No video

MAPENZI YA BODABODA YAME MPONZA

  Рет қаралды 80,331

Mr Uky

Mr Uky

Ай бұрын

Bodaboda katupeleka ka amua kuwakutanisha wanaume wawili wa dada mmoja

Пікірлер: 497
@user-rm1uz6lm8r
@user-rm1uz6lm8r Ай бұрын
Jamani wew kaka mwenye jezi jekundu mstaharabu nimekupenda bure jamani 😘😘😘
@QbaBoy-ew7fc
@QbaBoy-ew7fc 21 күн бұрын
Anavyoongea kama mchaga
@EstherMulindwa-fp3ml
@EstherMulindwa-fp3ml Ай бұрын
Daaa hu mkaka namuoneya uruma, mapenzi Yana uma😢😢 anagoma kuongeya, Mungu atampatiya mke mwingine bora mwenye anajielewa❤
@wilsonmalosha3337
@wilsonmalosha3337 Ай бұрын
Jamaa hivyo kabisa, Demu mwenyewe wala hana mvuto wowote. Huhitaji kulazimisha penzi
@EstherMulindwa-fp3ml
@EstherMulindwa-fp3ml Ай бұрын
Kesho ya mtu inajuwa mungu😢😢 Mr Uky ipo Siku uta posty huu mdada akiomba msama tena kwakupiga magoti, andika iyo😢
@doctorsalmaclinic
@doctorsalmaclinic 22 күн бұрын
SOMETIME UNAFANYA KWA KUMTETEA MTU ILA ATAKUJA KUOMBA MSAMAHA
@Rehmathathman23
@Rehmathathman23 Ай бұрын
Aniii nimecheka hapo mwishoni eti "Marry hatujui wootee"😂😁🤣🤣🙌
@EsterMjanja
@EsterMjanja 14 күн бұрын
😂😂😂
@darenhussein7839
@darenhussein7839 Ай бұрын
Hiii ata mimi siamini kama ni kwelii watu wana roho mimi mbona huo mda siwezi kua nao wa kumfata mtu hivi nakudhalilika kote uko ila wanawake hapana 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@elibarikimwanyama7246
@elibarikimwanyama7246 Ай бұрын
Daah imeniuma sana yan wanawake ndo mana mnauwawa na kutupwa kwenye vipreft
@SoohiedavidMasika
@SoohiedavidMasika Ай бұрын
Njoo kwangu kaka mi yatima ya mapenz😂😂😂
@SaudSaif-bj4hk
@SaudSaif-bj4hk Ай бұрын
Mafalla😂
@BakariMapua-t9u
@BakariMapua-t9u 18 күн бұрын
Unapatkana wap❤❤❤❤❤😅😅😅😅😅
@user-pz5xd2fc5d
@user-pz5xd2fc5d Ай бұрын
Hii Dunia bilaa sisi hawezi kunoga na sio salamaaaa🎶sisi sasa😂😂😂😂
@user-pp9mp1pz9f
@user-pp9mp1pz9f Ай бұрын
Maskin huyo mkaka namuonea huruma ni mpole sana😢wanawake wengine bhna dah,yaan c wengine tunavyo teseka na mapenz mtu anapta mwanaume bdo anahangaika tu,kwel kweny miti hkuna wajenz lkn atakuja kujuta na huyo marasta.
