Big and excellent you president of republic of Tanzania Sis wanangorongoro wote tunaamua moja maana wameshatutenga posipo na haki mungu atujalie kwa hili maana wanatuonea sana sisi sijui tumemfanyia ninj huyu mama na mpango ni moja tu watuuwe tu kwasababu hakuna kilichobaki na huonevu huu sii wakawida na changamoto hii imeshatufuruga kweli kweli nakamwe hatutamwuogopa mtu wa aina yoyote yule isipokuwa mungu pekee yake
@charlesphilipo35335 ай бұрын
@@Lestickmollel kwani mmeanza leo nani hajui kuwa hamna msimamo dakika sifuri wote mtaunga juhidi
@Mabatini5 ай бұрын
Mungu akulinde Sana lissu,🙏
@EliasMungas5 ай бұрын
Hongera Sana naona unajitahidi Sana kuwa kazia wanainchi wako
@rajababrahman43656 ай бұрын
Tundu Mungu akupe vya juu mbinguni na vya shini ardhini
@JosefuSwai24 күн бұрын
Good boy
@KispanMeshelli5 ай бұрын
❤mìmi nawaeleza ndugu kaka na wadogo zangu tanga sio arthi ya wamasai haifai kwa ufugaji kulima huko ni kwa wasiguwa tu! Nawaambia ukweli lissu yuko sawa akiwatetea msidanganyike na pesa na nyumba moja ya tofali
@angelatarimo19695 ай бұрын
Hivi mnaamisha wamasai wakashike ardhi ya watanga halafu baadaye wagombane? Mungu simama mwenyewe kuitetea nchi yetu izidi kuwa na Amani. Hongera mh.shujaa Tundulisu
@obednyagani5065 ай бұрын
Sema lissu🎉
@LeiyoLaizer5 ай бұрын
🎉🎉❤❤
@KasangaKalanga-vo6od6 ай бұрын
Watanzania wanafilki kweli, kwahiyo hamtaki lisu aseme ukweli, kwahiyo mnafurahi watu kunyanyaswa, sawa Leo kwetu Kesho kwenu
@charlesphilipo35335 ай бұрын
@@KasangaKalanga-vo6od kwa hiyo wewe SI mtanzania Sasa kimekuuma nini Hadi kiwataja WA Tanzania kuwa wanafiki mbwa wewe,,,,Lisu mtambue wewe sisi tulisha mkataa siku nyingi ni mwongo na mgombanishi kama shetani,,,endelea na kumwamini atakuvusha Malaya wewe
@RugonzibwaPius-l6l5 ай бұрын
Na hakika mungu atasimama na wewe mambo mengi sana umesaidia
@emmanuelfung5 ай бұрын
🎉❤
@JonasMjengi5 ай бұрын
😮 3:58
@charlesphilipo35336 ай бұрын
Huyu jamaa ni muongo super class,,ogopeni wanasiasa ni sumu mbaya zaidi ya nyoka
@monicamwita78656 ай бұрын
Uongo wake ni upi? Kueleza ukweli tujue.
@monicamwita78656 ай бұрын
Imeingia u tube uone wanavyolalamika. Wewe umesema ni uongo anayosema Lisu? Wewe ñdiyo muongo mkubwa usiyejali watu wanavyopata shida.
@charlesphilipo35336 ай бұрын
@@monicamwita7865 Monica umeona wamasai tu ,,mbona wanyaturu ,wagogo wachaga na watz kwa ujumla wanalalamika lakini wanajali elimu afya na mengineo lakini kule shimoni ngorongoro hamna maisha kabisa,,,hebu nenda wewe kaishi kule kama wiki nitakupa boxer zawadi yako
@monicamwita78656 ай бұрын
@@charlesphilipo3533 wapo wengi lkn waliokuwa wanalalamika ni wamasai
@fredmwankaja93236 ай бұрын
@@charlesphilipo3533kumbe ni watu weng sana wanao taabika na selikali hii, tunashukuru kwa kusaidia kupaza sauti za maeneo megne ambayo lisu alisahau kuyazungumzia. Ikikupendeza nenda kwenye media ukazumze njinsi wa TZ wanavyo teseka na hii selikali.
