FULL SHOW PART C : JAMAA AKATALIWA ZAWADI YA SIMU | ANAONEKANA HANA HELA SIMTAKI (MR RIGHT S6E01)

  Рет қаралды 72,910

ST BONGO TV

ST BONGO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 354
@HalimaLikele
@HalimaLikele Ай бұрын
Jmn kumbuka angekuwepo na lulu ingekuwa fresh kabisa ❤❤
@UwajenezaJazira-cv7et
@UwajenezaJazira-cv7et Ай бұрын
Asante kwakutupa full video mumefanya sawa ndugu zetu kutoka East Rwanda 🇷🇼 Tunawapenda sana ndugu zetu
@neemamabena-xx5er
@neemamabena-xx5er 16 күн бұрын
Mie nimempenda buana kibonge wangu
@Cinkray-hx7fn
@Cinkray-hx7fn Ай бұрын
Freshi from kenya I like the show
@MichaelNgowi-nc3vn
@MichaelNgowi-nc3vn Ай бұрын
Usijali jamaa mungu ata kupa mtu mzuri zaidi
@salimomari150
@salimomari150 25 күн бұрын
😂😂😂😂😂jamaa bonge Nakuja Mimi hapo😂😂
@tabithakitundu8736
@tabithakitundu8736 Ай бұрын
Akue kwanza ana utoto mwingi sana
@christainc.5217
@christainc.5217 Ай бұрын
Wawooo❤❤❤siku nyingi nimekuw nimemis
@AnithaThadeo-n2i
@AnithaThadeo-n2i Ай бұрын
Aswagile yeye n anatabasam tu kicheko Kwa mbaliiiii😅😅
@joyceignas3016
@joyceignas3016 19 күн бұрын
😂😂😂😅
@joslinchuwa1298
@joslinchuwa1298 Ай бұрын
Jamani Dr kumbuka awepo kwenye kipindi kila cku kitakuwa kizuri zaidi
@iradukundadavid5917
@iradukundadavid5917 Ай бұрын
Uyu jamaaa ni mtoto kbs
@NackyMshana
@NackyMshana Ай бұрын
Ata mim ningekuepo hspo ningezima taa jamaa hatak kushuhulisha ubongo😄😄😄
@FeddyKengwa
@FeddyKengwa Ай бұрын
Sasa unataka aongee nini sasa chazaidi
@FeddyKengwa
@FeddyKengwa Ай бұрын
Yani wanawake bn bado sijajua mnatakag nini yan daah
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu 23 күн бұрын
​@@FeddyKengwakuziniwa na kila kifimbo kila siku
@almuhorig1077
@almuhorig1077 26 күн бұрын
Sikuhizi wanawake hawajielewi wanataka nini ..Kama mwanamume pambana na maisha yako tu..mambo mengine yatakuja baadae
@fatmamohammed8346
@fatmamohammed8346 18 күн бұрын
Ujue umeshindwa kuekewa mabinti wameshindwa kuongea kilichomponza huyu kaka sifa kujikweza kumekuwa kwingi🎉🎉🎉
@AmiryShayo
@AmiryShayo 11 күн бұрын
Jamaa kaa bwabwa jamn au wenzangu mnasemaje. So kwa ubaya😂😂😂
@magreciousthomas3527
@magreciousthomas3527 7 күн бұрын
😂😂😂😂wewe tunyamaze ila wazaz jmn watot wa kiume wanatakiw walelew kiume yan wasiwe hivi
@witnesmsechu4539
@witnesmsechu4539 28 күн бұрын
Mm huyo mtumishi tuuh😩😌🙌🏾
@ONGOTOVERONICAHKWAMBOKA
@ONGOTOVERONICAHKWAMBOKA Ай бұрын
Mwanaume suruali huyo kurambaramba mdomo kaa nyoka😅😅😅😅😅
@DoreenNyange
@DoreenNyange 10 күн бұрын
Wahaya bhana😂😂sasa kuna umuhimu gan kutumbia amesoma uganda😂😂😂
@desderymakoi
@desderymakoi Ай бұрын
Jamaa yupo Vzr baada ya miaka 5 mtanitafuta kunikumbusha kuhusu JAMAA🎉
@KhamisAziz-oc7cf
@KhamisAziz-oc7cf 24 күн бұрын
Kusah she is my friend 😂😂😂😂
@emmiemmi3861
@emmiemmi3861 15 күн бұрын
Hapa warembo wanaangalia pesa tu😂😂
@liberathaLeopord
@liberathaLeopord Ай бұрын
Mhhhh yn wahaya😂😂😂misifaaa tuuu afu kumb mdg kbsaa uwiii
@celinadavid9753
@celinadavid9753 29 күн бұрын
Jamani hivi kwenda hapo kushuhudia mwenyewe ni kuna utaratibu maalumu wa kulipia au ni vipi, natamani sana siku moja niende kushuhudia live
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 24 күн бұрын
Kwakweli sijui wanautaratibu au ni vip
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu 23 күн бұрын
Bila shaka kiingilio kipo nafikri elfu 20 mpigiye garab
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 23 күн бұрын
@@SabihaibrahimRajabu wow shukran sana kwa kujibu , natamani ningekuwa dar ningeenda nkajionee live 😊
@DeboraNgura
@DeboraNgura Ай бұрын
Kusa kawa she..ata me nmeelewa hilo😂😂😂 dr.kumbuka..
