Ni Mazito!!.. Mwakinyo Afunguka Mkasa Mzima Mpaka Kuogomea Pambano, Ukweli wote Huu Hapa

  Рет қаралды 75,785

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

10 ай бұрын

Mwakinyo afunguka kila kitu kwenye Leo Tena, Hizi ndio sababu za kugomea pambano la leo.

Пікірлер: 331
@JansanMokiwa-hr6hl
@JansanMokiwa-hr6hl 9 ай бұрын
Nnacho mpendea mwakinyo Hajari kupoteza chochote kwenye maisha yake zaidi ya roho🥰🥰
@victorcephas3618
@victorcephas3618 9 ай бұрын
Huyu jamaa wenye akili ndiyo watamuelewa Huwa hapendi longolongo pia haendekezi njaa anajua anachokitaka. #SmartBoxer
@lazaroburton1163
@lazaroburton1163 9 ай бұрын
Ndo mabondia tunaowataka kama hawa wanaojielewa ngumi ni kazi na ajira kama kazi zingine hongela sana mwakinyo nakusuport 100% bro💪🏾.
@rogersiddy
@rogersiddy 9 ай бұрын
Kbs hakuna kuburuzwa kipumbavu apa nimefurahi sana misimamo ya Mwakinyo safi sana
@FagoTz-fy5uf
@FagoTz-fy5uf 9 ай бұрын
A
@sniperbogo6210
@sniperbogo6210 9 ай бұрын
Ukisikiliza maelezo ya mwakinyo na poromota unaona kabisa mwakinyo 3 -0 poromota
@lubilimasai1540
@lubilimasai1540 9 ай бұрын
Nikikumbuka issue ya kusahau begi na viatu kumbana nabaki kuguna tu
@mr.saiduwesuomary1859
@mr.saiduwesuomary1859 9 ай бұрын
Ngoja majibu halisi yatakapokuja ndio utajua ukweli uko wapi, mara nyingi personal interest kwenye biashara Huwa si salama siku zote...maelezo yake ya awali anasema hakuna makubakiano ya kimaandishi, Kwa akili ya kawaida unaweza kuamini Kwa level yake na kufanya pambano la kiwango hicho anaweza kufanya makubakiano ya mdomo? 1. Promotion company 2. Azam media 3. Kamisheni ya mashindano TZ Wote Wana taarifa kuhusu pambano means taratibu zote zimefuatwa, hakuna pambano lolote Duniani Kwa level ya mwakinyo makubakiano/mikataba inafanyika Kwa mazungumzo ya mdomo. Hivyo basi hao wote niliowataja hapo juu sio wajinga yeye ndio mwerevu, Azam kafanya matangazo Kwa muda gani tujifikirie na tuache personal interest, yeye ashukuru Mungu aliemsomesha kasitiriwa na ibra Class na Mafia Promotion ndio walikuwa washenga wa Ibra Class asipepese macho... yeye ni nani? Amejawa na jeuri na kibiri to be honest with u, kama anataka aendeleze carrier yake aachane na undazi
@samniza1763
@samniza1763 9 ай бұрын
Love you Mwakinyo kwa msimamo wako, wabongo wasikuzuge si wakapigane wao? Mtanga wetu keep up the attitude, wasikubabaishe.
@pirminmatumizi5464
@pirminmatumizi5464 9 ай бұрын
Bwana mdogo Mwakinyo naomba nisamehe. Nilicomment awali kabla sijakusikia maelezo yako. Uko sahihi. Sahihi kabisa. Watanzania wabongo tubadilike jamani. Wizi dhuruma ufisadi hadi kwenye Ndondi?! Hongera Mwakinyo kwa ujasiri huo. Hongera sana.
