#BREAKING

  Рет қаралды 2,678

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

#BREAKING: ACT WAZALENDO YAPATA PIGO, HABIB MOHAMMED ALI AFARIKI DUNIA...
Habari zilizotufkia kwenye chumba chetu cha habari zinaeleza kuwa Habib Mohammed Ali ambaye alikuwa Mwakilishi wa Jimbo la Mtambwe, Mkoa wa Kaskazini Pemba visiwani Zanzibar amefariki dunia.
Mwakilishi huo ambaye alikuwa mwanachama wa Chama cha ACT-Wazalendo amekutwa na umauti wakati akiendelea na matibabu katika Hospitali ya Saifee jijini Dar es Salaam.
Katibu wa Habari, Uenezi, Mawasiliano na Umma wa Chama cha ACT-Wazalendo, Salim Bimani amesema taarifa za mazishi zitatolewa baada ya kushauriana na familia.
Hivyo kwa updates zaidi kuhusu msiba huo endelea kuwa karibu na Global TV…
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 10
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@hapapetu7018
@hapapetu7018 Жыл бұрын
Inalilah wainailah rajioun ALLAH. Amsamehe. Mja wake. Amjaslie. Safari. Njema. Amin
@bimkubwamohammed
@bimkubwamohammed Жыл бұрын
Mungu amlaze mahali pema Peponi amin
@salyali7807
@salyali7807 Жыл бұрын
Inna lillah wainna ilayhi raajiuun.. May Allah amghufurie amrehemu ampe kalimah thaabit.. Allahumma ameen Allahumma ameen
@makamehasnuu6660
@makamehasnuu6660 Жыл бұрын
Amin,Amin.
@aflahabdula4084
@aflahabdula4084 Жыл бұрын
Innalilahy wainnailayhi rajiun
@rizikahmad6930
@rizikahmad6930 Жыл бұрын
pole kwafamilly
@zanzibarspice8686
@zanzibarspice8686 Жыл бұрын
Inna lillahi wainna ilayhi Raajiun Sote ni wa Allah na sote tutarejea kwake
@mr_kajomba_og5719
@mr_kajomba_og5719 Жыл бұрын
Duuh 🤦🏾‍♂️ pole yao
@abdulhamid9593
@abdulhamid9593 Жыл бұрын
Rip
Inside Out 2: ENVY & DISGUST STOLE JOY's DRINKS!!
00:32
AnythingAlexia
Рет қаралды 15 МЛН
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Leisi Crazy
Рет қаралды 76 МЛН
She's very CREATIVE💡💦 #camping #survival #bushcraft #outdoors #lifehack
00:26
How to win a argument
9:28
ajaxkmr (ajaxkmr1986)
Рет қаралды 584 М.
Noam Chomsky - Why Does the U.S. Support Israel?
7:41
Chomsky's Philosophy
Рет қаралды 6 МЛН
Famous Historian EXPOSES ISR*EL’S FACTS! | Isr*el’s Future In The Quran!
30:55
Inside Out 2: ENVY & DISGUST STOLE JOY's DRINKS!!
00:32
AnythingAlexia
Рет қаралды 15 МЛН