@vyaduoj
@vyaduoj Ай бұрын
Mbona naye kakosea ( something the Mata ndo nini ?? English ajui .
@ancyjoakim8308
@ancyjoakim8308 29 күн бұрын
😂😂😂😂
@foyberichard1435
@foyberichard1435 Ай бұрын
Uhaya mwingi mpk linaboa hata mim cwez haki😂😂
@jescawilliam-vc9ip
@jescawilliam-vc9ip Ай бұрын
Jaman mbavu zangu weeeeee kwanza picha linaanza lafudhi ya chuga majigambo ya kihaya
@MwanaharusiAhmad
@MwanaharusiAhmad Ай бұрын
@@jescawilliam-vc9ip alaf kasoma uganda
@officialmnyiramba2102
@officialmnyiramba2102 Ай бұрын
Bonge nyanya 😂😂😂😂
@thomthegotti
@thomthegotti 24 күн бұрын
@@officialmnyiramba2102 😆😆😆
@tusekilejoseph
@tusekilejoseph 21 күн бұрын
Kwanza mtu anaongea uku anachokonyoa pua 😂😂😂
@SimaiSimai-g9c
@SimaiSimai-g9c 9 күн бұрын
Mm nahis haw mabint wapo kwaajili ya tamaa tu
@dizzomontana7219
@dizzomontana7219 23 күн бұрын
Daaah pole sana mwanangu
@Zuuh4286
@Zuuh4286 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂kipindi kilipotea na upepo kimerudi na kimbunga 😂😂😂😂😂
@Onepiecefamily-v1c
@Onepiecefamily-v1c Ай бұрын
😂😂😂hapo sasa
@EmJesho
@EmJesho Ай бұрын
Mm mwenyewe nashangaa
@Yangaone-h8j
@Yangaone-h8j Ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kimbunga haswaa
@Zuuh4286
@Zuuh4286 Ай бұрын
@@Yangaone-h8j 🤣😂😂😂
@ClementinaHabineza
@ClementinaHabineza Ай бұрын
😂😂😂😂
@sophsoph4740
@sophsoph4740 Ай бұрын
Dr kumbuka kifua chake akigandish😂😂😂
@DelphinaMkalimoto-z2l
@DelphinaMkalimoto-z2l 4 күн бұрын
Nimecheka 😂😂😂maski hata kutongoza hajui maskini😂😂😂
@IRENEKOMANYA
@IRENEKOMANYA Ай бұрын
Nlijua taa zote zitawaka😂😂😂😂😂😂😂
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 15 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nimecheka sana
@RachelLaizer-n2p
@RachelLaizer-n2p 6 күн бұрын
Hawa wadada wanachagua sana na ni mbaya waangalie vitu vya msingi wasichoshe watu waliojitoackuwasaidia kupata wenza unaeza chagua muonekano akaugua au akapata ajali vitu vingi omba Mungu chomoka na mtu mkasaudiane itakaavsawa
@JoviethGeorge
@JoviethGeorge Ай бұрын
Unene wa asiri😂😂🎉
@twahabinda4442
@twahabinda4442 23 күн бұрын
Sema mwana anajilambwasa sanaa
@ShughuliSalim-gp8gh
@ShughuliSalim-gp8gh Ай бұрын
Leo ndio nimegumdua kuwa kumbe jealous ni tamaa😂😂😂
@sintohayuma7281
@sintohayuma7281 Ай бұрын
Aswagile umekomaa kiakili mwangu wap madini kwenye maisha hamna hivyo vigezo
@angelinaemmanuel9299
@angelinaemmanuel9299 14 күн бұрын
Bonge l like you jamani uwiiii❤
@MilazoMc
@MilazoMc 24 күн бұрын
Oya jamaa nae jau mruguru ety sio mnene unenewake ni waasili anataka kumuua mwenzake kwenye tizi ety jiteteee 😅😅😅😅
@LilianBitwale
@LilianBitwale 3 күн бұрын
