DIAMOND : MZEE ABDUL SIO BABA YANGU/ UKWELI WOTE KUHUSU FAMILIA YA NYANGE NINAO

  Рет қаралды 440,255

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 1 300
@fredytarimo9107
@fredytarimo9107 3 жыл бұрын
Kwa maelezo yako dogo hata Kama ambaye hajasomea sheria akikusikiliza tu anajua wazi Abdul ni baba yako lakini humpendi sababu yeye hakukupenda utotoni,naomba umshukuru mungu Sana,naamini Kama mzee Abdul angekupenda unavyotaka wewe huenda kwa Sasa usingekua hivyo kimaisha,sababu ungebweteka)amini Ni mungu pekee alieyejua maisha yako na siyo mzee abdul.huenda mzee Abdul alitumiwa na mungu ili akuchukie ili upate hakili ya kupambana.bora ungekaa kimya kabisaaa mdogo wangu Kama zamani kwa maneno hayo ukweli umekosa mvuto kabisa kwa mashabiki zako.tegemea soko lako kushuka kimziki.
@theceefamily7764
@theceefamily7764 3 жыл бұрын
Sinior Nazeeb,kiukweli zidi kupenda mzee abdul Kama baba yako tu,cz atabaki baba yako wa kufikia.Bado sawa pia zidi kumpa chochote anachokiitaji hata akidai ubadilishe jina na kutolitumia kwani hii ni safari ya papa hapa duniani tu.Mungu awe nawe kila siku na kwa kila hatua utakayo pitia🔥🔥🔥👏👏👏❤️🌞🙏🇰🇪.
@nabilbinjuma3280
@nabilbinjuma3280 3 жыл бұрын
Diamond kumbuka ya kwamba kuna mungu broo una mzalilisha mzee wa watu kisa utajiri wa duniani Sina cha kuongezea ila elewa ya kwamba mungu anakuona 😢😢😢
@rosekassone5510
@rosekassone5510 3 жыл бұрын
Ila wanafanana pia
@amourdelicieuse2961
@amourdelicieuse2961 3 жыл бұрын
Mama yako dangote malaya Sana inapashwa ufae ADN tu
@jontezdiamond670
@jontezdiamond670 3 жыл бұрын
Diamond platnumz still number one wapende wasipende #Inama100 million views.
@philipojmwaipopo949
@philipojmwaipopo949 3 жыл бұрын
Uchokoraa tuu mungu atawalipa ninyi kwa haya mnayomfanyia mzee Abdul
@azizaakaposa6167
@azizaakaposa6167 3 жыл бұрын
tatizoo wanaumee naoo wanajisaau kwenye malezii ya watoto waoo ikitokeaa mmeachanaa basii mama unakuwaa single mama unaleaa mtoto mwenyewee ikitokeaa umepata baba wa andia anamlea mtoto wakoo vizurii na mtoto anapataa mapenzii yotee ya baba mtoto anajua yule ndo baba yakee mbele ukoo mungu akimjalia kapataa heraa maarufuu tajirii mungu kamubarikii baba ake mzazi ndo anakurupukaa ukoo anapotokaa ndo anasemaa huyuu mwananguu mudaa wotee ulikuwaa wapii kwa sababu tuu unatumiaa jina lakee
@hassinaalharthi5984
@hassinaalharthi5984 3 жыл бұрын
Kuishi kwingi kuona mengi nakusikia mengi. Haya Allah atupe mwisho mwema..
@richbird.123
@richbird.123 3 жыл бұрын
Ameen
@mariamfaicalhassan2890
@mariamfaicalhassan2890 6 ай бұрын
Huyu salum siyo baba yake
@chingychingy2066
@chingychingy2066 3 жыл бұрын
ila mond unaikumbuka nyimbo yako ya binadamu wabaya kuna kipande uliimba kwamba (upendo popote kwa baba yangu japo alinikataa) iyo ilikua mwaka 2011 sasa cjajua apo aliekukataa ni mzee nyange au mzee abdul....mana nimejaribu kuchambua apa baadhi ya matukio ya nyuma na sasa naona bado kuna kuna vitu havijakaasawa...nakukubali sana ila leo umeniangusha kabisaaa sana
@mariamfaicalhassan2890
@mariamfaicalhassan2890 6 ай бұрын
Baba yake mwingine kabisa baba yake anaitwa lazalo malyeto
@chikotosammy3891
@chikotosammy3891 3 жыл бұрын
"What goes around comes around" Tenda wema uende zako, Hakuna mtu mwenye anaweza lipa Fadhila
@aishakhamis2996
@aishakhamis2996 3 жыл бұрын
Kweli kabisaa
@missmrs829
@missmrs829 3 жыл бұрын
Saana tu kaka
@joycelulu8743
@joycelulu8743 2 жыл бұрын
Pole sana mond kwa yote yaliyo kupata juu ya baba yako mzee Abdul kwa kukufukuza
@buja6350
@buja6350 3 жыл бұрын
Bro wew Allah mwenyewe ndiye atakuhukumu
@nasorromwamba7738
@nasorromwamba7738 3 жыл бұрын
Naww atakukum nani shetani ww
@neemamwangosi2043
@neemamwangosi2043 3 жыл бұрын
WW ni mbwa anavojieleza kuwa Abdul alikuwa anamtenga usikii au
@maryberege3093
@maryberege3093 2 жыл бұрын
Ila diamond unafanana sana na mzee Abdul shauri yako
@mamumiyaskitchenvlogs5858
@mamumiyaskitchenvlogs5858 3 жыл бұрын
Wale maskini unao wasaidia kamwe hawawezi fanana na fadhla za mzee Abdul lkn Mungu ndie muamuzi Haki ya mtu haizami yaolea,Na Mungu ni azeezun hakeem
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Eleweni basi nyie kwamba mond alitengwa na mzee abduly kitambo na ukweli sku zote haufchk
