You're right unamuachiaje bodaboda mtoto ili uende kujitanua yaani wadada wa siku hizi haziwatoshi kabisa samahani najua siyo wote ila Mungu awasaidie
@MayasaSeleman5 күн бұрын
Dada nimekupenda sana umeongea vizuri sana
@rajabuhassan19325 күн бұрын
Kweliii Dadaa huwo ndo ukweliii, hawa mama zetu, Dadaa zetu bana wanashida sanaaa
@RaheemaOm-d5e6 күн бұрын
Inawezekana. Huyo mtoto ameza na mwamaume wake na akaamua kumpa mume mwingine. Joto linawezekana. Jamani
@DismasDismaskete4 күн бұрын
jamani msiwangishe vichwa mama mtu anajua kilicho muuwa mwanae baba na mama wamemtoa kafara mtoto msichoshwe akili
@mbanga67593 күн бұрын
Kifo ni wajibu isipokua asbabi tu sema mama anaonekana kakosea kwani lile lisingekosa kutokea lakini sikuile isengeisha salama tumuombe dua mama zaidi kuwa na subla kipindi hiki kigumu
@SamwelMziwaga3 күн бұрын
Happy wachek kwenye macho man kunakit nyuma ya pazia
@HafsaShekigenda4 күн бұрын
Jamani hii ishu imeumiza wengi yani wangeshikilia wote wa3 bodaboda nauyo kitu NA mpumbavu mwenzie wote. wakatoa maelezo nakupewa adhabu, kali hapo ukweli ungejulikana tu kama boda kafanya, miujiza yake au kavamiwa pengine, kaambiwa nao wapumbavu wawili, kuwatukishaondoka fanya ivyo mnawaacha mnashikilia bodaboda. nonikitaendelea apo
@magrethmollel10787 күн бұрын
Inasikitisha sana
@SamwelMziwaga3 күн бұрын
Huy dada kafel Dana mama vsa haviishag
@BashidMhitu4 күн бұрын
Nanyie waandishi mue mnatumia akili neno boda boda linaingiaje hapo,huyo ni mtu asimame Kwa nafsi yake sio neno boda boda
@TheresiaAndrea-hv9dg6 күн бұрын
Mi hunishindi. Nimeumia kuliko nilivyoumia kwa Asimwe, kwasababu Asimwe mama alivamiwa ila kwa gleisoni, mama yake ni mshenzi na anapaswa kuwa mtuhumiwa no.1
@HajraAdam-t7e6 күн бұрын
Dada umeongea vzr san na inaonekana nikweli mabifu
@LilianKisumbi-h3w3 күн бұрын
Dada umesema kweli
@DoctorlewangaRehema3 күн бұрын
Amajua na yeye,awekwe ndani aseme ukweli huyo ma ma ana siri
@SalmaRama-b2s6 күн бұрын
Iyo befu yawezekana ilikuwa ya kuwamaliza wote wawili ,mm na mtt so nivile walimkuta mtt pekeyake wakaona wamalize mtt ata yy pia angekutwa angeuwawa pia ayo ni mawazo yangu kln
@IkramKhalidi4 күн бұрын
Hapo umesema kweli, hata angekuwa na nani huyo mtu alishapanga unyama wake cha msingi huyo mkatili atafutwe
@SesiliaMkude4 күн бұрын
Mkiona hivo simara yakwanza kumuacha juzi nibati mbaya tu
@halimagomez2 күн бұрын
Huyuu mama wa mtoto itakuwa mtoto kamgawa baba 2 Moja kamuwa wotee wakosee iyo
@richardhezron25886 күн бұрын
Kuna mambo mengi ya kuchunguza hapo rafiki baba wa mtoto unaweza ukakuta hajaridhika usikute mwenye mtoto nimtu mwingine mama kamkabizi baba mwingine
@sallysafisanakijanakazibut16884 күн бұрын
Kwani huyo bodaboda mwenyewe anasemaje
@davidathanasio6 күн бұрын
Wanawake ni mama zetu ila akili zenu du wakati mwingine huwa zinafikirisha. Unadiriki kumwacha mtoto wako usiku kisa hawara? Wanawake kuweni na aibu mwogopeni MUNGU.
@user133757 күн бұрын
Wamesahau kumkamata hata yule mpenzi aliyeondoka na Zainab,
@Shekhahamed-v2f6 күн бұрын
Isiwe mama mttna mkewa bodaboda
@kwisa48996 күн бұрын
Kwani Boda Boda ni mtu wa Design gani? Mbona boda boda imekua kama ni mtu wa kuokua na thamani kwene jamii, lema alisema Mkamtoa kasolo
@TheresiaAndrea-hv9dg6 күн бұрын
Boda boda ni most mobile transporter, akipata mteja anaondoka mara moja na kumkimbilia mteja. Halafu ndo anaachiwa amtunze mtoto mdogo, hivyo kumuacha ni rahisi
@LaurenciaKitauli-or8rr5 күн бұрын
Mie ni mkubwa kiumri . Huyo ni mjukuu kwangu . Imeniuma sana malaika kuuwawa kikatili ! Hao ni watu wenye pesa , walishindwa nini kuajiri mtu mzima akamlea huyo mtoto ?😂
@LaurenciaKitauli-or8rr5 күн бұрын
Wakamatwe wote wahojiwe . Baba mzazi , baba mlezi , mama mzazi na boda boda . Ni wengi wanazaa bila malezi ya mtoto . Dada wa kazi ndo kila kitu .