QUEEN DARLEEN AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA SAKATA LA BABA YAKE NA DIAMOND “DIAMOND ATABAKI KAMA BABA”

  Рет қаралды 229,315

Bongo5

Bongo5

Күн бұрын

Пікірлер: 539
@mariamalongo8803
@mariamalongo8803 3 жыл бұрын
Queendareen umeongea vizuri sana ♥️ ungekuwa karibu ningekuwa tano, muangalieni baba
@fatnahsaleh860
@fatnahsaleh860 3 жыл бұрын
I love you Queen, Mama B❤🥰. Umejibu kistarabu kwa kweli. Kila lakheri mamy🌹
@kaulimbiu181
@kaulimbiu181 3 жыл бұрын
Kweli mume ni dawa, Queen tangu aolewe amekuwa na busara sana mashaaAllah. Mola akutangulie kila khatua. Ameen 🤲
@asyaseif4000
@asyaseif4000 3 жыл бұрын
Umeongea busara sana Allha akuzidishie
@aishaarusha894
@aishaarusha894 3 жыл бұрын
Amin
@hassansalum5362
@hassansalum5362 3 жыл бұрын
Busara kutangaza mitandaoni kama baba ake mlevi uko ni kukosa heshima
@josephmaguza6413
@josephmaguza6413 3 жыл бұрын
Sasa kama baba wa tungi asiseme
@hassansalum5362
@hassansalum5362 3 жыл бұрын
@@josephmaguza6413 Ndoo amtangaze kwenye vyombo.vya habari
@raudhamahmoud9538
@raudhamahmoud9538 3 жыл бұрын
Asante dalin
@aishajafa4139
@aishajafa4139 3 жыл бұрын
hili swala darlin alikua analijua yeye sio geni kwahiyo hawezi kushtuka kivile big up darleen umeongea vizur
@rahmaramadhan9773
@rahmaramadhan9773 3 жыл бұрын
Nakupenda Sana Queen mama b tulia mwaya mungu akutunzeni 🤲
@edsonkatoTv
@edsonkatoTv 3 жыл бұрын
You deserve to be whom you are big up Queen Darleen 💪
@afandechanel1507
@afandechanel1507 3 жыл бұрын
Queen naona Siku hizi amekua nabusara Sana kweli mume ni wamuhim saana kwenye maisha ya mwanamke
@khamiskamtoi5094
@khamiskamtoi5094 3 жыл бұрын
😂😂😂 katulia
@rajabumalupu4184
@rajabumalupu4184 3 жыл бұрын
Mwanaume ni malighaf isiyoozaaa
@neemamdami7466
@neemamdami7466 3 жыл бұрын
Amepata Dr.mzuri
@prettyh7509
@prettyh7509 3 жыл бұрын
Inshallah dada mtegemee Mungu daima atakutunzia ndoa yako
@jumajay8496
@jumajay8496 3 жыл бұрын
This topics it is is too tough for her i fiil so sad for her in a body language anadhalilika sana na hii hali lkn anajikaza kisabuni mbele ya cameras kuonyesha kua yuko alright but hii situation iko ngumu sana kwake thats why amepungua mwili although she is looking nice in his new body.
@rihannaahmed
@rihannaahmed 3 жыл бұрын
Stop speculating things she might be 100% alright
@ashamwamba9088
@ashamwamba9088 3 жыл бұрын
Momdi.in.frimanson.nimasharit.aliopewa..asomsaidiinaamkate.yaani.tunavyomshangiliando.anapatahelaaa
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 3 жыл бұрын
@@ashamwamba9088 na endelea kumshangilia ivo ivo maana hata hukitambui unachokiongea😆😆
@habarinamichezo6427
@habarinamichezo6427 3 жыл бұрын
@@ashamwamba9088 kw hyo baba yake alivyoachaga kulea familia nae alikua freemason sasa mbn hana hela muamini muumba wako acha kutukuza miungu hyo
@Itscrazyvibe
@Itscrazyvibe 3 жыл бұрын
Sio his new body, ni her new body
@HumbleAfrikan
@HumbleAfrikan 3 жыл бұрын
She knows how to answer question .... Love the approach
@nancynyagah6843
@nancynyagah6843 3 жыл бұрын
very true, smart and intelligent. i can now believe the dad is the problem.
