Stella worching from saudia jamani.tunapendwa.na.mungu tusiwe na shaka yote.anaweza from bony maitege
@كارسكيني Жыл бұрын
Mungu ni mwema
@patrickmusyokamuli32302 жыл бұрын
Kwa hakika Mungu anatupenda , sifa n utukufu zimrudie
@euniceauma12662 жыл бұрын
From Kenya ni Eunice. Hakika tunapendwa na mungju.ubarikiwe Bony.... Mm
@hildamoses3349 Жыл бұрын
Hakika mungu anatupenda Sana tuna kila sababu ya kumrudishia sifa na utukufu
@wolfjuniorburundi4565 Жыл бұрын
Till now I'm listening to this song I like it so much love from Burundi 🇧🇮 bony tunakutaka uje huku tunakupenda sana
@abmiaji7083 жыл бұрын
Caro kemunto watching from Saudi. Tunapendwa hallelujah hallelujah 💃💃💃💃 Tuwe na shukurn , Amen 🙏🙏🙏🙏, nice song
@Anastaciajerop-s4v4 ай бұрын
Wanadamu tuwe na moyo wa shukurani😢tunapendwa na mungu❤
@johnstonengeno11162 жыл бұрын
Watching from Kenya,mungu anatupenda kweli
@happinesskwamboka15403 жыл бұрын
Hallelujah !🔥🔥 nice song,🙏 tunapendwa jamani na Mungu wetu sifa🙏 na utukufu kwake milele na hata milele🙏
@LukongoDaniel5 ай бұрын
Asifiwe Mungu mwenye upendo mkubwa ivi
@JudicaelleGatali Жыл бұрын
Jambo Thanks Amina Amina mungu ni mwemaa❤❤🇨🇬🇨🇬🇨🇬👏👏👏
@achambaclinton46845 ай бұрын
Hakika tu apendwa na mungu🙏🙏
@mithletlwoyelo60443 жыл бұрын
Asante Yesu kwa kunipenda kwanza! Hakika ninapendwaa pamoja na familia yangu
@periskaranja2253 жыл бұрын
From kenya tunapendwa .wimbo ulio bora leo hii
@guillaineniyibizi5979 Жыл бұрын
Tunapendwa sana na Mungu usifiwe Mungu wetu
@Dondreads Жыл бұрын
This song should have a Million views coz this one is a song that touches 👌 souls for Real Tafakari : Kweli Tunapendwa
@marioleonce2462 жыл бұрын
Nyimbo tamu sana hii kazi nzuri kaka love yuuu
@judybarasa73863 жыл бұрын
Hallelujah,,tunapendwa jameni tusikatizwe Tamaa,yuko anayetupenda,, barikiwa mtumishi wa Mungu,,
@Magret-tg9fd3 жыл бұрын
God I know u love me and I will Never be moved by any situation glory goes to your Name just feel blessed this night in Saudi Much love n blessings man of God
Mungu ananipenda,aliniokoa kwa ajali ya pikipiki miezi mitatu iliyopita
@rosekililo82803 жыл бұрын
Kenya pia tunapendwa, thanks bro from Tanzania powerful song
@scholampunga23783 жыл бұрын
Tunapendwa sana, Amen Mtumishi
@esthermbuti93073 жыл бұрын
Sana sana
@ernestmwakasenga16033 жыл бұрын
Wewe ni muhubiri mzuri Sana kwa njia ya nyimbo na unawafikia watu wengi kwa urahisi usiweke hicho kipawa pembeni Mungu akubariki mno!
@hassanmbangula1597 Жыл бұрын
Daah ujumbe mzuri umeniongezea hatua za Imani hakika napendwa na Mungu Mungu azidi kukuinua Apostor Bonny Mwaitege
@ndimbobetram83003 жыл бұрын
Nyimbo nzuri, mafunzo ya kutoshaa🙏🙏
@ablahammngano48993 жыл бұрын
Wimbo mzuri Sana Mungu akusimamie katika huduma yako.
@christineanyango73063 жыл бұрын
What did we do to deserve the kind of love ,,, nothing but Gods grace hakika tunapendwa barikiwa sana..
