Bony Mwaitege ft Sifael Mwabuka - Ni Salama - '' (Official Music Audio)

  Рет қаралды 157,341

Bony Mwaitege Official

Bony Mwaitege Official

Жыл бұрын

Kwa Neema ya Mungu kazi zangu zote sasa zitapatikana katika channel yangu hii, nikuombe sana kuungana na mimi kwa hatua nyingine mpya kabisa.Mafuta ambayo Mungu ameyaweka ndani yangu ni wakati mwingine wa kukuvusha ...
Pia unaweza kuwasiliana namimi moja kwa moja kwa simu namba:-+255 753 582 739.
Bony Mwaitege ft Sifael Mwabuka Ni Salama
MUNGU AKUBARIKI SANA.

Пікірлер: 247
@danielngome8
@danielngome8 Жыл бұрын
Wow this is amazing song....kama unawakubali hawa magwiji wa nyimbo za injili angusha like Yako
@jobamampuya5933
@jobamampuya5933 Жыл бұрын
TENZI yenye pumzi ya MUNGU; Inaishi na itaishi kizazi na kizazi, barikiwa sana mtumishi Bony.
@michaelbengesi9838
@michaelbengesi9838 Жыл бұрын
Hawa ni Magiwiji kweli
@festomayemba6656
@festomayemba6656 Жыл бұрын
Amina mungu awabaliki
@mulumederwasifa4801
@mulumederwasifa4801 Жыл бұрын
Amen
@rebeccakemunto5377
@rebeccakemunto5377 Жыл бұрын
🔥🔥🔥 Amen 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪 Atakama mambo ni magumu vipi kwa mungu ni salama kama unakubali kua kwa mungu ni salama angusha like yako barikiwa sana nyote💞💞💞🙏🙏🙏
@hyrinebosibori9543
@hyrinebosibori9543 Жыл бұрын
🔥🔥🔥 amen amen 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@aronmvembezi4375
@aronmvembezi4375 Жыл бұрын
Ameni baba,Leo ulisema ibadani
@marysiasawaki3698
@marysiasawaki3698 Жыл бұрын
Huu wimbo nimeurudia zaidi ya mara 20 yaani dah naona kama waliniimbia mimi maana kuna muda nilikosa mwanga ila kwa wimbo huu nimeona mwanga yaani Mungi awainue zaidi na zaidi katika huduma yenu my brothers mwaitege na mwabuka na pia Mungu aguse familia zenu na msipungukiwe na nyimbo na msipungukiwe na kitu katika maisha yenu yote ya hapa duniani..........Nawashkuru sana kweli ni salama rohoni mwangu jamani🙏🙏🙏
@bilombelekilozodieudonne123
@bilombelekilozodieudonne123 Жыл бұрын
*wa kwanza mimi*
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial Жыл бұрын
Barikiwa sana
@ndayizeyevianney8803
@ndayizeyevianney8803 Жыл бұрын
Ubalikiwe sana na Mungu
@ndayizeyevianney8803
@ndayizeyevianney8803 Жыл бұрын
Sawa
@paulmuyanga3445
@paulmuyanga3445 Жыл бұрын
Hapa injili tu💞 like za upendo Bony na Sifa.
