Bony Mwaitege -Acha Nizaliwe! '' (Official Music Audio)

  Рет қаралды 353,291

Bony Mwaitege Official

Bony Mwaitege Official

Күн бұрын

Kwa Neema ya Mungu kazi zangu zote sasa zitapatikana katika channel yangu hii, nikuombe sana kuungana na mimi kwa hatua nyingine mpya kabisa.Mafuta ambayo Mungu ameyaweka ndani yangu ni wakati mwingine wa kukuvusha ...
Acha nizaliwe #achanizaliwe
Pia unaweza kuwasiliana namimi moja kwa moja kwa simu namba:-+255 753 582 739.
MUNGU AKUBARIKI SANA.

Пікірлер: 485
@mercyndoli5296
@mercyndoli5296 Жыл бұрын
Kenya 🇰🇪 mpoo wa kwanza likes twende sasa
@kennedykaduma9104
@kennedykaduma9104 Жыл бұрын
Mwaitege is from Tanzania
@mercyndoli5296
@mercyndoli5296 Жыл бұрын
@@kennedykaduma9104 understand chenye nimesema oky
@rebeccah357
@rebeccah357 Жыл бұрын
Twende kazi, bonny amefanya Ile kitu
@rebeccah357
@rebeccah357 Жыл бұрын
@@kennedykaduma9104twajua lakini ss ni shabiki wake
@silviak1776
@silviak1776 Жыл бұрын
🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️❤️
@vanessa-vavandikumwenayo2757
@vanessa-vavandikumwenayo2757 Жыл бұрын
Kama unampenda Mamaako kama mimi gonga like apo tujuane🤝🥰
@Sylvia-gx4gj
@Sylvia-gx4gj Жыл бұрын
hii imeenda wapi likes ya mtumishi wa mungu kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 hoyeee twende kazi
@rabeckpatrick6275
@rabeckpatrick6275 Жыл бұрын
Dah anae jua anajua tu wimbo wakipekee Sana ulio jaa mafunuo.
@eliudmwalugelo5191
@eliudmwalugelo5191 Жыл бұрын
Kiukweli wimbo umenibariki sana from msg the msg mpaka innovation
@isackphares
@isackphares Жыл бұрын
More fire!!!!! Huo ufunuo sio wa kibinadamu,ni mpaka Mungu awe amehusika
@emanuelwanyonyi9980
@emanuelwanyonyi9980 Жыл бұрын
Kwa kweli hakuna mwimbaji Bora kama bony, nampenda Sana ebu tu scribe
@james008BOND7
@james008BOND7 Жыл бұрын
Neema ikubebe Mtumishi wa MUNGU@BONY🙏🙏🙏 mbingu zitamke baraka kwako🙏🙏neema ikubebe na ivunje Sheria 🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿1❤na kwa 🙏🙏🙏🙏🙏 tumpe likes Bony mwaitege kwa wingi 🙏🙏
@solomonmuema5720
@solomonmuema5720 Жыл бұрын
Amen,maombi mazuri kwa mtumishi wa mungu
@james008BOND7
@james008BOND7 Жыл бұрын
@@solomonmuema5720 Amen 🙏 🙏 blessings
@jacklinemasyuko262
@jacklinemasyuko262 Жыл бұрын
​@@james008BOND7 neema imbebe bony mwaitege
@james008BOND7
@james008BOND7 Жыл бұрын
@@jacklinemasyuko262 Amen 🙏🙏🙏🙏
@bettynekesa7836
@bettynekesa7836 Жыл бұрын
Nakupenda sana na nyimbo zako ubarikiwa sana ajah nizaliwe upia
@sharonjeptoo8038
@sharonjeptoo8038 Жыл бұрын
Much love mummy Wenye wameskia more than twenty times pitieni apa....🥰
@lilianagana4200
@lilianagana4200 Жыл бұрын
Mama ni mtu wa maana sana katika maisha,may all mothers in the world feel appreciated.
@emmaemmanuel2844
@emmaemmanuel2844 Жыл бұрын
Unajua unajua tena
@wilickomweri2640
@wilickomweri2640 Жыл бұрын
Barikiwa sana kaka napenda nyimbo zako sana
@blessedhighlyfavored3318
@blessedhighlyfavored3318 Жыл бұрын
Bony never disappoint ❤❤❤❤nilianza kuskia songs za bony nikiwa mdogo sana, I'm a parent now and his songs still hits,much love from kenya❤❤❤ it's like bony dedicated this song for me,the massage in it it's the true story of my life 😢😢😢.when I got pregnant I was judged, called all sorts of names, nikaambiwa Nime leta aibu kwa family 😢nitoe Mimba nimalize ku soma,hata mwenye mwenye mimba aka ruka ATI si yake,nilivumilia matusi, madharau Nika beba mimba mwishowe God blessed me with a beautiful girl who will be turning 14yrs this year,God bless you bony for this wonderful song.