@shabanimsigiti6827
@shabanimsigiti6827 9 ай бұрын
Mwamba kwa upande wangu mm nimekuelewa vizuri sana hayo ni mapambano ya kucheza na mwili Tena kwakutumia akili sana kwaiyo kaka wewe simamia haki yako wewe ndio uliesaini mkataba
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 9 ай бұрын
Mwakinyo wewe nidiamod platnumz wa ngumi hutaki ujinga unaieshim kazi yako pia husukumwi na njaa mipaka inazingatiwa🙏🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥♥️🇹🇿✔👑👑👑👑
@abdullichibela6463
@abdullichibela6463 9 ай бұрын
Mwakinyo ni champez anaye jitambua na kujielewa, bigup
@rogersiddy
@rogersiddy 9 ай бұрын
Nafurahi sana misimamo ya Mwakinyo hakuna kuburuzana kijinga apa huyu atawanyoosha mapromota wakijingajijga kama hawa
@davidbush8777
@davidbush8777 9 ай бұрын
Hongera kwa msimamo bondia wa nchi
@josephjoseph8982
@josephjoseph8982 9 ай бұрын
Msimamo ni muhimu mwakinyo , ni maisha yako umefanya vizuri kutokupigana sender by Joseph MTZ based SA.
@saidsalum6101
@saidsalum6101 9 ай бұрын
Safi sana ndugu unajielewa wewe siyo kama wanavyo kufikilia upo kama wengine wanao kurupuka hovyo ngumi nihatari sana
@romanomachemba3533
@romanomachemba3533 9 ай бұрын
huyuu dogo anaakili sana very prof tuheshimu kazi za watu
@shabanigenya4708
@shabanigenya4708 9 ай бұрын
Nimegundua mwakinyo ana mashabiki wengi saana na wanampenda saana ndio maana yakitokea hayo. Kuna baadhi ya watu wanaumia saaana.
@frankkajoba8372
@frankkajoba8372 9 ай бұрын
In short ana mashabiki wanaojielewa.
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 9 ай бұрын
Uko sahihi sanaaa
@user-ox2sy7jp2r
@user-ox2sy7jp2r 9 ай бұрын
Kuna mengi yapo ndani ya pazia Ila kupitia mwakinyo tutayajua mengi Sana Mimi namuamini Sana mwakinyo
@captainmwata9857
@captainmwata9857 9 ай бұрын
All in all bro watu weng wanakulalamikia wewe wakinyo una dharau sa sijui n kweliiii sio mara moja kusikia hiv
@godfreymsingwa-er7wp
@godfreymsingwa-er7wp 9 ай бұрын
Respect ✊ mkuu sie tunakuelewa wasiokuelewa bado wanasafari ya kujifunza
@maulllidially8039
@maulllidially8039 9 ай бұрын
So wanao kuponda kina mfaume Awana shukrani umewatoa mbwinde uringo ulikuwa watu wanazunguka duara b g up mzee baba pambana kivyako❤
@SkopionMmalala-ox3gz
@SkopionMmalala-ox3gz 9 ай бұрын
👍kaka nakubal hao wanataka kukushusha Bora ulivyojuwa samani yakaziyako kaka 100
@saidizuberiissa7286
@saidizuberiissa7286 9 ай бұрын
MWAKINYO ANA JITAMBUA SAANA NA INA PENDEZA SANA KUONA BONDIA ANA KITAMBUA
@godlema6104
@godlema6104 9 ай бұрын
Hizo mic za studio kwenu zinachoka sana nazidi kuona pengo la RUGE mic ni chache kila saa kuzungusha
@MauFundiElectronics
@MauFundiElectronics 9 ай бұрын
Huyo mwanyiko yupo vizuri sana anaongea point sana.
@babudingi-gd7pz
@babudingi-gd7pz 9 ай бұрын
Kupitia uyu tuta yajuwa mengi maporo mota kuweni makini nauyu mtu kakasana mamtoni ana yajuwa mengi siyo ware mabondia wenu wa apa apa uyu aburuzwi ngumi ana zijuwa mwakinyo wewe ni nomaaa👍👍👍
@IssaMwashilindi
@IssaMwashilindi 9 ай бұрын
Mwakinyo mm namwona yupo sahiii maaaana mm Jana Bo's wake nilimsikiliza lakn alikuwa nimtu wakujing,atang,ata
@tushabetitus1050
@tushabetitus1050 9 ай бұрын
Mwakinyo unajielewa sana broo hongera sana.