@daxmedia9115
@daxmedia9115 3 жыл бұрын
@@gosbertmuta5421 Yah nilizani ninaejua hilo ni peke yangu I dont know watu wana akili gani
@onesmojustice2348
@onesmojustice2348 3 жыл бұрын
@@gosbertmuta5421 lakini maelezo yake yanaonyesha aliyewatenganisha ni mama ake hivyo mama ake ndo Ana hatia
@calvinloveambroce842
@calvinloveambroce842 3 жыл бұрын
Mama umetoa laana kama umepewa mamlaka ya kuhukumu vile au kama wewe ni msafi vile kweli dunia hii ina mambo
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Pole yako maana haujui ulisemalo
@ally1702
@ally1702 3 жыл бұрын
Wakati mamaako hakuelewa na yoyote katika hao Hakuna babaako ata mmoja apo ata kinasab huwezi chukua upande wao kikwetu zanazibar ungeitwa nasibu Abdallah ata ao kina tifa na wenziwe sio wanao wakati hukuoa huwezi kuozesha wala kurithiana nao ingekuwa na mkristo sijui sheria zao zinasemaje lakini kiislamu ipo ivo tuacheni zinaa Jamani na hii ndo miongoni mwa athar zake Allah atujaalie mwisho mwema
@ramadyzo5587
@ramadyzo5587 3 жыл бұрын
Ewe mama yangu mzazi nakuombea kwamwenyez mungu usinibadilishie baba nkaja nkapa zambi hata kama kuna silizako jinsi ulivo ulivo vumilia kuanzia mimba yangu hadi Leo najielewa huyo ninae mtambua awe baba huyohuyo
@stevengodah8924
@stevengodah8924 3 жыл бұрын
Ww nyota ndy inaenda hy nilikuwa team yk ila sasa hv nimeenda kwa jeshiiiiiii yule ndy anachukua nyota yako sasa anakuja kuzima utawala wako mungu atasimama katika haki mmemdharilisha sana Mzee wa watu badilisha jina LA watu sasa sy naseeb Abdully Juma izzack nasseb sasa HV ni nasibuu salum bubu nyange
@mudybandie2166
@mudybandie2166 3 жыл бұрын
Mtoto na mama lenu 1 apo umezingu broo usingeongelea Hilo.......😚😚😚
@nurumohammed1133
@nurumohammed1133 3 жыл бұрын
Poooleee weee subhana llah mungu tupe mwisho mwema na watoto wetu
@judithkaishe9091
@judithkaishe9091 3 жыл бұрын
MUNGU Atakuchapa mdogoangu.. 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@deborajonathan6182
@deborajonathan6182 3 жыл бұрын
Eti kumpa baba ako ela hadi uwambiwe na mama ako kweli jmn 😭 mondi hauko sawa kwa hilo
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 3 жыл бұрын
@@deborajonathan6182 half anajion mjanj kuongea hivy public
@swalehmwamazola7100
@swalehmwamazola7100 3 жыл бұрын
Mjuae baba mtoto mama sisi wa baba twalea . Kesho kwa mungu c mbali
@millicentnyaboke5415
@millicentnyaboke5415 3 жыл бұрын
Money 🤔🤔😥😥the mother confused his son totally....God is watching
@afandehassan1
@afandehassan1 3 жыл бұрын
Her son
@ashamuhammed3685
@ashamuhammed3685 3 жыл бұрын
Mond ingekuwa mzee abduli ana mapesa ingekuwa baba yako
@irenemoraa8818
@irenemoraa8818 3 жыл бұрын
Hapo sawa modi kwa kuweka wazi big up diamond nyange
@ibrahimdavid1088
@ibrahimdavid1088 3 жыл бұрын
Nilikuona upo kimya nikajuwa umekuwa na busara but umeongea umeingia kweny raana kubwa kesho utafanana na mwingine mama atasema ndugu zako utakubali God atakuelekeza
@rodgermusa6845
@rodgermusa6845 3 жыл бұрын
Mwisho wa siku wote tutakufa tu mnachomfanyia mzee abduli siyo vzur
@frederic9631
@frederic9631 3 жыл бұрын
Mbona wapuuzia hayo mabaya ya mzee abdhul
@rodgermusa6845
@rodgermusa6845 3 жыл бұрын
@@frederic9631 Ila kwa kwl kaka wangeacha tu cz ni kudhalilisha mzee yule
@khadijasulleyman3804
@khadijasulleyman3804 3 жыл бұрын
Kweli kabisa
@rodgermusa6845
@rodgermusa6845 3 жыл бұрын
@@khadijasulleyman3804 Umeonaeee
@irenekerubo9791
@irenekerubo9791 3 жыл бұрын
Wamesahau kuna time alikua mzuri
@rukiamwinyi2415
@rukiamwinyi2415 3 жыл бұрын
Sawa dunia mduwara..my friend..kumbuka uko na watoto....utalipwa hapa tu..
@allymsuya4596
@allymsuya4596 3 жыл бұрын
Namshukuru Mungu kwakupata wazazi wanaojielewa tumezaliwa watoto kumi lakini wote wa baba mmoja
@phanuelmtango504
@phanuelmtango504 3 жыл бұрын
Unajuaje kama na ww una baba yako?
@omarmasuke2768
@omarmasuke2768 3 жыл бұрын
@@phanuelmtango504 mtoto wa ndani ya ndoa hawezi kuwa na baba mwingne zaidi ya yule baba yake wa ndoa, hata ikitokea mama akatoka nje ya ndoa na mtoto akazaliwa mfanano wa yule aliechepuka nae, mtoto atabaki kuwa wa yule baba wa ndoa, ndio maana kuna msemo wa kitanda hakizai haramu.