@johaneskyaruzi8206
@johaneskyaruzi8206 Жыл бұрын
Kazi nzr MUNGU awabariki
@jackiezee1033
@jackiezee1033 Жыл бұрын
Great work Bonnie mwaitege nyimbo zako zanijenga sana those days in this industry of gospel music mungu awainue kwa kiwango kingine na ndugu sifael love yu guys am from kenya
@esthersissamo1120
@esthersissamo1120 Жыл бұрын
Nionapo amani kama shwari Mungu mwema asante sana watumishi wa Mungu endeleeni kutuinua kwa neno .Kuhusu dhambi zangu zimewekwa msalabani.kazi nzuri sana hii
@faithkagehi9356
@faithkagehi9356 Жыл бұрын
Salama rohoni ni salama rohoni mwangu 🙏🙏
@sabuniJr
@sabuniJr Жыл бұрын
Asante kwa ujumbe mtu wa Mungu. Barikiwa
@selemanimwanamulenda4655
@selemanimwanamulenda4655 Жыл бұрын
amina.amin …..yesu wetu.milele
@nyotaaastarkipndaa8253
@nyotaaastarkipndaa8253 Жыл бұрын
Let’s gooo🔥
@mamasmartcollection7063
@mamasmartcollection7063 Жыл бұрын
Hakika nimebarikiwa sana na hu wimbo Mungu awabariki sana watumishi, Mungu awalinde na mabaya yasiwapate kamwe,pia Mungu awatie nguvu sana mzidi kusonga mbele kwenye huduma zenu na kwa kila eneo ,
@obadiamsoma6465
@obadiamsoma6465 Жыл бұрын
Hongela sana mtumishi kwa kazi nzuri mungu azidi kuku inua zaidi
@elmessilas3780
@elmessilas3780 Жыл бұрын
Mbarikiwe kwa wimbo unatia nguvu mtu hasa aliyekata tamaa mahali fulani.Hakika Ni Salama ♥
@alicejuma3739
@alicejuma3739 Жыл бұрын
Amazing mko xwa kabisa brother good song
@esthersissamo1120
@esthersissamo1120 Жыл бұрын
Sifaeli na Bonn hapo mpo vizuri sana watumishi Mungu awabariki sana nyimbo safi sana
@phellowmmbunitv6077
@phellowmmbunitv6077 Жыл бұрын
Oooh how I love this, Hapa ndipo penye raha Tupate wapi tena raha kama hii isipokuwa hapa kwa Yesu?
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 Жыл бұрын
Mbona sifaeli hajaimba sana jmn wimbo umeutawala mwaitege tu mwabuka kaimba mwanzon kakipande tu
@glorysungura3180
@glorysungura3180 Жыл бұрын
Ameeeeeeeeeeeeeeen, mbarikiwe watumishi wa MUNGU. BWANA YESU awainue viwango vya juu. Hakika UOKOVU NI RAHA SANA. Nimecheza sana.
@hillarysalamba5205
@hillarysalamba5205 Жыл бұрын
Huu Wimbo umenikumbusha Yale mapito niliyo pitia hapo nyuma,lakn nikavishinda vita...hakika ni Salama Rohini Mwangu🙏🙏🇰🇪God bless
@maxmilansiriel
@maxmilansiriel Жыл бұрын
Glory to God
@joshuasamson8747
@joshuasamson8747 Жыл бұрын
This is great news 👏
@saulykyamba6512
@saulykyamba6512 Жыл бұрын
Mungu awabariki kwa kazi nzur watumishi wa Baba
@stephenkimani662
@stephenkimani662 Жыл бұрын
Ni kweli ni salama moyoni mwangu.....mubarikiwe wapendwa.
@mishackpaul2173
@mishackpaul2173 Жыл бұрын
Huo wimbo ni mzuri sana sana, Sauti ndiyo tatizo, beat kali,
@habarinjematv1355
@habarinjematv1355 Жыл бұрын
Bony vs sifael. Ninyi ni Baraka sana
@joycewakesho2575
@joycewakesho2575 Жыл бұрын
Ni salama rohoni,,,,,aaah Mungu awabariki sana.Nimependa hii
@francesmpangwa8801
@francesmpangwa8801 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️
@abasmarco4525
@abasmarco4525 Жыл бұрын
Aisee naisubiri video yake kwa hamu sana hongereni sana wimbo unabariki sana.