@hamdincatalonia3272
@hamdincatalonia3272 9 ай бұрын
Bora ubaki pekeyako kwa unachokiamini ngumi mchezo hatari kupigana kwa ajili ya kuwafurahisha watu ni akili mbovu
@zainabmaulid9637
@zainabmaulid9637 9 ай бұрын
Mwakinyo ww ndo bondia Bora kwenye taifa la tz wakitaka wasitake ukwel usemwe usijali na changamoto zinazo kukuta amini mungu yupo pamoja na ww ongeza jitihada tu utafanikiwa%
@sashashaibu6821
@sashashaibu6821 9 ай бұрын
Utafka mbarisana Mungu akurinde wasanii mabondia wengi wanazurumiwa wewe utafka mbaririy daimondi arikuwa kamawewe usiofu ngumi ni kaži 🎉
@ShabaniMmakuluja-fr1rv
@ShabaniMmakuluja-fr1rv 9 ай бұрын
Nakuelewa big up mwakinyo
@ladislausmoris9638
@ladislausmoris9638 9 ай бұрын
Safi mwakinyo usikubari kupotezwa na maoni yawajinga uko sawa na pande za MWANZA tunakukubali kinoma
@issazalala4907
@issazalala4907 9 ай бұрын
Ngumi inauma ngumi inatia uchizi so mwamba yupo sawa kaza man wangu
@furahamandai6628
@furahamandai6628 9 ай бұрын
Kama ni kweli ndugu yangu simamia hapo hapo sawa mungu amekupa kipaji hivi unakumbuka dulla mbabe amebadilishiwa mara ngapi
@samniza1763
@samniza1763 9 ай бұрын
Kweli kabisa! mil 100 is nothing, wakati sijaanza ujenzi nilipokuwa ninaambiwa mil 500 nikaona looh! sitajenga, sasa msingi tu ulinicost over 35mil tzshs, kupandisha na kufubga slab nimeshaspend zaidi ya million 120, sijamaliza kupandisha first floor na kuezeka sasa mpaka sasa hivi, mpaka ije imalizike, hizo mia tano zitafika kirahisi tu.
@bakarimakame4694
@bakarimakame4694 9 ай бұрын
Ngumi ni kazi km kazinyingine
@malkavoice2570
@malkavoice2570 9 ай бұрын
Sio tu Kawaida Mnawaona Mabondia wetu maisha yao ni yakwaida sana wakati bondia anatakiwa kuwa zaidi ya mchezaji.
@samniza1763
@samniza1763 9 ай бұрын
Tatizo la huko dunia ya tatu, watu wanataka tengeneza pesa kwa kupitia mgongo wako, lakini hawataki ku respect your concern, tunadanganyadanganya tu. Same with wanasiasa, wanajua kabisa bila wabanchi wapiga kura wao sio kitu, nchi za ulaya wanazokuja omba omba haziwezi wapa pesa kama hakuna rasilimali watu, and yet hawana heshima na wapiga kura whatsoever.
@amedeuskimario8895
@amedeuskimario8895 9 ай бұрын
Kupigana n Kaz ngumu Sana ndugu zangu hivyo mtu anapotaka Kula kupitia kipigo chako inakua sio sawa hivyo mwakinyo yupo sahihi co ukapigane tu ka ng'ombe af utoke hapo huna chako
@zahirrajab7713
@zahirrajab7713 9 ай бұрын
Huyu ni mwamba ni bondia kweli sio kma wale kuku kina kiduku anajitambua na anajua nn anafanyaa bid up mwakinyoo
@jeniphermushy627
@jeniphermushy627 9 ай бұрын
Kiduku amekukosea nn jaman 😂
@nasserbaabeid6797
@nasserbaabeid6797 9 ай бұрын
Nakukubali bro mwanaume msimamo
@lenkbizzy30
@lenkbizzy30 9 ай бұрын
Namuelewa kwa asilimia 100. Keep it up bro!
@sahlisaad8702
@sahlisaad8702 9 ай бұрын
Allah akusimamie uweze kufanikiwa
@thadeusmahendeka4466
@thadeusmahendeka4466 9 ай бұрын
WENYE AKILI TIMAMU TUU NDIO WANAO MUELEWA MWAKINYO KWA HILI JAMBO LILILOTOKEA.