@ahmadjuma7420
@ahmadjuma7420 2 жыл бұрын
@@omarmasuke2768 umemjibu vzr sna
@nickokihongole5841
@nickokihongole5841 3 жыл бұрын
Hee makubwa Diamond Mungu anakuona
@sirlugikonteminyanda3702
@sirlugikonteminyanda3702 3 жыл бұрын
We muongo usingeimba colabo ya kigoma all stars
@amosjulius6404
@amosjulius6404 3 жыл бұрын
Ili lijamaa nichiz kwer
@herrysedward3591
@herrysedward3591 3 жыл бұрын
Limbukeni huyu anatimiza masharti ya utajiri huyuu
@JumaYusuph-i1p
@JumaYusuph-i1p 2 ай бұрын
​@@herrysedward3591Nenda kwa mganga Alie kuchanjo ya surua akakupe ayo mashart🤣🤣🤣🤣
@ruthanaya1225
@ruthanaya1225 3 жыл бұрын
Mungu akusamehe wallahi kumbuka mzazi ni pepo
@mtumwajuma4607
@mtumwajuma4607 3 жыл бұрын
Kuanzia leo sikusupport tn mbwa ww nimehamia konde gang na team kiba
@yazidu_tz
@yazidu_tz 3 жыл бұрын
@Yusuph Iddy sasa kwani kakutukana wewe mbona kama akili yako haina akili
@wasalimie11
@wasalimie11 3 жыл бұрын
weweni nugu mbwamwitu kondoo mzee wivu ndio itawamaliza mpumbavu sana nyongo nyekundu shm
@abrahmanbalozi9064
@abrahmanbalozi9064 3 жыл бұрын
@@yazidu_tz kwa nn amtukane diamond akihama yy wasafi habari ya mjini
@mtumwajuma4607
@mtumwajuma4607 3 жыл бұрын
@@wasalimie11 acha kumsupport mtu asielewa anachokiongea DNA ndio sollution yak lkn ckumkana
@jasmineshechambo3401
@jasmineshechambo3401 3 жыл бұрын
@Yusuph Iddy huu mchezo hautaki hasira
@MwaidiAbdallah-g3g
@MwaidiAbdallah-g3g Жыл бұрын
Ukweli nikwamba haounaojua ninduguzako kumbuka wamekupokea kwasababu unakipato, ingekuwa huna kipa wasinge kupokea mana wangeisi utaisabiwa kwenyemali za mzee wao, ungeonekana kama takataka, pole sana rud kwamzeeabduli ndio mshauri wako uyoo
@debiesalma5311
@debiesalma5311 3 жыл бұрын
Nani mwingine anasoma tu comments
@gabrielmoses6860
@gabrielmoses6860 3 жыл бұрын
Chibu Dangote..unafanana Sana na mzee Abdul
@andreakulisha5144
@andreakulisha5144 3 жыл бұрын
Platnumz sikulaum kk, wazaz huwa na siri nzito sana but mkumbuke Mzee Abdul ktk mafanikio yako. Mzee Abdul usimsahau
@abdallahsalum4788
@abdallahsalum4788 3 жыл бұрын
Unamkumbukaj bab alokuw hakujal nandug wanakunyanyapaa
@kibayakibaya7776
@kibayakibaya7776 3 жыл бұрын
Amini mzee tangu anaanza game anajiita naseeb abdul
@awatifsaid3913
@awatifsaid3913 3 жыл бұрын
Kwel umeogea point sana kaka
@allisonmadii7620
@allisonmadii7620 3 жыл бұрын
Nataka hivo usemavo mzee.
@lucyhussein7126
@lucyhussein7126 3 жыл бұрын
Ila inauma kama mtu hajakujal chochote hakakusomesha umehangaaika mwenyewe anakufukuza fukuza ukiwa mdogo unajikomba lakin hakupend aende zake hakuna chalaana naasibu wakiache bahn
@Papaa_Hillary_Mrema
@Papaa_Hillary_Mrema 3 жыл бұрын
Hongera kwa kuweka wazi, Kijana amezungumza na kufunga mjadala aya muacheni na maisha yake sasa. Kila familia ina changamoto na furaha zake.
@ummali7942
@ummali7942 3 жыл бұрын
Diamond anaeleza stry kama movie mjinga sanaa huyu
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 3 жыл бұрын
Si mjing Bali mpumbavu sana huyu
@damaspius3831
@damaspius3831 3 жыл бұрын
Sureee mpuuz Sana huyu kjana
@shambiraghasi2777
@shambiraghasi2777 3 жыл бұрын
Wajinga, wapuuzi ni nyinyi hapo kuingilia yasiyo yahusu
@milanmale6684
@milanmale6684 3 жыл бұрын
lisenge tu na maliponi hapa hapa
@ZanLeisureTours
@ZanLeisureTours 3 жыл бұрын
Hapa ndio tulipofikia waislamu Mtu anakaa na kufurahia eti yeye ni mtoto wa zinaa Duh Allah atunusuru Me Naomba tufute mahali tumjuwe na kumtaka msamaha mwenyezi mungu na sio kujisifia kama wewe ni mtoto wa zinaa na kujisifia kwa kuzaa watoto wa zinaa Allah atuelimishe na atuongeze kwenye njia iliyonyooka na atusamehe makosa yetu😭😭😭
@vickydarling7922
@vickydarling7922 3 жыл бұрын
ata mimi najua babangu lakini namtambua babangu mlezi jamani mpe mzee abdul heshima yake
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
Mm pia
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 3 жыл бұрын
Sure
@estherdaudi9853
@estherdaudi9853 3 жыл бұрын
Mbona unafanana na mzee Abdul
@mauthamani
@mauthamani 3 жыл бұрын