@atienoselinah7223 жыл бұрын
How many times can I listen to this song! Excellent
@jescahamakove2833 жыл бұрын
Amen ni kweli mungu ni upendo tunapendwa na mungu kabisa
@elizanyambura2316 Жыл бұрын
Yani Mungu unanipeda hivi vyote,sifa na shukrani zikurudie Mungu mwenye enzi AMEN
@zillahmwangangi33834 ай бұрын
Kweli tunapendwa na sir God😢 God bless you man of God
@josephdomi93933 жыл бұрын
ndo wa kwanza kulike hapa naona 🙏🙏
@wanambisikhakasafaith68232 жыл бұрын
Hakika tunapendwa sana na Mungu...ametotoa mbali
@dianabonareri42942 жыл бұрын
Hallelujah, tunapendwa
@Frank-qo5yo2 жыл бұрын
Nyimbo zako ni baraka kwetu karibu kenya
@sengbilonse34633 жыл бұрын
Kazi nzur mtumish mungu akutie nguvu
@damarcy12702 жыл бұрын
Amen najivunia kupendwa na Bwana 😢
@rachelrahma7793 жыл бұрын
Aaamen mtumishii mungu azidi kuinua huduma yko kila siku
@kennedyarumana82472 ай бұрын
Mungu ndio mwisho
@faithasha21710 ай бұрын
❤Mungu n pendo la wote angeesabu maovu yetu akuna yeyote angesimama mbele za Mungu 😢
@shadrickmwambazi1962 жыл бұрын
Asante sana kwa wimbo huu, hakika Mungu anatupenda
@apostlekevin1752 Жыл бұрын
A song full of revelation of Love...I listen to it's and remember how the love was commendeth to us when we were yet sinners (Rom 5:6,8). Thanks Minister Bonny for hearing God and being a blessings .. your cup shall not dry ...
@patrickatandi98662 жыл бұрын
song smart sana mungu akubaliki bro good work
@davidmutua49986 ай бұрын
Hakika tunapendwa❤,2024 niko hapa bado
@silviailenji77453 жыл бұрын
Hallelujah 🙌 amen tunapendwa,barikiwa sana brother Bony
@BetreaceChaka-tg6lu Жыл бұрын
Nabarikiwa Sana na hii wimbo
@maureenwilliam39693 жыл бұрын
How many times is enough to listen to this song? It's been more than 10 times but not enough.....tunapendwa🙏🙏
@gloriousgal20013 жыл бұрын
The beauty of worshipping and praising God is that you never get tired of doing so! Glory to God
@princes60453 жыл бұрын
Bony ! YOU ARE my favourite gospel artist God bless your talent
@clairemakotswi96662 жыл бұрын
Tunapendwa na mungu hallelujah hallelujah Amina
@jeanmariemuco1132 Жыл бұрын
Mungu akubariki saana Burundi🇧🇮🇧🇮 tunakupenda saana
@عليعلي-و8ش3ر2 жыл бұрын
Tunapendwa sana wimbo mzuri mungu akubariki nangalia nikiwa Saudi
@josephinefeza44932 жыл бұрын
Ameeen 🙏🙏,,tunapendwa sana hallelujah
@edwinmutwol70382 жыл бұрын
Watching from kericho Unilever Kenya
@Jackkinemangi Жыл бұрын
Tunapendwa hata tukiteswa tunapendwaaaa❤❤❤❤❤
@judithnzula42612 жыл бұрын
You always Preach to us with your Songs..keep the Fire 🔥 burning!
