BREAKING: AMRI YA KUFUTWA TARAFA ZA NGORONGORO, HALI TETE, TLS WATOA TAMKO

  Рет қаралды 39,496

HABARI 24

HABARI 24

Күн бұрын

Пікірлер: 86
@AhmedAli-x8w9e
@AhmedAli-x8w9e Ай бұрын
Ivi Tanzania bila kuondosha hao wamasai ngorongoro hatuwezi kuongeta kipato kwa njia nyengine?Acheni ujinga viongozi wa ngazi za juuu
@DannySanga-gh1oj
@DannySanga-gh1oj Ай бұрын
Acha uchawa wewe,kafukuze wazanzibar kule ili tuongeze kipato,
@ShangeMbogo
@ShangeMbogo Ай бұрын
Kumaamako msenge mkubwa
@PaulinaWilliam-py6gk
@PaulinaWilliam-py6gk Ай бұрын
Amefanya ni sehem yeke
@abidandastanmaliyatabu1373
@abidandastanmaliyatabu1373 Ай бұрын
​@@DannySanga-gh1ojnadhani huyu jamaa hamjamuelewa; anasema serikali kwani mpaka huku kwa masai ndiko wanaweza kuongeza kipota cha taifa? Siwaangalie njia nyingine
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 Ай бұрын
​​@@abidandastanmaliyatabu1373 wanamtukana kwa kutomwelewa hakika! Ni dalili za watu kuvurugwa na kukosa umakini, lakini ukweli hata yeye hajaafiki Wamaasai kuondoshwa kwenye eneo lao.
@MagrethKatondo-qs9oz
@MagrethKatondo-qs9oz Ай бұрын
Hapa kuna kitu kikubwa sana kwa masilahi binafsi hawa ni binadamu wapeni haki yao. Hivi Ungekuwa ni wewe kweli maendeleo gani hayo yakunyanyasa watanzania ndani ya nchi yao. Hakika.. Mungu liangalie hili. Mmh ni huzuni na Maumivu makali sana ndani ya mioyo ya watanzania. Mungu wewe upo.
@HaulSidney
@HaulSidney Ай бұрын
Huyu mama si akawatoe wanzibar,ili awape hao waarabu wake
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Ай бұрын
Fanyeni tafiti ngorongoro population imekuwa kubwa lazima watu wafikirie kuhusu hifadhi sio kila kitu kufanya siasa za zamani
@PeterKisiongo
@PeterKisiongo Ай бұрын
Aki walai ningekuwa Leo Mungu Sina ubaya Samia akisikwa Leo akufe tu please Mungu tunatezeka sana sana Mungu wangu
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh Ай бұрын
Unaesema waondoke waende wapi kwani mungu alivyowaweka ngorongoro alikuwa mjinga acheni kunyanyasa watu
@patrickJosse-t7h
@patrickJosse-t7h Ай бұрын
Huyu mama angeenda kuuza kule Zanzibar mbona hana jipya ??
@robertmsukwa8466
@robertmsukwa8466 Ай бұрын
Awamu hii ccm watapigiwa kura na wanyama wa ngorongoro mana ndo wanasaminiwa kuliko watu
@JumaGishanga
@JumaGishanga Ай бұрын
Na nyie wamasai mfuteni Raisi Samia mnyimeni Kura
@IbuGang
@IbuGang Ай бұрын
Mwabukusi Mungu akulinde na akutuze kwà kuwa saidia wamasai wabaki kwenye maeneo yao halisi
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 Ай бұрын
Alafu nimekaa hapa najitu moja linasema nani Kama Mama, Mama anaupiga mwingi kulaleki nishaulini nilifanyeje ili jituuu😮😮😮😮
@binseif2216
@binseif2216 Ай бұрын
Mama yupo vzr anachofanya anajua we unanini hapo tafuta pesa kwanza unaonekana huna kazi ya kufanya
@Allybinamour
@Allybinamour Ай бұрын
kwani wakihamishwa hapo hawapewi sehemu nyengine? au hao ni wa mwanzo kuhanmishwa sehem kama hio? nani kama mama! ukweli unabaki kua huo huo.
