukigombea urahic ni haki yako
@deniskagwe571
@deniskagwe571 24 күн бұрын
Duuh nataman makonda aje kwetu kigoma afanye kazi hata Kwa miez sita tu ili atusafishie ujinga na uchafu ulioko huku
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 Ай бұрын
Huo albino anakili sana sana Tena
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 31 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 36 МЛН
ТЫ С ДРУГОМ В ДЕТСТВЕ😂#shorts
01:00
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 10 МЛН
NDOTO NYINGI NI ZAKWELI // SHEIKH OTHMAN MAALIM
1:05:14
arkas online tv
Рет қаралды 23 М.
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 31 МЛН