Bony Mwaitege - USIACHE IBADA SABABU YA PESA (Official Audio )

  Рет қаралды 18,559

Bony Mwaitege Official

Bony Mwaitege Official

Ай бұрын

Kwa Neema ya Mungu kazi zangu zote sasa zitapatikana katika channel yangu hii, nikuombe sana kuungana na mimi kwa hatua nyingine mpya kabisa.Mafuta ambayo Mungu ameyaweka ndani yangu ni wakati mwingine wa kukuvusha ...
Pia unaweza kuwasiliana namimi moja kwa moja kwa simu namba:-+255 753 582 739.
MUNGU AKUBARIKI SANA.

Пікірлер: 76
@emanuelfitani3042
@emanuelfitani3042 Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 wa kwanza Leo naombeni hata like 10 tuu
@AndawileMwakapila
@AndawileMwakapila Ай бұрын
Ipo vizuri mi wa nne naomba like
@ministernikolaus
@ministernikolaus Ай бұрын
AMEN Mchungaji imetufikia hiyo na Nabarikiwa sana kwa Injili hii
@Daudysimbeye-od1sf
@Daudysimbeye-od1sf Ай бұрын
Asante saana mtumish kwa wimbo mzuli
@tumainmwamatenge4575
@tumainmwamatenge4575 Ай бұрын
Kweli kabisa akumbukwe MUNGU na kuabudiwa🙏
@SIFAKIRAO
@SIFAKIRAO 22 күн бұрын
Mungu kwanza mengine tutazidishiwa, be blessed from coastal Kenya🇰🇪
@jamesamariati4896
@jamesamariati4896 25 күн бұрын
Asante sana kwa wimbo huu umeningusa mm Jane,like zangu
@ianikada7330
@ianikada7330 25 күн бұрын
Nice,song Dad.May God's will and grace continue to reign on you always 🙏
@titusangore2912
@titusangore2912 Ай бұрын
Kazi nzuri sana Mtumishi keep it up and God bless you abundantly brother ❤️
@malimadtv
@malimadtv Ай бұрын
Sawa mkuu ubarikiwe sana mtumishi kutukumbusha ibada 🙏🙏🙏
@Victorc.
@Victorc. 18 күн бұрын
Messages always speak the truth GOD Continue Blessing you Bonny mimi nishabiki wako kutoka kenya kwa zaidi ya miaka 19 hadi waleo bado napenda mziki zako
@user-cx4jl6wk6m
@user-cx4jl6wk6m Ай бұрын
Mungu kwanza pesa baadaye..nyimbo nzuri sana barikiwa Bony Mwaitege
@user-io2rj2yp5d
@user-io2rj2yp5d Ай бұрын
Ni kweli Mtumishi,Asante kwa kutukumbusha maana siku hizi watu wanathamini sana mambo Yao kuliko kumthamini Mungu kwa kutenga hata siku za ibada kumwabudu Mungu wao
@MussapauloUsalanje-rd3ty
@MussapauloUsalanje-rd3ty Ай бұрын
Ubalikiwe sana maana nyimbo zako ni elimu tosha kwa jamii
@user-ch9no6me6l
@user-ch9no6me6l 6 күн бұрын
Ubarikiwe sana bab mungu azidi kukutumia kwa viwango mungu anakujua Zaid babaangu
@Alfredmusa24
@Alfredmusa24 Ай бұрын
Wimbo mzuri sana 🎉 Mtumishi Bwana Yesu akubariki sana
@mrnickmusician7139
@mrnickmusician7139 Ай бұрын
Good soñg keep it up 🇰🇪🇰🇪
@esaukihwele6134
@esaukihwele6134 Ай бұрын
Lazima ukatoe hesabu kwamungu nini kimekupata bony umeifata dunia nawewe ludi kwamungu mungu haendi nawakati yule nimzee wasiku naludia tena ludi kwamungu
@paulpastory1193
@paulpastory1193 Ай бұрын
Baba Sasa Mwanao nakushukuru nimejifunza kitu Baba
@JescahSimiyu-rm5qp
@JescahSimiyu-rm5qp 28 күн бұрын
Mungu yupo mbinguni anapenda ibada,kabisaa 🎉🎉
@modestkonga9318
@modestkonga9318 Ай бұрын
Tukumbuke ibada, thanks dad
@martinngowa9071
@martinngowa9071 Ай бұрын
Mungu abariki ngoma zako bonny
@jamesfanuel4595
@jamesfanuel4595 Ай бұрын
Hakika Nyimbo Nzuri Ubarikiwe Mtumishi wa MUNGU Asante kwa Ujumbe mzuri
@henriettembiso8415
@henriettembiso8415 27 күн бұрын
aksanti baba kweli pesa iko muzuri lakini aiweze nunua uzima
@blessskid
@blessskid 3 күн бұрын
Pole saana ndugu R.IP😢
@lusejiadorothy3551
@lusejiadorothy3551 2 күн бұрын
Hajakufa jamani, watu waache kuua wengine all in the name of content 😢