Sasa huyo kibonge wa nini 😂😂😂 hata mimi hapana kwakweli afu hana moyo wa ujasiri 😂😂😂😂
@MOHAMMEDABDALLAH-w4k
@MOHAMMEDABDALLAH-w4k 24 күн бұрын
Abdul muongo uyoii😂😂😂
@Yangabingwaofficial
@Yangabingwaofficial Ай бұрын
Uyo kumbuka kama shoga simpendi anaongea kama demu
@asteriaslaa5482
@asteriaslaa5482 25 күн бұрын
Wahaya bhana.... Kingereza chenyewe ptyuuuuuuuuuuuuu
@aminabadi8663
@aminabadi8663 20 күн бұрын
Waaah nimetoa sauti nimeshangaa
@3Dee_51
@3Dee_51 17 күн бұрын
Jamaa angezungumza kiswahili😂😂😂😂
@peteraugustino3146
@peteraugustino3146 Ай бұрын
hahaha huyu anaonekana an nyege t atafutiwe demu apge atulie
@FedrickAloyce-nl1pl
@FedrickAloyce-nl1pl Ай бұрын
Hahahahahahaha😂😂😂😂
@sophsoph4740
@sophsoph4740 Ай бұрын
Natamani kutuma voice note😂😂😂😂😂
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu 23 күн бұрын
Kweli etii😂😂😂
@AdamPonera-fe5kc
@AdamPonera-fe5kc 22 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@GreenGarnety
@GreenGarnety 16 күн бұрын
Kabisaaa😂😂😂
@JacklinePhilimon-r7q
@JacklinePhilimon-r7q 7 күн бұрын
Ila huyu muhaya mu bongeee mu bongeee 😀😀😀 kingereza kingiiii cha nini
@appysamwel2536
@appysamwel2536 4 күн бұрын
kweli wahaya kwa sifa hawajambo 😂 badala ya "he" anakwambia "she" yan mbio za sakafuni uwishia ukingoni khaa🤣🤣🤣🤣
@consolatazacharia
@consolatazacharia 13 күн бұрын
Ila kicheko Cha gara b mm hoi😃😂😂😂🙌
@benhanclove5997
@benhanclove5997 Ай бұрын
Daah!! Mwamba anama jonzi kinoma yani akataliwe kisha apige pushapuuu5😂😂😂 Nama chozi juu
@alfanmunis261
@alfanmunis261 22 күн бұрын
Ila bigii bhna😂😂
@pendoyohana2399
@pendoyohana2399 Ай бұрын
😂😂😂,she my brother
@FeddyKengwa
@FeddyKengwa Ай бұрын
Kuongea apo mbele sio masiala😂😂
@odama951
@odama951 29 күн бұрын
@@pendoyohana2399 😂😂😂
@hanifaa1487
@hanifaa1487 Ай бұрын
Kabisa Kaka
@wileyemanuel2810
@wileyemanuel2810 26 күн бұрын
Sasa bigi umekataa shule afu unang'ang'ania ngeli ya nn hadi unachapia😂
@glorylema
@glorylema 4 күн бұрын
she is my friend
@HilgathAnthony
@HilgathAnthony Ай бұрын
Tunamtaka Lulu diva
@Itsblackghost
@Itsblackghost 25 күн бұрын
Ngoja nicheke afu nipoteee
@PerepetuaEnos
@PerepetuaEnos Ай бұрын
😂😂😂ila docta kumbuka bana 😂
@AmonBora-ve5si
@AmonBora-ve5si 24 күн бұрын
Yupoo kam shogah mm mwenyewe kaniker hat mm ndoman inafung na kufungua kwel
@officialmnyiramba2102
@officialmnyiramba2102 Ай бұрын
Huyu kweli ni muhaya 😂😂😂😂
@WardaHemed-p7v
@WardaHemed-p7v Ай бұрын
kabisa asagwire
@jokarashid8811
@jokarashid8811 Ай бұрын
Leo kumbuka umenichekesha sana adi nimelia 😂😂😂😂😭😭😭😭
@tabithanzisa9755
@tabithanzisa9755 Ай бұрын
Hatari kithungu ww😂😂😂😂
@EgidKakusa
@EgidKakusa 16 күн бұрын
Big umezingua sana mwangu