Hapo diamond una kengeuka, czan kama ni vzuri kumuongelea baba mlezi katika vyombo vya habari kama hivi na kila siku kua mada. Una mambo mengi ya kufanya na ukimya ni jibu tosha kabisa(kufanya hivyo ni kama kuchoresha familia) na ukifatilia vizuri hakuna mtu alielewa vzuri kama yai au kupendwa sana na walezi, misukosuko lazima uipate tu. Mpe respect yake
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 3 жыл бұрын
Tumemaliza
@MohammedAli-vq2dk
@MohammedAli-vq2dk 3 жыл бұрын
Diamond ni Mara ya kwanza kuongea hivi lkn huyo mnayemwita baba kashaongea Mara ngap kila media
@nyandaponsian4007
@nyandaponsian4007 3 жыл бұрын
Msenge huuyu
@yl_sports_af1994
@yl_sports_af1994 3 жыл бұрын
Diamond peponi moja kwa moja
@kelvintajiri8982
@kelvintajiri8982 3 жыл бұрын
Kwa kweli pesa mbaya😢😢😢😢
@prosperkullaya4529
@prosperkullaya4529 3 жыл бұрын
Masharti sio yeye
@kisansamoshi4363
@kisansamoshi4363 3 жыл бұрын
Nothing to say brother, just do you
@rehemamakwendo7743
@rehemamakwendo7743 3 жыл бұрын
@@prosperkullaya4529 nilikuwa naiyafuta hiiii
@desiremigezo1816
@desiremigezo1816 3 жыл бұрын
Surprisingly no journalist asked Diamond if he's ready or willing to take a DNA PATERNITY TEST. WASAFI journalists don't forget the basics of journalism. Don't lick your boss ass
@kimwerionlinetv5574
@kimwerionlinetv5574 3 жыл бұрын
@@prosperkullaya4529 sahihi sana
@salehjuma5242
@salehjuma5242 2 жыл бұрын
Pua ya mzee abdul iyo imeinama wamama mnatia sumu watoto mpaka noma
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 3 жыл бұрын
Diamond na mama ako machoko sana kumbukeni fadhila za mzee abdul
@valeriaally4770
@valeriaally4770 3 жыл бұрын
We ndo unaijua familia yake sana kuliko yeye au? Mtakufa mapema na roho mbaya. Roho mbaya inapunguza siku za kuishi
@msendabakarially3499
@msendabakarially3499 3 жыл бұрын
So sawa kuzungumzia family ya watu kana kwamba unaijua vyema kuwazid...watachosema sklza nyamaza...au we ndo mamake mdogo???!!!...
@moodychanday9220
@moodychanday9220 3 жыл бұрын
Asa ww unazijua hizo fadhila za Mzee Abdul kuma la Mama yako
@pascalmsuyajr.7980
@pascalmsuyajr.7980 3 жыл бұрын
@@moodychanday9220 duuh
@msendabakarially3499
@msendabakarially3499 3 жыл бұрын
@@moodychanday9220 unazjua wewe shoga ake...ndo maana mnafirwa nowadays so kila kitu unazungumzia...ya familia yao yaache...
@fraviagaspary6559
@fraviagaspary6559 3 жыл бұрын
Pole sana Diamond
@graceamadi2141
@graceamadi2141 3 жыл бұрын
Nasasa kama huo wakati ulikuwa na ukaribu mzee Abdul mbona usishukuru Mungu kwa ule muda alikulea? Msaidie kimatibabu na Mungu atakubariki zaidi
@ramadhanirama6636
@ramadhanirama6636 3 жыл бұрын
Matibabu kwan mzee abduli anaumwa???
@prosperkullaya4529
@prosperkullaya4529 3 жыл бұрын
Mungu yupo naaa akosei
@material_liv4674
@material_liv4674 3 жыл бұрын
@@ramadhanirama6636 yeah mzee abdul ana matatizo ya miguu
@learnandenjoy2373
@learnandenjoy2373 3 жыл бұрын
mzee alipewa milioni 5
@moziidavchonchi3338
@moziidavchonchi3338 3 жыл бұрын
Mzee abdul nae miyayusho kmmk
@cassimoa9217
@cassimoa9217 3 жыл бұрын
Shortly, Diamond, haukutakiwa kuongelea Family Affairs ktk social media, ungekuwa quit kwa hili. Kiislam hao wote hakuna baba yako, unabaki kwa mama yako. Kibinadam msaidie mzee Abdul kwa vile aliipokea mimba na alikulea kwa maelezo ya mama yako. Ulikuwa mtoto inawezekana kuna mengi haukuyajua. Muombe radhi mzee Abdul maisha yaendelee.
@reginaedward4883
@reginaedward4883 3 жыл бұрын
Stay to know whats goes around comes around, don't forget mzee Abdul
@Beingme2024
@Beingme2024 3 жыл бұрын
Ana that what comes to mzee Abdul when he has money he dint care the little did he know diamond will be successful
@yassinm69
@yassinm69 3 жыл бұрын
@@Beingme2024 na huyo babake mbona kamkimbia
@gobar5118
@gobar5118 3 жыл бұрын
@@Beingme2024 1​89​Madam
@depaolo3461
@depaolo3461 3 жыл бұрын
@@Beingme2024 even if why he decided to use abdul's if so...
@rehemakitara9978
@rehemakitara9978 10 ай бұрын
@@depaolo3461Alishaanza kutumia hilo jina akiwa mdogo yy ana kosa gani!!!! Acheni chuki zenu mbn mzee alikuwa na uwezo na akamtelekeza!!! Wacha avune alichopanda hyo Mzee Abdul 😢
@selemanihatibu3074
@selemanihatibu3074 3 жыл бұрын
Dunian tunapita tu. Mbona unaitwa Nasibu Abdul.....👋😊😊 napita tu.
