JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@FrancisNgomaitaraАй бұрын
Tuma upya link mana hiyo link the group does not exist
@madammbago9787Ай бұрын
Dada tunaomb link nzr
@sheheabdallamuhamed6947Ай бұрын
😊😊😊
@PaskalFwedaАй бұрын
mungu Wangu nakuomba Sana msaidie huyu dada kateseka miaka mingi mama Samia Wangu. kasimu majaliwa makonda said lugimi nawaomb mmsaidie huyu dada na mungu atawazidiahia zaidi viongoz Wangu
@PaskalFwedaАй бұрын
naumia Sana ila sina uwezo mimi natamani Sana nisaidie huyu dada mungu nisaidie nipate kipato ili nisaidie wengne 🙏
@jackrinedugange2888Ай бұрын
Mungu Baba naomba mkumbuke huyu dada apone🤲🤲🤲
@mwajuma-lr6hgАй бұрын
Ameen ameen ameen...
@rehemamohamed8518Ай бұрын
Huyu ni mrembo sana aiseee. Kwa muda wote alioumwa na bado yuko hivi..... Mungu akuponye sisy
@DoriceEdward-l6sАй бұрын
Yaaan ata mimi nineshangaa
@FatumaMsuya-j5uАй бұрын
Mungu anampigania bado nimrembo sana🎉🎉🎉🎉pole momy utapona 🎉🎉🎉
@aminaali792Ай бұрын
Sanaaa Maa sha Allah Allahummah bareek May anasiri yake juu kwa huyu mschana maskin Allah Subhanah wataalah Ampe lenye kheri na yeye yaa Rabbi🤲🏽🥺❤️🩹
@reynaaalrawahi4137Ай бұрын
Sana mashallah
@AishaMbega-mg9foАй бұрын
Yaa Allah mponye mja wako hawa mjaalie afya na uzima wewe unaweza.
@MamshikaАй бұрын
Nikimuangslia huyu caren natetemeka naogopa nalia 😭😭 Mmeenyezi Mungu tunaomba Mponye binti na mateso haya ameteseka sana jamani mi naumia sana kwa ajiri ya huyu binti.
@AnnoyedHarmonica-en8gsАй бұрын
mama Samia rais wetu tunaomba umsaidie kadri uwezavyo huyu dada anateseka sana uwiii
@AngelBuloАй бұрын
Mama Samia ingilia kati kuhusu suala la Huyu dada. Hizo pesa za goli la Simba na yanga mpenzi Huyu dada kwakweli anateseka sana jamani. Inaumiza sana kaumwa sana kaumwa sana jamani. Eee mwenyezi Mungu mpunguzie adhabu Huyu dada hata kama alimkosea mwanadamu yoyote mungu ingilia kati Huyu dada ameteseka vywakutosha sasa imetosha sasa Mungu imetosha yesu imetosha yesu
@LindaMbilinyi-n3n11 күн бұрын
Ila aliyemtesa hyu dada hongera kwake pua yke imeangalia juu😢😢😢😢😢yaan hta km alikukosea ndo siku zote hzo usiwe na huruma jmn mmh😢😢
@semmiealriyami3185Ай бұрын
اللهم أنت الشافي المعافي فشفيها هذه البنت يارب اسأل الله العظيم رب العرش العظيم أن يشفيك ويعافيك يارب
@devothakimaro4803Ай бұрын
Eeh Mungu wa mbinguni msaidie huyu dada anakuitaji sana😢😢😢
@mejumaabaraza3989Ай бұрын
Eewe mola wetu mlezi muumba mbingu na ardhi mpe shufaa mja wako uyu dhaifu asieweza kujihimili kwa lolote isipokuwa ww jabali,Malik,hakeem,mutakabali Ameen Ameen yarab😢😢😢maskini calikuwa amepoa vzr Allah akusimamie dadangu
@gladnessfinda7534Ай бұрын
Mungu naomba ututetee. Naomba uweke miujiza kwa dada Carina Mungu wetu.
