Please subscribe now on Our KZbin channel To be the first to hear about the latest news and updates on Time.
Пікірлер: 301
@naimamunishi12414 жыл бұрын
Me nachoweza kusema n Ya ALLAH tujaalie mwisho mwema ummat Muhammad 😢🙏
@subranadja40524 жыл бұрын
Ameen
@issaahmad12644 жыл бұрын
Nimependa sana coment yako!!!!
@emmanuelzakayokalume62374 жыл бұрын
Naima Munishi inshalah
@fatmaoudh63554 жыл бұрын
Ameen
@aminahamis93434 жыл бұрын
Kabisa dada 🤝
@isaacwaswa97974 жыл бұрын
I am a Ugandan but luv Tanzanian music wafasi stronger
@awashahmed44884 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@janetkazungu72332 жыл бұрын
@@awashahmed4488 🤣🤣🤣so poaw
@rebeccanakamya32652 жыл бұрын
Am a ugandan to but like zuchu's song so much 🇺🇬🇺🇬🇺🇬😍
@lukasdalla51584 жыл бұрын
Sisi ni simbaaaaaaaaaa sisi ni simbaaaaaaaaaa zuchu baby mwaaaaaaaa wao uwiiiiiiiiii
@sultanaswaleh88924 жыл бұрын
Zuchu my daughter umeongea vizuri Sana.... ilv you so so much 😍😍😍
@VeronicaAJuma4 жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe limetamkwa sana hadi raha
@leilamohammed17594 жыл бұрын
Here for my boo Mbosso 😂😂😂
@aishamremi89064 жыл бұрын
yaan both they are happy, crazy together, that's wonderful
@everlynemutuku46844 жыл бұрын
Lavalava is so cool
@estherkatsutsu36532 жыл бұрын
Pole dada zuchu ,umusichana mrembo Sana zuchu lakini sijui wasumbuliwa nanini maa hebu usiangalie hapa angalia kule mbele kijana mwenye uko naye sikijan mwenye unaeza ishi nayeye Hadi uzeeni kua Makini n mapenzi yasije yakakutia kitanzi
@agbordorothy4901 Жыл бұрын
Wise talk
@gracek.uganda39042 жыл бұрын
Diamond is one of the people I would love to meet in life
@gwamakangwala64682 жыл бұрын
I love Romy Jones. He is so down to earth.
@carolabel17644 жыл бұрын
Mkona uhakika na hyo "Bwana yesu asifiwe" ama ni peer pressure tu
@irenekristopher87404 жыл бұрын
Hajui kuimba huyo
@carolabel17644 жыл бұрын
@@irenekristopher8740 ata hakuna wimbo yake moja najua
@shuubenpeter47694 жыл бұрын
Shikamoooooh WAMBEA WA TANZANIA
@lukasdalla51584 жыл бұрын
Unateguliwa nyuma et unaropoka2
@minzaahmada47874 жыл бұрын
Yani wambea Na wazushi ivo baby iko wapi watu ni unafki tu hawampendelei mema zuchu wanataka kumtia doa Na kumchafulia tu kwakweli mungu hatosimama nanyi
@denicelingay84964 жыл бұрын
Napenda sana muuziki wcb kazenibut
@roughcomedian49372 жыл бұрын
Mboso khan my all tym best musician
@imeldasewe76414 жыл бұрын
Wasafi!!!!!!!!! I really them plus their music plus their shortcomings
@joharij46764 жыл бұрын
Kizungu cha wapi iki mbavu zangu mie
@levinamwaila78474 жыл бұрын
Romy so smart also clean and sharp sharp😊
@saidimusa18294 жыл бұрын
Ukishakua msanii wa mziki kama ulikua muislam unakua nje ya uislam kama huswali na sijui dini gani imewaruhusu mvae hereni muogopeni Allah mnakua makafiri sasa kama huswali swala tano aaa hamna mjadala ww ni kafiri
@aminahamis93434 жыл бұрын
Kuna wengine wanasikiza mziki hata adhana ya ijumaa mtu una mwambia adhana inapigwa funga mziki wako anakwambia niko tafran yaaani we acha tu ile siku Allah atatuletea adhabu nyengine kuhusu mtandao sijui wanamiziki na wafuasi wao watakuaje kwa kweli.
@winfridagama20424 жыл бұрын
Wa kwanza leo,Zuchu jitunze mumy Simba mwenda pole ndiye....
@jacklinematonange71814 жыл бұрын
Mla nyama
@fubug21013 жыл бұрын
Hahahaha me nadhan hawa jamaa walidhan bang nitumbaku
@fubug21013 жыл бұрын
Eeeh jaman muachen zuchu ajishikize kwamuda kwan si kapack km meli inayo subili abilia !!!