@fatumamkuzi1475
@fatumamkuzi1475 3 жыл бұрын
Inshaallah Daa Nakupenda sana dadangu
@rozmihambo1935
@rozmihambo1935 3 жыл бұрын
Amina mugu akulinde
@maisarasid8670
@maisarasid8670 2 жыл бұрын
Nakupa hongera kwa maamuzi dada
@anitahlove9274
@anitahlove9274 3 жыл бұрын
shes very beautiful
@halimasulaimani848
@halimasulaimani848 3 жыл бұрын
Hapo kw mzee Abdul bora ilo swali usingejibu ingependeza zaidi
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 3 жыл бұрын
Pesa hizi jaminii shda sanaaa Na ogopa Sanaa umasikini il kuwa Makini 👊
@nancynyagah6843
@nancynyagah6843 3 жыл бұрын
hapa hamna cha pesa. haya ni mambo ya familia, wanayajua zaidi yetu. baba ni baba awe maskini wala tajiri ni baba yao. luckily hao wanao wanamkubali. mzazi hawezi sema mtoto wake ambaye ni mtu mzima abadilishe jina. wengine wetu tumepitia mambo kama haya pia. majina na ulezi wa wazazi walezi lakini bado wanatupenda na kutuheshimu na pia sisi vivyo hivyo
@wennceslausmushi2356
@wennceslausmushi2356 3 жыл бұрын
Nafikiri darleen ungejibu no comment kwenye swala la mzee ingependeza zaidi.
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 3 жыл бұрын
Ili iweje ma ukwel unajulikana kwann mnapenda ufitini ayo majibu ya no comment yanapatkana cloud kwa wapmbav huko
@khalidbalala7753
@khalidbalala7753 3 жыл бұрын
Kweli queen Darling umeongea point
@kimah9855
@kimah9855 3 жыл бұрын
MashaAllah amejibu vizuri
@MrCyprian1589
@MrCyprian1589 3 жыл бұрын
Woow! She is bright!
@emmanuellkfightforjusticea2474
@emmanuellkfightforjusticea2474 3 жыл бұрын
You are bright my sister
@wazirimpeo8995
@wazirimpeo8995 3 жыл бұрын
Great answer NI BABA YAKE NA ATAENDELEA KUA BABA YAKE.... NI KAKA YANGU NA NI BOSS WANGU MILELE.. QUEEN KAJILIPUA PWAAA LIWALO NA LIWE
@eilinli7846
@eilinli7846 3 жыл бұрын
😄😄
@mussomachupa7252
@mussomachupa7252 3 жыл бұрын
Kaongea vizuri,ingawa alikuwa anataka kupanic mahic kwa hasira ya situation yenyewe,naamini mungu mkuu dada yashapatita Cha msingi mzee atulie I wish atafanya kitu kwa maisha ya mzee Abdul.
@gigiogglamourmjg5902
@gigiogglamourmjg5902 3 жыл бұрын
Me love you Darlen
@lwiticomwalukumba4148
@lwiticomwalukumba4148 3 жыл бұрын
Darleen you are the best
@samaamin2501
@samaamin2501 3 жыл бұрын
Da mdogo unaongea vizuri sana shukran. Upo vizuri sana.
@rizikirizikirasy9300
@rizikirizikirasy9300 3 жыл бұрын
MashaAllah 😍😍waongea vizuri sana dada
@NM-rq9dr
@NM-rq9dr 3 жыл бұрын
Masha Allah m'y Queen
@aminamjema2292
@aminamjema2292 3 жыл бұрын
Kwa Mara ya kwanza nimekukubali hongera kwa maneno ya busara mungu akubariki jitahidi usikubali kila mambo yako ya ndani yajulikane mitandaon kila LA kher
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 3 жыл бұрын
Njaa mbaya sana. Utumwa mbaya kuliko wote ni kuruhusu tumbo litawale kichwa. Kama fikra zikiwa utumwani, uwe na uhakika mwili pia kadhalika.
@sarahhamisi2070
@sarahhamisi2070 3 жыл бұрын
Ulitaka aongee",nn muiteakuhoji unachojuwa familia ndoinajua kilakitu
@salhamrisho8138
@salhamrisho8138 3 жыл бұрын
Queen mwembamba jamani ila kapendeza saana mashallah
@عبداللهسالم-ه2ي
@عبداللهسالم-ه2ي 3 жыл бұрын
Pole sana dada
@jonathanicrisatijonathanic6708
@jonathanicrisatijonathanic6708 3 жыл бұрын
Mucheki Giva ana ngoma kali sana
@philipfrankmakutsa9663
@philipfrankmakutsa9663 3 жыл бұрын
Waoooo cammooon queen umeongea point saaana
@dieudonnebigirimana8083
@dieudonnebigirimana8083 3 жыл бұрын
Queen Darlene ♥️ kasema vizuri🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@pirato5462
@pirato5462 3 жыл бұрын
Queen upo vizuri we piga kazi
@sharinv8864
@sharinv8864 3 жыл бұрын
Dada umeongea point sana mungu akubariki na azidi kumpa hekima ya hali ya juu kwakweli tunamlaumu diamond bt kwa upande mwengine mzee abdul ana matatizo cos ni mda sana akidhalalisha watoto wake mtandaoni na huwezi panda maindi ukavuna mtama so anavuma.