@aminashemndoa8882
@aminashemndoa8882 29 күн бұрын
Kumbe ndo mlivyo mtu akiondoka munamteta🤣🤣🤣🤣
@IrenePhilip-ek4lw
@IrenePhilip-ek4lw 20 күн бұрын
Jamaa muongo sana😂
@fatmahaji7661
@fatmahaji7661 28 күн бұрын
Kipindi changu pendwaaa...nilikimis😊
@AshaBakari-lm9zx
@AshaBakari-lm9zx 19 күн бұрын
Kussah kawa she😂😂😂😂
@NyandaEndelea
@NyandaEndelea 21 күн бұрын
Hata mimi ningekua manzi hunipati na kingereza chako cha kuungaunga 😂😂😂
@KELVINSHAWEJI
@KELVINSHAWEJI 13 күн бұрын
tatizo jamaa rahini sana
@pendoyohana2399
@pendoyohana2399 Ай бұрын
😂kumbuka😅😅😅😅
@renyfridabutitiba3458
@renyfridabutitiba3458 Ай бұрын
Vise versa is true Mr right
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 24 күн бұрын
Kwani mnajiuza kwa wanaume jamani kama nyanya. Subuhanallah. Muogopeni Mungu iposikumtajuta nyie
@djanfarmoulay6865
@djanfarmoulay6865 9 күн бұрын
Nauza mafuwa kwa bei nafuuu 😢tena ni yale makali 😢😢l
@omanoman2044
@omanoman2044 Ай бұрын
Kweli kabsa tamaa nyingi san hujakosea
@sabiimohamed6560
@sabiimohamed6560 25 күн бұрын
Mr right ameozaaaaa🤧kalegea kisha linakata kucha kwa meno
@MuniraAbdallah-bs5vo
@MuniraAbdallah-bs5vo 23 күн бұрын
@@sabiimohamed6560 😁😁😁😁🤣 muonee huruma
@EllyMpamande
@EllyMpamande Ай бұрын
Welcome to the gym bro 💪🏿
@mosesmligo9614
@mosesmligo9614 29 күн бұрын
Asagwile Mungu anakuona....😂😂
@issazalala4907
@issazalala4907 Ай бұрын
Jamaa amekaa kama sio furani ivii 😂
@MusaNgao
@MusaNgao 17 күн бұрын
😂😂anatuaibsha sn
@HASSANTL-m7c
@HASSANTL-m7c Ай бұрын
Ila wahaya tunapenda sifa😂😂😂😂😂 hv hamna njia yakuama kabila nimechoka mm 😢😢
@MwitaMarwa-s6u
@MwitaMarwa-s6u Ай бұрын
mmmh
@HASSANTL-m7c
@HASSANTL-m7c Ай бұрын
@MwitaMarwa-s6u sio utan kweli ndugu sifa zitatuuwa wahaya
@NuraynAllyMakoye
@NuraynAllyMakoye Ай бұрын
@@HASSANTL-m7c aibu kubwa kwel naon mimi japo siyo muhaya
@HASSANTL-m7c
@HASSANTL-m7c Ай бұрын
@@NuraynAllyMakoye aaaaaaaaa me ntaama kabila
@Kutaila99
@Kutaila99 24 күн бұрын
😂😂😂sasa unataka kuhamia kabila gan😅
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu 23 күн бұрын
Eti mtumishi wa mungu😂😂kwenye mainesho ya wadada poa wanaotatuta zinaa hapa mke wa ndoa hapo hatari watumishi hawa sijui wa mungu yupi wanayemtumikia
@HanceBablo
@HanceBablo 22 күн бұрын
Ujaelewa hiki kipindi ndugu kaa kimya funga mdomo fumba macho ww
@DoreenNyange
@DoreenNyange 10 күн бұрын
Mwili ndy unaponza hyo akili shwaen sanaa😢😢😢
@JoyceMwakisakenyi
@JoyceMwakisakenyi Ай бұрын
😂😂😂😂hii imenimaliza aki
@BeatriceSonga-r2y
@BeatriceSonga-r2y 16 күн бұрын
Mindo Nawapenda sana wanene jaman
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 15 күн бұрын
Unawapendea nini??
