#EXCLUSIVE: SALIM MTANGO AMUOMBA MSAMAHA MWAKINYO - "HANA HELA, SIJUI HATA TUNAGOMBEA NINI" BONGO Boxing Safari tumefanya mahojiano na bondia Salim Mtango kuhusiana na maisha yake ya ngumi na ugomvi wake na Hassan Mwakinyo.
Пікірлер: 130
@kitutujuma9602 Жыл бұрын
Mwakinyo star tz in boxing this time. Maana interview nyingi yy muhusishwa.
@suleimanhamza9014 Жыл бұрын
Mnalazimisha sana hassan hakutaja mtu bali aligomea promotion nyingine kuingilia kati fight yake wkt hawana mahusiano mazur hayo mengine mnataka kutembelea jina lake.
@sumamelody6197 Жыл бұрын
Sio mbaya kutembelea jina la mtu mjinga
@komboruga4271 Жыл бұрын
Sahihi
@cosmascastory9193 Жыл бұрын
Hajielewi mwakinyo usichanganye kazi na mapenzi
@KINGCUT-b6q Жыл бұрын
mwakinyo ni king atabaki kua king tu
@habibuhabibu9728 Жыл бұрын
Mwakinyo ndo champez Tz one xaxa lazima mmuongelee xana
@JumaShimende Жыл бұрын
Minamshauri tu mwakinyo aachane na box hapa bongo yeye apigane box na wapiganaji huko ugaibun mwakinyo ni mkubwa Kwa boxing Anajua Anajua Anajua tenaaaa mungu akusaidie ndugu yangu mwakinyo Wala usikate tamaa kilasafari haikos changamoto.biashara nzuri inajiuza Wala haihitaki matangazo mengi.mwakinyo bingwa na Anajua.
@AbbasMwakichui-db9tn Жыл бұрын
We waandishi wachonganishi sana ni watu fitina sana. Maswali yako ni ya ubabaishaji sana
@irenemwewe3566 Жыл бұрын
Kila bondia anamtaka aoigane na mwakinyo jamanii,,hii inamaanisha mwakinyo ni Bora kuliko wote
@patrickalfred3680 Жыл бұрын
Mwakinyo kashawapeleka mjini vijana...basi wanapaswa kumshukuru
@Mpakauseme Жыл бұрын
Unataka wamfanye Mungu mtu sio ?
@nassibukidungwe217 Жыл бұрын
Wew dogo acha kuingia kwenye mtego hao wandishi niwachonganish Sana mwakinyo hajakuzungumzia hata kidogo wew unaropokat kwenye vyombo vya habar angaria Safar yako bado una Safar ndefu ndugu yangu punguza ukari wa manen
@yusuphkwaya7843 Жыл бұрын
Uko sahihi Sana ndugu huyo Dogo katumwa akili hafifu
@ramadhanisalum3898 Жыл бұрын
Mtangazaji unaangaika bule ao ugomvi wao wanagombania utelezi lipo.wazi
@KhalidMagassa Жыл бұрын
Wewe boya Sana mzee
@ikramzamando810 Жыл бұрын
Nikweli unajua kupigana Ila ujaku bondia wakupigana na mwakinyo dogo
@elizabethmajaliwa5189 Жыл бұрын
Kwanza kawasaidia kulikuwa hatuwajui nyie, muwe nashukrani,mwakinyo legendary hata mumchafue vipi kizuri chajiuza bana
@DicksonMsenga-sh2kb Жыл бұрын
Fund Wa ngumi unajua sana Salim mtango
@alexchalamila7036 Жыл бұрын
Kila takataka inamtaka mwakinyo a
@MichaelJames-tp6co Жыл бұрын
Kawaida dogo wakati wenu kusema chochote, mwakinyo kawatengenezea njia mtalipwa vizuri ni kwasababu njia imetengenezwa
Champez usiwajibu utawapa umaarufu waache watoto waongee watanyamaza tu
@erickdioniz8277 Жыл бұрын
Oya kweli mm ni shabiki yako man Mungu akizidi kukujalia usibadili tabia uwe kama twaha kiduku respect
@abdallhabinmkasibayyat6657 Жыл бұрын
Roho inaniuma sana kuona ndugu yangu mnakuwa mahasimu ondosheni tafauti zenu ndungu zangu.. domo zege mtatuweka makundi sasa
@ricklandennis Жыл бұрын
Kiukweli hawa mafia sijui ndio nimewajua kupitia mwakinyo
@cosmascastory9193 Жыл бұрын
Wewe sio mfatiliaji wa ngumi ndo maana ulikuwa huwajui
@JosephBruno-gl2pe Жыл бұрын
@@cosmascastory9193 wewe mnafki sana mbuzi we we.