@williaellymarawiti49374 жыл бұрын
This beyond my understanding!! Fur coat in Dar? Where is she at? People 😕 I feel so embarrassed.
@mediatvuganda71804 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/d3mph6lpqpqMn80 👆👆Subscribe Dia
@MercyMazmida4 жыл бұрын
Thank u thank u, that's exactly wat am wondering too Africans exaggerate things
@MercyMazmida4 жыл бұрын
Tz mnashida
@AlekyzTheGreat554 жыл бұрын
She's pregnant just trying to cover it..
@cheiknamouna20584 жыл бұрын
Mama angu aliniambia kuwa uyaone
@annelvaldez77384 жыл бұрын
Zuchu ,, you too young to be heartbroken,,,,tafta Kijana atakaye kueshimu,, akutunze muishi,,, domo ni yule yule
@sharonamondi1854 Жыл бұрын
Uliona mapema..... Ni wapenzi 🥰
@herrymbishi91704 жыл бұрын
Big up sana kwake zuchu
@bisekoc.k.jenjela79364 жыл бұрын
Safisana.
@user-ru4fv6th2g Жыл бұрын
Excellent all of you
@annelvaldez77384 жыл бұрын
This is totally madness,,, too young yo waste ur youth with this player zuchu ,, anyway ,, do what makes u happy
@jumberichardkilopa64652 жыл бұрын
Wasafi juu sana Good bleess
@yousufswaleh3544 жыл бұрын
Hahahahahahahahahahahahaha Kenny umenimaliza kk
@evawambugha49394 жыл бұрын
Bwana asifiwe like🙄🙄
@daudisumbya64734 жыл бұрын
Nyinyi hacheni bangi, bangi sio mchiche mjuwe
@Ahmed-fm5fr4 жыл бұрын
Sasa hii press niyakumsifu zuchu tu sio😉😉😉
@saidmwanaharakati63634 жыл бұрын
Wasafi mko juuu
@shakiraomary56744 жыл бұрын
sasa nin kichwa cha habar nyie achen upumbavu halaf msimshikishe mungu na upumbavu wenuu nyamaa nyieee
@ghanimaali45074 жыл бұрын
ww kiboko nimependa sms yko hawa ni zaidi ya nyama ni mashetani kabisaaaa
@mercychebet25992 жыл бұрын
For me Zuchu and Diamond fits each other the other women were so smart for him...kisura and everything they fits
@faridajuma8872 Жыл бұрын
Ugeni wa kaburini ni mzito mnooo tubadilike kuna maisha baada ya kufa
@mwajumaathman51142 жыл бұрын
Hongeraa zuchuuu
@wazirikhamisi48284 жыл бұрын
HAWA JAMAA WASHAMBA SANA
@lidiamshana37564 жыл бұрын
Akili zenu ni moja ndoman wote mmehamiya ccm Sasa wote mnamnaka zuch mumlale ndoman mna mpasifa zaaajabu
@shabandominick97294 жыл бұрын
Wew fala
@destausingenzi44504 жыл бұрын
We Malaya acha kubweka
@destausingenzi44504 жыл бұрын
We Malaya acha kubweka
@nuwayirally47274 жыл бұрын
Zuchu jitunze mama usikurupuke tu
@rukiashaban51583 жыл бұрын
Kweli kabisa asikurupuke
@Kasweetie_2542 жыл бұрын
Kumbe walianza mapenzi zamani hivi.🤔
@jackmwangi19014 жыл бұрын
Simuoni harmonize vp.
@jnaymichael57584 жыл бұрын
Sanaaaaaaa
@damianraymond27764 жыл бұрын
Vizuri
@mwajumaathman51142 жыл бұрын
Inshaallah dear
@levinamwaila78474 жыл бұрын
Lava lava looking so good these days😊well groomed
@rehematulambwa76974 жыл бұрын
Yes I wanna I like to her I love her baby I am very fine baby love
@agatharmghanga30922 жыл бұрын
Pia sisi hapa Diani Kenya tumegundua hilo. Heko Lavalava weee
@judieeissinika93654 жыл бұрын
Cmuon rayvan
@meshakimahali74884 жыл бұрын
Pambna unajua kuimba zuchu
@SaraSara-tb2lm4 жыл бұрын
Zuchu ashaa uzwa pole Dada nikwa muda I feel sorry for them why sell ur souls to tha devil for fame
@conslatorjossy39514 жыл бұрын
Mmmmmhh..zuchu nawe take care usipatiwe mtoy na mod kisha ukawachwa, u can see his lineup ,ya mabb..