@BeatriceSonga-r2y
@BeatriceSonga-r2y 15 күн бұрын
@upendoeliya9329 bas tu napenda nyama nyama izo spend mtu mwembamba kwakweli
@alimatambwe3402
@alimatambwe3402 17 күн бұрын
He handsome
@OfficialMalkam
@OfficialMalkam Ай бұрын
Dr. Kumbuka jaman... ety jitetee kwa push up 5😅😅😅😅
@angelinaemmanuel9299
@angelinaemmanuel9299 14 күн бұрын
Kwanini niwanawake tu na wanaume wajipange hapo wachaguliwe😂😂😂
@TanoBudigisila-ns6rw
@TanoBudigisila-ns6rw Ай бұрын
Naombeni Namba Za Uyoo Mwanaume 🙏🙏😘
@Katuleme
@Katuleme Ай бұрын
Mkaka wawatu anaaibu jomoni😆😆
@chrizostomchristian1884
@chrizostomchristian1884 10 күн бұрын
Muhaya gn wa ivyo,mnyonge alafu unatafuta mke kwa maeneo hayo,😢,rudi bukoba upate mke
@shebzoh-077
@shebzoh-077 Ай бұрын
Big tukome wahaya hatupo hvy
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 Ай бұрын
😂😂relax
@EDWINMBILINYI-gj5ob
@EDWINMBILINYI-gj5ob Ай бұрын
Misifa wahaya
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 29 күн бұрын
Na mbeya mnaongoza Kwa ushamba​@@EDWINMBILINYI-gj5ob
@silasmsangi9335
@silasmsangi9335 20 күн бұрын
Dully umeniangusha mdogoangu😂😂😂😂😂
@renyfridabutitiba3458
@renyfridabutitiba3458 Ай бұрын
Aiseeee ila maswali mengine ni unnecessary unaweza jikuta unaelezea malengo badala ya mafanikio🤣🤣🤣
@AdamPonera-fe5kc
@AdamPonera-fe5kc 22 күн бұрын
😂😂😂😂😂 we ndo umeongea sasa
@renyfridabutitiba3458
@renyfridabutitiba3458 Ай бұрын
Utamburisho haujakaa sawa, angesema hivi a Nimeajiliwa kwenye duka la baba yangu nasaidia saidia kazi pale sema kasomea Uganda ila sisi wahaya 🤣🤣🤣
@ancyjoakim8308
@ancyjoakim8308 29 күн бұрын
Jamani 😂😂
@resminarespick1461
@resminarespick1461 4 күн бұрын
😅😅😅ety zote zingewaka
@charitymushi1835
@charitymushi1835 Ай бұрын
Ajikaze kwanza
@BlackKing89-l1u
@BlackKing89-l1u 2 күн бұрын
Mademu wa bongo bwana..utasikia “mimi sipendi mwanaume mnene au mfupi au mzee” ghafla!!! paaa!!! iphone mpya na trip ya Dubai inatoka😂
@CarloloneEddson
@CarloloneEddson 2 күн бұрын
Mhh 😂😂😂
@rukiamnamba-gc9gd
@rukiamnamba-gc9gd 20 күн бұрын
Tatizo uhaya mwingi😂😂
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 52 МЛН
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 108 МЛН
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,5 МЛН
BSS 2023 SN 14   EPISODE 01 ARUSHA
1:03:40
BongoStarSearch
Рет қаралды 224 М.
NEYLA WA CHEKA TU ALIVYOSHINDWA KUMCHEKESHA ZEMBWELA
7:52
Wasafi Media
Рет қаралды 43 М.
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 52 МЛН