@cosmascastory9193 Жыл бұрын
@@JosephBruno-gl2pe unafiki wangu nini mzee baba @JosephBruno
@SamaSamatime Жыл бұрын
Mwakinyo ndo champion
@SingoMedia Жыл бұрын
natamani kuona pambano kati ya Ibrahim Class na Salim Mtango.... Hao wote mafundi kwahiyo pambano litakuwa zuri sana
@bintui.mrissa.636110 ай бұрын
Ni washkaji xana toka wakiwa Tanga Ibra alikua anakuja! Kwa Salim
@sadunabdallah7303 Жыл бұрын
Ifikiie wakati watanga mteteane wenyewe wa2 wa dar awatupendi banaaa
@habibuhabibu9728 Жыл бұрын
Point broo
@omarmwabege Жыл бұрын
Hawa wanahabari wanichukiza na uchochezi wao!!-
@DanfordLuhangano-wz8le Жыл бұрын
Nakuelewa sana broo kwa misimamo yako. Unaitetea sana boxing na ni wewe uliyeifanya ikubalike zaidi katika jamii na kuiongezea thamani
@JosephBruno-gl2pe Жыл бұрын
Aise uwo emeongea ukweli sana kuhusu hasani .
@hasanykatutuma6927 Жыл бұрын
Nimekuelewa Sana mtango
@xectionmchokozi7172 Жыл бұрын
Kwanza mie huyo dogo nlikua simjui Mwakinyo kaamua kuwapa wadogo zake jina wawe na respect
@yujinxhing3766 Жыл бұрын
Mwakinyo kawapa airtime hawa mafia boxing Mimi nilikuwa siwajui kabda la hili sakata la mwakinyo na promota MAKOTI😊
@sumamelody6197 Жыл бұрын
Kama una kipaji then huna akili tutaachaje kutembelea mgongo wako
@erickdioniz8277 Жыл бұрын
Utawajua tu aliyefichwa sasa katoka
@allysaleh2220 Жыл бұрын
Haukua mfatiliaji wa ngumi but wafatiliaji wa ngumi tulikua tunamjua mtango long time na tunajua ndo alikua sparing partina wa mwakinyo ndomana hana hata hofu alivyoulizwa akiwekewa game na hassan coz anamjua kindani ndani
@jameschumbula7351 Жыл бұрын
Bado hamjasema
@law93king Жыл бұрын
mpaka mseme na mtasemaaa😂
@martinbugeraa5329 Жыл бұрын
God bless u brow pambana tupo nyuma yako
@nurumasunga6079 Жыл бұрын
Mnafanya makosa sana kumfananisha Mwakinyo na hawa watoto ,nyie waandishi wa hovyo sana
@Kaweza-mu6hy Жыл бұрын
Wewe hujui kitu huyu capten wa mwakinyo
@nyemondagalla608 Жыл бұрын
@@Kaweza-mu6hycapten kafanya maajabu gani kuliko mwakinyo?
@MultiKelvin1994 Жыл бұрын
Kwahiyo umeenda kumhoji jamaa kuhusu Mwakinyo... Yeye hana michongo yake binafsi 😅😅😅😅 Halafu dogo yupo sahihi bondia aseme kama ana concern mapema Mwakinyo alisema day 1 alipopata tu taarifa... Ila kale kazee katapeli kakampiga changa la macho... Yule babu wa Paff ni moja ya matatizo makubea kuwahi kutokea kwenye Boxing ya Bongo
@cosmascastory9193 Жыл бұрын
Acha kumuita mtu mzima Tapeli fara wewe
@Mosesmwakatobe-bj7rt Жыл бұрын
Tapeli no tapeli tu hata akiwa mzee
@cosmascastory9193 Жыл бұрын
@@Mosesmwakatobe-bj7rt Sasa huyo promoter utapeli wake ni upi mbona hamsemi kwa facts toa Facts zako tuone utapeli wake
@HassanAlly-g8h Жыл бұрын
Mwakinyo ni bondia mkubwa sana tanzania mpeni thamani yake leo akiwa bado yuko hai, kabla ya kumlinganisha muwe mnapima huko ni kumkosea adabu
@cosmascastory9193 Жыл бұрын
Ana ukubwa gani sasa kenge huyoo
@Rozeey610 Жыл бұрын
We jamaa unamjua uyo salim mtango uyo salim n hatar
@ramadhanmapinduz1819 Жыл бұрын
Mtangoo chokoo 2
@athumanishabani1143 Жыл бұрын
Mwakinyo ndio kiooo chenu
@EvanxkillyMan Жыл бұрын
Utapigwa vibaya wewe yule mdigo hafai ngumi jiwe
@HassanKings-e7u Жыл бұрын
Usizungushe maneno kasema yy anamabondia wake na bosi wao anapambana kwaiyo alivyosema yy alitaka mabondia wake wapigane usizungushe maneno kufanya watu wamchukie mwakinyo wacha ujinga huo dogo