@elvisikatwa5252
@elvisikatwa5252 Жыл бұрын
Amen so inspiring
@antonymutua4273
@antonymutua4273 Жыл бұрын
Ooh my God, sorry for what you went through.
@blessedhighlyfavored3318
@blessedhighlyfavored3318 Жыл бұрын
​@@antonymutua4273 and something funny is that, mwenye alikua akikataa eti mimba si yake,mtoto alichukua sura yake yote😂😂😂, he's so ashamed of himself
@felisterkamene1007
@felisterkamene1007 Жыл бұрын
For sure
@antonymuia9112
@antonymuia9112 Жыл бұрын
Wow may God bless you with your daughter,God had good plans upon you and your daughter
@emmanuel.m.mabonga.9224
@emmanuel.m.mabonga.9224 Жыл бұрын
Nalia bonny 😭😭hii song imenikumbusha kule jijini kwetu maneno dada zetu husikia wakiwa wajawazito ni mengi
@PAULMAKONDA-TV
@PAULMAKONDA-TV Жыл бұрын
acha tuzaliweeee🍼🍼🍼🎂🎂🎂🎂🎂
@jpetitnizeyimana5422
@jpetitnizeyimana5422 Жыл бұрын
Coming song : reka mvuke mama wanje. 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 Naipendaga Sana God bless you mzee
@mpendozadok123
@mpendozadok123 Жыл бұрын
Mungu azidi kukupa neema ili dunia Zima ikombolewe na nyimbo zako barikiwa Sana mtumishi wa mungu
@derickboniphace-ci9jn
@derickboniphace-ci9jn Жыл бұрын
Ndagha fijho nkamu usajigweghe
@gloriaamase9764
@gloriaamase9764 Жыл бұрын
Heshima na baraka kwa mama zetu Mungu awape maisha marefu sanaa🙏🙏🙏
@nicksonmwinuka6850
@nicksonmwinuka6850 Жыл бұрын
King of gospel music apewe like Jamani?
@oscarzeze6452
@oscarzeze6452 Жыл бұрын
Huu Wimbo unagusawengi kwakizazihiki changamoto Nyingi, Ubarikiwe sana baba
@noahmwakalombaofficial1961
@noahmwakalombaofficial1961 Жыл бұрын
Haukosei baba kazi nzuri
@johnsmolle504
@johnsmolle504 Жыл бұрын
hongera bony kutuletea wimbo new paka imenitoa machosi
@obadiamsoma6465
@obadiamsoma6465 Жыл бұрын
Hongela sana Bony. Ujumbe umefika hakika na balikiwa ...mama roho yangu ipo mikononi mwako
@kellydeunshakableempires7425
@kellydeunshakableempires7425 Жыл бұрын
Ameen for this song it made me cry but i thank you my mom .keep resting mama 😢😢😢 .. team strong hit a like if you're an orphan 😢😢😢❤
@petrolunyali6350
@petrolunyali6350 Жыл бұрын
Hongera sana mtumishi kwa kazi nzuri
@rahmaamgoo7919
@rahmaamgoo7919 Жыл бұрын
Ni kweli hakimu wa mwisho ni mama nikama umeniimba mimi mwanaume alikataa mimba ya miezi 3 na sasa mtt ana miaka 3 anavofanana na baba yake sasa jamani 😭😭😭😭😭 Nakupenda mama mungu akupe maisha marefu kwani wewe ndiyo Roho yangu ❤ Amenilea kwa shida mungu akupe maisha marefu ❤❤
@gladnessmaganga6755
@gladnessmaganga6755 Жыл бұрын
God bless u napenda nyimbo zako
@RaphaelJacksonOfficial
@RaphaelJacksonOfficial Жыл бұрын
ACHA NIZALIWE, HUKU GEITA TUNAENDELEA KUBARIKIWA NA HUU WIMBO
@pascojoseph4624
@pascojoseph4624 Жыл бұрын
GEITA OYEEEEE
@aronmvembezi4375
@aronmvembezi4375 Жыл бұрын
Amina sana baba
@SiliviaMwalizi-uu3mz
@SiliviaMwalizi-uu3mz Жыл бұрын
Asante kwakueneza.injiri jina rabwana rihimidiwe nawapa wakinamama wanao tunza watoto
@deffencemtagwa9795
@deffencemtagwa9795 Жыл бұрын
Live long mum nakupenda yangu yote ❤❤❤❤🥰🥰🥰
@papatomaso4874
