BONGO STAR SEARCH DAILY SHOW ARUSHA WEDNESDAY

  Рет қаралды 264,047

BongoStarSearch

BongoStarSearch

Күн бұрын

Tazama Full Episodes mpya za BSS SEASON 12 kwa wakati kwenye ST Swahili kila Jumapili saa 3 usiku, kupitia dikoda ya Startimes au App ya Startimes ON
:Vionjo vipya (BSS EXTRA) ni kila jumatatu, jumatano na Ijumaa saa 2:30 usiku ndani ya StarTimes Swahili Channel
Bongo Star Search
Follow Our Pages
Facebook: / bongostarsearch
Twitter: / bongostarsearch
Instagram: / bongostarsearch
SnapChat: BongoStarSearch
TikTok: bongostarsearch
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz

Пікірлер: 173
@lauraabass1077
@lauraabass1077 3 жыл бұрын
Jamani msiwehivyo. Hata mama ntilie kazi, mbona mmeguna hivyooooo. Tuwape big up nao wameweza kujitaftia rizki za kihalali. Ila nimefurahi Dimpoz kakaribishwa kukandwa 😂😂, ebwana na busu juuuu
@sesiliamwambepo7136
@sesiliamwambepo7136 3 жыл бұрын
Talent ya bongo nyoso unachambwa Kwanza ndo uanzeee🤣🤣kwann usiwe na hofuu
@kanabenjamani1635
@kanabenjamani1635 3 жыл бұрын
Kwa kweli tunamtaka IDRISS SULTAN arudi tu , Huyu wa saivi hana creativity kabsa
@melody_mike_mavoice
@melody_mike_mavoice 3 жыл бұрын
Geofry lizer sikujiui ila niamini wewe nimkali .....u have a fan from kenya
@carolinekadogo8108
@carolinekadogo8108 Жыл бұрын
Encourage this young people and give them hope in life don't moke them
@asyakareem2416
@asyakareem2416 3 жыл бұрын
Polen mnapitia meng🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mohammedabdullah5895
@mohammedabdullah5895 Ай бұрын
238 ako sawa nimependa
@MahraMansoor5969
@MahraMansoor5969 Жыл бұрын
Salama anaimani maskin hodar anamfundisha omiy ifiche ukimpa pesa huu ndio uislam unavyotaka ukimpa mtu mkono wa kulia wa kushoto usipate habari
@bwanabrainex433
@bwanabrainex433 3 жыл бұрын
Ommy Dimpoz yaan unafanya iyo BSS ichangamke bhna🤣🤣🤣🤣
@jumabulezi2872
@jumabulezi2872 3 жыл бұрын
Kweli liziki inatafta hongela sana
@DanielElias-o8e
@DanielElias-o8e Ай бұрын
Kuna watu wanajua❤❤
@mwajabumrindoko-xw9mq
@mwajabumrindoko-xw9mq Ай бұрын
Uyooo aliepigaaa Kama njiwaaa now days tuna nyimbo ya mboso inauwo mdundo
@ismailyusuph740
@ismailyusuph740 3 жыл бұрын
Yaani salama dokta kaona aibu kukwambia tatizo lako ulilomwambia la KUJAMBA JAMBA.....ilibidi akwambie upunguze KUFOKOLEWA NNYA...!....kupo WAZI sana...!
@HamidaMwino-m1h
@HamidaMwino-m1h Ай бұрын
Ilove arusha❤❤❤❤
@mustaphawelder7022
@mustaphawelder7022 Ай бұрын
Mnyama umetisha kwa sauti za ndege
@QueenJoas
@QueenJoas Ай бұрын
Majaji wa kiume wanapenda tu wanawake wakaka ahhh
@supportchildrenofafrica3997
@supportchildrenofafrica3997 3 жыл бұрын
Acheni kuzarau if you're gonna reject them atleast do it in a humble way and give them Hope atleast if u gonna reject them. Mnajifanya kama American idol hiyo wakati ma judges wana sura mbaya kama makende zangu
@QueenJoas
@QueenJoas Ай бұрын
Omy dimples u play boy tu😂😂😂😂 kazi kuwashabikia wadada ila wakaka anawaponda kweli
@esthershaban6103
@esthershaban6103 3 жыл бұрын
Ila wanachekeshaaaaa😂😂😂😂
@Mercie579
@Mercie579 3 жыл бұрын
Doctor anaeza uwa mgonjwa😀😀😀kicheko kitaniuwa
@Noah-zt5zf
@Noah-zt5zf 3 жыл бұрын
Kuna muwindaji haramu yupo mjengoni😂😂😂
@priscillaamossen8249
@priscillaamossen8249 3 жыл бұрын
Mjifunze kuwapa vijana confidence.. sio kila wakati kuwaponda, wengine hapo wametoka mbali hata 500 hawana, ..