@omarngushai64505 ай бұрын
Oky
@GeorgeSagumo6 ай бұрын
Ningumu
@NgilepoyLaiza5 ай бұрын
Uyu ndo mtu wamaana sana apa Tanzania pekee
@SarafiaPetro5 ай бұрын
Singida tulizaa jembe ila watanzania wanataka wadanganywe tu ndintulizike
@benedictmrisho18006 ай бұрын
Sheria, utafiti na ushahidi makini na wa kuaminika usio na mashaka ni mapacha usioweza kuwatenganisha. Watanzania tunawategemea TLS kuileta nchi ktk utawala bora wa kisheria. Mtanzania ajue kujenga mazingira ya kutafuta haki na kuisimamia kwa kuweza kujenga misingi mizuri ya kesi toka mwanzo. Mf ushahidi gani utamsaidia. Mfano kabakwa sawa ktk hilo tukio kahifadhi ushahidi gani utakaomsaidia kumbana mbakaji mahakamani? Kadhulumiwa shamba sawa kuna ushahidi gani shamba lilikuwa la kwake? Wenzetu walioendelea huishi kimachale machaele .
@Felix-e6t4m5 ай бұрын
asanteni sana watanganyika kwa kusumbuliwa na CCM je nauliza ni haki kuwasumbua raia wema walio wengi sana sana wamaasai wa ngorongoro pamoja na wengine wengi je nakuuliza wewe Samia mbona Zanzibar uwasumbui kama Tanganyika muunganano sio kutusumbua tunyamaze apana tunakuona sana lakini tutapambana kufa kupona mpaka tupate uhuru bila kubugudhiwa na uongozi wako je nauliza nikwanini inafanya hivyo
@charlesphilipo35335 ай бұрын
@@Felix-e6t4m Na nyie wachaga mnatafuta nini kwenye mikoa mingine???yaani wao wabaki kama wanyama Karne hii nyie muishi kama malaika eti ahsante lisu kuwatetea wamasai ubongo tope kabisa,,
@BaikalMandi5 ай бұрын
Ni kwamasilayi yake binafidhiu🎉🎉🎉
@BarnotiMorordi3 ай бұрын
Ngorongoro
@HamisMghuna-fj3vz6 ай бұрын
Wa Tanganyika Tatizo shule haya ngorongo wamenyimwa kupiga kura,haya tuliwaeleza ohoo unapigwa mwingi haya kiko wp
@joelsumaye81626 ай бұрын
Sijakuelewa, mimi naishi Ngorongoro na huduma zote na tutapiga kura kama Watanzania wengine. Waliohamia Msomera kwa hiari kuna maboresho ya Daftari la Wapigakura wataandikishwa na watapiga kura kwenye makazi yao mapya.
@TM.Sullusi6 ай бұрын
Maboresho ya kubadili Sheria? Sheria inasema utapiga Kura Kwenye kituo ulichojiandikishia, halafu vituo vyao vimefutwa. Utaboreshaji daftari la kituo ambacho hakipo? Na Sheria inadictate Kwamba utapigia Kura sehemu uliyojiandishia,sio sehemu nyingine (Elewa Sheria, sio stori hizo kaka)
@monicamwita78656 ай бұрын
Ingia u tube wajiulize wanavyolalamika. Anachozungumza Lisu ni kweli.
@Landisy6 ай бұрын
Eeeeeeee mwenyec mungu kwann nchi hii wamasai wamechukiwa
@saruni56735 ай бұрын
Acha njaa
@JohnSandet5 ай бұрын
😭😭
@ponsianomnyaru91406 ай бұрын
Hatumta huyu rais anamatatzo meng sn maisha yenyew yamekuwa magum alaf yy anatuuza tu hatumtaki
@rajababrahman43656 ай бұрын
Ugali wa CCM unakusumbua Kuna kakitu unapata
@jedidahbintidaudi82416 ай бұрын
SAMIA, w/nchi wako wanalia kila pahali...HUSIKIII??? Mbona kelele nyingi kila pahali na huskii mbona? wamasai ngorongoro wananyimwa haki kupia kura na hawapewi maitaji stahiki, watu arusha pale Muriet wamenyanganywa ardhi, watu Mbweni Mpiji wanalia maana mashamba yao yamechukuliwa na wote hwa wanapigwa danadana na mama upo tuu..