@m.m.tvmbebamaono
@m.m.tvmbebamaono Ай бұрын
Mungu nisamehe sana nimekuwa bize sana
@celestinerlewa8974
@celestinerlewa8974 19 күн бұрын
Singeli sio😂kali sana mtumishi❤
@joankenya3479
@joankenya3479 Ай бұрын
Amina,nimejifunza kitu cha maana katika huu wimbo.
@candidadilemile5882
@candidadilemile5882 Ай бұрын
Amen Amen Amen in Yesus Christ name ❤️🙏🙌
@ibrahimguelord9441
@ibrahimguelord9441 Ай бұрын
Soyez bénis homme de Dieu 🎉🎉🎉🇨🇩🇨🇩
@adililukama3753
@adililukama3753 Ай бұрын
Barikiwa
@nyabarofelix3425
@nyabarofelix3425 3 күн бұрын
RIP Gospel king, dunia tunapita
@kimeujohn9042
@kimeujohn9042 Ай бұрын
My favorite artist
@eliudmwalugelo5191
@eliudmwalugelo5191 Ай бұрын
Mungu akubariki sana kweli tusiacheee ibada
@user-dd3ge6pl3b
@user-dd3ge6pl3b Ай бұрын
Sawa mkuu 🙏🙏🙏
@OmariSenga-ou6zr
@OmariSenga-ou6zr 24 күн бұрын
Boni,ukodju endeleya nakuïmba ville
@jeremiahbulenge1856
@jeremiahbulenge1856 22 күн бұрын
Barikiwa sana pastor
@LuckyMtamarsComedy
@LuckyMtamarsComedy Ай бұрын
From Congo 🇨🇩
@papatomaso4874
@papatomaso4874 Ай бұрын
Barikiwa sana baba
@christiankalenda9396
@christiankalenda9396 27 күн бұрын
Tu es le meilleur Fr Bony Mwaitege
@Victorc.
@Victorc. 18 күн бұрын
Amen ukweli mtupu ❤❤
@user-nb6yh2bn9y
@user-nb6yh2bn9y Ай бұрын
Ange shilikishwa Dura makabila Hapa ndyo angeua saana 😎😎😎
@user-io2rj2yp5d
@user-io2rj2yp5d Ай бұрын
Dulla Makabila Tena kwenye gospel
@user-nb6yh2bn9y
@user-nb6yh2bn9y Ай бұрын
Sii unaona mapigo yenyewe Hayo ndyo kulekule 👀👀👀
@user-io2rj2yp5d
@user-io2rj2yp5d Ай бұрын
@@user-nb6yh2bn9y lkn hii ni nyimbo ya injili
@Daudysimbeye-od1sf
@Daudysimbeye-od1sf Ай бұрын
Asante saana ​@@user-nb6yh2bn9y
@Daudysimbeye-od1sf
@Daudysimbeye-od1sf Ай бұрын
Mtumish wa mungu nimeupenda saana wimbo huu
@Secret_Entrepreneurial
@Secret_Entrepreneurial Ай бұрын
Whaou good song ( RDC)
@PatrickPastory-io1me
@PatrickPastory-io1me 27 күн бұрын
Bless you my Pastor 💟
@marcelotshilewu
@marcelotshilewu Ай бұрын
Mungu mwenyezi akubarike sana kwa huu wimbo I'm from Congo 🇨🇩
@marieshiku8711
@marieshiku8711 Ай бұрын
Amen🙏🙏
@kilianmtotowamungu3885
@kilianmtotowamungu3885 Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
@ImaliMercy-iw7oj
@ImaliMercy-iw7oj 2 күн бұрын
Hallelujah
@user-ii6oe7df2k
@user-ii6oe7df2k Ай бұрын
Amina
@philipotienoochiengochieng2871
@philipotienoochiengochieng2871 Ай бұрын
❤❤❤
@Amani-pm8uq
@Amani-pm8uq 3 күн бұрын
We will miss you Rip
@user-zm4wd7fm7w
@user-zm4wd7fm7w 18 күн бұрын
Amen 🙏
@MchenjelaChisunga-lv5ff
@MchenjelaChisunga-lv5ff Ай бұрын
🔥🔥🔥
@Phoebenafula
@Phoebenafula Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@davewere4996
@davewere4996 3 күн бұрын
RIP Bonny
@christineliam2899
@christineliam2899 3 күн бұрын
Rest in peace bon😢😢sad
@emilemahiriwe-lm8pn
@emilemahiriwe-lm8pn Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@enockbryson8167
@enockbryson8167 Ай бұрын
🤲👏
@josfetcher7982
@josfetcher7982 3 күн бұрын
Rest easy 😢
@charlesmuasya-ed1lg
@charlesmuasya-ed1lg 3 күн бұрын
Upo salama??
@Triza-eo7gu
@Triza-eo7gu 3 күн бұрын
😢😢😢😢😢
@user-pl8er7wd8o
@user-pl8er7wd8o 3 күн бұрын
So you Tanzanians failed to protect Bonny right? If at all it isnt a genuine accident then you people must resurrect this man!
@akuresamuel8840
@akuresamuel8840 3 күн бұрын
Is it true he died
@lukapastory
@lukapastory Ай бұрын
Bony mwaitege Umesha fariki kwa Ujinga wa Singeli kuuleta Kanisani ,, Utakuhukumiwa kuleta Singeli na UMALAYA Kanisani. Si wote kwamba Ni vipofu , Tunajua hila yako