@user-lx8nl8hh3f
@user-lx8nl8hh3f Ай бұрын
Daah! Pole kaka angu maskini anaupendo mwenyewe
@franciscakija1702
@franciscakija1702 Ай бұрын
Hii inaitwa tatu mzukaaa 🏃🏿‍♀️🏃🏿‍♀️🏃🏿‍♀️🏃🏿‍♀️🏃🏿‍♀️ shkamoni wadada
@eggysulle7988
@eggysulle7988 Ай бұрын
😂😂😂😂
@enockmaige8936
@enockmaige8936 Ай бұрын
Mary,Maria😂😂 duuh hata kwenye Jua Kali Kuna Maria huko anasumbua
@mariachifupa4654
@mariachifupa4654 Ай бұрын
Au sioo 😢
@user-fc9cx8qg4d
@user-fc9cx8qg4d 23 күн бұрын
​@@mariachifupa4654tulia 😂😂😂
@mfalmenajjash2128
@mfalmenajjash2128 29 күн бұрын
Kumamaake sjawai kuona hii 😂😂😂😂
@hashimrweabula9
@hashimrweabula9 Ай бұрын
Baadh ya Wadada wasengee sana duuh noma sanaaa
@user-wp3hw5hd2e
@user-wp3hw5hd2e Ай бұрын
Mwana man u anatia huruma na kasaut kake jaman ila ni handsome
@abdul-hamidali6534
@abdul-hamidali6534 2 күн бұрын
Merry anaipigisha tu yaaani juzi tu alikua Kwa mshakaji tena kuamkia jana😂😂
@diva_20162
@diva_20162 Ай бұрын
Sema huyo kaka wa Man U mstaarabu sana,,, ila huyo mwanamke litamkuta jambo aseee
@AsenathBeganio-oc8tf
@AsenathBeganio-oc8tf Ай бұрын
Hiv nikweli jaman au move na kama kweli njoooo unifanye challenge na mimi mpenz wangu jaman
@juliethsanga8730
@juliethsanga8730 15 күн бұрын
Haya ni maigizo jamani mi Ndo merry. Inatosha mmenitukana sana mimi siko hivyo ila nilikuwa kazini. Mi nimwigizaji jamani Vp naweza kukaza. Sisi ote hapo ni waigizaji
@mossesramadhani501
@mossesramadhani501 19 күн бұрын
Movie alafu sio wabunifu
@saidshaban8110
@saidshaban8110 18 күн бұрын
Wanawake ni noma Sana kiukweli inauma Sana duhhh
@RaymonDbertha
@RaymonDbertha Ай бұрын
Huyu mdada namwonea huruma sana, kitakacho mkuta hata amin kwenye maisha yake
@3leggedbird222
@3leggedbird222 Ай бұрын
Mdada mbibi😊
@richardjohn-uj2gq
@richardjohn-uj2gq 14 күн бұрын
Mnafanya maigizooo nyie😂😂
@Aisha-qg5mj
@Aisha-qg5mj Ай бұрын
😂😂😂😂😂 kaacha mume mzurii rasita iposiku nawe utageukiwa tu
@ElizafidelisEliza
@ElizafidelisEliza Ай бұрын
Jmn nmecheka kaka mbav zinauma mr uky et Mary hatujui wote😂😂😂😂
@immaculathaemmanuel8240
@immaculathaemmanuel8240 Ай бұрын
Hunifikii mimi nilivyocheka😂😂😂
@user-wh6bs7cm5p
@user-wh6bs7cm5p Ай бұрын
Najiuliza tu huyo bodaboda kamtafuta Mr UK sangap na mwenye mpenzi sangap had waende kufumania
@user-cv4jb1bm6i
@user-cv4jb1bm6i Ай бұрын
Sikuhizi wameshakuwa wadananda ye ns kiredio
@user-wh6bs7cm5p
@user-wh6bs7cm5p Ай бұрын
Kwakwel ya Leo cjailewa but bando langu huwa linaishiwa kwao so wajitahid kufanya vzur
@avilamatsuva3358
@avilamatsuva3358 Ай бұрын
Eti kumsindikiza kwenye chocho zote hizo apo tumepigwa 😂😂
@AgnesDavid-et3zn
@AgnesDavid-et3zn Ай бұрын
Namba si zipo dk zako tu unampata
@user-pk4ov4cy5c
@user-pk4ov4cy5c Ай бұрын
hapo mmetudanganya jamani mr uky
@glorymanga3650
@glorymanga3650 Ай бұрын
Etii usiifunge mlangoo😀😀😀😀😀
@Juliethbryson
@Juliethbryson Ай бұрын
We kaka mm yatima wa mapenz muache marry njoo kwang bn haelewik hyo na hajitambui
@innocentcareen818
@innocentcareen818 Ай бұрын
Merry Malaya khaa😅
@garigajoelgesegeti6493
@garigajoelgesegeti6493 Ай бұрын
Kijana wa manchester united tafuta pesa hao wapo wengi wamejaa wengine bado hawajazaliwa . najua kaumia sana. MAPENZI WEWE😊😊😊😊
@PendoDavid-yl7pr
@PendoDavid-yl7pr Ай бұрын
Heri mchawi kuliko BODABODA mmbeya🤣
@youdya
