Safi sana Meya mstaafu omba ubunge utetee wananchi wengi na utusaidie kutunga sheria
@ombenipenieli1432Ай бұрын
Nashukuru kuwa mmeanza kujuwa kuwa hili jukumu ni letu sote,na kikubwa ni tumuombe Mungu watu wawe na hofu ya Mungu kinachotokea sasa hivi ni kukosa hofu ya Mungu
@yusufmohamed8874Ай бұрын
Allah akuhifadhi kaka
@prospermsemwa1433Ай бұрын
Asante kamanda
@MagrethKatondo-qs9oz2 ай бұрын
Hali ni mbaya sana sijuI Mungu unajua wewe tunaomba huruma
@esthermakelemo2864Ай бұрын
Mungu tunayekuamini nakukutegemea,Plz simama na TANZANIA hii,Wewe ni mkuu kuliko hawa wahalifu nawatekaji,Fanya jambo na Tanzania yetu tafadhali.
@justinebalaguyu77692 ай бұрын
Nimeelewa .
@timothbenard82132 ай бұрын
Kweli kabisa
@aliyageorge67942 ай бұрын
Kila mtanganyika ni lazima awe filimbi ndani ya nyumba...
@Frank-b2d6uАй бұрын
Safi kabisa sasa kama mambo yafikia hapo polisi hawana kazi wala mahakama bunge vyombo hivi vina fanya kazi yanani yawananchi ama ya rais wao mzanzibari maana mwanzo niliona rais mwema kumbe hafai hata tamko kama mkuu wa inch kuhusu hili hajatamka anataka nani aseme ,tanzania mungu tuangalie
@MagesaJuma-w9l2 ай бұрын
Kweli
@AlexPetro-z1eАй бұрын
Tuko pamoja
@wellnesstransportation14902 ай бұрын
Huko mahakamani na polisi huwezi pata haki maana wote wanawaza matumbo yao na wanaogopa kufukuzwa kazi hii nchi na wananchi wake imekua yakijinga sana
@GraceNaftal-x3jАй бұрын
Ndio maana wamemtafuta ili kuzitafuta hizo data za ushahidi zipotezwe
@mwalimuissa5964Ай бұрын
Pole sana Tanzania uyu jamaa ameongea ukweli lakini mwisho ya yote amekamatwa kwa uchunguzi na hapa lazima apewe kesi yajayo yanauzunisha😢😢😢
@Rakim-y2zАй бұрын
Acha woga support hawa wanaharakati unakuwa kama kuku.
@asaphmwinukaministry33Ай бұрын
Mungu turehemu jmn,,,Tumekuwa kama Kuku bandani tunasuburia lini tutachinjwa,,,,Tulipofika Tanzania ni pabaya!!Eeeh Mola wetu tusaidie
@jesusfirstchurch4162Ай бұрын
Na wanafunzi Rombo
@SundaySteven-bz4yq2 ай бұрын
Uliyosema ni kweli tusikamatwe kizembe maana huu utekaji umekuwa rukuki kijana waccm alisema watateka watu achunguzwe