@KhatibuHaji-l6u Жыл бұрын
Mung akuongoze Ktk safr Yako y ngumi
@KhatibuHaji-l6u Жыл бұрын
Ktk watu ambao wanakutmfatilia bs nmm nmmoja wapo ust khatibu muhez
@daudinyello4033 Жыл бұрын
MWAKINYO +255
@geraldngowi715613 күн бұрын
wakupe ibraim class liwe daraja kwako
@eladymwakanyamale Жыл бұрын
Wote mnamtaka mwakinyo hiyo inadhihirisha yeye ni bora kuliko nyie,,,lasivyo piganeni wenyewe
@saloomidd1084 Жыл бұрын
hili ndio jibu,mbona hawaombani wenyewe kwa wenyewe kama viwango vyao ni vikubwa
@giftprosper2355 Жыл бұрын
Anajua san
@daudinyello4033 Жыл бұрын
HATA AFUNGIWE MWAKINYO NDIO KIOO CHETU TZ, WENGINE WATAISHIA KUPIGANA BONGO
@HassanKings-e7u Жыл бұрын
Mwakinyo kafanya tuwajue na mabondia wengine kama hawa kama mwakinyo hajafanya vile tusingelimjua mtu kama huyu bondia mwakinyo dogo umshukuru huoni saivi watu tunakuona unahojiwa japo kua unaongea utumbo
@bintui.mrissa.636110 ай бұрын
Usichokijua huyu dogo kaanza ngumi before Hassan fatilia Kwa wapenzi wa ngumi mkoa wa Tanga, Bakari mwambea , Abdallah Nyuki ,Abel Kisuse,hao wote waulize Ni makocha wakubwa mkoa wa Tanga, Nikweli mwakinyo kapata mafanikio ila ukizungumzia mafundi Kwa Karne hii Ni Salim Mtango (Messi) na Yohana Mchanja(computer). Sema wamebaniwa xana fights bongo!!!.
@allyshabani7513 Жыл бұрын
Mbona naona gali la ibra class
@khamisidowany6262 Жыл бұрын
Wa bongo bhana kwan huyu dogo kaongea ubaya gan embu nielezen mbona kaongea vzr tu hapo ndipo ninapo amin cc wanadam ni watu wabaya sana.kwan kaongea ubaya gan jamaa
@Mtazyinstrumental Жыл бұрын
Mbona alisema mapena mafia msiwepo
@SaudaMtegwa-lm8gl Жыл бұрын
Acha unafiki yeye uyo mtango anajua alichofanya mnafiki si anajifanya mshenga aendelee kwani lazima kumuongelea si amuongelee alie mfanyia ushenga
@TsTechSolution Жыл бұрын
Hongera kwa Gym kali. nitaifungia safari hii ili kujifunza kitu
@KhatibuHaji-l6u Жыл бұрын
Khatibu haji
@ramadhanimohamed4190 Жыл бұрын
Jamaa ni mnafiki sana naogopeni sana mtu mnafiki
@richhaule9264 Жыл бұрын
Huyu dogo anaongea kwaakil sana nimemkubali
@nicoluskanegene5394 Жыл бұрын
Wabongo sisi ni nursing na wanafiki kwani huyo mwakinyo pia mlio wengi mlikuwa Hammerwich mpaka alivyompiga yule mzungu ss iweje mnasema huyu dogo naye ham ujuwi? Basi hapo ndio kashajulikana naye ndio mwanzo wake pia
@FarajiLiymo Жыл бұрын
Nikweli we ni mzur sana tena we ni rollmoder wangu. Lakini we kwa hassani mwkinyo bado sana
@thefutureisnow3586 Жыл бұрын
Dogo katulia sana
@Shokolokobango9385 Жыл бұрын
Unaongea sana hadi nimeshindwa kuendelea kuangalia
@thehunter5920 Жыл бұрын
Kidunda alikuwa anaumwa ,acha kumuongelea
@SingoMedia Жыл бұрын
Safi, pia msisahau kutembelea channel yangu wadau
@geraldngowi715613 күн бұрын
championi mesi. tatizo nini mbona wanakubania sana
@JayMohamed-td5lk Жыл бұрын
Mchezo wa boxing kwa tanga kuna ubinafsi sana hasa mkiwa hamtoki gym moja na hi imechangiwa na waazichaji mapambano wanaangalia kuwapandisha watu kwa kujuana mf: 5 brothers wa walianzisha ngumi za amacha kufika mtaa wa magomeni vijana wamecheza kumi kweli lakin wameambia kama hawatajuliunga na gym zao hawataweza kupandishw mkwakwani na kweli hawakuwapndish coz walikataa kujiunga nao
@shabanimiraji5388 Жыл бұрын
Sijaona tatizo hapo....ngumi ni biashara na burudani Kwa wependa masubwi....kama vp zipagweee....
