Bony Mwaitege -Mkono wako '' (Official Music Audio)

  Рет қаралды 164,151

Bony Mwaitege Official

Bony Mwaitege Official

Жыл бұрын

Kwa Neema ya Mungu kazi zangu zote sasa zitapatikana katika channel yangu hii, nikuombe sana kuungana na mimi kwa hatua nyingine mpya kabisa.Mafuta ambayo Mungu ameyaweka ndani yangu ni wakati mwingine wa kukuvusha ...
Pia unaweza kuwasiliana namimi moja kwa moja kwa simu namba:-+255 753 582 739.
Bony Mwaitege -Mkono wako
MUNGU AKUBARIKI SANA.

Пікірлер: 225
@ambindwilehosea6837
@ambindwilehosea6837 Жыл бұрын
Ooooh hallelujah Shukurani nami nashukulu sana Kwa mengi kama upo pamoja na mtumishi wa Mungu Bonny mwaitege weka zako like tushukuru pamoja naye mimi wa kwanza 💪🔥🔥🔥
@isaaclemaiyan1455
@isaaclemaiyan1455 Жыл бұрын
Am the first one to comment ...I love this man from Kenya ,nipewe like za ke254 hapa
@evalynependo3824
@evalynependo3824 Жыл бұрын
Nimewashangaza mwengi Bwana 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻amazing song, Glory to God 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@samsonimkali-uo4wk
@samsonimkali-uo4wk Жыл бұрын
Ashukliwe baba wa mbinguni aimee👋👋👋👋
@abasmarco4525
@abasmarco4525 Жыл бұрын
Brother mm ni shabiki wako na nakufatilia kwa karibu sana,bado tunakiu na kazi zako tunataka kazi kubwa zaidi ya Ile ya arubam ya mama ni mama,bado tuna Imani na wewe.🙏
@faithkagehi9356
@faithkagehi9356 Жыл бұрын
Wa kwanza jamani...umenitendea mengi mema bwanaa❤❤
@victorblessed9502
@victorblessed9502 Жыл бұрын
Wimbo wa baraka una hisia mno barikiwa sana mtumishi wa Mungu
@justinegabrielofficial3210
@justinegabrielofficial3210 Жыл бұрын
Waooh hii ni nyingine pia 🔥🔥🔥🔥 Listening 🎧 from Mwanza Tz
@vanessa-vavandikumwenayo2757
@vanessa-vavandikumwenayo2757 Жыл бұрын
MUNGU haogopi matatizo kama Sisi binadamu😭😭 Nyimbo nzuli sana🥰🥰🥰
@james008BOND7
@james008BOND7 Жыл бұрын
SHALOM 🙏🙏🙏 wapendwa njooni tumimine like kwa wingi kwa Mtumishi wa MUNGU@Bony mwaitege🙏🙏🙏🙏,,ngoma imeweza💯
@mussamkepule2649
@mussamkepule2649 Жыл бұрын
Nakukubar sana kaka yangu mungu akutunze
@johnshilumba2190
@johnshilumba2190 Жыл бұрын
@@mussamkepule2649 aq1
@titusmutungi9407
@titusmutungi9407 Жыл бұрын
Mtumishi.ndiye huyo tena Bon azidi kukubariki sanasana
@derickboniphace-ci9jn
@derickboniphace-ci9jn Жыл бұрын
Nzurii baba mungu akubariki Sana uishii sanaa
@mariamdaudi8321
@mariamdaudi8321 Жыл бұрын
Bariki mtumishi wa mungu kwa kaz nzur nimebakiwa sana na maneno yako❤❤❤❤
@mercymyrahnzwili923
@mercymyrahnzwili923 Жыл бұрын
Napenda nyimbo zako mtumishi zanibariki ,mungu azidi kukuinua na zaidi 🙏
@lucypaulo9238
@lucypaulo9238 Жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu Kwa kazi nzr
@kibetsang5439
@kibetsang5439 Жыл бұрын
Umekuza mawazo yangu sana congratulations wembo poa.