@magrethboke6661Ай бұрын
History ya Hawa inaniumiza sana 😭😭😭😭😭 Mungu mponye Hawa
@ziadasalimu1730Ай бұрын
Naumia Mimi jamani sijui nani ana mpa hii adhabu
@aminamohammed5373Ай бұрын
Mungu atakusaidia utapona inshaalh
@elviskawegere9458Ай бұрын
Pole dada angu Mungu akutangulie akawe doctor wa kwanza
@Jane-h1f6sАй бұрын
Mungu mponye huyu dada ameteseka miaka mingi pole sana
@PaulinaSemindu-ob3deАй бұрын
Mungu wangu nisamehe sana kwa kutokukushukuru muda mwingine kwa zawadi ya Afya lait anayopitia huyu dada ningepita mm sidhan kama ningekuwa hali had leo hii" ila kw huyu dad uliruhusu apitie sio kama amekutendea dhambi kuliko sisi wengine bali n jaribu la muda na naamin limefika mwisho atapona kw jina la yesu 🙏
@SimoniThomasiАй бұрын
Hata mm jaman huwa nashikwa nahii dunia mpaka nashndwa kumshukuru 😢😢😢Ee MUNGU nisamehe
@AnnaNgunguluАй бұрын
Pole sana dada mungu bado yupo na wewe utapona tu
@EsterLipambaАй бұрын
Eeee Mwenyezi Mungu nakuomba umuponye dada huyu,nakushukuru kwa zawadi ya afya niliyokuwa nayo🙏🙏🙏
@aminasuleiman8120Ай бұрын
Inawezekana kuumwa kwako ikawa sqbabu ya kwenda pepon muombe MUNGU MARA Zote fanya ibada japo kwa tabu mdogo wangu😭😭
@NeemaMwakyasima3 күн бұрын
Amina umejua kuniliza😢😢😢😢😢😢 ni kweri hatufanani na hatufanani Kila mtu na neema yake 😢😢😢
@aminasuleiman81203 күн бұрын
@NeemaMwakyasima Kabisaaa ndugu yangu
@khalsasalim7930Ай бұрын
Nakushauri kama utaona hii coment soma ayat qursi mara 3 kwa siku, kama hujui kuisoma weka hata kwenye cm you tube ikisoma na ww unasoma, mm nimeona maajabu ya aya hii nilikua nasoma asubuh mchana na usiku
@UmumaherBakarАй бұрын
Nikweli kabisa hata Mimi nimeshuhudia napia aweke ahadi kwa Allah kwamba akipona amtumikie yeye tu Mimi hata ninapoumwa na uchungu kabla ya kwenda leba nasoma na namwomba Allah kwamba ukifika mda flani nijifungue na kweli najifunguwa so amtegemee Allah sana coz ugonjwa wake pengine umebeba mengi
@globaltv_onlineАй бұрын
Here is Ayat al-Kursiyu (Surah Al-Baqarah 2:255) translated into Swahili: "Mwenyezi Mungu, hapana mungu ila Yeye, Aliye Hai, Msimamizi wa kila kitu. Usingizi haumshiki wala kulala. Vyote viliomo mbinguni na katika ardhi ni vyake. Ni nani huyo atakayekuwa mwenye kuombea kwake bila ya idhini yake? Anayajua yaliyo mbele yao na yaliyo nyuma yao, wala hawawezi kuzunguka chochote katika ujuzi wake ila kwa atakalo. Kiti chake cha enzi kimeenea mbingu na ardhi, na hahisi uzito kuvilinda viwili hivyo. Naye ndiye Aliye juu, Mkuu." (Aisome kwa Kiiarabu, kwa usahihi zadi)
@UmumaherBakarАй бұрын
@@globaltv_online sahihi
@UmumaherBakarАй бұрын
@@khalsasalim7930 nasi tumuombee kwani huenda yupo mmoja wetu maombi yake yakajibiwa haraka michango pia tutowe
@helenamwinuka6539Ай бұрын
Daaah nashindwa ata Cha kuongea ninatokwa machozi Kila nikikutana na crip zako dada yangu mm nakuomba mkabizi mungu maisha Yako roho Yako akili zako zote ninaiman mungu ashindwi kitu
@Tatty-u8pАй бұрын
Jamani kweli mungu yupo na akitaka uishi utaishi tuu hata kama ukitenganishwa kichwa na kiwiliwili akiamua uiahi utaishi tuu wanakufa watu na afya zao ghafla tuu lkn huyu dada tumbo Lake limegeuka kuwa kama gunia kuchanwa na kushonwa kila kukicha miaka na miaka lkn bado anapumua na anaongea tena bado ni mrembo tusali ndugu zangu mungu anauwezo mkubwa sana.