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 3 жыл бұрын
Kabisaa
@wakallalashaban9259
@wakallalashaban9259 3 жыл бұрын
Good saana
@iminzaiminza5813
@iminzaiminza5813 3 жыл бұрын
This gal is saved,Anapenda Mungu
@rachealkitawa2153
@rachealkitawa2153 3 жыл бұрын
Queen uko sawa sana piga kazi
@jamilaezekiel6174
@jamilaezekiel6174 3 жыл бұрын
Umeongea vizuli sana dada mungu akubariki ww na mme wako na akukuzie mtt wako
@sarahhamisi2070
@sarahhamisi2070 3 жыл бұрын
Yes nimekuelewa
@olomweneabongela1717
@olomweneabongela1717 3 жыл бұрын
Aliyesikia mzee Abdulu anapenda pombe sana na kupewa hela juu ya interview anipe like na kwa hilo nimegundua mzee ndiye mwenye chimbuko la hii story kutokea . Kisa ukosefu wa kuzibiti pombe na kupenda sana pesa bila kujali anazipokea kwa kazi gani.
@kingkendrickk
@kingkendrickk 3 жыл бұрын
Big up queen darlin. Nice response
@ellyboy4165
@ellyboy4165 3 жыл бұрын
Noma xna
@falidajohn4629
@falidajohn4629 3 жыл бұрын
Nimekupenda Qwen
@nuruchikoe1959
@nuruchikoe1959 3 жыл бұрын
Queen darlin hongera sana umejibu kishujaa
@Drkhan345
@Drkhan345 3 жыл бұрын
Pole njaaa mbaya
@eladiuspeter586
@eladiuspeter586 3 жыл бұрын
Njaaa haiwez nifanye nimsaliti baba ang hvyo. Huyu diamond na mama ake ningewacharukia na ningeachana nao mara moja
@adijaniyonkuru9731
@adijaniyonkuru9731 3 жыл бұрын
Unayosema unauakikia, sio BB yke mnalazimisha
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 3 жыл бұрын
Darleen mwenyw alikwa anajua na hyu mzee aliwafukuza toka miaka hiyo ata wakienda kumuona ila ww endelea kuchanganywa na umaskin
@Kasiera
@Kasiera 3 жыл бұрын
Just reminds me of Meghan...... Many blessings to you Queen Darlin
@osmanmohammedosman5493
@osmanmohammedosman5493 3 жыл бұрын
Nakupenda bure Darling
@gynae8407
@gynae8407 3 жыл бұрын
Huyu nae njaa tu
@salmare2628
@salmare2628 3 жыл бұрын
Maahallah dalin umekonda umependeza
@bintimohamed2646
@bintimohamed2646 3 жыл бұрын
Inshaalah 🤲
@bakariyusufujuma
@bakariyusufujuma 3 жыл бұрын
Ukiwa na pesa siku zote utapewa kila aina ya heshima sawa yote maisha
@isaacnduwayo1845
@isaacnduwayo1845 3 жыл бұрын
Umeongea point brother🤝
@rosepodi4127
@rosepodi4127 3 жыл бұрын
Safi sana.
@azizayassin3623
@azizayassin3623 3 жыл бұрын
Gorgeous darling 🥰🥰🥰😍😍😘🥳🥳
@gracetanyungu4727
@gracetanyungu4727 3 жыл бұрын
Wow Queen u r one in amillion
@marthaanton6967
@marthaanton6967 3 жыл бұрын
Umeonngea point sn Queen Darling nimekuelewa mno
@allyfleva8920
@allyfleva8920 3 жыл бұрын
wa2 wakuona mjinga ila mie nakuona wewe ni shujaa kweli wewe umilisi kakili ya mzee wako cz huna pupa so hongera sana dada
@queenbi5477
@queenbi5477 3 жыл бұрын
Queen kama Queen 💓💓💪
@geofreylugangila7908
@geofreylugangila7908 3 жыл бұрын
Majibu ya kiutu uzima asante Dada
@lindajoasine8806
@lindajoasine8806 3 жыл бұрын
Good job Darline
@djdj3urj88
@djdj3urj88 3 жыл бұрын
Nyie wanafiki sana na kesho hamtauona ufalume wa mungu mlitangaza kaachwa taraka 3 mungu ameharamisha uongo
@subirajohn728
@subirajohn728 3 жыл бұрын
Kwa hiyo wewe ndio utauona ufalme wa mbingu kwa vile unapenda kusema uongo unazimisha uongo uwe kweli kwa matakwa yako!