@papajuniorandphelixramirez4543
@papajuniorandphelixramirez4543 Жыл бұрын
Mungu Akubariki Bonny you are the best🤝
@inocentngogo1259
@inocentngogo1259 Жыл бұрын
🙏🙏Ubarikiwe mchungaji
@noahmwakalombaofficial1961
@noahmwakalombaofficial1961 Жыл бұрын
Kila nyimbo Yako najifunza kitu, asantee baba Kwa kutulisha chakula kizuri wanao hakika, mfalme wa nyimbo za injiri huyu apaa.
@josephpanyakoo6180
@josephpanyakoo6180 Жыл бұрын
Nikwel mung anashangaz san kwa kutuwazia mem barikiw san
@SAMUELMUNISHI
@SAMUELMUNISHI Жыл бұрын
Baraka tele mtumishi
@petermwabulambo3919
@petermwabulambo3919 Жыл бұрын
Ameni sana baba wawengi watoto wakiroho
@kefaJmalimali
@kefaJmalimali Жыл бұрын
Kabisa Baba barikiwa sana sana
@kisiimilka2063
@kisiimilka2063 Жыл бұрын
Nafurahi kuona wimbo mwingine maana nilikosa jibu wakati niliingia KZbin channel yake bonny eti chenesa nilishidwa maana nilitaka wimbo wake sisi site sisi sore ni kazi ya mikono yake tangu siku hiyo ndio Leo nimeona wimbo mkono sifa na utukufu zimrudie mungu emeni 😢
@brucedollarmanmusic
@brucedollarmanmusic Жыл бұрын
Mtumishi nimependa ufunuo ndani ya wimbo huu
@mestonisimzosha203
@mestonisimzosha203 Жыл бұрын
Hujawahi kutuangusha Sauti kwako💪🙋🏻‍♂️👮🏻
@Martinenock-os6bf
@Martinenock-os6bf Жыл бұрын
Matumishi mungu akubarik sana kazi zako zinanibariki sana mungu akulinde tuzidi kusikia saut yako
@hellenlovembe8007
@hellenlovembe8007 Жыл бұрын
Mimi mkenya ninakufuatilia toka kingdom of Bahrain. Nyimbo zako zina upako na faraja
@innocentkitonga6776
@innocentkitonga6776 Жыл бұрын
Amen,,true say,,God never fear the temptations when all they left He is there for us,,,amen,, without Him nothing will happen,,lakini kwa mkono wake Bwana twazidi kubarikiwa,,may God bless you mtumishi❤
@ashafayida7359
@ashafayida7359 Жыл бұрын
akisante mshungaji wetu mwimbo zuri sana
@esthermuthuita7924
@esthermuthuita7924 Жыл бұрын
Njooni muone mwenye alinifundisha kutoacha ibada. Neema imezidishwa, huu ni upako,kibali na upendo kwa Mungu. Paa zaidi mtumishi. Huduma yako ni ya dhamana naye Mungu amejitwalia sifa. Asante Bwana❤❤❤ Baba nimeuona mkono wako 🎶 🎶 Hallelujah 🙌😮
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial Жыл бұрын
Ameen Barikiwa sana,Umenibariki sana
@sembibijoseph9609
@sembibijoseph9609 Жыл бұрын
@@BonyMwaitegeOfficial jambo Bonny Mwaitege
@Yusufu940
@Yusufu940 Жыл бұрын
Ubarikiwe
@yakobomwamboya7312
@yakobomwamboya7312 Жыл бұрын
Kweli baba nimeona mkono wako ubarikiwe sana
@doreenkigosi1524
@doreenkigosi1524 Жыл бұрын
Ubalikiwe sana baba MUNGU akubaliki sana ujumbe mzuri sana hakika MUNGU so kama wanadam
@rebeccah357
@rebeccah357 Жыл бұрын