@FATUMASAIDI-b9vАй бұрын
Huo unyenyekev uliounesha kumuomba mama samia ungeutumia kumwomb mungu. Mung anawez kukupony bila upreshen Alahu aalam
@rosegideon336Күн бұрын
BADO LIPO TUMAINI. MUNGU YUPO.
@PendoMarco-x3uАй бұрын
Ee Mungu wangu msaidie huyu dada
@doryluwanjaАй бұрын
Lkn bado ni mrembo eti jamani bado ataishi sana Mungu akulinde
@lydiadickson4253Ай бұрын
MUNGU naomba msaidie huyu dada apone nakuomba MUNGU wangu
@JonathanNelson-l8hАй бұрын
Mungu mungu mungu tunakuomba msaidie mwenzetu huyu tunakuomba muumba mbingu na nchi
@Sharmy_02Ай бұрын
Amiin
@FayzFayçalАй бұрын
Allah Akbar Allah Akbar Allah Akbar Yaaah Rabbi mpee shiffa ya haraka yaa Rabbi 😭😭😭🤲🤲🤲
@CandyMwahalende-yv2gsАй бұрын
Jaman huyu dada mungu mkumbuke huyu mwanao apone arud ktk har ya kawaida😢😢
@FatmaAlabri-lz2cwАй бұрын
Laaillah illa Allah Laaillah illa Allah Laaillh illa Allah Laaillah illah Allah Laaillah illah Allah Laaillah illah Allah Laaillah illah Allah
@siriyangu4724Ай бұрын
Subhana Allah tushukuru neema ya mungu uyo dda amepitia pka ssa 😢
@fatmaalnabhani3609Ай бұрын
Jamani tumeona kuna daktari pangani (Tanga) anaitwa Dr Mkwamba mungejaribu mungu anaweza akasaidia.
@mwitaagness455Ай бұрын
Inategemea sasa huyo dada anaumwa nini na dr anatibu nini, huwa namfuatilia naumia sanaa, kipindi anafanyiwa operation km sio ya kumi ni kumi na mbili, kaka angu nae alikuwa anaumwa style hiyohiyo ya kaka etu ikaja kujulikana ni cancer ya utumbo, yy keshafatiki huwa nikimuona huyu dada namkumbuka sana kaka angu moendwa😢😢😢Mungu tusamehe tuondolee magonjwa dunian.
@HamisaSaidi-e9yАй бұрын
Kwel kabisa mungu tunaomba utuondolee magonjwa duniani yanatutesa sana na tunaomba utupe iman ya kukumbuka mungu wetu tukushukr tusikufuru
@SimoniThomasiАй бұрын
@@mwitaagness455ameAmina😢😢😢
@DottoAbassiMwananyamboАй бұрын
Pole sana mwenyezi mungu akufanyiye wepesi upate mchango ili ukatibiwe
@EvangelistJsolomonMkwataАй бұрын
Anza kutoa wewe jamani tumusaidie
@SalamaShaban-f4uАй бұрын
Dada pole sana ila naamini suguye ndio jibu la kukuponya
@SalamaShaban-f4uАй бұрын
Pole mungu akuponye
@abdulkareemchacha2625Ай бұрын
Pole sana ukhty Carina...Mwenyezi akufanyie wepesi kila penye uzito ✨💫
@Hanifa4-d4qАй бұрын
Mungu msaidie huyu dada😢😢😢
@loulumony8519Ай бұрын
Mungu musadie masikini anaumia san uyu dada😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲
@LeilaSpembo15 сағат бұрын
Pole sana kpenz mungu akutie nguvu kpenz chang Anaekutesa ipo sku mungu atakuponya
@ZainabuMsafirАй бұрын
Mung ni mwing wa rehma naiman yatapita inshallah usiache kumuomba mung na hyo sura uwe unasoma kila wakt
@bosssoul2552Ай бұрын
Naumia sana nikimuona cousin yangu yangu.. alikuwa anaendelea vizur.. mungu anajua zaidi
@FettyIddi-z2kАй бұрын
😢
@hajimchomvu7878Ай бұрын
Pole Sana,Allah akufanyie shifaa
@mariyamgharib940Ай бұрын
ALLAH ATAMUAFU UYU DADA MAANA SUBHANA ALLAH ATUPE TAHFIFU LAILAHI YARABY ATUPE MARADHI YA PANADOL TU INAHUZUNISHA MNO MITIHANI YAKE ALLAH
@DoriceLiberatyАй бұрын
Eheee mwenyezi munguu😢😢😢😢
@salmaalimusa6809Ай бұрын
Allah akufanyie wepesi iwe ya mwisho upumzike dada 😢