@saluyaadamz
@saluyaadamz 9 ай бұрын
Kuna unafiki sana sana rais ana jivua khaa.... mwakinyo amenyooka sana
@justinejackson1731
@justinejackson1731 9 ай бұрын
Ila Champez dah!👊👊👊💯✅ anakwambia "KATA SIMU"😂
@makambaally6317
@makambaally6317 9 ай бұрын
Safii sana hakuna kupelekana kama ng'ombe ww ni champion ipo siku watakuelewa leo hawaoni mapambano yako
@ashrafuabdallahmsham1911
@ashrafuabdallahmsham1911 9 ай бұрын
Moja ya kosa kubwa Tanzania ni mtu kutambua haki na thamani yake, utapigwa vita mpk uondoke, uanguke na upotee kabisa. JAMAA ANAIJUA THAMANI YAKE.
@johnsonchonja4032
@johnsonchonja4032 9 ай бұрын
Kudo's to mwakinyo,jamaa anajielewa sanaaa,hapigan sababu ya njaa km kina mandonga mtu kazi,inabid mabondia wengine waige kwa mwakinyo
@user-ci2xg9ng1f
@user-ci2xg9ng1f 9 ай бұрын
Mabondia wengi wa bongo wangekuwa Kama huyu brother tz tungekuwa mbali sanaaaa tatizo mabibo korosho Kuni makuti
@user-yw8gh2mg4u
@user-yw8gh2mg4u 9 ай бұрын
Mwakinyo nakukubal mm Sina bondia nae mkubal kama ww Yan chochote unacho sema sikupingag uko sahihi Sana mwamba bondia wa nchi mwakinyo👊👊👊
@ahmedyrutumo
@ahmedyrutumo 9 ай бұрын
Sawa kaka uko sahihi
@adamkasege28
@adamkasege28 9 ай бұрын
Mwakinyo respect sana
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 9 ай бұрын
Huyu ni bondia anaejitambua na hayumbishwi... Heshima
@amirmussa6735
@amirmussa6735 9 ай бұрын
big up brother mimi nimekuelewa sana
@jseventz
@jseventz 9 ай бұрын
uko sawa mzee
@CastorPanja-xk5iy
@CastorPanja-xk5iy 9 ай бұрын
Kuna watu hawakuelewi kk 👍👍👍👍👍
@mwaitajuma4140
@mwaitajuma4140 9 ай бұрын
Mwakinyo hata kama ww ndie ungekua mwenye makosa mm mwaita nipamoja nawe... Msimamo lazim bro wasituchukulie poa
@masumbukokilunga4265
@masumbukokilunga4265 9 ай бұрын
Nimeipenda❤hiyo...
@user-ki7hd3lg2q
@user-ki7hd3lg2q 9 ай бұрын
Genius boxer
@saidsalum6101
@saidsalum6101 9 ай бұрын
Hatufanyi kazi kwasifa tu
@shabanigenya4708
@shabanigenya4708 9 ай бұрын
Raisi wa ngumi nae anatunza kiti chake. Hakuna point hapo.