@supportchildrenofafrica3997
@supportchildrenofafrica3997 3 жыл бұрын
Umeona eh yani baada awampe courage mswahili mwenzenu wana insult tu ili waonekane ma superstar kumbe mapumbu tu
@riyadahmad8300
@riyadahmad8300 3 жыл бұрын
Kweny team lazma aweko roho mbaya na asiye mkorofi
@tumainkitundu1015
@tumainkitundu1015 2 жыл бұрын
Mnawajaza hofu alafu mnawaonea huruma kwa kukosa confidence Kuna dada Jacqueline apo anaimba vizuri kweli
@barakajoseph2234
@barakajoseph2234 Жыл бұрын
Huyo kuma mwingne tofaut na ommy msenge sanauyo kumamae
@KawtharKawthar1998
@KawtharKawthar1998 Ай бұрын
Bora Michekee tu😂😂😂
@j-sound2546
@j-sound2546 2 жыл бұрын
Mbongo kunu madrama kweli🥰🥰🥰
@gloryshao1068
@gloryshao1068 Ай бұрын
Geoffrey Lazer is talented
@saidahmed9688
@saidahmed9688 Жыл бұрын
salama ndugu yangu nakupenda
@benny-v8n
@benny-v8n 3 ай бұрын
Ndo nashangaa
@maicochannel1350
@maicochannel1350 3 жыл бұрын
238 uko vzr kijana
@khorima
@khorima 5 ай бұрын
Geoffrey Laiza yuko safi kabisa anajua kweli.... Hata yule Rena....
@seigneurdieu9351
@seigneurdieu9351 3 жыл бұрын
Jameni kuja hapo niroh ngumu😂😂
@QueenJoas
@QueenJoas Ай бұрын
Kuna watu apo wanamuimbia salama kwa mafumbo😂😂😂
@neemazee1864
@neemazee1864 3 жыл бұрын
Ila ommy na master J🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@nabiichrisstv
@nabiichrisstv Жыл бұрын
madam salama nakupenda natamani sikumoja ucheke mbaka ufie studio apo yani ww ndotatizo kubwa sana 😂😂
@rachelsimon2876
@rachelsimon2876 3 жыл бұрын
Napata raha mimi jaman
@zahorhassan9224
@zahorhassan9224 3 жыл бұрын
#0238 its a yes 4 me
@Khadiga-qz6qv
@Khadiga-qz6qv Ай бұрын
Ivi awa huwa hawaoni aibu wanokuja apa mbele😂😂😂😂😂
@benjaminchallo5412
@benjaminchallo5412 3 жыл бұрын
Huyu host anakaa vibaya... Simpendi ata kidogo.. Rudisheni Idris Sultan LA sivyo me sitawai watch tena.
@irenemmasy79
@irenemmasy79 3 жыл бұрын
Kweli tunataka iddris
@ukhtyashachannel5505
@ukhtyashachannel5505 3 жыл бұрын
Kwani kama hukuangalia wewe italeta faida gani hupunguz huzidishi
@irenemmasy79
@irenemmasy79 3 жыл бұрын
@@ukhtyashachannel5505 we nawe jifunze kauli nzuri na watu
@ukhtyashachannel5505
@ukhtyashachannel5505 3 жыл бұрын
@@irenemmasy79 kwedra sijaongea nawewe
@irenemmasy79
@irenemmasy79 3 жыл бұрын
@@ukhtyashachannel5505 🥺🥺
@PiethaAdroniko
@PiethaAdroniko 20 күн бұрын
😮😮
@zaqiamhando8571
@zaqiamhando8571 3 жыл бұрын
Namvuta faragani🤣🤣🤣🤣I'm dead
@WiMediaz
@WiMediaz 3 жыл бұрын
Suggestion kuliko kukatiza hao washiriki kuimba, ingekua bora kila mshiriki apewe at leat 20 - 30 seconds na azitumie vizuri Kuliko kukatana kabla mtu ajamaliza kuimba BSS please boresha hiyo Thanks
@juwairiyamambo
@juwairiyamambo 3 жыл бұрын
Yaani hapo umesema kweli. Hawa wapi chance ya kuimba kabisa. Naelewa wanawapa suggestions but please.. Halafu pia yaani they need to be professional maana wana wa insult wengine.