@falysahlyimo8626Ай бұрын
Mpaka sasa Mungu,ni ebeneza endelea kumwamini hajawahi kushindwa ila naamini anamakusudi na maisha yako .Nguvu za giza hazina mamlaka juu yako nakuzingira na ulinzi wa damu ya Yesu kristo iliyomwagika pale msalabani hutakufa bali utaishi na kila silaha itakayojiinua juu yako kinyume na mapenzi ya Mungu ikashindwe,ukawe mzima na maumivi yote yakate ,pokea uzima sasa Amen tukipamoja na tunakuo bea sana
@happyiskakaАй бұрын
MUNGU akusaidie SANA mpendwa wangu Pole sana kwa yote unayopotia... MUNGU ndie muweza wa YOTE .... MUNGU akuponye... MUNGU akuponye. MUNGU akuponye... Mungu akuokoe katika hayo mateso na maumivu DADA angu
@MwajumaFundi-ex5tjАй бұрын
Pole Sana mdogo wangu mungu akufanyie wepesi ishaallah 🙏
@mwajumajaphet6817Ай бұрын
Da! Mungu mfanyie wepesi sana dada mrudie mwenyezi mungu hakika utapona kunavitu vinakufatilia nenda makanisani utapata maombi kubali kufungukka nn nyuma ya pazia usipokkuballi kusema mbele ya mwenyez mungu uyateseka nia yao wakuue dada mrudie mwenyezi mungu msikiti ipo makanisa yapo huko kunaamani ya kutosha
@DevothaJuma-s2yАй бұрын
Duhhh mungu musaidie uyu dada jaman
@BikeyMmakaАй бұрын
Subhannallah
@rukiamashaka7577Ай бұрын
Allah Allah Allah Allah tunakuomba Yarabbi umtremshie kheri hyu dda mpe shifaa Yarabbi,hakuna awezaye isipokua wwe Allah Kariim 🤲
@YasmineBottan-u8nАй бұрын
Allah mpe shifaa huyu dada na wagonjwa wote..... yarabii
@bakarikayugwa3295Ай бұрын
Hivi Hamna mambo ya Mila na tamaduni za kwenu nako muende muonger na mababu na mabibi muwaombe na wafungue milango Yao kama Kuna kitu ulikosea wakusamehe na muwaombe uwe na afya njema mungu akusadia dada
@beautyibrahim8428Ай бұрын
Na hao ni mashangaz watakuwa wamefsnya jambo
@IreneYohana-o5qАй бұрын
Mungu akuponye dada ikawe operatuon ya mwisho nakuombia ukawe mzima
@SINADATITOАй бұрын
Utapona dada Mungu yupo.🙏🙏
@MuniraGambereАй бұрын
Moyo wangu unaumia jamani hadi machozi yanitoka ila mipango ya Allah.... Allah akufanyie wepesi .... Allah akujaalie uweze kupasi kwenye ibada hii ya ugonjwa ndugu yetu 🤲🤲
@hawababy120Ай бұрын
Allah Mponye mjaa wako anateseka san wajina wangu😢😢
@FatmaMakame-d5xАй бұрын
Allah akusaidie na pia Mambo mengine yawe ni sir na familia ynu tuu coz km ni uswahili unampa njia mfanyaj
@Sharmy_02Ай бұрын
Pole sana carina, Mungu akufanyie wepesi upone
@swamadujumanne795Ай бұрын
Huyo dada anasikitisha sana ivi chanzo nini mbona mambo mengi sana km kuna mtu anamtesa mtoto wwtu amuache aishi km wengine
@annafredinandmatandiko8438Ай бұрын
Yaan ndugu Kuna watu hawaamini kama Kuna watu wabaya lakini huyu dada haumwi kawaida 😢😢
@fatmaalnabhani3609Ай бұрын
@@annafredinandmatandiko8438 Subhanallah. Mungu mkubwa inshaallah atavuka salama, Sabr Ayyoub hii
@mwitaagness455Ай бұрын
Mpk Leo haijulikani ni ugonjwa gani, mara kwanza nilijua ni cancer nyiere
@maindamakwiro4046Ай бұрын
Mungu akusaidie upone Hawa.. Una roho nzuri sana. Wallah kama ningekua na pesa nisingejiuliza mara mbili. Pole kipenzi niko mbali but nakupenda sana na upone kipenzi