@harrietsolange75414 жыл бұрын
Hi
@merciethairah25974 жыл бұрын
Mbona sioni vannyboy
@seifjuma34714 жыл бұрын
Vanniboy wameanza kumtenga wanahisi ata wa hermoniz 😂😂😂😂😂
@hamisimapalala77094 жыл бұрын
ZUCHU ANAJUA SANA ANAIMBA STAIL ZOTE
@jaffarykill14324 жыл бұрын
Ww sio unatafunwa
@preciousrobson33944 жыл бұрын
Jaman bongo kuna baridi hayo mavazi ya darlin
@safiangaiwa25972 жыл бұрын
Good
@drsmartdanial37354 жыл бұрын
Siku itakuwa,moja tu, mungu atawapiga mutashangaa kabsa kwani upumbavu wenu munamchanga,ndani,mungu?
@amaniharub15694 жыл бұрын
Mbosso unazingua bwana yesu unajisahau kabla Assalam alykum we kijana wa kislam
@biharucussi81304 жыл бұрын
Ata mie nmeshangaa🤔lkn labda ameritadi
@umbeaeastafrica79434 жыл бұрын
Inclusivity ili kila Mtanzania ajiskie WCB ni nyumbani. Amefanya vizuri.
@lutifiaussi37284 жыл бұрын
@@umbeaeastafrica7943 fala we nyumbani kabla ya Mungu wako
@barakarobert70034 жыл бұрын
Bro hata mm nmeshtuka kwel ...nlfkir sio muislam bhna ... kumbe hadi madrassa kaenda.....Huu n msiba mkubwa mnoo... Mwnyezi MUNGU atufanyie wepesi.."inshallah"
@barakarobert70034 жыл бұрын
@@lutifiaussi3728 huyo.@Be Je Fa n kafir kma makafir wengne ...so hajui uislam unataka nn kaka
@starridge36154 жыл бұрын
Nawapenda kwerikweri
@jescarmassawe43962 жыл бұрын
Jamanii ila wanapendezeana
@sheilaabasi66254 жыл бұрын
Hongera Simba
@gwamakangwala64682 жыл бұрын
Duuuuuuuuuuuuuu Diamond anajua kutafuta Kiki kaipata for real.
@petronanyaro30014 жыл бұрын
Simba toka mbuga ya serenget, swala wakae standby, laxima mtoto wa 6/7/8, isomeke soon,
@mariamsuleiman16384 жыл бұрын
Hii conference ilikua ya kazi gani
@ukhtyrayyan78844 жыл бұрын
Wacheni ujinga wakutowa aya zaquraani namiziki yenu ivo nyie kweli hamjui kwamba kukaaa kichwa wazi dhambi mbele yawanaume au kuimba mziki ivi hamujui kama dhambi manapata fhambi mana mzimi haramu
@whatif..69614 жыл бұрын
We fanya yaliyo mema machoni pa mwenyezi Mungu wako! Hao unawasema ni Wadhambi, wana uwezo wa kutubu na ukawakuta mbinguni, kwaiyo KAA KIMYA.
@mikailomar4 жыл бұрын
Ukafiri ni ukafiri huna jina lingine..hawa wote makafiri na waasi wa dini..ndio kuna kutubia ila toba niya mwenye kujuta madhambi yake..hawa ni anasa za dunia zimewaghafilisha na kumuasi Allah kwa miziki na zinaa..mm ni mwenye dhambi ewe Allah nisamehe na unioneshe njia ya Haqqi..waongoze waliopotea
@nadiamohamed25484 жыл бұрын
Lavalava u so sweet
@rayaali75512 жыл бұрын
AATIII BWANA YESU ASIFIWEEEEEE WANAAFIQ UTAWAONA TUU MUNGU ATAWADHIHIRISHATUU
@levinamwaila78474 жыл бұрын
Waaah tz hawaogopi corona,no masks,everyone’s mouth close to the microphone😳 no social distancing as well
@stansilauseliasi78834 жыл бұрын
Colona hatuijui sisi tumesha omba mungu
@aishabuwa13904 жыл бұрын
Wacha wafe tu😂
@mwajumaathman51142 жыл бұрын
Jthdn wasafiii munguu aallaaah awatngulieee lkn n nyiee msimuachee munguu kilaa hatuaaa n munguuu
@susankimani1474 жыл бұрын
Wearin those black things is no longer fashionable, we nid to see the real deals, the real you, #wcb
@sandraburundi68134 жыл бұрын
Sawa
@queenbyola6344 жыл бұрын
Mchew
@bettymuks70722 жыл бұрын
So this clip you take 1 year ago or what do you mean??
