SAKATA LA WAMASAI NGORONGORO, RAIS SAMIA ARUDISHA VIJIJI VILIVYOFUTWA NA WAZIRI MCHENGERWA

  Рет қаралды 19,993

Taifa Digital

Taifa Digital

Күн бұрын

Пікірлер: 32
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 2 ай бұрын
Kama ingekuwa hivyo kwa nini Samia anawapa warabu kipawo mbele? Wamasai ni watanganyika wala siyo wa babaisha kama Mtawala? Kwa nini mara mnawapeleka Musomera? Kwa nini kuwanyima kituo cha kupiga kura? Mwema kweli kuliko kuongea kiuchawa tu. Tunataka watanganyika tunaishi kwa amani. CCM mliokuwa pamoja na Magufuli ingawa kulikuwa na matatizo hapa na pale lakini ya huyu Samia yamezidi katika kutunyanyasa. Inafikia kuita watanganyika mbwa!
@AbasiMadege-ot2of
@AbasiMadege-ot2of 2 ай бұрын
Ila dubai anaenda ila hapo anatuma watu
@sumenokisupai8171
@sumenokisupai8171 2 ай бұрын
Jamaica hii ni uongo mutupu hawana chochote 😤😤😤
@AdamuIbrahimu-e9m
@AdamuIbrahimu-e9m 2 ай бұрын
Wazee Mungu awajalie maisha marefu.
@DanielLukumay-h7c
@DanielLukumay-h7c 2 ай бұрын
huyo mwenye anasema mpige makofi ni ya kazi gani yaani mmekaa mda mrefu hvyo bilauduma yyte walikua wapi
@VashtyBurge
@VashtyBurge 2 ай бұрын
Umoja ni nguvu. Utengano ni udhaifu. Wamasai wameonyesha kuwa wakiungana hakuna wa kuwababaisha. Ni fundisho kwetu sote kuwa tusikubali kunyanyaswa na serikali tuliyoiweka madarakani sisi wenyewe. Nguvu ya wananchi hiyo. Huu ni mwanzo
@sebuyoyabiteyubwoba
@sebuyoyabiteyubwoba 2 ай бұрын
Matamko ya kisiasa si kitu, sheri iliyotangazwa na mchengerwa ifutwe.
@wilfredmoshi6507
@wilfredmoshi6507 2 ай бұрын
Hawa ndio wataalam wa kutengeneza tatizo alafu wanalitatua na kujipigia makofi 😂😂😂
@MustaphaSeleman-z7c
@MustaphaSeleman-z7c 2 ай бұрын
Chawa yupo kzn 😂😂😂
@mkushioriginalsillo5074
@mkushioriginalsillo5074 2 ай бұрын
Yaani mnajifanya samia hajahusika uwongo mtupu
@thobiasLoti
@thobiasLoti 2 ай бұрын
Huyu anaewaambia pigeni makofi si had waridhike?😅
@LodupaNgotiek
@LodupaNgotiek 2 ай бұрын
Japo wote ni wa nanchi wa tarafa moja
@SamuelLainzar
@SamuelLainzar 2 ай бұрын
Iyo niutapeli tu wanatafuta kura akipta tu mtatoka penda mxopende yani ccm ni janga lataifa 😢😢
@norahfrank
@norahfrank 2 ай бұрын
Hivi ni viini macho .toa weka.duh hata mjinga hawezi elewa haya mathematics
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 2 ай бұрын
Hivi ni kweli huduma silisitishwa EE MUNGU hayaakuu kwetu
@ndevuemcee3000
@ndevuemcee3000 2 ай бұрын
Waziri anatupangaa kabisaa
@djoltammollelTz
@djoltammollelTz 2 ай бұрын
Mnapigwa nduguzangu
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 2 ай бұрын
Huyo mkwe wa Samia afute hilo tamko alilotangaza kwa Wamasai. Samia atakosaje kufahamu kinacho endelea wakati amemtuma mkwe wake?