@ABBASIKANDULU-kl8zc6 ай бұрын
Na Haongei chochote kama rais😂😂
@emmanuelkyandochali9906 ай бұрын
Sheria ilivo ni kwamba kama hawataboresha kadi zao za kupiga kura basi hawataruhusiwa kumchagua diwani na mbunge ila wataruhusiwa kumchagua Rais wa jamhuri ya mungano wa tanzania Lakini zoezi la uandikishaji na uboreshaji wa taarifa za mpiga kura linaendelea na wana nafasi ya kuboresha taarifa zao na wakawa na sifa za kupiga kura pale walipo
@rajababrahman43656 ай бұрын
Ww ni njinga Palepale walipo umesikia kuwa wameamishwa alafu unasemaje
@pidiusDominick-qi7nl6 ай бұрын
Viongozi wanajichimbia kaburi wenyewe
@StevenNyanguye6 ай бұрын
Mijitu mingine Haina akili Fanya ingekua family yako inteswa hivo,ungesema ubata huo
@monicamwita78656 ай бұрын
Kweli haina akili imekalia uchawa tu usio nà màana.
@JohnSandet5 ай бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿😭😭😭😭
@anoldamkumba32086 ай бұрын
Kwani huko Ngorongoro wameshaanza uandikishaji wa daftari la wapiga kura?
@charlesphilipo35335 ай бұрын
@@anoldamkumba3208 wapi ,kaka uongo uongo tu na kuzusha taharuki kila kukicha Sasa hivi wananchi wamewadharau Hawa kama nzi baada ya nyumbu shwaini kabisa
@issakazi27586 ай бұрын
Lakini lissu Niya yako mini Kwa nchi ya Tanzania?
@chesconkwera20055 ай бұрын
Acha uchawa utaelewa
@gowekogoweko58036 ай бұрын
WAMESHASEMA WATAKWENDA.MAHAKAMANI. HAO WAPIGA KURA
@issakazi27586 ай бұрын
Lisu mbona uha hoja za kijinga leta hoja za msingi
@monicamwita78656 ай бұрын
@@issakazi2758 mjinga wewe usiyejitambua
@kessydieselengineers32056 ай бұрын
Vimewauma sio machawa ninyi
@adiaygo85466 ай бұрын
Unafiki mtupu🙄walishambiwa wahame kampeni kwenye kikao cha mawakili
@raymondnlelwa4276 ай бұрын
Wahamie wapi watu wote hao? Wewe umewaandalia mahali pa kukaa? Wamasai komaeni manake hapo ndipo kwenu serikali uache kuwanyanyasa wamasai. Acheni mipango hiyo ya kishetani.
@adiaygo85466 ай бұрын
@@raymondnlelwa427 wenzao weshaenda wasubiri wanajeshi watawatoa kinguvu halafu huyo Hakuna. Wakuwa. Sadia halafu hujakaa maeneo hato hujui Nini kinaedeleaa pin your mouth
@TwahaShehe6 ай бұрын
Wewe n msenge
@TwahaShehe6 ай бұрын
Acha ubimbi
@simonMollel-rr3gb6 ай бұрын
Nimegundua sheria hatujui😮 wasingepewa waamue wangeambiwa tu wazi wote watoka wala hamna tabu
@SaidiSheria6 ай бұрын
Unaweza kuwaambia sababu ya kuhama kwao wewe kenge
@gabrielsaelie80916 ай бұрын
Acha matusi ndugu. Wewe unajua sababu ya kuhama kwao?
@TwahaShehe6 ай бұрын
Acha usenge wewe una hoja au waongea t au una ham
@justinelukumay53086 ай бұрын
Maana laana zinawatafuna mwehu uliyekoment, wenzenu wanahangaika we unajitoa ufahamu
@justinelukumay53086 ай бұрын
Wewe tuambie au mwarabu hataki msongamano nawazawa 😮😮