JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@Leodimk-n5c18 күн бұрын
Tumemkosea sana Mungu kwa madhambi mengj na ulaghai hebu viongozi wetu wa dini mtuhimizeni jamani tutubu sana huko makanisani na misikitini maana nchi yetu ni kama inaongoza sasa kwa haya majanga 😢😢😢😢
@GraceNdunguru-q4d17 күн бұрын
Du inasikitisha ,,,,poleni sana familia ya Mzee nambombe mbinga,,,
@Asha-s9u8p18 күн бұрын
Yesu wangu weee tena??? Mbona mwaka huu unaisha hivi jaman eeh, MUNGU tusaidie
@norahmike764318 күн бұрын
Dah! Mungu awasamehe dhambi zao na awapumzishe kwa amani🙏😭
Pumzikeni kwa amani mwendo mmeumaliza😭😭😭Dominica tutakukumbuka sanaa😭
@CatheGiann18 күн бұрын
Mungu tusaidie ...
@HamisLeo18 күн бұрын
Mungu awape nguvu wafiwa. Lkn ndg zangu mambo ya haki sawa kwa wote tuyaweke mbele. Mm naweza kuwa msmamiz wa uandikishaji au wa kituo cha kupgia kura lkn stapindisha haki. Mwl, watendaj, na baadhi ya wanataluma wanaohujumu uchaguz wanaombewa mabaya sana kwenye jmii
@CyprianTraiphon18 күн бұрын
Yaani day kwa day matukio tu,, Jamani
@salimmbilu452418 күн бұрын
Innalillaah wainna ilayhrajiuun
@Leodimk-n5c18 күн бұрын
Poleni sana ndugu zetu. Kweli nchi imekuwa na majanga majanga majanga kila kona lakini viongozi kama hawaoni vile na sijui kama hata yanawashtua haya 😢😢😢😢
@PaulinaLunyonga18 күн бұрын
Ila Kwa hapa viongozi wanahusikaje tena Ndugu
@JanuaryNchimbi17 күн бұрын
Sio mbiga, ni mbinga. Marehemu wote wapumzike kwa amani
@EmanuelMbandi18 күн бұрын
Kwenye uchaguzi huu mtakufa sana nabado
@LeahYona-zn5sn18 күн бұрын
Pole yao jamn
@Suzanamalamba18 күн бұрын
Mkoa wa ruvuma nyasa sujawai kuona faya miaka yangu yoote.mkuu wa willy's ma viongoz wenzako jaribun kuweka fays
@lisawilliam249118 күн бұрын
dah! RIP Polen familia jaman
@aminatanzanya747518 күн бұрын
Yupo na mwananchi wengine kina nani.! Pole familia.Mungu awalaze pema peponi Amina
@MasterOil-qm6vw18 күн бұрын
cheo kinamtoa mtu kua mwananchi Kwa hiyo hao wengie sio wananchi
@erickodawah566718 күн бұрын
Sasa badala ya Subaru kuiva Moto shetani anachoma watu innocent
@CyprianTraiphon18 күн бұрын
Mbona mmemkata huyo anaeongea mwishoni😅😂
@SirajiAbdalah18 күн бұрын
DNA ya nini?
@Leodimk-n5c18 күн бұрын
Na huo uboreshaji upigaji kura ndio upi tena jamani hebu ufafanuzi na mbona huyo sijui kamanda hadi kapata kigugumizi kuelezea
@isayakihongile492118 күн бұрын
Kipindi hiki kwa mikoa karibu minne wanaboresha daftari la wapiga kura 2025 maeneo mengine walishafanya miezi iliyopita tofauti na daftari la wapiga kura serikali za mitaa hii ni uchaguzi mkuu