@Bongovillagevlogs4 жыл бұрын
Diamond platnumz is typing.........
@zulekhaponti93532 жыл бұрын
😎vipofu .
@chumemarehema83284 жыл бұрын
Wanahabari wa bongo bure kabisa yani hamuoni ata haya kuchafua sifa za wenzenu ili mtu aingie tu munajikusanyia moto nyie huo ni moto wenu kesho ahera mwaona uzushi ni dili
@mohdalwaili52894 жыл бұрын
Mnadanganyana
@mikailomar4 жыл бұрын
Kweli bro..wamepotea hawa ni makafiri
@levinamwaila78474 жыл бұрын
Why vannnyboy is missing out?????
@rusularimba84194 жыл бұрын
Whyyyy?
@majaedmond16264 жыл бұрын
waongo
@victoriamariki1231 Жыл бұрын
❤️❤️❤️
@subrynerysegerow13234 жыл бұрын
Hakuna channel mbovu KZbin Kama hiii
@maryanahmedali90594 жыл бұрын
Subuhanallah
@marcemarco37474 жыл бұрын
Jamn zuchu hakuna kitu jamn tuache kupamba ujinga tafadhar
@hamisimapalala77094 жыл бұрын
Wivu wa kishamba, aliyepewa KAPEWA,
@samirarashid81864 жыл бұрын
Ba Mu Merci
@lukasdalla51584 жыл бұрын
Marce w kenge2 tim koroxho umefatanini hapa kamuxubil mmakande akuimbie
@auntiemylee31574 жыл бұрын
@@hamisimapalala7709 watu na nyota zao mjini mwambie
@budigabirdman45584 жыл бұрын
@@lukasdalla5158 XAXA NIN KENYE ZUCHU HUIMBA KAMILI?ACHENI KUSIFIAUTOPOLO HUO NI UJINGA USHAMBA WCB STARABIKENI MWANZO ACHENI KUJIFANYA MNAJUA NA HAMJUI
@judithsidi10874 жыл бұрын
Sasa jacket hizi Africa na hakuna baridi sielewi
@kenyanlink39002 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@zeinabali85584 жыл бұрын
Queen darling anaficha mimba😂😂kwiyoooooooo😂😂
@subranadja40524 жыл бұрын
That's why i really don't like this group WCB because they don't feel shame wallah.
@aminawilhelm28314 жыл бұрын
🙏🙏❤️❤️❤️
@eliaabethlyd55682 жыл бұрын
Acheni kuva miwani yakizungu nasiyo Yesu ni ( Christ only if someone told you about Yesu I heard that is name is Christ only not Yesu or Jesus
@julianasuleman2194 жыл бұрын
Sijaelewa bado hii ni nini?
@chompakasim45954 жыл бұрын
I proud to you from one day once
@zeitunalinooralinoor4394 жыл бұрын
hapo umesema Nini Kaka braza
@chompakasim45954 жыл бұрын
hahahahaaa baba kingeleza cha kuunga
@chompakasim45954 жыл бұрын
lakni mule mule no retrik no sarender
@chompakasim45954 жыл бұрын
I proud my shelf to see zuchu from day one once
@sarahogama95404 жыл бұрын
Haahaa sai chuma kiko kwa zuchu au sio,,,,,watanzania kazi hipo apo
@lilloaisha53454 жыл бұрын
Halafu miwani vipi jamani hata mukiongea hamuzitoi eti Bwana yesu asifiwe muogopeni mungu jamani
@fatmafatu11282 жыл бұрын
Kwani yesu ni mungu?
@bekaramadhani61504 жыл бұрын
mh niballha
@omarswaleh60822 жыл бұрын
Huyu zuchu yaonesha ni mlevi sana
@mwanashagladys45814 жыл бұрын
Hahaha wanafurahisha na wanapendeza..
@yumnaiminza49674 жыл бұрын
Where is Rayvany
@ayoubkhatibu37682 жыл бұрын
Kwani ishu nini kwani
@dominickbugerula3524 жыл бұрын
Iko vileeeeeee
@sallimkassim91504 жыл бұрын
huyu kaka vipii mweeee
@yusuphotieno31004 жыл бұрын
Title
@hamidumikole26272 жыл бұрын
Keny vp hajielewi kwan
@missmwayway47044 жыл бұрын
Yn ninausingizi kweli hawa viumbe hata siwaelewi nn wanaongea n🤣🤣🤣🤣