@youdya Ай бұрын
😂😂
@majaliwamussa9268
@majaliwamussa9268 Ай бұрын
Zinaa imekithiri hadi imekuwa inatangazwa kwa nguvu zote, hakuna aibu siku hizi
@rosemilingi7860
@rosemilingi7860 Ай бұрын
Cjui ni seme nn from Kampala
@user-sy4yj5ci3j
@user-sy4yj5ci3j Ай бұрын
Iyi m'metengeneza!siyo ya uwalisiya
@user-kc8sf6vg8k
@user-kc8sf6vg8k 18 күн бұрын
Dem mwenyewe sasa 😂
@IrakozeJuliette-so1iu
@IrakozeJuliette-so1iu Ай бұрын
Kali ya mwaka iyi sasa
@nurdinallymassagamohammed3939
@nurdinallymassagamohammed3939 18 күн бұрын
Kmk Mary mkavu kabsah doh
@stelabrent6056
@stelabrent6056 21 күн бұрын
Kaka wawatu anaupendo jamni wanawake ni mtihani mbona mungu akupe moyo kaka utapata mwanamke mwema
@AishaMwarabu
@AishaMwarabu Ай бұрын
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌👆dunia simama nishuke ahela nimbali jmni dda mkavu kama mavuzi duuu😂😂😂
@user-hr2eo2on6w
@user-hr2eo2on6w Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@alfredngido9807
@alfredngido9807 Ай бұрын
hiii Mr uky umetupigaaaaaa mbaya acheni kutengeneza story
@vancy_crazy
@vancy_crazy 22 күн бұрын
Dem mwenyewe mbovu 😅😅😂
@user-pj4jw7jd6e
@user-pj4jw7jd6e 17 күн бұрын
😂😂😂😂 daaaaa huyu dada ni ukoo wa Ali-shabb
@GraceNgido
@GraceNgido Ай бұрын
Jamn leo nimeamini wanawake kwann tuliitwa ndugu wa shetani jamn ...😂😂
@AishaMwarabu
@AishaMwarabu Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂nmechka nakuanguka
@FatmahAnwar-fp9wq
@FatmahAnwar-fp9wq Ай бұрын
Sawasawa nyinyi wanaume si pia nihivohivo mukipta mschana mpya wazamani wasahau gud work mery🥳
@user-vw5bz6eh8s
@user-vw5bz6eh8s Ай бұрын
Uyo Dem Ana Nyodo mamae Kuna Wakuudumia na Wakupewa mahaba
@Humanity21216
@Humanity21216 Ай бұрын
Mr Uky ;Mary hatujui wote 😂😂😂🤣,, kauli imekaa kinafki sana
@rahymaaa4357
@rahymaaa4357 Ай бұрын
Dah wallah eti tokeni nyumban kwangu na maji kamwangiwa aiseeeh 😢nimeumia saaana alafu kijana msitaarabu tu vizuri jmn maskini
@ibraoman2745
@ibraoman2745 Ай бұрын
Nimelia sanaa
@EstherMulindwa-fp3ml
@EstherMulindwa-fp3ml Ай бұрын
Nimerudiya tena 😢😢 daaaa inaniuma Sana 😢😢 kunasiku hu mdada atamuliliya.
@QuuenMelody
@QuuenMelody Ай бұрын
uyo namjuwa uyo mkaka mwenyw dred
@user-gp6ce1wn5t
@user-gp6ce1wn5t Ай бұрын
kwakweli
@yasirsaid8464
@yasirsaid8464 22 күн бұрын
Michezo hiyo.. wote nyie mnaact
@felicianboss6953
@felicianboss6953 Ай бұрын
duuh huyo dada kamkataa jaman 😂😂😂ila anacomfidance°°kama zote
@user-sz3rj5bv7q
@user-sz3rj5bv7q Ай бұрын
Pole bro 😢😢
@alexramadhani6660
@alexramadhani6660 Ай бұрын
Hii move inaitwaje wazee😂😂
@HappyShirima-r4m
@HappyShirima-r4m 21 күн бұрын
Yan alafu baadae utasikia wanaume hakuna wakuwaoa kumbe ashaolewa na maneno
@user-np2tk1jy1t
@user-np2tk1jy1t Ай бұрын
Mwanamke ajawahi penda ana shawishika. Ata na vyombo vya ndani apo kapenda nywele
@Rizikialiamechannel763
@Rizikialiamechannel763 Ай бұрын
Cjui ni coment nn from Oman 🇴🇲
@UmayyaNkya-ze3ri
@UmayyaNkya-ze3ri Ай бұрын
Kapike tuu kubusi za ucku mwaya😂😂😂make ya huko tz yanaumiza af yanachekesha wabuyeee😀😂😂😂
@Rizikialiamechannel763
@Rizikialiamechannel763 Ай бұрын
@@UmayyaNkya-ze3ri😂😂😂😂
@modestagobe8678
@modestagobe8678 24 күн бұрын
Sisi wanawake sijui kwenye maisha yetu sijui tunataka nn
@majaliwamussa9268
@majaliwamussa9268 Ай бұрын
Bongo udaku mwingi, .......