@ramsonudoba4299
@ramsonudoba4299 Жыл бұрын
Hongeren sana watumishi wa mungu
@msaniiezekielkamoyani
@msaniiezekielkamoyani Жыл бұрын
Obviously I nomaly love 💘 your music 🎶 my gyz both Bonny end sifaeli I will never ever left you gyz until our highly most father who is in heaven 🌎🗺🌏 noticed ❤ more blessings 🙌
@elijahmwangombe9609
@elijahmwangombe9609 Жыл бұрын
Salama kabisa, watumishi Mungu awajaze na Roho wake. Huduma isonge mbele bila mipaka🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@sembibijoseph9609
@sembibijoseph9609 Жыл бұрын
Ni naitaji Number ya Bonny Mwaitege amenibaliki mwaka mingi inapita mimi si mu TZ lakini napenda gospel music 🎶 za Tz Sana
@bitecastory2137
@bitecastory2137 Жыл бұрын
God bless you all my bro
@mariammpale6542
@mariammpale6542 Жыл бұрын
Hakika ni Salama kwa kazi ya Yesu msalabani tu huru kwa yote ametupendelea tuendelee kumtumikia Mbarikiwe sana🙏🙏
@carolineouma8660
@carolineouma8660 Жыл бұрын
Mungu awabariki mumenikumbusha kujiandaa kwa unyakuzi
@RamadhanMwinyimvua-ry8yp
@RamadhanMwinyimvua-ry8yp Жыл бұрын
Hakika ni salama rohoni , ni wimbo mzuri Mungu azidi kuwainua Na aachilie ulinzi mkubwa kwenye maisha yenu.
@danittoke8881
@danittoke8881 Жыл бұрын
Nakupenda wimbo huu
@kceepaul2275
@kceepaul2275 Жыл бұрын
Goma kali sana mtumishi wa bwana 🎉🎉🎉from USA 🇺🇸
@calsineagai2783
@calsineagai2783 Жыл бұрын
Kwa yesu kuna Raha ndugu yangu msalilimie Bonny mwaitege🥰🥰🥰🥰🥰🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥
@wilickomweri2640
@wilickomweri2640 Жыл бұрын
Hii tenzi huwa naipenda sana my bros being blessed 🙌
@julianokunja1243
@julianokunja1243 Жыл бұрын
Wimbo mzuri sana🌹🌹❤️❤️
@gregmakulitv3816
@gregmakulitv3816 Жыл бұрын
Wimbo muzuri
@marysiasawaki3698
@marysiasawaki3698 Жыл бұрын
Mwabuka na Mwaitege wako vizuri sana,Mungu awainue jamani hii nyimbo imenigusa sana kwa kweli......Hawa waimbaji wako smart sana kwa kweli,God reward you people in so many ways my Brothres,let the will of the Lord be upon you and ur families.....Amen
@calsineagai2783
@calsineagai2783 Жыл бұрын
Bonny Mwaitege Nyimbo zako huwa zina nibariki sana mtumishi wa mungu barikiwa sana ndungu yangu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🥰🥰🥰
@ruthkhalayi5097
@ruthkhalayi5097 Жыл бұрын
Simba wananguruma nawapenda sana my brother's, kweli ni salama keep it up congratulations Boniface and my best gospel musician 🇰🇪🇰🇪
@SmilingPastries-xo6cf
@SmilingPastries-xo6cf 2 күн бұрын
MUNGU N mzuri n mtamu ❤
@RYANKARIUKIOFFICIAL
@RYANKARIUKIOFFICIAL Жыл бұрын
I just knew whenever Sifaeli Mwabuka voice is featured,,,, definitely the song must be a hit... Kenya mm nimeikubali,,,hakika ni salama rohoni mwangu.