Niseme nini, actually sina cha kusema . Glory to God. Am blessed abundantly with this beautiful song. Mungu azidi kukiinua kipaji chako Bonney .Amen 🙏
@samwelimussa6153
@samwelimussa6153 Жыл бұрын
Amen 🙏 niliimiss huduma yako mungu azidi kukuinua
@emmanuel.m.mabonga.9224
@emmanuel.m.mabonga.9224 Жыл бұрын
Nabarikiwa sana na nyimbo zako brother
@sarahwawuda5164
@sarahwawuda5164 Жыл бұрын
Nilipita kwenye majaribu ukanikumbatia asante YESU😭😭...BABA nimeuona mkono wako🙏🙏🙏
@sharonwandera4603
@sharonwandera4603 Жыл бұрын
Wow, amen what a blessing song 💃💃 much love from Kenya 🇰🇪🇸🇦🇰🇪
@moureenlydia1688
@moureenlydia1688 Жыл бұрын
Wimbo nzuri saaana Mungu akubariki ndugu yangu
@EmmanuelDaka-nu2dh
@EmmanuelDaka-nu2dh Жыл бұрын
Verily is God himself have good thoughts up on his people, the song has make me remember where God brought me from dust 😢😢😢
@user-mf1bo1qv6x
@user-mf1bo1qv6x Жыл бұрын
Bonny continue to worship God with all your heart
@joanjay6938
@joanjay6938 Жыл бұрын
Wimbo mzuri wakutukumbusha jinsi tunavyopendwa bure na Mungu❤❤
@lusajomwaipopo5042
@lusajomwaipopo5042 Жыл бұрын
Unavyo imba ni vile ninavyokusikia ukifundisha Neno Mungu akulinde sana,Baba yetu
@jeanettegloria6244
@jeanettegloria6244 Жыл бұрын
Wow nili miss sauti yako kweli. Barikiwa sana mtumishi wa Mungu. Sipendake upotee sana, ningekuwa na uwezo ninge ku support ili injili iende mbele
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial Жыл бұрын
ASANTE
@stecybeib948
@stecybeib948 Жыл бұрын
Amen
@benedictlongolongo5536
@benedictlongolongo5536 Жыл бұрын
benedictlongo55 kaka nyimbo inatubariki sana mm najifunza jambo kubwa kupitia nyimbo zako
@gwakisamwandalima344
@gwakisamwandalima344 Жыл бұрын
Baba nimeuona mkono wako
@violetnyanjwa5934
@violetnyanjwa5934 Жыл бұрын
Glory be to God 🙏
@jpetitnizeyimana5422
@jpetitnizeyimana5422 Жыл бұрын
Nyimbo safi mzee wangu mungu akubariki Sana Tena nakutakia Kila aheil gumvu zamungu zende nawewe . J petit kutoka burundi bujumbura
@cecilenday1485
@cecilenday1485 Жыл бұрын
Hongera sana
@kwizeradieudonnee5305
@kwizeradieudonnee5305 Жыл бұрын
Kwel mimewuona mkono wakwo ameeeeeeeeeeeeameeee ucawi unadhindwa kwa mkono wakwo ameeeeeeeeeeeeameeee!!!!
@sheilaagesa2243
@sheilaagesa2243 Жыл бұрын
Bonny mwaitega barikiwa sana kwa huu wombo🙏🙏
@remybebs4156
@remybebs4156 Жыл бұрын
Really God is faithful acha apewe sifa milele tunakupenda sana from 🇰🇪🇰🇪
@slimmyalicia7633
@slimmyalicia7633 Жыл бұрын
My Always favourite Male Gospel Artist , Listening from GERMANY 🇩🇪🇩🇪🇩🇪
@jeremiahbulenge1856
@jeremiahbulenge1856 Жыл бұрын
Safi sana brother
@carolineouma8660
@carolineouma8660 Жыл бұрын
Shukran kwako mchungaji unafanya moyo wangu unafurahi kwa nyimbo zako nzuri.