@mariakibusi5914
@mariakibusi5914 Ай бұрын
Kitu Zima Hilo dada halina aibu fyooo mkavuu
@adammasumba5179
@adammasumba5179 19 күн бұрын
Haya mambo naonaga kweny movie wanangu daaah sijafnyiwa mm lkn inauma xna 😢
@angelsaid7869
@angelsaid7869 Ай бұрын
Marasitarasita ya ajabu 😂😂😂 tokeni nyumbani kwangu nyot awajui😊
@user-zv2rw1sm1s
@user-zv2rw1sm1s Ай бұрын
Duh pole sanaaa kak ake jamni mwanamke mkavu huyu
@user-wd6wh2cl8n
@user-wd6wh2cl8n Ай бұрын
Jamani mapenzi yaacheni2 ila mie nitabaki nitabaki na mapenzi ya mwenyezi Mungu maana mapenzi ya wanadamu nfo kama hayo mnayoona leo GALINDE kesho YUSUPHU😅
@sahraabdallah7242
@sahraabdallah7242 Ай бұрын
Sijuhi wanawake Mungu atatuchoma na moto wa nini dah!😢😢 dada mkavu kabisaaa pole mwamba
@user-vz4xv7lg3x
@user-vz4xv7lg3x Ай бұрын
😂😂😂😂
@simonlungu8930
@simonlungu8930 Ай бұрын
Sio kweli ni ya kutengeneza
@fistonnibigira167
@fistonnibigira167 Ай бұрын
So sharp guys hair bro sorry man🇿🇦🇧🇮
@Hustling_everyday
@Hustling_everyday Ай бұрын
Bora tu mwamba kaujua ukwel yani ....wanawake jau sana ...believe 😢
@HappyGervas-kd9pu
@HappyGervas-kd9pu Ай бұрын
Mary ruka sana,kata sana vina mdaaaaaaaaaaaaaaa dada yatakukuta
@VictaMsodoki
@VictaMsodoki 17 күн бұрын
Mchaga umeachwa ao ndo kna marry😢😮😅😊😂
@zinatyben
@zinatyben Ай бұрын
Mr uky 😂😂😂😂 et mArry hatujui wotee😂😂😂😂😂
@user-wh1ri3to8h
@user-wh1ri3to8h Ай бұрын
Sema mme igiza vzur
@saidshaban8110
@saidshaban8110 18 күн бұрын
Muendelezo please
@kelvinchadulaga310
@kelvinchadulaga310 Ай бұрын
Eeeeeh mwanamke mkavu kabisa😅😅😅
@OmanOman-ru4eu
@OmanOman-ru4eu Ай бұрын
😂😂😂😂😂 mr uky
@YasintaMinja-ob1nt
@YasintaMinja-ob1nt Ай бұрын
Mr uky jmn😂😂😂😂😂😂
@user-vv5pf4rj9w
@user-vv5pf4rj9w Ай бұрын
Umbea tu kuoga aaah
@user-fg3cf2eh9y
@user-fg3cf2eh9y Ай бұрын
Wabana pua wa Dar bhana. Ila hii challenge ujinga mtupu
@moureennyarusai536
@moureennyarusai536 Ай бұрын
Kaka mweny tshirt nyekundu ❤❤
@user-bo3te8qm1l
@user-bo3te8qm1l Ай бұрын
Mwanamke huyu anatamaa sana anaonekana ndyo wanakufaga vibaya mbwa huyu
@Defoxeb255
@Defoxeb255 Ай бұрын
Mr uky kimekurambaaaaaaaa leo
@officialijang
@officialijang Ай бұрын
Hahahah Mr UK 😀😀 Merry Hatujui wote
@enalamichael4436
@enalamichael4436 Ай бұрын
😂😂ata mm nisingewajua 😂 kbasaa dunian wawil wawili bhana
@user-ci2cc9kx8l
@user-ci2cc9kx8l Ай бұрын
Kabisaaaa😂😂😂
@MuksiniTv-tk2jq