@elishakalengo6368
@elishakalengo6368 3 жыл бұрын
Tuliopitia maisha ya wazaz kutengana ndio tunaojua haya mambo
@gabriellamabele9138
@gabriellamabele9138 3 жыл бұрын
Kabsaaa inauma sana
@gladnesskombe1288
@gladnesskombe1288 3 жыл бұрын
Kiukweli diamond amepitia mengi ndio maaana anajua kuishi na walimwengu
@jumannekhalifa7761
@jumannekhalifa7761 3 жыл бұрын
Msijazane ujinga nyie kwani kupitia maisha ya kutengana ndo usitambue mzazi?
@hidayakasambwa3713
@hidayakasambwa3713 3 жыл бұрын
@@jumannekhalifa7761 Anayejua ukweli huwa ni mama.
@jumannekhalifa7761
@jumannekhalifa7761 3 жыл бұрын
@@hidayakasambwa3713 mama nae akiwa mgawaji inawezakua ikamchanganya kutambua nani mwenye uhakika!
@frdausmwawughanga9047
@frdausmwawughanga9047 3 жыл бұрын
Lakin ungemsaidia Tu kiukweli mumemdhalikisha mze wawatu by mkumbuke malipo nihapa dunia were mtoto wskslam unasahau fadhila pesa zina mwisho Una nini chakumlipa mze hata kama alitoa shilingi moja mambo yake na mamako usingeyaingilia were ungemsaidia ukijua Tu nimzazi kama vile mamako bt Mimi sina pesa nitasema nitamsadia mze bt dua zangu Inshallah Nina Imanmumemfungulia baraka Yani atabarkiwa mpka mshangae Inshallah Inshallah
@miltonmachage2462
@miltonmachage2462 3 жыл бұрын
Njia za waongo zinakuaga fupiii Sana'a,,,wakumbuke lkn
@irenekerubo9791
@irenekerubo9791 3 жыл бұрын
Baba mzazi na baba mlezi wote waeshimiwe
@jerushanyawera4964
@jerushanyawera4964 3 жыл бұрын
🤐Aki sina lakusema,ila Sooner very soon Sir God will answer🇰🇪🇰🇪
@waenikasanzu2546
@waenikasanzu2546 3 жыл бұрын
Asikize wimbo wa Richie spice "the world is a circle"
@zuberkasim7150
@zuberkasim7150 3 жыл бұрын
Ata yesu alimuheshim yusufu kamababakamili kwaugaliwake nadagaa aliokula japo sibabayake wadam pendasana dunia kunasiku utaiacha inaskitisha
@amoswankara3863
@amoswankara3863 3 жыл бұрын
hapo mlaumu mamako ambae alikuchanganyia mafaili
@jacquesmoninga9245
@jacquesmoninga9245 3 жыл бұрын
MAMA yake alikuwa Mbwa malaya 🤣
@sakinahkenia9426
@sakinahkenia9426 3 жыл бұрын
Ww muongo mama yako ameshakulisha kumbe ulimjuwa babako muda na ni kwann uliendelea kutumia ubini wa abduli mamayako andaa majibu ya kumjibu allah ww ni mtt wa haramu na ni kwann mamayako alimsingizia mimba mzee Abdul lipa fadhila pumzi zisikudanganye
@ummuhkhalfan5542
@ummuhkhalfan5542 3 жыл бұрын
@@sakinahkenia9426 si sawa kumuita mtoto wa haramu maana nae kazaliwa tu uharamu wamefanya wazazi wake na wa kumlaumu ni mama yake kwa kutokumwambia ukweli maana mwenywe anasema miez 4 ilopita ndo kaongea na mama ake kuhusu baba ake ila uliposema akupe Fashola ni sawa kabisa hata kama c baba yake lakin bdo katumia jina lake
@depaolo3461
@depaolo3461 3 жыл бұрын
@@ummuhkhalfan5542 hakuna cha miez 4 wala nn Hawa wanajua wanachokifanya pumbavuuuu Hawa wanatupotezea mda
@dasilvajunior3016
@dasilvajunior3016 3 жыл бұрын
😁😁😁😁
@sofibaby1800
@sofibaby1800 3 жыл бұрын
Mmhh wajiuliza Ila ukweli waujua babako mzee abdul pesa mbaya ubadilishe roho pia
@masala8099
@masala8099 3 жыл бұрын
Mwandawazimu diamond akili hana hata kidogo choko huyu
@ambrosiamlinga8402
@ambrosiamlinga8402 3 жыл бұрын
You have so much hate in your heart
@elishakalengo6368
@elishakalengo6368 3 жыл бұрын
Jamaa anauchukia ukweli hahaha Sasa mwenye familia yake kasema Ivo
@fatmadarweesh4754
@fatmadarweesh4754 3 жыл бұрын
Ukitaka kumjuwa mtu muongo mtizame mdomo wake na macho yake Yani apo Modi kaongopa Kira kitu tena kinaonekana Nandio maana arikataa siku ire arivyo urizwa swari na waandishi arijuwa maswari yake asinge yaweza kujibu ss Reo eti kaja apo Ofsini kwake akijuwa akuna atae mtandika maswari akutane na waandishi wa abari aone kama ajalimbia maswari msenge sana uyo
@sumaidgasto4721
@sumaidgasto4721 2 жыл бұрын
Mzazi huku na huku ndio unamjua daaaah dogo unazingua sana
@wreshamodido2417
@wreshamodido2417 3 жыл бұрын
This is the best thing I love about SIMBA💪❤️
@ahmedadan1915
@ahmedadan1915 3 жыл бұрын
Safi sana diamond ww ni mungwana sana
@ndikumanasebastian8531
@ndikumanasebastian8531 3 жыл бұрын
Unachekesha sana kabisa na huyo umaarufu yoteeee kumbe hakili huna kabisa ,dishangai hata nyimbo zako xinaachilia moja kwa moja kwamba huna maadhili na hakili bcz hakili yako kashikiliwa na mama yako,Narendra kufuta nyimbo ,zako zote zenye ziko ndani ya simu yangu.
@mamausilamy1360
@mamausilamy1360 3 жыл бұрын
Hauna ujanja uwo Paka ww
@herbertstaford
@herbertstaford 3 жыл бұрын
kwamba unamkomoa au?😂😂
@mamausilamy1360
@mamausilamy1360 3 жыл бұрын
@@herbertstaford fara uyu Jamaa
@azizayahaya1767
@azizayahaya1767 3 жыл бұрын
Nyoooo mama ake ndo kila kitu fala ww yawezekana tu na wew unatelekeza watoto mbwa ww
@mamausilamy1360
@mamausilamy1360 3 жыл бұрын
@@azizayahaya1767 nyoko Ww
@zulfahamiduni5312
@zulfahamiduni5312 3 жыл бұрын
Sijui ni kiki sijui ni madrama au mauzauza ipo kazi hapo haya bhana Diamond nyange
@cutenaa6984
@cutenaa6984 3 жыл бұрын
Mtume (saw) kasema "Mtoto ni wa mama na Mzinifu lake ni jiwe" kwahio wote sio baba zake....mama yake hajaolewa.
@KhalidAli-xx4vk
@KhalidAli-xx4vk 3 жыл бұрын
Unamaanisha nasibu ni mtoto wa zinaa
@MtuSafi
@MtuSafi 3 жыл бұрын
@@KhalidAli-xx4vk ndio
@ashashaphy9413
@ashashaphy9413 3 жыл бұрын
Kwa stry inavokwend ni mtt wa nje ya ndoa
@allisonmadii7620
@allisonmadii7620 3 жыл бұрын
Duuh
@saidhassan9344
@saidhassan9344 3 жыл бұрын
Kwaio ni mtoto wa tendo la kharam
@nassorhilali120
@nassorhilali120 3 жыл бұрын
Duh mungu anakuona
@nassoromussa2423
@nassoromussa2423 3 жыл бұрын
Back sound is too much big....! Mtangazaji unaogopa kumuuliza maswali ya muhimu na ya msingi boss wako, ukumbuke hili jambo ni kubwa sana amefanyiwa mzee Abdul sasa interview km hii ni muhimu sana ili mashabiki wa Diamond(nikiwemo mm) na watanzania kwa ujumla tufahamu ili tujiridhishe na huu udhalimu.kwa mf; Je, kwa nn Mzee Nyange (Bubu)hakumlea Diamond? Lkn pili, km mzee Abdul sio baba yake mzazi, Je,ni kwa nn ulipewa ubini wake!? Yn Nasibu Abdul na sio Nasibu Nyange(Bubu). Lkn pia ni kwa nn mama yako alikuficha kuhs mzee Abdul sio baba yako mzazi tangu zamani, sasa hivi ndio anaweka wazi tena public!
@rehematogwa200
@rehematogwa200 3 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akuongezee hekima ikuongoze.
@revocatusrubaba4416
@revocatusrubaba4416 3 жыл бұрын
Umejieleza saana uhakika ni DNA
@omarydullex2344
@omarydullex2344 3 жыл бұрын
Tushachoka mastory yenu yasioisha Kwan mkinyamaza shida 😇😇😇😇😇
@mwasilemboanthony3771
@mwasilemboanthony3771 3 жыл бұрын
By the way Mungu ndiye anajua. Halafu it's not a matter of speaks high like, easy easy
@hassanandnabil7243
@hassanandnabil7243 3 жыл бұрын
You kid shut up and talk something else. Stop create myth story. We are not fool or stupid,, you should feel shame to yourself.. Do you real think, this is previledge of you try to humiliated some one who has been there from the day of your mum pregnancy of you... You are disgrace.
@baltazarymagata1146
@baltazarymagata1146 3 жыл бұрын
Mungu atakuhukumu ww na mama yako
@abelubamba7409
@abelubamba7409 3 жыл бұрын
Nilikuwa nakuheshimu bro!,,,,,
@Werema3760
@Werema3760 3 жыл бұрын
Usipo mheshim watamheshim wengine
@magrethyasso3104
@magrethyasso3104 3 жыл бұрын
@@Werema3760 kwalipi labda kwa upupu huo duuh hata sisimizi wstamtupilia mbali
@Werema3760
@Werema3760 3 жыл бұрын
@@magrethyasso3104 hiyo ni family conflict iliyochochelewa na mzee! Mbona walumstai tangu mwanzo! Mond kudrop kimuzik na kiuchumi kaz sana labda kifo au uzee! Ni mtu yuko peace na muwaz! Sasa mlitaka aseme ni baba ake angali mtandao ulichafuka kwa swala hilo?
@hadijasalum6373
@hadijasalum6373 3 жыл бұрын
@@Werema3760 sasa ndio umechafuka zaidi
@kennix6457
@kennix6457 3 жыл бұрын
Bdilisha hata na jina basi. Uitwr naseeb nyange. Abdul achana nalo kabisa
@kesslycompanyltd
@kesslycompanyltd 3 жыл бұрын
Nilikuwa na kuona kama mtu shezi wee 🙌 pumbavu kweli
@rahmaally5419
@rahmaally5419 3 жыл бұрын
Mamaake alikuwa mdangaji Mara kila mwanaume anajitokeza yule wamwanza wanafanana Sana na mond
@shambiraghasi2777
@shambiraghasi2777 3 жыл бұрын
Pumbavu wewe mwenyewe.yako yanakushinda ya d utayaweza kweli
@aisharevelian6933
@aisharevelian6933 3 жыл бұрын
Diamond your too brave my brother...ipo cku wataelewa2
@نااوتتت
@نااوتتت 3 жыл бұрын
Munafanana..sana.walai
@sakinaabdallah7713
@sakinaabdallah7713 3 жыл бұрын
Mwachieni tuu laana ya mzee wetu ishamvaa huyu
@chikundayaula9684
@chikundayaula9684 3 жыл бұрын
We unasema km sio mwnamke?hujui mama pekee ndo anajua mtoto wa nan?
@nuurinkluge3263
@nuurinkluge3263 3 жыл бұрын
No no diamond he speak the true things 💖💖💖🙏
@samuelmwilongo7299
@samuelmwilongo7299 3 жыл бұрын
Mimi kuanzia Leo najitoa kukushabikia siwezi kushabikia ujinga Tafadhali niungeni mkono jamani huyu dogo anaongea ujinga mtupu siwezi kushabikia ujinga
@msumenoja6048
@msumenoja6048 3 жыл бұрын
Ulita aongee ni babaake au kuma weee jichokonoe
@frolasiminu9955
@frolasiminu9955 3 жыл бұрын
Mpuuzi kama mama yake hafai hats bure
@hamadiayossy190
@hamadiayossy190 3 жыл бұрын
Haujalazimishwa umshabikie chibu wewe,jikatae
@marthamramba6305
@marthamramba6305 3 жыл бұрын
Bina damu tunakosea😭
@mohammadfahad3186
@mohammadfahad3186 Жыл бұрын
😂😂😂kakojoe ukalale😂
@azizayassin3623
@azizayassin3623 3 жыл бұрын
Pmoja kicha wngu imeisha iyoo🤩😍🤩😍
@danielsamson1013
@danielsamson1013 3 жыл бұрын
Sasa jina la naseeb abdul unalitumiaga la nn sasa 😥😥
@bwanabrainex433
@bwanabrainex433 3 жыл бұрын
Asant✌️✌️✌️✌️
@prosperkullaya4529
@prosperkullaya4529 3 жыл бұрын
Lol!
@danielsamson1013
@danielsamson1013 3 жыл бұрын
@@prosperkullaya4529 toka zaman anajiita naseeb abdul leo anatuambia ujinga ujinga apa
@bjzee1981
@bjzee1981 3 жыл бұрын
Si ma kenge tu hawa. Kila siku wana mapya
@williammkenda3062
@williammkenda3062 3 жыл бұрын
Eeeee jina walitumia la nini wakati ulijua sio Baba???? Acha kudanganya watu wazima bwana, ulilofanya sio sawa
@issayeri1937
@issayeri1937 3 жыл бұрын
Diamond Wewe ni Shaba wa Dunia
@naseershiner6738
@naseershiner6738 3 жыл бұрын
Mnajua ninyi huwa mnaa kaa mna hukumu ovyoo tu wakati hata Abdul mwenyewe ukimsikiliza tu tayali anawenge na ndo alie anzia hata kumkana hata kwa mitandaoo kuwa Mimi diamond simhesabu Kama mwanagu harafu Leo mnamuona diamond mpumbafu na huku Abdul hakumuweka karibu diamond tangu yupo chali acheni Mimi sipendagi upendeleo mwenyewe haya yapo tunaishi nayo
@benji3196
@benji3196 3 жыл бұрын
Sasa huyo Nyange aliye talekeza mimba ndiye anayeonekana ali tenda wema sana?Aliye leya mimba pamoja na mtoto akaoneka hafai kupewa eshima yake kama baba.
@halimasalum9701
@halimasalum9701 3 жыл бұрын
Kweli kaka tusiangalie upande mmoja
@amourkhamis8259
@amourkhamis8259 3 жыл бұрын
Ni kweli unayoyasema na hapa tumepewa funzo tujifunze.usibague mtoto.wanaume tabia hizo mnazo Sana
@naseershiner6738
@naseershiner6738 3 жыл бұрын
Unafikili alicho kisema diamond labda kakosea hapana ni mtazamo tu Mara nyingi ukikuta mtu aliye na uwezo frani Kama kuna mtoto yuko nae harafu mimba labda haihesabu Kama yake ni vigumu saana kumjali mtoto sasa Mara nyingi watoto wa hivyo huwa Wanakuja kufanikiwa balaaa inabaki majuto ni mjukuu hamjui maisha akiyokuwa anayaishi Nasibu pengine ungekuwa wewe wala usingekoloma ila ni Siri za family piah mama zetu wanapitia magumu Sana kutukuza sisi naongea hivi Mimi piah melelewa na mama Yangu baba was left longtime from two thousand up now I live with mom even though mom Geted marriage and I have a daddy we are not litle friend like the Lily Dady so make sure you show love for Evey body you live with you don't know the next seasons thank for reading
@collinsstanley6126
@collinsstanley6126 3 жыл бұрын
Alikuwa anamagari kuzii mzee Abdul alilocha step😎
@shambiraghasi2777
@shambiraghasi2777 3 жыл бұрын
Kwa hiyo magari pesa ndo ilimfanya akakataa diamond na make sasa atatia akili
@jamilasalimvilog6752
@jamilasalimvilog6752 3 жыл бұрын
Duh yangu macho tuu 🙏🙏🇰🇪
@binurusm8886
@binurusm8886 3 жыл бұрын
Kweli akili ni nywele kila mtu ana zake, Sio kila jambo lizungumzwe katika mitandao, Mama Nasibu na Mwanao Kiukweli Mmechemka, mkae mliangalie/mlifikirie Hilo, Na Mwenyezi Mungu Atawabariki, Aamina.
@isikesamike
@isikesamike 3 жыл бұрын
If I would be Diamond, I would keep my mouth shut about this scenario. Why you waited to say this until you're well-of? Pesa mwanaharamu kabisa! 😭
@letustalk.tuongee2186
@letustalk.tuongee2186 3 жыл бұрын
Indeed he was not supposed to disclose all this shit.
@isikesamike
@isikesamike 3 жыл бұрын
@@letustalk.tuongee2186 sure!
@fruitsmashurwe8552
@fruitsmashurwe8552 3 жыл бұрын
Sasa ayo Maneno yate ya nini aende na awo wandugu zake wafanye DIA ma shabiki wapate ukweli.
@irenekerubo9791
@irenekerubo9791 3 жыл бұрын
Vtrue
@nasrasalumu7005
@nasrasalumu7005 Жыл бұрын
Huyo ndio baba yako muogope mungu
@miumanchannel197
@miumanchannel197 3 жыл бұрын
Ama kweli dunia ina mambo,hivi skuizi mtoto ndiye anae chagua babake kweli pesa.....
@marthamramba6305
@marthamramba6305 3 жыл бұрын
Siku za mwisho watoto watawakana wazizi waoo😭😭
@jacksonmakuki7893
@jacksonmakuki7893 3 жыл бұрын
hahhaha hatari tupu
@upendoerasmo9414
@upendoerasmo9414 2 жыл бұрын
Hiyo laana haitakaa imuache
@estherkimario7940
@estherkimario7940 3 жыл бұрын
Hela bhana
@73chengosaro4
@73chengosaro4 3 жыл бұрын
NYANGE ALIKUWA WAPIMAMAKO AKIENDA KWA MZEE ABDUL ??----Kilichompeleka mamako kwa mzee abdul ni nini ???-------- mpaka mda wote ukisoma hadi kumaliza hadi ukubwani uktumia jinalamzee Abdil -- Nyange alikwa wapi??-------------- wewe namamako mumemdhulu huyu mzee sana
@felisteredward6319
@felisteredward6319 3 жыл бұрын
Ndio maana akaitwa Nasib Abdul
@samxx411
@samxx411 3 жыл бұрын
Ndo maana huyu diamond na mambo yk km uhuni uhuni tu
@nuruelmada9570
@nuruelmada9570 3 жыл бұрын
Pamoja na yote yanayo endelea katka Dunia hii lakini Msisahau kama Mungu yupo😭
@haimanmartin7653
@haimanmartin7653 3 жыл бұрын
Fanya utakavyo utaripwa utakavyo
@OscarAsukenie
@OscarAsukenie 3 жыл бұрын
""2010 sijui,,,, 2000 "" hapa ninahis kuna jambo hapa.🤣🤣🤣🤣
@dasilvajunior3016
@dasilvajunior3016 3 жыл бұрын
Sijui nilikuwa na miaka 11 😁😁😁
@nellykasanda825
@nellykasanda825 3 жыл бұрын
Kauma ulimi huu niuongo zahiri
@bogyboypiechez6240
@bogyboypiechez6240 3 жыл бұрын
Tuned in Nairobi kenya
@pauljohn3500
@pauljohn3500 3 жыл бұрын
Wew hakuna k2 niupuuz2
@hjaymwaminifu3781
@hjaymwaminifu3781 3 жыл бұрын
MOND ni fala
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 3 жыл бұрын
Kichwan punga zimejaa
@alexjackson6608
@alexjackson6608 3 жыл бұрын
Everything will pay my brathar......Usipende tu kumsikilisa mama Yako mwenyewe jua na wewe baba Yako ana nafax kubwa Kwenye MAISHA yako.......
@justingeorge8276
@justingeorge8276 3 жыл бұрын
Hahahaaaaaaaaaa mchele umemnyima mtoto mzee abdul Hiy nd nguv ya ubwabwa mm diamond bhn
@ramadyzo5587
@ramadyzo5587 3 жыл бұрын
Huo niongo mtupu ushaalishwa sumu babangu pole sana kk usione nisifa ila iposiku utakuja kujua samani yamtu sisi wote hatujui baba zetu ila yule alie kulea tunajua ndoo baba yetu au ndoo babangu inshaanlla hatujui yule mzee anaumia VP moyoni kikubwa tumuachie mungu
@homchanel6934
@homchanel6934 3 жыл бұрын
We hujui chochote unaambiwa nakufata utapotea
@yunyun799
@yunyun799 3 жыл бұрын
😭😭😭
@mwakirudena1645
@mwakirudena1645 3 жыл бұрын
Sis enye tulpitia maisha kama diamond ndo tu naelewa vile anasema,,,,
@iansavage95
@iansavage95 3 жыл бұрын
@@mwakirudena1645 kweli wengine hawa ni kelele tu
@benedofilipe7064
@benedofilipe7064 3 жыл бұрын
Mshenzi sana wewe mpuuzi aujielewi ndondocha
@pereraabdi8096
@pereraabdi8096 3 жыл бұрын
a
@bricksentertainment460
@bricksentertainment460 3 жыл бұрын
Nimeguswa sana yani , alivo eleza Diamond .Nilishawahi kumsikizia tena mzee Abdul maelezo yake and I think Mzee Abdul anatatizo Fulani ambalo Kwa Udadisi wangu Diamond haelewi yani, Ningeomba tu yani hawa wote wakae kikao na wa solve hii issue yani dunia tunapita tu .
KIBEGI CHA MAKOMBE YA SIMBA SC NDANI YA LAKE TANGANYIKA KIGOMA
6:08
I thought one thing and the truth is something else 😂
00:34
عائلة ابو رعد Abo Raad family
Рет қаралды 12 МЛН
SIZE DOESN’T MATTER @benjaminjiujitsu
00:46
Natan por Aí
Рет қаралды 7 МЛН
Мама у нас строгая
00:20
VAVAN
Рет қаралды 12 МЛН
Twin Telepathy Challenge!
00:23
Stokes Twins
Рет қаралды 129 МЛН
[LIVE] Cara Mengenal Allah - Ustadz Adi Hidayat
2:00:59
Adi Hidayat Official
Рет қаралды 1,1 МЛН
Studio Session KOMANDO,G nako ft Diamond Platnumz
25:35
Diamond Platnumz
Рет қаралды 471 М.
I thought one thing and the truth is something else 😂
00:34
عائلة ابو رعد Abo Raad family
Рет қаралды 12 МЛН