@papatomaso4874 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@sharonprecioustanui1854
@sharonprecioustanui1854 Жыл бұрын
My favorite artist
@zulfasaeed7445
@zulfasaeed7445 Жыл бұрын
Asanteee 😘😘😘😘😘mungu azidi kukupa uhai mrefu ili utupe maujumbe mitamu 😍😍😍😍Asanteee mamaaaaaaa 😘😘😘😘😘moyo wangu 😘😘😘😘
@princedesire6270
@princedesire6270 Жыл бұрын
acha nizaliwe nyimbo nzuri,mungu akubaliki pastor🎉🎉🎉❤❤❤
@PastorIsaacMnyandwa
@PastorIsaacMnyandwa Жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu, Mungu akupe maisha marefu sana hiyo nimeipenda sana
@danwanjala
@danwanjala Жыл бұрын
Umenikumbusha vile yf alitoa mtoto wangu kisa et anaogopa wazaz wake na kutunza heshima yake inaniuma Sana kila ninapomuona ninaumia sana
@officialmwabambatv1350
@officialmwabambatv1350 Жыл бұрын
God bless
@mcabrahamomoding
@mcabrahamomoding Жыл бұрын
Kibao Cha baraka
@578k
@578k Жыл бұрын
Acha nizaliwe moto sana
@perischari3630
@perischari3630 Жыл бұрын
Hii nyumba ni funzo kwetu wanawake wote tuache kuavya mimba ju watoto ni baraka.Mungu akubariki Bonny na akuinue zaidi katika uimbaji
@elikanaernesti8440
@elikanaernesti8440 10 ай бұрын
Mtu smart nyimbo safi saut safi chakula bora kabisa cha sikio Mungu akuweke saana uendelee kutupa brudani
@rahmaamgoo7919
@rahmaamgoo7919 Жыл бұрын
Asante Bony kwa ujumbe huu mzir kwa mama Love you mom
@mteulehumblej6820
@mteulehumblej6820 Жыл бұрын
Amen kiongozi
@hellenlovembe8007
@hellenlovembe8007 Жыл бұрын
Sijaelewa kabisa nilichokosa mchawi halali watoto wangu anawaandama
@judybarasa-qj2ko
@judybarasa-qj2ko Жыл бұрын
I dedicate this song to all mums,feel appreciated and loved ,may God bless you ,❤❤❤❤
@davidngonyani5599
@davidngonyani5599 Жыл бұрын
Ukisikiliza wimbo huu huwezi kutowa mimba
@augustuskateeofficial6945
@augustuskateeofficial6945 Жыл бұрын
Mwimbo mzuri huu, Tena ni funzo kwa wadada wanaoafya mimba, Mungu awafunguwe macho waone maana ya kuwa watoto ata bila ndoa 🎉❤
@YolandaDionis-ib9lm
@YolandaDionis-ib9lm Жыл бұрын
Daah mungu ambariki sana mama
@hellenchepkemoi7730
@hellenchepkemoi7730 Жыл бұрын
Am also among those following you mwaitege from kenya 🇰🇪 always blessed with your songs 🙏.
@sangwamugala1692
@sangwamugala1692 Жыл бұрын
Thank you very much the servant of may God keep and bless you abundantly I like song here in Zambia, lusaka .and am looking forward to see the video .
@yakobomwamboya7312
@yakobomwamboya7312 Жыл бұрын
Hongera sana nyimbo kari imenikumbusha mbali sana
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial Жыл бұрын
Amina Mchungaji
@onelovedjonlinetz5989
@onelovedjonlinetz5989 Жыл бұрын
Glory to God. Huu. Ni. Utukufu wako Mungu
@denniskhaemba3803
@denniskhaemba3803 Жыл бұрын
you never disapoint baba,kazi nzuri kila kukicha
@doreenkigosi1524
@doreenkigosi1524 Жыл бұрын
Ubalikiwe sana baba MUNGU aendelee kujitukuza kwako na aendleeee kukutumia zaid na zaid hakika ni ujumbe mzuri sana kwetu sisi mabinti na akina mama pia
@marionkathambi8536
@marionkathambi8536 Жыл бұрын
Mwibo mzuri ..akika umeni kumbusha mbali tu..huu n wimbo wangu.