@tamaraseff.9707
@tamaraseff.9707 3 жыл бұрын
Ana njaaaa kweli waaaaaa
@sofibaby1800
@sofibaby1800 3 жыл бұрын
Mashallah queen ameongea point Sana
@irenekerubo9791
@irenekerubo9791 3 жыл бұрын
Mzee Abdul pongezi uko na watoi wasupuuu
@theblessedone7526
@theblessedone7526 3 жыл бұрын
Queen amekomaa anajua kujibu maashallah
@ibrahimhemedi9079
@ibrahimhemedi9079 3 жыл бұрын
Well family issues itabidi wachiwe wenyewe to deal with this, mama mtungi baba mtungi everyone mtungi at end the day maisha tuh.
@raudhamahmoud9538
@raudhamahmoud9538 3 жыл бұрын
Mungu awadumishe na mumeo
@marygregory7566
@marygregory7566 3 жыл бұрын
Baba ako anaekunywa sana ni yupi..MZEE ABDUL au DIAMOND manake hao wote umesema ni baba zako
@azmoal
@azmoal 3 жыл бұрын
😂
@cendrillonnam4549
@cendrillonnam4549 3 жыл бұрын
Ata mondi anakunywa
@joycechaz2840
@joycechaz2840 3 жыл бұрын
😂😂
@furahachuma9039
@furahachuma9039 5 ай бұрын
Yani pesa ni kila kitu. Yaani Darlin leo Mwambino awe baba yako?
@muhidiniharuna3735
@muhidiniharuna3735 3 жыл бұрын
Mpuuzi sana
@jacklinengozi1122
@jacklinengozi1122 3 жыл бұрын
Poverty is bad, queen wake up.
@reubenson8342
@reubenson8342 3 жыл бұрын
Maneno machache lakini mazito ✅
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 3 жыл бұрын
Idont trust this imbecile alikuwa anapewa pesa ampeleke mzee Abdul na anakula mshenzi sana
@priscaishemo3810
@priscaishemo3810 3 жыл бұрын
.
@kaulimbiu181
@kaulimbiu181 3 жыл бұрын
@@agwalubifaridah7079 uliwahi kuwa na yeye akipewa? Mbona tunapenda kujilimbikizia dhambi reja reja ndugu zangu.
@nishasalim2880
@nishasalim2880 3 жыл бұрын
She needs to open her eyes.😕
@mkwawaaziz6295
@mkwawaaziz6295 3 жыл бұрын
That's Queens to talk full authority
@angelmwanjalila857
@angelmwanjalila857 3 жыл бұрын
Jinga hili,,, et ana kunywa sana kwahio kama anakunywa tukusaidie nn unazan umeongea point kumbe upuuz tu mzarauni sana huyu baba one day mtakuja kurealize and it will be too late,
@adijaniyonkuru9731
@adijaniyonkuru9731 3 жыл бұрын
Point
@nshonabdll9363
@nshonabdll9363 3 жыл бұрын
Ebu Pambana na mzee wk achana na povu LA wazee wawatu kaa
@mwikamwika4851
@mwikamwika4851 3 жыл бұрын
Sasa Angel hapo Darlene amekosea Nini? Amesema hivyo yawezekana mitungi sometimes mzee inampelekesha na pia media's zinapata news kwakuwa brand Diamond platnumz ni kubwa nchini na Afrika hivyo habari zake wengi wanapenda kuzifuatilia. Kwani wewe Angel huna matatizo na nduguzo? Mbona watu wanakujua vzuri lakini wanakustahi tu. Mambo ya familia za watu tusizipende Sana kwani wapo wanaozijua Sana familia zetu pia.