@saidkizota3595 Жыл бұрын
Messi wa mchongo
@saidkizota3595 Жыл бұрын
Mtoto laini huyo
@athumaniamiri3764 Жыл бұрын
Mwandishi punguza kuongea video ya dkk 20 lkn introduction yako imekula dakika 10 nzima
@saidpazi531 Жыл бұрын
TATIZO LIPO KTK KUFIKIRI TU NA HILI LIPO KTK WATANZANI WENGI
@athumanimanzabay1894 Жыл бұрын
Exactly Messi,upo sahihi saana champion 👏
@BakariHariri Жыл бұрын
Mpija ngeta wtu umeacha mwakinyo wamuweza wapi
@HASSANCHUMA-d2l Жыл бұрын
Dogo nae ana bwabwaja Sana aache kulewa sifa za waandishi
@novatusabond9253 Жыл бұрын
Unaongea vzr sana!
@saidkizota3595 Жыл бұрын
Mbona floyd may weather anaongea na anawabonda acha uswahili huo
@EdwardJakisonАй бұрын
Yani mabondia wote wangekuwa wamenyokaa kama dula mubabe wangefikambalisana lakini unakuta mtu ndiokwaza anaaza kacheza mchezo mmoja utasikia nataka kupigana na MWAKINYO wewe pambana sisimashabiki ndiotuta kwambia kuwa wewe upolevogani siyolazima mwakinyo
@SonMusicTz10 ай бұрын
Kipigwe na twhs
@EnockMiringa-ur8yu Жыл бұрын
Ana majungu kinyo akukimbie ww
@Matatasaid Жыл бұрын
Mwakinyo kanileta kwako rasmi mi shabiki wa SALIM MTANGO mess G.O.A.T
@law93king Жыл бұрын
messi wa ngumi mtu mbaya✊🏾
@AsiaAa-w5mАй бұрын
Halafu yule selemani kidunda umuache kabisa kaka mstarabu sana usingilie kabisa huyo mtu
@Kaweza-mu6hy Жыл бұрын
Mnaomsifia mwakinyo kumzarau huyu hamjui kitu huyu dogo mkongwe kwenye ngumi msimzalau huyu ndio bondia bora tanga
@yasinimwibidi9805 Жыл бұрын
Kwa hiyo mtango na wewe unataka kupigana na mwakinyo au sio😂😂😂😂😂
@Director___Mwadadu Жыл бұрын
Mtu akikufanya adui usimfanye rafiki
@mzeebabumzee11 ай бұрын
ata mufa nyeje mwakinyo mwamba
@AntonioDamasyАй бұрын
Www vp
@HassanKings-e7u Жыл бұрын
Yaani huyu dogo kama unamskiliza tageti yake mwakinyo
@HajiMbange Жыл бұрын
Ujuwaji waikati mwingine ni kilio inabidi waikati mwingine kujitathmini tutakosa msisha
@hassanissa414510 ай бұрын
Mtangazaji kama lifitina fitina ivi..kuhoji kwake nikutengeneza chuki tu
@AsiaAa-w5mАй бұрын
Ukiona wanakuongelea ujue wamekukubali
@barikislaa80 Жыл бұрын
Messi wa ngumi
@jumannemagawa5095 Жыл бұрын
Wewe mwandishi ni mchonganishi, mwakinyo kafungiwa leo unawatembelea mabondiyo kumzungumza mwakinyo anataka ufalume wa tanga, wewe unawachonganisha. Nashukulu mtango kakujibu yeye haitaji ufalume, huwezi kuzungumza swala lolote mpaka umtaje mwakinyo, mnatembelea nyota yake huku mki msema vibaya, hiyo siyo nzuri waandishi kwanini mnamkandamiza mwakinyo? Na mkijua kabisa alizungukwa kwasababu hakukuwa na maandishi, sasa mwamshupalia kila kona acheni unafki.
@cosmascastory9193 Жыл бұрын
Sio upepo Mwakinyo hajielewi
@omarmwabege Жыл бұрын
Swadaqta brother
@SamaSamatime Жыл бұрын
Mtango kuma tu msaliti wewee tanga hatukujuwi
@AsiaAa-w5mАй бұрын
Huu ni ulimbukeni kumjaji mtu
@AhmedAli-uh2ft Жыл бұрын
Dogo uko poa
@eladymwakanyamale Жыл бұрын
Wote mnamtaka mwakinyo hiyo inadhihirisha yeye ni bora kuliko nyie,,,lasivyo piganeni wenyewe
@mohamediidrisa1259 Жыл бұрын
😊
@HASSANCHUMA-d2l Жыл бұрын
Dogo nae ana bwabwaja Sana aache kulewa sifa za waandishi