@rachaelngwatu7970
@rachaelngwatu7970 Жыл бұрын
Ni Salama rohoni Mwangu
@samueli486
@samueli486 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@baydaabel1974
@baydaabel1974 Жыл бұрын
Blessed
@nashokivamba1182
@nashokivamba1182 Жыл бұрын
Amen
@albertkivinge7996
@albertkivinge7996 Жыл бұрын
Ni salama rohoni mwangu....Jehovah Shammah awabariki mno watumishi
@elizabethbethy7267
@elizabethbethy7267 Жыл бұрын
Sweet song my heroes.much love watumishi💞💞💞🙏🙏🙏🙏🙏
@benjaminsteven7350
@benjaminsteven7350 Жыл бұрын
Yani hujawai kuniangusha mchungaji like zangu wapendwa
@ndayizeyevianney8803
@ndayizeyevianney8803 8 ай бұрын
Kutoka Burundi Bujumbura , tunabarikiwa sana kupitia nyimbo zako , Mungu akubariki
@samwelmakanzajr1194
@samwelmakanzajr1194 Жыл бұрын
Wakubwa wakubwa tu hit song
@donniexjuddex7499
@donniexjuddex7499 Жыл бұрын
Good work my brother🙏🙏, tuliona Rose Muhando na Christina, Bahati Bukuku na Martha Mwaipaja, sasa tena ni hawa magwinji, Kenyans gospel artist mko vipi nanyi, Utukufu kwa Mungu ma kaka zangu, we Kenyans we love you❤❤❤🙏🙏🙏
@vals8920
@vals8920 Жыл бұрын
Some people are just God sent to keep us alive in christ 🥰
@mikejmusic254
@mikejmusic254 Жыл бұрын
Mbarikiwe watumishi wa Mungu Mungu azidi kuwapaandisha viwango vya juu zaidi🙏🙏🙏
@michaelbengesi9838
@michaelbengesi9838 Жыл бұрын
Kwa Yesu kuna Raha na Amani isioelezeka. Ni Salama Rohoni Mwangu
@sekelasambo229
@sekelasambo229 Жыл бұрын
Hongeren wimbo mzuri sana
@hellenchepkemoi7730
@hellenchepkemoi7730 Жыл бұрын
Whaauu,such a blessing my favourite artists getting you all the way from kenya kericho, when are you coming to bless us in kericho surely men of God 🙏am humble.
@isayasangija8587
@isayasangija8587 Жыл бұрын
Ujumbe ni meuelewa vzuli sana Mungu akubaliki sana karibu chato Tehe 29/3/2023
@ochiengochola317
@ochiengochola317 Жыл бұрын
Very interesting song be blessed guys.
@PapaTheKingMKenya
@PapaTheKingMKenya Жыл бұрын
My two mentors together 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 vocals
@abjblessed6958
@abjblessed6958 Жыл бұрын
Good work 🔥🔥🔥
@alvinkiplimo28
@alvinkiplimo28 Жыл бұрын
Powerful combination Glory to God
@jefansmwakibibi3930
@jefansmwakibibi3930 Жыл бұрын
​@@abjblessed6958 iok😊😊
@danielmaikuva1647
@danielmaikuva1647 Жыл бұрын
Jamani Mungu amewapea ufunuo katika huu wimbo na wimbo wa baraka sana.Mungu awabariki sana
@revmichaeldanieltv5154
@revmichaeldanieltv5154 Жыл бұрын
Kamanda kama kamanda naona mafuta ya Mungu juu yako tangu ule wimbo wa utanitambuaje kama nimeokoka Hadi leo nyimbo zako zinaishi hii ni NEEMA YA YESU Iko juu yako naomba akubakize katika mafuta haya Ili Dunia ikutwe na Injili ya kweli yenye nguvu ubarikiwe sana mchungaji tunakupenda sana
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial Жыл бұрын