@angelmwanjalila857
@angelmwanjalila857 3 жыл бұрын
@@mwikamwika4851 hahahaaa umenifanya nicheke kwa sauti. Pole sana, siwezi mkana mzazi wangu hata skumoja wazazi ni baraka kwangu et watu wanaijua vizuri wananijua kwalipi wananistahi kwalipi hizo ujinga zenu peleken huko bhana mtajuta badae an
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 3 жыл бұрын
@@angelmwanjalila857 hujamwelewa Darlene kwanini amesema babaake anakunywa sana! Kabla hujamtapikia mtu jifunze kumsikiliza na kumwelewa... Amegusia kunywa sana kwa babaake wakati akieleza wàandishi wanavyomrubuni kwa kumlipa fedha ili afunguke story wao wauze KZbin
@lightneskatarama4156
@lightneskatarama4156 3 жыл бұрын
Mwanamke wa shoka😙😙😙
@musitemusite4316
@musitemusite4316 3 жыл бұрын
Maashaallah
@saumuomary1004
@saumuomary1004 3 жыл бұрын
Pole
@naamohamed9964
@naamohamed9964 3 жыл бұрын
Shikamoo Dareen
@pillyolsen8377
@pillyolsen8377 3 жыл бұрын
Njaaa mbaya sana
@ismailyusuph740
@ismailyusuph740 3 жыл бұрын
Bibie ulitakiwa umwambie Hayo mambo Siwezi kuyaongelea ‘ Yaani ndo umeyatimba kabisaaaa...!
@asiaswedi8945
@asiaswedi8945 3 жыл бұрын
Kweli kabisa
@ashafatuma3167
@ashafatuma3167 3 жыл бұрын
Hawa watu awana busara na aibu pia awana, yeye ni mwanamke lakini ana mtoto wa kike na wakiume!!!
@boyjopar8717
@boyjopar8717 3 жыл бұрын
Mamaeeeee
@johnsonchonja4032
@johnsonchonja4032 3 жыл бұрын
Darlin umekua sana big up
@joharijj2164
@joharijj2164 3 жыл бұрын
Mbona watu wanamsema vibaya jamani mbona ajaachika,, nampenda huyu Sana.
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 3 жыл бұрын
Nimeogopa kuuliza mm
@saladaniel9274
@saladaniel9274 3 жыл бұрын
Safi darling umeongea ukweli kbs
@officialwilondja9443
@officialwilondja9443 3 жыл бұрын
Vinzur unajuw kuongea saaaaana
@raudhamahmoud9538
@raudhamahmoud9538 3 жыл бұрын
Kweli dalin nakukubali
@phoebemasico3742
@phoebemasico3742 3 жыл бұрын
She's a wise woman.
@kimwerionlinetv5574
@kimwerionlinetv5574 3 жыл бұрын
Njaaaa mbaya sana
@gerry_macopper3808
@gerry_macopper3808 3 жыл бұрын
Dada kapungua sana nn shidaa
@wahabmkazi7902
@wahabmkazi7902 3 жыл бұрын
Si anyonyesha au
@arafaally2895
@arafaally2895 3 жыл бұрын
Pole mzee Abdul hata huku unakanwa eti baba ni dai
@imachiluka6637
@imachiluka6637 3 жыл бұрын
Daàaaaaa mm siamini kama mzee abduli ni mlev
@estermathias8354
@estermathias8354 3 жыл бұрын
Kaongea vizur sana
@mwinukafundibombanjombe
@mwinukafundibombanjombe 3 жыл бұрын
saiz queen ndio anamwili mzurii
@zuuzuundotterz4032
@zuuzuundotterz4032 3 жыл бұрын
👌👌👌
@bahatijoseph8763
@bahatijoseph8763 3 жыл бұрын
Umekondaa Darling
@lufufumkudesimba6244
@lufufumkudesimba6244 3 жыл бұрын
Da ishakua kesi sasa
@denysemariebaziruwiha702
@denysemariebaziruwiha702 3 жыл бұрын
Queen Darleen kama 👸. Meanamke mwenye hakiri na busara.. Unafanya vizuri hauropoki kwakujibu wambea. Unajuwa cenye unatafuta maishani. Moja kwenye mastaa wakike tz wakuigiwa. Mme wako amebarikiwa. Uwo njo urembo wamwanamke . 🙏🏾
@fatmayussuf9980
@fatmayussuf9980 3 жыл бұрын
Big up Mama
@subirajohn728
@subirajohn728 3 жыл бұрын
VIzuri Mwanahawa nakupendaga sana Qeen wangu!
@raudhamahmoud9538
@raudhamahmoud9538 3 жыл бұрын
Dalin umependeza sana
@chuimnyama9074
@chuimnyama9074 3 жыл бұрын
HAYA MZEEE USUPER STAR SASA HAKUNA KIMYAAA
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:14
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 81 МЛН
Sigma baby, you've conquered soap! 😲😮‍💨 LeoNata family #shorts
00:37
How it feels when u walk through first class
00:52
Adam W
Рет қаралды 26 МЛН
ELIMU YA MIKOPO YA NYUMBA YA MUDA MREFU KUTOKA NMB BENKI
22:32
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:14
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 81 МЛН