@jamesrugaspel3876
@jamesrugaspel3876 Жыл бұрын
Hongera sana kaka mkubwa kazi safi sana
@tumainmwaikenda9997
@tumainmwaikenda9997 Жыл бұрын
Mungu nisamehe kwa ajili ya nyimbo hii kwa yote moyo nimeumimina juu ya yako kupitia wimbo huu kupitia kwa mtumishi wako
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial Жыл бұрын
UBARIKIWE SANA TUMA KWA MOYO WA TOBA
@aglenilwilla8685
@aglenilwilla8685 Жыл бұрын
Ni kweli uhai wetu upo mikononi mwa MUNGU lakini pia na Mama anahusika kwenye uhai mtoto akiwa tumboni ahsante sanaaaaaaaaa mamaaaaaaaaa! Ubarikiwe sanaaaaa mtumishi kwa ujumbe huuuuu wengi watazaliwa hai hawatakatishwa maisha.
@samwelmakanzajr1194
@samwelmakanzajr1194 Жыл бұрын
Kazi nzuri sana mtumishi! Barikiwa
@pendomasag-ki2bi
@pendomasag-ki2bi Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtu mishi wimbo umetugusa
@CatherineKaluki-cv7yj
@CatherineKaluki-cv7yj Жыл бұрын
A I'm Kenya, I love this song ingawa mma yangu alikupa❤❤❤ 2:49 2:55 2:58 ❤inanikubusha mengi🎉🎉
@lucimikopeleci5296
@lucimikopeleci5296 Жыл бұрын
Nakupenda mama angu PELECI MLYAPATALI NO ONE LIKE YOU
@janejeptanui8033
@janejeptanui8033 Жыл бұрын
Before I was born the LORD called me; from my mother’s womb he has spoken my name. Shukrani sana kwa wimbo ya ACHE NIZALIWE . Imenifanya kutafakari kwa makini mapenzi ya Mungu. Ubarikiwe.
@williceotieno7721
@williceotieno7721 Жыл бұрын
To all my beloved Mothers,God bless you all🥰😍💯
@osatohanmwenaremen7195
@osatohanmwenaremen7195 Жыл бұрын
Amen
@RamadhanMwinyimvua-ry8yp
@RamadhanMwinyimvua-ry8yp Жыл бұрын
Daah wimbo mzuri Sana Mungu azidi kukuinua mtumishi wa Mungu
@meckmkolima2909
@meckmkolima2909 Жыл бұрын
kazi nzuri bro nakukubali sana
@papajuniorandphelixramirez4543
@papajuniorandphelixramirez4543 Жыл бұрын
Congratulations bonny my favorite Gospel artist 🤝
@obedishimwela
@obedishimwela Жыл бұрын
🔥🔥🔥
@priscajoseph261
@priscajoseph261 Жыл бұрын
Duuh kz nzr sana kakangu Bwana akubariki kuwasemea watoto wachanga ndani ya matumbo ya wamama.
@ipyanadaimoni8775
@ipyanadaimoni8775 Жыл бұрын
Mzeee mwaitege nimekuvulia kofia hiii nyimbo ufunuo wa Hali ya juuu sana
@deomakanda5308
@deomakanda5308 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU, nyimbo zako hakika zinanibariki sana
@beatricethadey2145
@beatricethadey2145 Жыл бұрын
Wimbo umenitoa machozi nimekumbuka nilivoambiwa nitoe mimba yamtoto wangu nikagoma namshukulu mungu mwanangu Sasa anamiaka saba,hamjui baba ingawa anaongeaga nae kwenye cmu,ubarikiwe sn mtumishi wamungu.