ASANTE SANA NDUGU YANGU
@dominiclakson6968
@dominiclakson6968 Жыл бұрын
Mubalikiwe saxa kwaujumbe mzuli,kweli nixalama,lohoni mwetu tunaomwamini mung
@kapedo0001
@kapedo0001 Жыл бұрын
jamani sina neno zaidi ya kushukuru kaka sifaeli and bony.....mimi nabarikiwa tu 💓💓
@elishebammasi-wz2tr
@elishebammasi-wz2tr Жыл бұрын
Wow these amazing 👏 wow 👌 keep it up I love it❤❤❤❤
@RaphaelJacksonOfficial
@RaphaelJacksonOfficial Жыл бұрын
Amen 🔥🔥🔥🔥🔥
@elphinegwandika_official3690
@elphinegwandika_official3690 Жыл бұрын
Hongera sana mtumishi wa mungu kwa kutufariji wale tuliopondeka mioyo🔥🔥
@joyblessedk
@joyblessedk Жыл бұрын
Ooh yes, glory to God, nkosalama mbele za maadui zangu
@mnyakyusambunifu143
@mnyakyusambunifu143 Жыл бұрын
Hongera Saana Watumishi Mumeupiga Mwingi Saana Kupitia hii Nyimbo
@hilarytowett6738
@hilarytowett6738 Жыл бұрын
Shukurani sana bro mungu wetu wabinguni awabariki tatizo mingi tunapitia kwa ulimwengu huu.pokeeni salamu ktka Kenya tunawapenda sana ndugu
@rehemajerono1307
@rehemajerono1307 Жыл бұрын
Nahisi upendo moyoni mwangu, nyimbo nzuri saaaana
@josephmanga-gc4qj
@josephmanga-gc4qj Жыл бұрын
Mubarikiwe sana wapenda na huu wimbo umenigusa sana na nimeuelewa sana
@samwelatimi
@samwelatimi Жыл бұрын
Huu wimbo umenipendeza ndungu zanguni ,, mbarikiwe sana . Nikisikisa nakupata kuwa na tumaini tena ya maisha Kwa christo yesu
@amonsinkonde8865
@amonsinkonde8865 Жыл бұрын
I'm blessed with your song God bless your family and more protection for your children amen and amen.
@johnmabehelo9939
@johnmabehelo9939 Жыл бұрын
Amina watumishi Mwenyezi Mungu awasimamie katika uimbaji wenu
@magrethmathias7811
@magrethmathias7811 Жыл бұрын
Shalom Aleichem brothers in Christ Jesus, blessings from Tanzania
@yakobomwamboya7312
@yakobomwamboya7312 Жыл бұрын
Kweli kabisa ni salama rohoni mwangu asante sana
@nuruhmangoli1232
@nuruhmangoli1232 Жыл бұрын
The buddest duo.. Hapa ni salama tu Kenya Mombasa
@luganomgeni
@luganomgeni Жыл бұрын
Ikovizuri sana metisha mungu anawatumia nimeikubali safi mungu awabaliki
@dominicmusungu5374
@dominicmusungu5374 Жыл бұрын
Wimbo mtamu, Mungu akuzidishie neema
@kulwanono5888
@kulwanono5888 Жыл бұрын
HAKIKA BABA MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU ❤❤❤❤❤❤❤❤
@ukb.u559
@ukb.u559 Жыл бұрын
Amen nyimbo inabariki
@emmaculateoseno8866
@emmaculateoseno8866 Жыл бұрын
Salute guys, waiting for video
@wineljentrix9771
@wineljentrix9771 Жыл бұрын
Kenya 🇰🇪 tunawapenda saana.. I missed your songs sir Mwaitege 🤝🏾❤️
@chocolatevivian830
@chocolatevivian830 Жыл бұрын
I see you sis
@wineljentrix9771
@wineljentrix9771 Жыл бұрын
@@chocolatevivian830 we're all over KZbin 😅😂
@raylinecarol8326
@raylinecarol8326 Жыл бұрын
Wow this is amazing. Congratulations Bony and Sifael..