@jumaseif2140
@jumaseif2140 9 ай бұрын
Mm nakuombea brother inshallah utafika mbali,,
@user-ej5xy8kb2t
@user-ej5xy8kb2t 9 ай бұрын
Ndugu unajieleewa sana nakubali ninacho kiamini wanataka wakushushe au kukualibia
@mannabu9333
@mannabu9333 9 ай бұрын
Safi sana Bro ww utakuwa mdiigo real 😂😂😂😂😂
@hamynas
@hamynas 9 ай бұрын
hqpo studio wamejaa vilaza wasiojua kuiliza maswali ya maana mwakinyo anatawala waandishi wa habari kama anawahubiria tatizo la kuweka vilaza studio linaonekana saana hapa
@greysonchogga4379
@greysonchogga4379 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@Yusufu940
@Yusufu940 9 ай бұрын
Mwanamichezo ndo musical wa Ngumi
@fadhilbutu3305
@fadhilbutu3305 9 ай бұрын
Broo akikupenda mungu inatosha
@karmalyshaft9742
@karmalyshaft9742 9 ай бұрын
Siku zote anaetetea maslai huonekana anakiburi na ushawishi mbaya kwa wenzake ila dogo msimamo wake nimeukubali tupunguzeni blaa blaa uswahili mingi bado tunao
@ibrahimshaban2361
@ibrahimshaban2361 9 ай бұрын
Umeongea point sana mwakinyo bigup sana
@MJB-Africa
@MJB-Africa 9 ай бұрын
WEWE BRAZA NI MIONGONI MWA WATU WACHACHE SANA KUWAHI KUTOKEA HAPA DUNIANI. RESPECT TO YOU MIMI NAONA ACHANA NA MASUALA YA NGUMI NA UGOMBEE UONGOZI WA URAISI MAANA NAKUONA MISIMAMO YAKO NI KAMA KIONGOZI SAHIHI KAMA REPLACEMENT YA MAGUFULI
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 9 ай бұрын
Mi sio shabiki wa ngumi ila ninachokiona kwa mwakinyo ni mtu mwenye msimamo which is good na siku zote ukiwa na msimamo unaonekana mkorofi,jeuri na maringo si sawa muhimu kukaa chini na kupata suluhisho period.
@jomajoligospel
@jomajoligospel 9 ай бұрын
Huyu Mwakinyo na manara baba mmoja mama mmoja, kiufupi waswahili sana, Champez unatupoteza washabiki wako, hautuheshimu kwanza unatudharau unaulizwa na mwandishi kuhusu hisia zetu unaropoka tuu, mswahili sana wewe
@greysonchogga4379
@greysonchogga4379 9 ай бұрын
Hakika 😂😂😂😂
@frankkajoba8372
@frankkajoba8372 9 ай бұрын
Hujui chochote, kashabikie mabondia wenu kina mandonga. Huyu anajitambua, wabongo wengi tumezoea blah blah!
@dennismungai4632
@dennismungai4632 9 ай бұрын
Big up
@LivivingstoneKaaya-zc8dw
@LivivingstoneKaaya-zc8dw 9 ай бұрын
Livingstone kaaya @@@@ Christina's collections ya big up mwakii
@SifaeliMelita
@SifaeliMelita 9 ай бұрын
Naare waawa
@mimihuyo8239
@mimihuyo8239 9 ай бұрын
Mwakinyo 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
@gmelectronics1997
@gmelectronics1997 9 ай бұрын
Kujitambua ndio ufunguo pekee wa maisha yako..achana na elimu...wapo waliosoma na vichwani ni mabox na wapo wasio soma wanaongoza jahazi..respect sanna Mwakinyo
@AnodSalum-qx7tp
@AnodSalum-qx7tp 9 ай бұрын
Hongera kaka huna baya
@issazalala4907
@issazalala4907 9 ай бұрын
Mwamba yupo sawa kanyooka tupo nyuma Yako
@Isack-sx8lj
@Isack-sx8lj Ай бұрын
Mwakinyo yupo Makini Sana na anachokifanya kupata stahiki zake
@abubakarhaule1593
@abubakarhaule1593 9 ай бұрын
Da Huu unajua sana kazi yako mwakinyo muongo
@bongotv7365
@bongotv7365 9 ай бұрын
Upo sahihi bro ngumi ni maisha bro don't Tyr on it.
@mussamessi7514
@mussamessi7514 9 ай бұрын
Pamoja kaka champion boy👊
@nicodemasfrancislumongolo5879
@nicodemasfrancislumongolo5879 9 ай бұрын
Huyo mwijaku nae mtangazaji au ? Mbona nchi ya ajabu sana hii uhuru umepitiliza
@josephjoseph8982
@josephjoseph8982 9 ай бұрын
Mwakinyo wasilete uhuni kwenye kazi yako , wanyoshe wenye njanja zao safi sana , kwa kiwango chako usingekuwa unapigana kwa dollar 5000 ulitakiwa uwe unapigana kwa dollar laki moja kwenda juu nyosha washenzi hao.