@ashafayida7359
@ashafayida7359 Жыл бұрын
akisanti sana muchungaji wetu ubarikiwe mwana mungu akubari sana kila siku ubarikiwe baba
@herimboya
@herimboya Жыл бұрын
Hujawahi kutuangusha kaka mkubwa 😊😊😊🔥🔥🔥
@alexpesambili1206
@alexpesambili1206 Жыл бұрын
Barikiwa mtumishi
@mpendozadok123
@mpendozadok123 Жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa mungu
@manirambonainnocent6459
@manirambonainnocent6459 Жыл бұрын
May God bless you servant of God mwaitege
@mejaking5603
@mejaking5603 Жыл бұрын
Wimbo mzurii
@RuthAmojong-sm4kl
@RuthAmojong-sm4kl Жыл бұрын
It's only the hand of God. Keeps us safe.almighty God be with you
@esthermalikia_
@esthermalikia_ Жыл бұрын
Asante mungu nimeona mkono wako 🙏
@papatomaso4874
@papatomaso4874 Жыл бұрын
Kazi safi sana baba
@mwl.ombimahenge6782
@mwl.ombimahenge6782 Жыл бұрын
Wimbo wa Baraka Sana huu. Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu. Uzidi kupewa mafunuo mapya ya nyimbo nzuri
@briankirwa4402
@briankirwa4402 Жыл бұрын
Top and top 🇰🇪🇰🇪represented100%💥💥
@neemahoswe6627
@neemahoswe6627 Жыл бұрын
Barikiwa mtumishi
@MrJayRugaspel
@MrJayRugaspel Жыл бұрын
Amen kaka mkubwa Barikiwa sana
@deboralukube8439
@deboralukube8439 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana kwa wimbo Mungu atuteteye wote Amen amen 🙏🙏🙏🙏🇱🇷
@cymonymlugu7280
@cymonymlugu7280 Жыл бұрын
Mtumish mungu akubarik sana azid kukuinua sisi tulio zaliwa familia maskin tunajua uchungu wa utaftaj kwaiy ukikaa kimy naumiaga sana mtumish
@ajualupembe4900
@ajualupembe4900 Жыл бұрын
Uchawi unashindwa kwa sababu ya mkono wako Mungu
@revmichaeldanieltv5154
@revmichaeldanieltv5154 Жыл бұрын
Amen Amen ubarikiwe sana mchungaji
@zedekiannyagawa3521
@zedekiannyagawa3521 Жыл бұрын
kazi nzuri sana. hongera sana Bony Mwaitege
@mathewsmwambazi8527
@mathewsmwambazi8527 Жыл бұрын
Wimbo nzuri mungu akubalike my favorite musician
@eliudylaizer9828
@eliudylaizer9828 Жыл бұрын
MUNGU 🙏🙏 azidi kubariki kazi yako
@johnkaranja6680
@johnkaranja6680 Жыл бұрын
Aaaaaa!!! Mungu akubaliki sana
@johnkaranja6680
@johnkaranja6680 Жыл бұрын
Big up sana mutumishi wa mungu nakukunali sa nakusikiliza KENYA from burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@euniceshanii2980
@euniceshanii2980 Жыл бұрын
🎉🎉Good work bro mwaitege may our God in heaven bless you so much🙏🙏🙏huu wimbo unagusa
@gloriaamase9764
@gloriaamase9764 Жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu Bony nakupenda bure tu zidi kubarikiwa sanaaa
@tomkels
@tomkels Жыл бұрын
Glory be to God 🎉 Amazing work of God...