@happyjohn7630
@happyjohn7630 3 жыл бұрын
Salama anaogopa mabegi anafikilia wamebeba pistol utapigwa ya shingo na mdomo wako 🤣🤣
@africanpowermusic
@africanpowermusic 3 жыл бұрын
Omy dimpoz na washobokeya Sana wana wake yani
@philbertkaiza8716
@philbertkaiza8716 3 жыл бұрын
that's Wow . kzbin.info/www/bejne/iXLLqYeojd2UkNU,
@AzaSultan-j8d
@AzaSultan-j8d 2 ай бұрын
Yan na Salama daaah
@bizimanasaid7678
@bizimanasaid7678 3 жыл бұрын
Mtuskie na Ss jman Twamtaka Idris Arudi Ili utam uongezeke
@ramalugogo7671
@ramalugogo7671 3 жыл бұрын
Jamaa wa miluzi kama ndege yupo vizuri
@ummykhanifa962
@ummykhanifa962 3 жыл бұрын
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 mnachekesha sana
@AminaLibisa
@AminaLibisa Жыл бұрын
Sarama anajambaa😂😂😂
@mussalydforex6726
@mussalydforex6726 3 жыл бұрын
😂😂😂raha sana hii show
@serinaentertainment
@serinaentertainment Жыл бұрын
Mbona hamujawahi kuja mukowa mara
@TausiKigomba
@TausiKigomba Ай бұрын
Jaman mnakatisha watu tamaa, mtu hata Bado hajaanza kupa form mnaanza kumnyali, duuuuu kibongo hatutoboi kwa staili hii
@Nanalizzylizzy
@Nanalizzylizzy Жыл бұрын
Jamaniii😂😂😂
@nasrambwana859
@nasrambwana859 3 жыл бұрын
❤❤❤❤
@maryroyer9297
@maryroyer9297 Ай бұрын
Salama unafaa
@eliasmuchui-oh4mi
@eliasmuchui-oh4mi Жыл бұрын
Si plz mucam Kenya kwanza kayole Alf mjugde maboyzz ndo mtajua hatuitishi ruhusa kunguza
@AzaSultan-j8d
@AzaSultan-j8d 2 ай бұрын
Tulimpenda ommy dimposs akiwa jaj 😂
@khorima
@khorima 5 ай бұрын
Arusha kuna vipaji jamani sio vituko tunavyoona maeneo mengine.....
@asajileandimile7890
@asajileandimile7890 2 жыл бұрын
Anajua huyu jamaa
@nimahassen4686
@nimahassen4686 3 жыл бұрын
Salam au Salam aleykum 🤣🤣🤣🤣am dead
@ridyaboniface9816
@ridyaboniface9816 2 жыл бұрын
😂😂😂😂
@lilliesnganzi89
@lilliesnganzi89 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🙌
@azizaaziza9113
@azizaaziza9113 3 жыл бұрын
Sema tu kachanganya kiswahili mara kingereza
@bahatiboaziamisi5119
@bahatiboaziamisi5119 3 жыл бұрын
Jamani Ommy we unachekesha sana napenda unavyo taniya wasichana🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@LidyaUlotu
@LidyaUlotu 2 ай бұрын
😂😂😂😂ila omi bhn😂 eti rita unaonaje 😅
@moseselias6245
@moseselias6245 3 жыл бұрын
Madam rita mnakazi kweli
@kulwakisoli6682
@kulwakisoli6682 3 жыл бұрын
Host wa saiv yuko vzr sana
@ntihaboseadonis8746
@ntihaboseadonis8746 3 жыл бұрын
Nawapendasana
@sally-zx1md
@sally-zx1md 3 жыл бұрын
😆😆😆😆😆nafurah mimi jamn
@AdamNdaki-n6q
@AdamNdaki-n6q Ай бұрын
Dah hawa majaji kma una hasira unawatukana walai
@kassimhamis-rs8lq
@kassimhamis-rs8lq Ай бұрын
Watieni hata moyo basi
@kelvinokelo7992
@kelvinokelo7992 3 жыл бұрын
Kuna watu humu wanaondoa kabisa stress 100%🤣
@naimaislam552
@naimaislam552 3 жыл бұрын
Yani m ndo mna napenda kuangalia
@HezenMunuo-r6g
@HezenMunuo-r6g Ай бұрын
Kabs
@KhulthumBibi-j5p
@KhulthumBibi-j5p Ай бұрын
Umeona eeh
@rnbtalburnke3078
@rnbtalburnke3078 24 күн бұрын
Kevinokelo umeonaee😂
@martinmachafu1343
@martinmachafu1343 3 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@mrben227
@mrben227 Жыл бұрын
Ila salama mafia san 😂😂
@AminaLibisa
@AminaLibisa Жыл бұрын
Omy mshenzi 😂😂😂😂😂
@martinmachafu1343
@martinmachafu1343 3 жыл бұрын
Hi
@sakinamarjebi2206
@sakinamarjebi2206 3 жыл бұрын
Uyo ndio omy dimpoziiiii nakupendea apo tu kuongeza mitaji 😍
@sambalizainabu
@sambalizainabu Ай бұрын
😄😄😄😄
@kalebeb760
@kalebeb760 3 жыл бұрын
Ommy😅🖐️
@sonnierloise3351
@sonnierloise3351 3 жыл бұрын
Namvuta faragani😂😂😂😂
@gabrielsixtus1718
@gabrielsixtus1718 3 жыл бұрын
ni vichekesho viendelee pia
@mchovu4761
@mchovu4761 3 жыл бұрын
0238 ameua
@vedastostanslaus2336
@vedastostanslaus2336 2 жыл бұрын
kwil vipaj vp tanzania kazana ndugu
@munezeroaurore6791
@munezeroaurore6791 3 жыл бұрын
Myna unatisha hadi kihindi wewe nooma BSS inanitowa stress nawapnda nyinyi ote ma jug toka Burundi
@mercyomondi8682
@mercyomondi8682 3 жыл бұрын
Doctor😁😁😁
@kelvinkevoo7126
@kelvinkevoo7126 2 жыл бұрын
Changamoto kuperfom tz
@duniawadunia4824
@duniawadunia4824 3 жыл бұрын
Wee dada Uwendani kbs na Utangazaji wa BSS? Kwaiyo toka tunamtaka Idris sultani.