@bajkljs9058 Жыл бұрын
AMEN weeeeeeee huwimbo unasiri nyingi za MUNGU ❤❤❤❤❤God blessyou bonny
@eliudwakolela3 жыл бұрын
Napendaaa uimbaji wako hakika unanifikishaga mbali sana mtumish Bony
@moulynemideva82172 жыл бұрын
Hakika tunapendwa na Mungu, nice😘🙏🙏🙏🙏
@johnjonath66872 жыл бұрын
🥰🙏💥🥰♥️ nakupenda sana2
@metrineamiani2616 Жыл бұрын
Hallelujah tunapedwa na Mungu
@alextorah923710 ай бұрын
ni kweli tunapendwa🙏
@bonyemuelelwa34403 жыл бұрын
Mungu aku bariki sana bony mwaitenge tuna pendwa ni kweli wimbo mzuri sana
@aimeebusime58492 жыл бұрын
Halle lua tuna pendwa namushukuru Mungu kwakunipebda wakwanza
@sabreenbonaya25203 жыл бұрын
Barikiwa sana kwa kuendeleza utukufu wa bwana
@boazlihanda6579 Жыл бұрын
Mungu ni pendo kweli
@abelndemo27294 ай бұрын
From Kenya blessed with this song ak
@habibcomair57942 жыл бұрын
Lydia kerubo watching from Lebanon tunapendwa
@tabitha28songa622 жыл бұрын
Amen, tunapendwa na mungu
@irenemahembe68073 жыл бұрын
duuh huu wimbo umenigusa n kwel kabisa tunapendwa sema tu ss bnadamu ndo hatuelewek
@mwimbajimodesterlaurent78322 жыл бұрын
Muda ninaoish bado ningali hai nitamwimbia Mungu wangu.
@janewahome26003 жыл бұрын
Halleluyah tunapendwa na Mungu
@kalemelamazala7895 Жыл бұрын
Ni kweli mungu ni pendo. maana ametupa uzima bule
@ezboncharles14363 жыл бұрын
Amen,Tunapendwaaaa
@edwinmokua4270 Жыл бұрын
Waaaau tunapendwa
@chrisantusimbaliaromba38312 жыл бұрын
Kwa hakika tunapendwaaaa na mungu...nice Song Bonny
@judithshikuku46452 жыл бұрын
Kweli alinipenda bure
@كرستيناا-ص4و3 жыл бұрын
Burundi,tunagusikia❤❤❤
@PascalNtwalikabanjda6 ай бұрын
Waga nabarikiwa sana na uimbaji wako
@jocelynemusic5810 ай бұрын
Amen...Ninapendwa jamani
@EstherManda-ex3bc Жыл бұрын
Powerful message 🙏 God loves us too much Almighty God bless you kaka
@elvinmoraa16863 жыл бұрын
Hakika tunapendwa,barikiwa mtumishi
@ApostleBRIAN-qe2hv9 ай бұрын
Brother God bless you your songs always touches my heart
@NahishakiyeNadine Жыл бұрын
Nice song ,God bless you again
@faithmumo68492 жыл бұрын
Tunapendwa 🙏🙏🙏
@bonnifaceniyomwunge13592 жыл бұрын
Tunapendwa 👏👏👏👏
@rebeccatiema67323 жыл бұрын
Amen asante sana kwa kunikumbusha Mungu ananipenda
@blessedsimiyu3 жыл бұрын
I really love you mtume,you are my mentor
@natolierozem Жыл бұрын
This is NATOOLI ROSE ATIENO watching from Uganda, very nice song,,,I love it
@benjaminsteven73503 жыл бұрын
Mungu akubariki sana Mungu akuongeze siku nyingi za kuishi mungu akubariki sana sana
@nirexstudio57586 ай бұрын
Tunapendwa. kutoka Angilcan Ruziba. I like this song
@natolierozem Жыл бұрын
God loves us unconditionally ,mungu a barikiwe
@duncanmulu24503 жыл бұрын
Haleluya! Hongera Mtumishi
@mariamachite74443 жыл бұрын
Bahati bukuku magojwa yote
@gerrymiho17743 жыл бұрын
Hakika Tunapendwa Ubarikiwe Sana Mtumishi
@mercykahenda58153 жыл бұрын
Such a sweet song....can't get much of it. Keep up blessing people through your inspirational songs.
@fortunatafaustine60403 жыл бұрын
Kaka huwa unanibariki sana yesu akuinue
@jenishungu90792 жыл бұрын
Nyimbo zako mtumi zinabalikisana
@chantalmavandu49503 жыл бұрын
Ndio Yesu ni pendo wa kweli
@ezekihaabungana44772 жыл бұрын
Ezekiel watching from Kenya
@mercykahenda58153 жыл бұрын
Been listening to this song from 8pm, it's 2am but can't get enough of it......I like this song ..
@carolineandisi60942 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi wa mungu,huu wimbo huwa unanipatia tumaini Sana🙏🙏