@Wakwetujitu
@Wakwetujitu 9 ай бұрын
Nakubalisana kaka
@rashidrashidmaulid1129
@rashidrashidmaulid1129 9 ай бұрын
Hapana yupo sahihi bila msimamo unazeeka maskin
@user-up1fx4vt4r
@user-up1fx4vt4r 9 ай бұрын
kiukwer mwamba yuko sahihi napia mpaka katoa dola 4000 inamana muandaaji aliferi kifeza ila ingekua wabiga dufu sijui ingekuaj
@user-hs2uf6od8j
@user-hs2uf6od8j 9 ай бұрын
💪💪💯
@SkopionMmalala-ox3gz
@SkopionMmalala-ox3gz 9 ай бұрын
Champion Hasan Tanzania 1
@user-mx9xu6st4o
@user-mx9xu6st4o 9 ай бұрын
Mwakinyo nakubali msimamo wako watu wanatak umaarufu kupitia wew mim nipo belgium nakukubali mtot wa mwananyamala Chau ..
@rabsonchisumo6640
@rabsonchisumo6640 9 ай бұрын
Makini sana Bondia
@dominicrobert266
@dominicrobert266 9 ай бұрын
Unazingua boxer,point zako za hovyo kabisa.
@abdallahabeid8540
@abdallahabeid8540 9 ай бұрын
Tumemuelewa sn mwakinyo Hawa mapromoty wengi dhulma Ila huyu mwamba atawakomesha huyu kacheza ulaya anajuwa yote
@thecar_lovers_tz
@thecar_lovers_tz 9 ай бұрын
Toka mwanzo nitasimama na mwakinyo.
@hamisshaban9651
@hamisshaban9651 9 ай бұрын
Huyo ni mwalimu wa mabondia njaa wanadanganywa na ma promota wanakubali tu kizembe
@user-iq5ue3ht6r
@user-iq5ue3ht6r 9 ай бұрын
B boy hasani mwakinyo super champions
@user-ih1nh2tp6b
@user-ih1nh2tp6b 9 ай бұрын
Allah akuongoze kaka
@MichaelJames-tp6co
@MichaelJames-tp6co 9 ай бұрын
Niko na mwakinyo, bondia unatakiwa kua na misimamo sio bondiatu yani mtu yoyote hupaswi kupelekwa pelekwa
@fadhilbutu3305
@fadhilbutu3305 9 ай бұрын
Haki haiombwi.haki nikachukua simamia unacho kiamin
@makachamusic
@makachamusic 9 ай бұрын
Mwakinyo yupo sahihi sana
@licomwanjali230
@licomwanjali230 9 ай бұрын
Mwankinyo umechemka mwanangu, maisha hayapo hivyoo, halafu chunga mdomo, utatolewa kwenye reli
@petermheta4566
@petermheta4566 9 ай бұрын
Laiti watanzania tungekuwa na akili kama huyu jamaa tungefika mbali sana, nimekukubali sana mwakinyo, boxing sio mpira.
@sniperbogo6210
@sniperbogo6210 9 ай бұрын
Huyu jamaa nmemkubali anamisimamo hatal na kaz yake
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 77 МЛН
THEY made a RAINBOW M&M 🤩😳 LeoNata family #shorts
00:49
LeoNata Family
Рет қаралды 43 МЛН
- А что в креме? - Это кАкАооо! #КондитерДети
00:24
Телеканал ПЯТНИЦА
Рет қаралды 7 МЛН
Salama Na MWAKINYO Ep 44 | VITASA OVERLOAD Part 1
28:02
YahStoneTown
Рет қаралды 69 М.
Waka waka #4 🤣 #shorts
0:15
Adani Family
Рет қаралды 15 МЛН
LEVITATING MAGIC REVEALED 😱😳
0:18
Milaad K
Рет қаралды 12 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
0:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 9 МЛН
Не смотрите на эту картину!
0:38
ИЗЮМЕР
Рет қаралды 2,8 МЛН
Нажимай выше ☝️☝️☝️ #а4 #глент #риви #viral
0:25
Как меняются люди
Рет қаралды 4,2 МЛН