@shakilasharifa9
@shakilasharifa9 3 жыл бұрын
🤣 🤣 🤣 Salam jamani
@johnsonjohn3059
@johnsonjohn3059 3 жыл бұрын
Mashabiki wa Simba akili zao za kujua wao tu wewe unaenda kuimba au kulia Kama ndenge😂😂😂
@AswefaaMohd
@AswefaaMohd Жыл бұрын
😂😂😂😂
@rosemilingi7860
@rosemilingi7860 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@abdalahsambala6667
@abdalahsambala6667 3 жыл бұрын
11:20 alau akibaru
@dahushenri5613
@dahushenri5613 2 жыл бұрын
ningependa muniambie iyo wimbo uyo dada alihimba kama niyanani? wimbo anayaanza nakuimba ungelikuwa wazi mwanzo.
@NancyLaurent-gz8ev
@NancyLaurent-gz8ev Жыл бұрын
Nandy
@emmylaban3176
@emmylaban3176 3 жыл бұрын
Na kweli huwa salama anakuwaga na roho mby
@rajabzando8730
@rajabzando8730 3 жыл бұрын
mimi nashindwa kuelewa hii bss why do girls hawapati ushindi
@nabilal-farid9710
@nabilal-farid9710 3 жыл бұрын
BRING BACK IDRIS !!! HIS REPLACEMENT IS REALLY ANNOYING
@glorypaul1485
@glorypaul1485 3 жыл бұрын
Ommy anichekesha sana
@carolinesantos2525
@carolinesantos2525 3 жыл бұрын
266. Asante hahahahah
@fatimarita3432
@fatimarita3432 3 жыл бұрын
Be nice plz
@aishamtuli8926
@aishamtuli8926 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣haki maisha magumi kasalimiwa kasema ushindwe
@rachelsimon2876
@rachelsimon2876 3 жыл бұрын
Namjua huyu mamaa kesho nitaenda mwambia
@jacquilinenoah949
@jacquilinenoah949 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@officialbntrasool5223
@officialbntrasool5223 2 жыл бұрын
Maulana mola🤣🤣🤣
@lydiaongayi2220
@lydiaongayi2220 2 жыл бұрын
Mbavu zangu mie 🤣🤣🤣🤣
@richstar150
@richstar150 3 жыл бұрын
Ila nyemboooo
@ownsweetheart8783
@ownsweetheart8783 3 жыл бұрын
Ommy Yan wew😂😂 unatafut ubaya na chuga
@martinmachafu1343
@martinmachafu1343 3 жыл бұрын
Hello
@stevemhando9299
@stevemhando9299 Ай бұрын
Sema nini ommy dimpozi mtu
BONGO STAR SEARCH DAILY SHOW MWANZA WEDNESDAY
28:46
BongoStarSearch
Рет қаралды 123 М.
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН
Что-что Мурсдей говорит? 💭 #симбочка #симба #мурсдей
00:19
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН
Kutambulisha CHAMA | S01Ep01 MGOMBEA |
7:29
Wanyabi
Рет қаралды 581 М.
BONGO STAR SEARCH DAILY SHOW ARUSHA MONDAY
27:39
BongoStarSearch
Рет қаралды 162 М.
BONGO STAR SEARCH 2021 DAILY MONDAY SHOW DODOMA.
31:53
BongoStarSearch
Рет қаралды 7 М.
Bongo Star Search 2021 Episode 03 Mbeya
1:05:38
BongoStarSearch
Рет қаралды 253 М.
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН