RECAP: HARMONIZE ana mahusiano na ABBY CHAMS?? anaongoza kwa SHOWBIZZ kwa sasa, ukubwa wake UNATISHA

  Рет қаралды 4,826

Bongo5

Bongo5

Күн бұрын

Пікірлер: 45
@RachelMingieshi
@RachelMingieshi 14 сағат бұрын
Leo nime kupenda sana ndugu yangu una zungumza ukweli kabisa 💪💪💪💪💪
@TelesphoryNdabilinde
@TelesphoryNdabilinde 20 сағат бұрын
Sema atoe ngoma kali sana
@thebabilon7
@thebabilon7 15 сағат бұрын
Harmonize ni nguli sana sana anaiweza hii game jeshiiii Harmonize ontop 🎉🎉🎉🎉🎉
@SnowfallpoliticalTV
@SnowfallpoliticalTV Күн бұрын
😂😂😂😂 anazungumziwa Hana endorsement hata moja show zinemebuma Hana kipya eti Leo unamsifia kwa trend ambayo hata amorapa anaweza kufanya 😂
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc Күн бұрын
Yaani kweli kabisa 😂😂😂😂
@MbalasaJRMwakabalile
@MbalasaJRMwakabalile Күн бұрын
Show ya unganda,kenya,ulijaza wewe na babu yako😏😏
@StevenGibuka
@StevenGibuka Күн бұрын
Vp kuhusu show Alizofanya mama ako😅
@McAdamsChiry
@McAdamsChiry 17 сағат бұрын
Unamfananisha na hamorapa... uko sawa kweli😂😂😂😅
@MashakaSelemani-w2k
@MashakaSelemani-w2k 13 сағат бұрын
Mama ako mbona azungumziw
@PuntaHilal
@PuntaHilal 3 сағат бұрын
safi sana
@DjemsTorontos-d8p
@DjemsTorontos-d8p 22 сағат бұрын
Ni kweli harmo ni msanii mkubwa ila ww njo umjui harmonize ata mwaka mzima ni yeye tu 🔥🙌
@CarlosAmergo
@CarlosAmergo Күн бұрын
Iyo ni kweli kabisa
@DonMuyuya
@DonMuyuya Күн бұрын
Ata na mimi najuulizaka kwa Nini paka harmonize ku trendy Kila siku 😂😂 mwamba ni maji ❤❤ tuna mu penda sana uku congo❤❤Lubumbashi
@MohamedAhmed-ns5mi
@MohamedAhmed-ns5mi 12 сағат бұрын
Hana jipia huyo
@davidFortunatus-ib9cb
@davidFortunatus-ib9cb 22 сағат бұрын
Leo umeongea point
@hemedabdallah6657
@hemedabdallah6657 10 сағат бұрын
Kweli kaka unazungumza harmonize anajuwa gemu sana
@ByaombeIlanga-g9y
@ByaombeIlanga-g9y Күн бұрын
Kweli jamani akajuwa❤❤
@MohamedAhmed-ns5mi
@MohamedAhmed-ns5mi 12 сағат бұрын
Unaogelea uwandishi vp kuhusu maromboso
@NelsonMaganya
@NelsonMaganya Күн бұрын
Kweli kabsa kaka
@baddesmoney99
@baddesmoney99 22 сағат бұрын
FACT💯🧏‍♂️
@Luckreadyog
@Luckreadyog Күн бұрын
Watu na kula kupitiya content ya harmonize
@cboymusik
@cboymusik Күн бұрын
Huyo ni msani wa Tanzania tu😂😂😂😂
@VeroniqueNgoy-f3q
@VeroniqueNgoy-f3q 22 сағат бұрын
Sasa ulitaka awe msanii wa inchi ngapi wa kati kazaliwa Tanzania
@McAdamsChiry
@McAdamsChiry 17 сағат бұрын
We ulidhani ni msanii wa kenya?!😂😂😂
@cboymusik
@cboymusik 8 сағат бұрын
@McAdamsChiry hapana wa Bongo tuuu
@Triany-y5o
@Triany-y5o Сағат бұрын
Haina shida wewe c unatoka Canada
@BonfilsBaleke-d1h
@BonfilsBaleke-d1h 27 минут бұрын
Kweli jamaa anajuwa
@Koffian.254
@Koffian.254 31 минут бұрын
We nae hueleweki,wasifia ujinga leo hii,kwaio akitrend kw ujinga ndio atafaidika na nini
@JumaJux-26
@JumaJux-26 10 сағат бұрын
bombo cluuuuuuuuuuuuuu
@HagiraLanga
@HagiraLanga Күн бұрын
Kbx jeshii😂😂
@NelsonMaganya
@NelsonMaganya Күн бұрын
🤣🤣🤣
@EvelynLissa-z5z
@EvelynLissa-z5z 13 сағат бұрын
Hauwezi kuwa kwenye mahusiano na abby huyo sio type yake kabsaa wanafanya nyimbo
@Triany-y5o
@Triany-y5o Сағат бұрын
Inawezekana ata mondi Tanasha,wema,Zari,Joketi na wengine Hadi kwa kipwapire Zuu
@NelsonMaganya
@NelsonMaganya Күн бұрын
Konde yuko na neema ya mungu kaka
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc Күн бұрын
😂😂😂😂😂😂 Hana hata endorsement hata moja
@MuganzaIlkando-l7v
@MuganzaIlkando-l7v Күн бұрын
Sasa hiyo ndiyo promotions za kazi zake??
@malianonicass7029
@malianonicass7029 23 сағат бұрын
Tofauti yake na mond kipindi anafanya show biz zilikua zinaongozana na ngoma Kali hit sasa huyu mjomba
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc Күн бұрын
Hana lolote bro!!! Anateka game kwa ku trend tuu? Hana endorsements hata moja? Hamo hana lolote jamani? Sasa ameongea nini?
@vincentgeorge178
@vincentgeorge178 Күн бұрын
Leo no 1 kesho utamsifia mwingine ni no 1 yani wee hueleweki
@strong8534
@strong8534 Күн бұрын
Mwehu huyu. Mara Mbosso, mara marioo mara Jay Melody
@MuganzaIlkando-l7v
@MuganzaIlkando-l7v Күн бұрын
Sasa hizo scandal Ndio power?
@KapsaraKelvin
@KapsaraKelvin 19 сағат бұрын
Kila siku ni konde boy kenya
@MuganzaIlkando-l7v
@MuganzaIlkando-l7v Күн бұрын
Jamaa nawe una bwabwaja saana
@JacksonKachila
@JacksonKachila 23 сағат бұрын
Hamuna kitu unaongea kuji fulahisha sisi hatutaki majingambo yakijinga kawa mwehu
@MeshaLeckison
@MeshaLeckison 21 сағат бұрын
Sema ww kukufatiria tuta acha Mana huereweki mambo ya kijinga haYo ndo yana kutoa roo sema ndo kura yako pore
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 42 МЛН
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 42 МЛН