@WillfredyMollel
@WillfredyMollel Ай бұрын
Mwambukusi mungu akupe nguvu
@michaelmwaksole7244
@michaelmwaksole7244 Ай бұрын
Ifikie wakati hii nchi kinuke ili tuheshimiane
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 Ай бұрын
Viongozi wa kiafrica wengi mafisadi
@matanokitwana3249
@matanokitwana3249 Ай бұрын
Mbona watanzania karibu ya makabila yote wametolewa ktk maeneo yao ya asili ?? Na nyerere ndio aliongoza uhamishaji huo
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 Ай бұрын
These are totally two different things
@JacksonFrances
@JacksonFrances Ай бұрын
Hongeleni Ngolongolo Piganieni Haki Yenu Kuitetea Asili Yenu "
@manchalijob9600
@manchalijob9600 Ай бұрын
Na bandari ZETU tunazitaka
@SephaniaJoseph-zc3nj
@SephaniaJoseph-zc3nj Ай бұрын
Atukubali kuhama ngorongoro maana tumesalia hapo na atujui tunaenda wapi kwahiyo hatukubali kabisa kuachwa makazi yetu
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh Ай бұрын
Roho yako naikabidhi kwenye mikono salama ya mungu atakaetaka kukuuwa afe yeye
@godfredkimaro3292
@godfredkimaro3292 Ай бұрын
Jaman ashumu wewe pale kwenu pafutwe nazimia nipeni maji😢
@SephaniaJoseph-zc3nj
@SephaniaJoseph-zc3nj Ай бұрын
Et wengine wanasema nani kama mama kwa Hali hii fikirieni bana atujawahi kuwaona rais kama huyu mama anakubaki wanyama kukiko wanadamu jamani kwa Hali hiyo na mbado unataka kuongoza Tanzania hupewe hata kura Moja maana unatunyanyaza na mbado tunasema hatuhami ngorongoro
@nassibhussein6150
@nassibhussein6150 Ай бұрын
Kizi mkaz hapauzwi na mm nataka nikawekeze ilo eneo lote naomba wanipishe hata hiyo shelehe waahilishe
@mountaincrystal1630
@mountaincrystal1630 Ай бұрын
Yaani hii ni ya wapalestina na Waizraeli, komesh,
@robertigohe7477
@robertigohe7477 Ай бұрын
Ni hatari sana kwenye taifa kama hili mambo maovu kama hayo wanafanyiwa binadamu
@MjajaMjaja-y3u
@MjajaMjaja-y3u Ай бұрын
Haki gani wakat sehem z kuishi tena haz malum ee
@peterdaimon-ug6fd
@peterdaimon-ug6fd Ай бұрын
Maendeleo yanayotunyanyasa hatuyahitaji
@Merrysaitotilaize
@Merrysaitotilaize Ай бұрын
Ngorongoro ni nyumbani kwetu wamasai kwahiy wanao taka kwenda sisi hatuondoki
@yahayahussein3224
@yahayahussein3224 Ай бұрын
Kama hamuoni umuhimu wa kuhama rudini kwenu kenya
@AlphaxardMRusweka-jr1wi
@AlphaxardMRusweka-jr1wi Ай бұрын
Nani kakwambia ni wakenya ,na ni Kwa nini utaki wewe wamasai waishi Ngorongoro. ? Kama ni issue ya uwekazaji akawaamishe kizimkazi, hapo kizimkazi aweke hao waarabu wake​@@yahayahussein3224
@DaudiMabumba
@DaudiMabumba Ай бұрын
Haha yote yanafanyika kwa manufaa ya nani?