@ndayizeyevianney8803
@ndayizeyevianney8803 10 ай бұрын
Mungu akubaliki sana tunafurahi sana uku Burundi Bujumbura tuna kupenda
@andreamakoyeofficial9756
@andreamakoyeofficial9756 Жыл бұрын
Asante my bro nakuja na mim kaka zangu nafisi inaniambia nifanye kolabo na bony official Andrea Makoye naimani iyo amina
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial Жыл бұрын
karibu sana
@andreamakoyeofficial9756
@andreamakoyeofficial9756 Жыл бұрын
Wimbo upo ndio natarajia kurecord nitakutumia sauti usikilize kaka
@ezluckvoice1110
@ezluckvoice1110 Жыл бұрын
Utukufu kwa MUNGU Tanzania upendo unazidi sana MUNGU awabariki kwa wimbo mzuri Brother bony mwaitege
@simiyumorgan986
@simiyumorgan986 Жыл бұрын
Ni salama rohoni mwangu for eternity 🙏🙏🙏
@jacksonmudavadi6134
@jacksonmudavadi6134 Жыл бұрын
I don't how to find this guy Sifael mwabuka, I love his songs so much,thanks to our almighty God
@lynhwilbardruckachale4205
@lynhwilbardruckachale4205 Жыл бұрын
Ni salama rohoni Mwangu, Asante Sana YESU WANGU💓🙏.
@bembestarsedimonda2154
@bembestarsedimonda2154 Жыл бұрын
Kwaniaba ya bembe capany tv online tuko pamoja na bembe stars Edimond inatowa comment umeuwa sana dungu yangu tupo pamoja na wewe shabick wako namba Moja mzee wazamani mungu hakubariki katika maisha Yako
@djthankskofficiel
@djthankskofficiel Жыл бұрын
Cool music 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩❤️❤️❤️❤️
@bettywainaina513
@bettywainaina513 Жыл бұрын
Wow!! Angelic voice. God bless you my brothers, Long Live!!!
@doreenkigosi1524
@doreenkigosi1524 Жыл бұрын
Hakika Mungu awabaliki sana ujumbe mzuri sana
Bony Mwaitege ft Sifael Mwabuka  - Ni Salama'' (Official Music Video)
7:47
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 1,2 МЛН
THE BEST SONGS OF BONY MWAITEGE 2023 2024
1:09:11
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 26 М.
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 2,1 МЛН
تجربة أغرب توصيلة شحن ضد القطع تماما
00:56
صدام العزي
Рет қаралды 59 МЛН
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 6 МЛН
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 191 МЛН
URUNANA Episode 2642//Nadine arigamba gukabya inzozi ze. Ese aho Patrick ntabihomberamo?
13:35
ROSE MHANDO × KENNEDY DAUD - TUTAMGUSA MUNGU (official audio)
5:05
KENNEDY DAUDI
Рет қаралды 1,2 М.
Bony Mwaitege -Mkono wako '' (Official Music Audio)
6:59
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 164 М.
SEMA KIMEUMANA!!MOSES KURIA,ABABU NAMWAMBA CRY TERRIBLY
4:34
KENYAN TIMES(ZA NDANI) 254
Рет қаралды 126
NISIKIE SAUTI YAKO-OFFICIAL VIDEO BY SIFAELI MWABUKA -SKIZA CODE 9519660 SEND TO 811
7:14
Paulo pastory ft Daniel Gonge wambie Ukweli Official music Video
5:10
MTUKUZE MUNGU TU.BY SIFAELI MWABUKA. SKIZA sms SKIZA 69311525 TO 811
7:05
SIFAELI MWABUKA OFFICIAL
Рет қаралды 14 МЛН
Bony Mwaitege - 'Neema Imenibeba' (Official Music Video)
7:51
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 670 М.
HERI LAWAMA-HD OFFICIAL VIDEO BY SIFAELI MWABUKA SKIZA CODE 8632518
8:34
SIFAELI MWABUKA OFFICIAL
Рет қаралды 2,2 МЛН
지민 (Jimin) 'Who' Official MV
3:28
HYBE LABELS
Рет қаралды 21 МЛН
Erkesh Khasen -  Bir qyz bar M|V
2:43
Еркеш Хасен
Рет қаралды 727 М.
Iliyas Kabdyray ft. Amre - Армандадым
2:41
Amre Official
Рет қаралды 1,5 МЛН
Әбдіжаппар Әлқожа - Ұмыт деме
3:58
Әбдіжаппар Әлқожа
Рет қаралды 780 М.
Jakone, Kiliana - Асфальт (Mood Video)
2:51
GOLDEN SOUND
Рет қаралды 10 МЛН