@everlynekaithya3142
@everlynekaithya3142 Жыл бұрын
Mungu akiweka kipawa kwa mtu,hii Ndio matunda utoa
@YESHUA967
@YESHUA967 Жыл бұрын
Good song Bonny
@meshackmuoki8217
@meshackmuoki8217 Жыл бұрын
Kali sanaaahhh
@hezzymedia4899
@hezzymedia4899 Жыл бұрын
Nice song bro
@linetamojong6677
@linetamojong6677 Жыл бұрын
Amen am blessed watching from Lebanon 🇰🇪🇱🇧
@ashafayida7359
@ashafayida7359 Жыл бұрын
ubarikiwe mchungaji kila siku ku maicha yako
@JudicaelleGatali
@JudicaelleGatali 8 ай бұрын
nice song be blessed Great work thank ❤❤❤❤💯💯💯🕺🕺🕺
@ENOCKSAM1015
@ENOCKSAM1015 Жыл бұрын
Naomba upige collabo nyingine na Martha mwaipaja ❤
@BrianObonyo-gd2is
@BrianObonyo-gd2is Жыл бұрын
Huyu n Brayo kutoka Kenya nyimbo zako Zinabariki Tu sana
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial Жыл бұрын
ASANTE SANA NDUGU YANGU
@shonmakscomedy
@shonmakscomedy Жыл бұрын
wapi sauti ya mkono wa mungu 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
@kelvinwamwea-official
@kelvinwamwea-official Жыл бұрын
A very powerful song...wengine wanapokukimbia anakufuata anakukumbatia asnte bwana ❤
@mercyndoli5296
@mercyndoli5296 Жыл бұрын
Glory to God be blessed bro ....alafu nikibata aje plz
@nancycheby125
@nancycheby125 Жыл бұрын
Powerful
@user-sj6uh8un4n
@user-sj6uh8un4n Жыл бұрын
Mungu azidi kukuinuwa viwango vyo juu zaidi❤👏
@carolineouma8660
@carolineouma8660 Жыл бұрын
Mwanamke aliye kuzaa abarikiwe sana
@CarolinePaul-ru2yf
@CarolinePaul-ru2yf Ай бұрын
May God bless you 🙏🙏 you are always my mentor 🇰🇪🇰🇪
@samuelwasilwa1078
@samuelwasilwa1078 Жыл бұрын
Bwana ananiwazia mema .ubarikiwe sana Bonny Mwaitege ❤
@feliternyanchama737
@feliternyanchama737 Жыл бұрын
Nice song listening from Kenya
@bahatideus8237
@bahatideus8237 Жыл бұрын
Nyimbo tamuuuuu ❤❤❤
@samsonmasese
@samsonmasese Жыл бұрын
Good work brother bonny your songs real amazing and blessings watching from Kenya
@johnngandu1825
@johnngandu1825 Жыл бұрын
You'll be always my best artist Mr bonny❤❤❤❤ receive greetings from Zambia
THE BEST SONGS OF BONY MWAITEGE 2023 2024
1:09:11
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 26 М.
Bony Mwaitege ft Sifael Mwabuka  - Ni Salama'' (Official Music Video)
7:47
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 1,2 МЛН
One moment can change your life ✨🔄
00:32
A4
Рет қаралды 34 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 4,2 МЛН
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 75 МЛН
Bony Mwaitege - Acha Nizaliwe (Official Music Video)
6:58
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 2,8 МЛН
MY WIFE LEFT ME WITHOUT NOTICE- PK KARITEI
1:19:01
JEFF KURIA
Рет қаралды 119 М.
Bony Mwaitege - Safari Bado (Official Music Video) ft. Bahati Bukuku
7:52
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 6 МЛН
Bony Mwaitege - MWALIMU (Official lyrics Video)
6:33
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 83 М.
Sarah Magesa -  NIMEBAKI NA WEWE (Official Video) HD
8:46
Sarah Magesa
Рет қаралды 9 МЛН
Bony Mwaitege - 'Neema Imenibeba' (Official Music Video)
7:51
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 670 М.
Munisa Rizayeva - Aka makasi (Official Music Video)
6:18
Munisa Rizayeva
Рет қаралды 8 МЛН
Stray Kids "Chk Chk Boom" M/V
3:26
JYP Entertainment
Рет қаралды 52 МЛН
akimmmich (feat. Turar) - UMYTTYŃ BA?| official lyric video
2:54
akimmmich
Рет қаралды 3,7 МЛН
Malohat
3:35
Xamdam Sobirov - Topic
Рет қаралды 992 М.
IL’HAN - Pai-pai (lyric video) 2024
3:24
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 543 М.