@PeterAlphonce-uh2mc
@PeterAlphonce-uh2mc Ай бұрын
Acheni ushabiki wa kijinga
@zephaniaSolomon-vc4im
@zephaniaSolomon-vc4im 15 күн бұрын
Solomon
@zephaniaSolomon-vc4im
@zephaniaSolomon-vc4im 15 күн бұрын
Solomon
@MjajaMjaja-y3u
@MjajaMjaja-y3u Ай бұрын
Nn shida wamasai
@RobertGwelela-zq2fr
@RobertGwelela-zq2fr Ай бұрын
Wamasai walipelekwa Msomero wanalalamika kupita maelezo ndio maana hawa wanagoma.
@msafiriomary893
@msafiriomary893 Ай бұрын
Hawa wamasai warudi kwao ithiopia kwao sisi inchi tumeuza kwa waarabu warudi kwao sio raia hawa
@beckhammlowe4029
@beckhammlowe4029 Ай бұрын
Kunawabunge wengine kama siyo waTanzania niwachochezi Tuu kunawatu nyuma yao
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
@uwezawamungumkuu.amaniafrika Ай бұрын
Mama Samia angalie mambo haya. Acheni ubabe kwa wananchi wa ngorongoro. Hayo ni maeneo yao ya asili. Na uwezi kumuhamisha watu marneo yao. Haki ya Wamasai iko wapi?. Nchi ni yao leo mnawasumbua.
@BarakaKawanara
@BarakaKawanara Ай бұрын
Serikar mama Samia suluu Hassan amekuwa akiona wanyama kama ndy wenye maana kuliko wanadamu
@BarakaKawanara
@BarakaKawanara Ай бұрын
Wa ngorongoro
@korosomatiko3360
@korosomatiko3360 Ай бұрын
Wamasi kuwa na misimamamo
@SeveriniTemu
@SeveriniTemu Ай бұрын
Dunia. Msongamano nasema ndugu .mipaka utulivu uvumilivu ustrabu huleta maisha. Marefu wazungu waliandika tugundua mlima kilimanjaro oooo tegundua ziwa Victoria oooo tumgundua bara laAffriko ni kweli?????¿ Na kutuwekea mipaka na sharia !!!!!!¡ Inatisha kidogo kule kwao hatujawagundua waooo
@FintanFelix-z6c
@FintanFelix-z6c Ай бұрын
nyie amsomeki Akija WA ccm mnawapa Kula tena
@VictorDominick-qg5qq
@VictorDominick-qg5qq Ай бұрын
Wanaiba kura 😮😮
@mwanabucheyeki226
@mwanabucheyeki226 Ай бұрын
Hao wanaodaiwa ni Wawekezaji wa Ngorongoro watakuwa wametoa Fedha nyingi sana kiasi Serikali inawawia vigumu kurudisha! Serikali ifanye kurudisha Fedha za Wawekezaji Wamasai waachwe katika Eneo la Urithi wa Mababu na Mabibi zao!