@mzabibuskills3596
@mzabibuskills3596 Жыл бұрын
Acha nizaliwe 👍❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@andreamakoyeofficial9756
@andreamakoyeofficial9756 Жыл бұрын
Nakuja kaka nakuja Niko nyuma yenu mana tunahitaj kufarij na kufundisha ulimwengu
@jeannetambwe9213
@jeannetambwe9213 Жыл бұрын
❤❤❤❤Amen imagine watu wanajadili mimba utazani wao ni mungu
@djdrop254
@djdrop254 Жыл бұрын
Life never gave me chance to enjoy the dad-son bonding to my two boy children .......God may your will be done but please consider me......I love those kids😢😢😢😢
@evodiuskatundu8882
@evodiuskatundu8882 Жыл бұрын
Barikiwa sana Bonny Mungu azidi kukuinua zaidi na zaidiiiiiii🎉🎉🎉🎉
@nabiibikemwayowele
@nabiibikemwayowele Жыл бұрын
Ongera KUBWA ƙwakweli
@mamaian-iv3zt
@mamaian-iv3zt Жыл бұрын
Huu wimbo umenikumbusha juu ya mwanangu wa kwanza God bless you bonny much love from Kenya
@henrylukosy4908
@henrylukosy4908 Жыл бұрын
Big up san kamanda barikiwaa sanaa kwa kazi nzrii mtumishii wa MUNGU
@kevoodongo2698
@kevoodongo2698 Жыл бұрын
May God bless my mum ❤❤❤❤😢 God bless bonny mwaitege for this wonderful song
@benjaminsteven7350
@benjaminsteven7350 Жыл бұрын
Ahahah😂😂😂 hapo wababa ndo umetufanya " killer " ❤❤❤❤mzuri sana mchungaji
@Seciliah-l5u
@Seciliah-l5u Жыл бұрын
Ni kweli kabisa Mama ndo mwamuzi wa mwisho juu mtoto wake
@josephbalele4795
@josephbalele4795 Жыл бұрын
Wimbo mzuri sana kaka hasa kwa kizazi hiki cha leo
@mokamiburuna5484
@mokamiburuna5484 Жыл бұрын
Good work ! GOD bless you 👏👏
@duncanmulu2450
@duncanmulu2450 Жыл бұрын
Hit after hit....thanks for coming back mtumishi...nabarikiwa sanaaaaa🔥🔥🔥🇰🇪🇹🇿😁😘⚡💪
@norbertlufun3828
@norbertlufun3828 Жыл бұрын
Waoooooo
@hassanbravin466
@hassanbravin466 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥 Mbingu zinene mema kwako mtumishi wa MUNGU
@davidnyika4296
@davidnyika4296 Жыл бұрын
I dedicate this song to all pregnant mothers,and every man especially men,I insist men,infact if you are that man,let every unborn have his or her right to be born. 🕺🦸🕺🦸🕺
@faithmutheumutuku4880
@faithmutheumutuku4880 Жыл бұрын
Wimbo mzuri umenifikia wakati nauhitaji zaidi barikiwa Sana ma Mungu akuweke kiwango kingine
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial Жыл бұрын
ASANTE
@sarahmiles1120
@sarahmiles1120 Жыл бұрын
Hii wimbo ni Mimi nimeimbiwa pia mamangu,,,tulikua na same problems,,,alinipata🤰 akiwa shule,,,pia Mimi nilipata ujauzito🤰 nikiwa shule weeeeeh😭😭😭😂😂😂
@fordingofabian6956
@fordingofabian6956 Жыл бұрын
Salute braza you know
@bembestarsedimonda2154
@bembestarsedimonda2154 Жыл бұрын
Kwanihaba ya bembe capany tv online tupo pamoja na bembe stars tume penda wimbo wako kijana wakazi mungu hakubariki kwakazi zote hutakazo zifanya tunakukubali mzee wamagoli nimwendo wamoto ❤❤❤
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial Жыл бұрын
ASANTE SANA NDUGU YANGU
@kapedo0001
@kapedo0001 Жыл бұрын
barikiwa kaka bony
@dolginemoraa712
@dolginemoraa712 Жыл бұрын
My favourite song,,,tangu asubuhi 🎧📸
@adyakhadija2652
@adyakhadija2652 Жыл бұрын
Mama ulipo jua wewe ni kipenzi changu nakupenda sana
@djmusakasekesetz8126
@djmusakasekesetz8126 Жыл бұрын
Tayari DJ MUSA KASEKESE MPANDA KATAVI kafika Kwa Bony
@wilsonsentero3339
@wilsonsentero3339 Жыл бұрын
Kazi nzuri Kaka mwaitege...hii ni ujumbe nzuri kwa wanaume wote wasiotekeleza Majukumu yao...Bidii ya Mama mzazi Shukrani ziwaendee Mama zetu waliojinyima ili tupate zaidi ya yote....tujafanikiwa tufike tulipo
@olivajoseph1697
@olivajoseph1697 Жыл бұрын
Single mother tumefikiwa jamani 😢😢😢😢😢 Mungu akuweke kaka angu bony
@faithjoel1007
@faithjoel1007 Жыл бұрын
The only song deadbeats dads don't want to hear it😢.single moms are best in the world.hugs
Bony Mwaitege - Acha Nizaliwe (Official Music Video)
6:58
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 3 МЛН
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,5 МЛН