@kiatu
@kiatu 2 ай бұрын
Akutane na wote sio wawakilishi 😂
@ExaudLupenza-qu1xu
@ExaudLupenza-qu1xu 2 ай бұрын
Ila lukuvi Mimi uwanamuelewa sio wenginehao chawatu
@jacobsabore9822
@jacobsabore9822 2 ай бұрын
Daaaa
@ezekielkiduge8730
@ezekielkiduge8730 2 ай бұрын
Hivi huyu mchengelwa amejianzia bila mama kujua hiki ni kiinimacho kujitekenya mwenyewe halafu kujichekesha mwenyewe hapo vipiiii
@ndevuemcee3000
@ndevuemcee3000 2 ай бұрын
Samia kama aliweza kupiga simu kwa simba na Yanga anashindwa nini kupga simu akasemamwenyewe. Kama anaweza ahidi 10Mil kwa goli moja anashindwa nini kuahidi 10Mil ya ukarabati wa vyoo kwenye hizi kama. Hizi tumepangwa wamasai wanangu
@Yussuf-b3b
@Yussuf-b3b 2 ай бұрын
NYIE WAMASAI HAPO NI KUCHAGUWA WAPINZANI TU ILI MUTETEWE HAKI ZENU ,,CCM MUITOWE HAPO ,CHADEMA MUIPE NAFASI KATIKA UONGOZI,,MATATIZO YENU YAMESABABISHWA NA CCM ,WASIJIZIMUWE ,,WANATAKA WAKUONDOSHENI SEHEMU ZENU MULIZOZALIWA
@FellaMbogela
@FellaMbogela 2 ай бұрын
HAPO KIDOGO TUNAWEZA KULALA HATA USINGIZI JAPO TUNA MENGI. TUTAENDELEA NA MENGINGINE NA HUU NI MWANZO MZURI KWA RAIS SAMIA ,WATU WASIKILIZWE NA RAIS NDIO KIMBILIO LA WANANCHI MUNGU NAMBA MOJA NO. 2NI SERIKALI
@bonifacerobert2960
@bonifacerobert2960 2 ай бұрын
Tumesema tunataka maandishi! Acheni kutubabaisha kisiasa. Tumezuiliwa kupiga kura, tumenyimwa huduma za kielimu, kiafya, kisiasa, na kijamii. Tunataka aje, na aje mapema acheni kuvuta muda kijanjajanja!
@nassorseif7907
@nassorseif7907 2 ай бұрын
Munateneneza migogoro mutumie kodi za wananchi kijinga hela ngapi mmetumia hapo nyingi mawaziri wawili kwa mgogoro muliousababisha kwa makusudi
@Afsa-z2v
@Afsa-z2v 2 ай бұрын
Kwa I wakati gaya yore niserekali ya mama Samoa ndiyo Imefanya mateso kwa kasai wa ngorongoro watu wamekaa kwenye badidi siku sita wanateseka mkaa kimya hamkujua haha yore jamani
@thobiasLoti
@thobiasLoti 2 ай бұрын
Imefika had umoja wa mataifa
@LodupaNgotiek
@LodupaNgotiek 2 ай бұрын
Watu waliopo kwenye hii video sio watu waiopo oloirobi bali ni wa nainokanoka
@juliusjuliuskalunjulaipu-ik7kq
@juliusjuliuskalunjulaipu-ik7kq 2 ай бұрын
Funika mbuzi macho kidogo ausio mbona hawasemi ninani alieanza kuwanyanyasa wananchi kwa makao yao ya miaka na miaka
LIVE: RAIS SAMIA AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA PERAMIHO RUVUMA
1:28:53
Millard Ayo
Рет қаралды 3,8 М.
Миллионер | 3 - серия
36:09
Million Show
Рет қаралды 1,8 МЛН
When u fight over the armrest
00:41
Adam W
Рет қаралды 29 МЛН
RC MAKONDA KAMALIZA MGOGORO NGORONGORO KWISHA  MAANDAMANO
4:01
KASYANI TV
Рет қаралды 101 М.
Миллионер | 3 - серия
36:09
Million Show
Рет қаралды 1,8 МЛН