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 Ай бұрын
Jamani mbona Masai wanateswa katika nchi yao
@yahayahussein3224
@yahayahussein3224 Ай бұрын
Kukaribishwa na kupewa hifadh tz nanyi mumekuwa raia dah kweli binadamu ni mtu wa kujisahau sasa nyinyi munafukua makaburi sasa itabidi murudi kwenu kenya
@johnkilonga5866
@johnkilonga5866 Ай бұрын
😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏
@JohnManyilizu-rl5bm
@JohnManyilizu-rl5bm Ай бұрын
Mbona vita vinaletwa na wa jinga kwani mlisha wahikuchunguza vyanzo vya vita katika nchi mbali mbali nini au ni kama mambo hayahaya yanayo sababishwa na matumizi mabaya ya hakili na madalaka mwacheni mtanzania aishi katika eneo lake la asili mkimhamisha mmaasai hapo vita na amani itapungua pia huo utalii hauta kuwepo ni laana kubwa sana hiyo
@LomayanLukumaydg9xw
@LomayanLukumaydg9xw Ай бұрын
yan iko kama ss niwakimbiz hapa Tanzania
@jacksonolotu9318
@jacksonolotu9318 Ай бұрын
😢
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 Ай бұрын
Kwani wewe huwezi kwenda sehemu nyingine zaidi ya hapo kafuteni huko kizimkazi sis hatutaki
@MjajaMjaja-y3u
@MjajaMjaja-y3u Ай бұрын
Mpe hongera mama anaupga kweli
@AndrewBenson-m4x
@AndrewBenson-m4x Ай бұрын
Massai respect
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 Ай бұрын
Mh na mikunduge nayo 😂
@Hemedmikole-r9e
@Hemedmikole-r9e Ай бұрын
Duuh hatali sana
@StanleyKitika-dd7lz
@StanleyKitika-dd7lz Ай бұрын
Tusiwazalau wamasai tunaweza kushindwa kuzimamoto
@faustinluambano2958
@faustinluambano2958 Ай бұрын
Hata WAKOLONI wote kuanzia waarabu hawakufanya hivyo
@IsayaMalinda45
@IsayaMalinda45 Ай бұрын
🔥🔥🔥
@michaelmeshaki9931
@michaelmeshaki9931 Ай бұрын
NAMIMI NAULIZA HV HAWA WAMASAI HAWAWEZI SEHEMU NYINGINE ZAID YA NGORONGORO?
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 Ай бұрын
Akili una
@DannySanga-gh1oj
@DannySanga-gh1oj Ай бұрын
Kwanini waende kwingine ikiwa huko ndiyo kwao
@JuliusMahinya-wl7mq
@JuliusMahinya-wl7mq Ай бұрын
Mbona ww huhami Tanzania ukaishi DRC?
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv Ай бұрын
Nawewe hama Tanzania amia ukireni
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 Ай бұрын
​@@JuliusMahinya-wl7mq😂😂😂😂 umemkata mavi huyo boya
@hemedmwipopo780
@hemedmwipopo780 Ай бұрын
Maeneo ya hifadhi,
@GilbertMollel-j6n
@GilbertMollel-j6n Ай бұрын
Mbwa wewe,unajua nin kuhusu maisha wew
@meshackthomas1341
@meshackthomas1341 Ай бұрын
Niwa hamiaj Toka Kenya hao huruma yetu inatuponza tuliruhusu. Hilo. Bila kujua mazara kuwapa hifaz. Na sasa. Wanatumika hovyo nawanasiasa. wahovyo serikali iwemakin sana. na chokochoko. wahovyo. Kwa manufaa ya watu baaz tu Kwa faida zao
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv Ай бұрын
Wewe unajua asili yako? Mbna na wewe ni mkimbizi kwenu RWANDA
@healingclinic698
@healingclinic698 Ай бұрын
Hata wewe ni muhaniaji uliza vizuri Babu zako au uniambie kabila lako nikusaidie ujue hata wewe uliamia
@GilbertMollel-j6n
@GilbertMollel-j6n Ай бұрын
Wewe ni fala tu ujui usemalo,kakae na mama yako akuambie alikotekea
@yahayahussein3224
@yahayahussein3224 Ай бұрын
Hao sio watanzania niwahamiaji tu kutoka kenya
@GilbertMollel-j6n
@GilbertMollel-j6n Ай бұрын
Matako yako mjinga mmoja wewe
Kimeumana: Breaking News from UDA party
12:52
Rogers Kakasungura
Рет қаралды 3,7 М.
Officer Rabbit is so bad. He made Luffy deaf. #funny #supersiblings #comedy
00:18
Funny superhero siblings
Рет қаралды 14 МЛН
А ВЫ ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?? #shorts
00:20
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН
Kasmuel & Omtata EXPOSE Ruto badly !
15:33
Nakuru Today
Рет қаралды 9 М.
Officer Rabbit is so bad. He made Luffy deaf. #funny #supersiblings #comedy
00:18
Funny superhero siblings
Рет қаралды 14 МЛН