@MuksiniTv-tk2jq Ай бұрын
Mr uky unaroho mbaya sana😃..😃😃😃😃😃
@user-fe5rc4sc7t
@user-fe5rc4sc7t Ай бұрын
😅😅😅😅 amewakataa wote
@Sylvestersenkoro
@Sylvestersenkoro Ай бұрын
Sema wambeaa tupo wengi hahaha watu buku nne kddki 😂😂
@JohnGembeNyanqura-no7ec
@JohnGembeNyanqura-no7ec Ай бұрын
I see 😂😂😂hii Kal sana nimependa bro alivyosema unaniacha kisa marastarasta
@JescaMwagama-oc9yt
@JescaMwagama-oc9yt Ай бұрын
muv mwisho wake itasemaje
@sarasaraz-vn1vl
@sarasaraz-vn1vl Ай бұрын
😂,😂 ebu ngoja nitafute pesa hayo madude yanaumiza sana
@LuciaMsabila
@LuciaMsabila Ай бұрын
Kina maria 😅😅😅😂
@user-fc9cx8qg4d
@user-fc9cx8qg4d 23 күн бұрын
Mr UK mnafiq mno jamaniiii 😂😂😂😂😂
@user-ln4he3yp5l
@user-ln4he3yp5l Ай бұрын
Merry hatujui wote nimecheka sana
@user-fe5rc4sc7t
@user-fe5rc4sc7t Ай бұрын
Eeeh mapenz nyoko
@MadenaIphone
@MadenaIphone Ай бұрын
😂😂😂meri Hawajui wote dadamkavu macho
@LilanKerubo
@LilanKerubo Ай бұрын
🤣😂😂😂amesema hawajui nyote
@hurumaanyisile1918
@hurumaanyisile1918 Ай бұрын
Marry weeeeee😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂 nmecheka
@karoliyege157
@karoliyege157 Ай бұрын
Majina ya merry nomaa
@angelraizam7683
@angelraizam7683 Ай бұрын
Da!dada wewe Mungu anakuona 😢😢
@sabrinamwampiki6456
@sabrinamwampiki6456 Ай бұрын
Bodaboda wakupiga haswaaa, umbea utamponza
@user-vz4xv7lg3x
@user-vz4xv7lg3x Ай бұрын
😂😂😂😂
@user-yo9eg5zi2d
@user-yo9eg5zi2d Ай бұрын
Masikini hyo kaka wa jezi...mi ningemchagua masikin
@masamakimafish8740
@masamakimafish8740 Ай бұрын
Nisha kwambiya uwe na mti waresti aidii
@reginalolo3897
@reginalolo3897 Ай бұрын
Mr uk mnoko sana ety merry hatujui🤌😂😂😂😂😂😂
MAPENZI YA WAGOMBANISHA SIKU YA BITHDAY
8:02
Mr Uky
Рет қаралды 69 М.
SHEMEJI KAJICHANGANYA
9:26
Mr Uky
Рет қаралды 50 М.
Они так быстро убрались!
01:00
Аришнев
Рет қаралды 2,8 МЛН
黑天使遇到什么了?#short #angel #clown
00:34
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН
OMG what happened??😳 filaretiki family✨ #social
01:00
Filaretiki
Рет қаралды 6 МЛН
MUME,MKE NA MCHEPUKO MEZA MOJA
11:15
Mr Uky
Рет қаралды 100 М.
MKE AGUNDUA MUME WAKE ANA WATOTO NJE KISA CHALLENGE Part1
2:14
AIBU! AKOSA IPHONE 14 KISA KUCHEAT, KAJA NA BWANA MWINGINE
7:40
KACHUKUA MPENZI WA MWENZAKE
8:31
Mr Uky
Рет қаралды 84 М.
SHEM NJOO KWANGU TU LALE
15:36
Mr Uky
Рет қаралды 98 М.
Они так быстро убрались!
01:00
Аришнев
Рет қаралды 2,8 МЛН