Boni ni mcha Mungu, msomi sawasawa, mzalendo mjasiliamaji. Ni mfano wa kuigwa na wengi nchini. Ccm inawaondoa watu kama hawa na inasikitisha sana. Mungu umlinde sana huyu tunu wa Taifa.
@jojujjokyussa46992 ай бұрын
Wajina wangu,Big up.
@OphiryNtirniga2 ай бұрын
ONGERAC SANA MSABATO MWENZETU, Mungu yupo nawe ,from kasulu SDA kigoma
@esthermakelemo28642 ай бұрын
Kwaniaba ya WATANZANIA,BONY GOD BLESS YOU SO MUCH,My late Daddy usually had a Kaulimbiu which says IN4MATION IS POWER.
@stanslausbernard59502 ай бұрын
Wameumbuka. Sidhani kama wanaweredi wa kutosha kwenye kazi Yao. Chadema must take this issue seriously.
@emanuelmaya46672 ай бұрын
Daaaaaah hakuna haja ya scotland yard bwana boni we nomaaaaaa
@reginas18322 ай бұрын
Mungu akulinde Mh Boni
@glorialaizer94502 ай бұрын
Good job Borne
@glorialaizer94502 ай бұрын
Well said boni
@stanslausbernard59502 ай бұрын
Wameumbuka. Watekaju hawana utaalamu na kazi yao. Serikali imeumbuka kirahisi.
@BaloleBalole-x7e2 ай бұрын
Sawa
@EdgarLema-g6f2 ай бұрын
Apo kwenye cyber ndo balaa linapoazia ao jamaa n ma professional hunker ndo maana wanatuteka kirais
@AhmedHassan-vl5zf2 ай бұрын
Anajulikana NI mchaga NI NI mwanachama WA chama cha wachaga chadema na NI MTU anae ratibu utekaji
@glorialaizer94502 ай бұрын
Baba yako atekwe ndio ujue
@AhmedHassan-vl5zf2 ай бұрын
Sio kutoboa Siri yaserekali NI umetoboa Siri yenu
@AnaniaIsaya-z9g2 ай бұрын
Mjinga hujielewi
@GambasonLuselegasi2 ай бұрын
Waking sana kichwa utupu
@glorialaizer94502 ай бұрын
We nenda mirenbe
@marthamungure17772 ай бұрын
Sabato ni ijumaa, siyo jumamosi?
@bonifaceibunga94432 ай бұрын
Ni recorded babu
@Joe-tr2vk2 ай бұрын
Inaanza ijumaa baada ya jua kuzama hadi jumamosi kabla ya jua kuzama
@MtanganyikaTanganyika2 ай бұрын
Kwenda uko mbwa wewe
@glorialaizer94502 ай бұрын
Mbwa sana inahusu we ndio unajua sabato sana.
@paulomrosso84562 ай бұрын
Bon wewe ni mtu na nusu. Hakika mungu yupo na wewe na nakuapia haki itapatikana. Kama mungu hajawai kuaibika na wewe hautaaibika. Damu ya yesu ikufunike kiongoz