@IsackEdison-ix4rj
@IsackEdison-ix4rj Ай бұрын
Usihukumu usije hukumiwa
@modestkonga9318
@modestkonga9318 29 күн бұрын
Luka Kama huna Cha ku comment sio lazima ukoment,alafu jifunze kukaa kwenye wito wako ulioitiwa,dunia hii Ina watu wengi wanahitaji injili,kwa ufahamu huo huwezi kuwa na neema ya kukusanya watu 50,ukawachunga,yaani Ni zero brain,una akili ya kula chakula na kuvuka barabara,unajizima data na kujitia uchizi kuchafua watu,unadhani utaonekana mwema?au unatafuta umaarufu,kwa comment hii umetukera sisi wadau wa injili,wewe ni taila wa kiroho,na roho ya umasikini inakusumbua
@modestkonga9318
@modestkonga9318 29 күн бұрын
Amefariki kwani wewe ndiye uliyemwita kwenye kazi ya Mungu?
@modestkonga9318
@modestkonga9318 29 күн бұрын
Alafu siku nyingine Kama huna Cha kukoment nyamaza kimya,sio kujitia uchizi na kuanza kuchafua watu na kuongea vitu vya hovyo,kwa ufahamu huo huna uwezo wa kukusanya hata watu 50,Maana akili zako zinatosha kulia chakula na kuvuka barabara,unatukosea wadau wa injili kwa kuongea upuuzi wa aina hii,watu wanatumia gharama kubwa kuwatoa watu wanaoshinda bar na vinguo vifupi,wanawakalisha kanisani,wewe unaongea upuuzi kirahisi tu,huo ni utaira wa kiroho,na roho ya umasikini inakusumbua,unaacha wito wako upo bizy na Mambo ya kijinga,Acha ushamba huo si utumishi
@Peterkisalu
@Peterkisalu 26 күн бұрын
We mjinga wa wapi unatusi watu una nn ww
THE HITS SONGS OF BONY MWAITEGE  2023
1:00:49
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 175 М.
THE BEST SONGS OF BONY MWAITEGE 2023 2024
1:09:11
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 26 М.
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
Does size matter? BEACH EDITION
00:32
Mini Katana
Рет қаралды 20 МЛН
Эффект Карбонаро и нестандартная коробка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 9 МЛН
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 7 МЛН
Annoint Amani - Msizike bado yuko hai ( official music video )
8:54
Annoint Amani
Рет қаралды 167 М.
Bony Mwaitege - TAFUTA AMANI (Official Audio)
6:32
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 24 М.
Bony Mwaitege - Safari Bado (Official Music Video) ft. Bahati Bukuku
7:52
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 6 МЛН
Annoint Amani = Sitoki Kizembe ( official music video )
3:45
Annoint Amani
Рет қаралды 532 М.
Bahati Bukuku ft Bony Mwaitege - Dawa Yangu (Official Video)
5:45
Bahati Bukuku
Рет қаралды 545 М.
UNIONDOLEE MAJIVUNO [Rose Muhando cover] WATU WOTE TUBUNI TUACHE DHAMBI By Minister Danybless
23:01
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 573 М.
Bony Mwaitege ft Sifael Mwabuka  - Ni Salama'' (Official Music Video)
7:47
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 1,2 МЛН
Bony Mwaitege - 'Neema Imenibeba' (Official Music Video)
7:51
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 670 М.
Duman - мен болмасам кім? (Mood Video)
2:35
Duman Marat
Рет қаралды 37 М.
Iliyas Kabdyray ft. Amre - Армандадым
2:41
Amre Official
Рет қаралды 1,5 МЛН
Nurmuhammed Jaqyp  - Nasini el donya (cover)
2:57
Nurmuhammed Jaqyp
Рет қаралды 321 М.
Jakone, Kiliana - Асфальт (Mood Video)
2:51
GOLDEN SOUND
Рет қаралды 10 МЛН
Erkesh Khasen -  Bir qyz bar M|V
2:43
Еркеш Хасен
Рет қаралды 727 М.
Stray Kids "Chk Chk Boom" M/V
3:26
JYP Entertainment
Рет қаралды 52 МЛН