@vanessalaizer4363Ай бұрын
Tuma ata izo unazonunulia bando
@CatherineMwaluka-s8lАй бұрын
Polee sana Allah akufanyie wepesi upone kwa mapema
@TheodoraChakiАй бұрын
Pole sana mwenyezi mungu akuponye
@NeemaOscaАй бұрын
Pole sana dad angu mungu ndio kila kitu kwa wanadamu kwa iman utapona hayo nimajalibu tu linapita kuna neema mbele ya maisha yako
@AshaAsha-i2hАй бұрын
Pole sana Hawa mungu akufanyiye wepesi
@EmilyTembo-k7eАй бұрын
Mungu akuwekee wepesi upone akusahaulishe maumivu unayoyapitiya akujaze afya njema furaha na amani
@HajjsaidhajjSaidhajjАй бұрын
Yarabi mwenyezi mungu mpunguziye maumivu huyu dada n umponye yarambi 😭😭😭🤲🤲
@ramhuudulla8921Ай бұрын
Subhaanallah.....umenikumbusha marhum mama yangu Allah amraham alipitia hali kama hio kwa muda mfupi Nakuombea kwa Allah akupe tahfif akuponye kisha akupe kheyr nyingi badala yake hayo maradhi na maumivu. Laa baasa llah twahura Allah akupe shifaa
@asnathybabychussy5729Ай бұрын
Dah mwenyezi Mungu amuone huyu dada jamani anateseka sana naamini ipo siku Mungu atafanya wepesi juu yake InshaAllah
@mwendemercy4488Ай бұрын
Mungu nakuomba huyu dada mponye jamani ameteseka sana mungu hizo oparesheni zimekua nyingi........mungu nakuomba mrengeshe katika hali yake yakotambo akapate kujitafuta.
@CatherineNyangi-o3qАй бұрын
Mungu amfanyie wepesi huyu dada
@rehemayona2223Ай бұрын
Jamani ukiwa mzima unachangamoto yoyote mshukuru mungu hawa anaumia sana mungu mpe nguvu🙏🙏 😭😭
@surusuru1994Ай бұрын
Pole mamy wallah Allah akupoye😭
@UmmyJumaaАй бұрын
Daah ee mungu mponye huyu dada anateseka sanaa 😢
@ashuumuhammad8269Ай бұрын
Pole sana dada yetu Allah s.w yuko pamoj na wewe utapona kwa rehma zke ushauri wngu pia ufanyiwe swadaka kubwa ya kichinjo na ufanyiwe rukya ya suratul baqara kila siku ndani ya nyumba pamoj na tiba ya hospital ikiendelea
@MariyimJumaninАй бұрын
Pole sana dada angu Allah akufanyie wepes
@rahmasalim1989Ай бұрын
Subhanallah, Mwenyeez Mungu mjaalie huyu bint apate kupona, mbona ameteseka sana. Mpe furaha katika maisha yake. Amiin Insha'allah.
@RahmaAlly-r6xАй бұрын
Kwakweli wewe dada mungu azidi kukuoigania.naamini ipo siku mola atakuvusha .ipo siku inshallah
@AsmasaidiTituАй бұрын
Subhannallah mtihani Allah Kareem kwa waja wake utapona na atakufanyia wepesi bra kujua
@Zahra1-wf4kjАй бұрын
Pole sana dada Najikuta nalia tu😭😭 Allah atakufanyia wepes utapona
@bahatinakey339229 күн бұрын
Mungu baba mponye dada huyu sina uwezo ningekuponya ,inaniuma mno nafikiria maumivu unayopitia najaribu kuvaa kiatu chako na ona jinsi gani unateseka dada Ila yupo mungu mwenye nguvu atakuponya.hakuna lenye mwanzo lililokosa jibu
@AlHamra-k4uАй бұрын
Pole Sana Hawa Mwenyezi Mungu awe faraja kwako 😢hakika unapitia magumu Allah akupe shifaa
@agnessjohn960Ай бұрын
Hivi kwani serikali haioni kabisa hizi videos za huyu dada ikamsaidia hizo hela akaenda kupata matibabu..?? Kama Rais wetu anaweza kuwapa mamilion ya hela team zikishinda Ina maana hili la ugonjwa linashindikana kweli au mama yetu taarifa hii hawamgikishi..??😭😭😭… Serikali pls ingilieni kati, wananchi wenu peke yetu kukamilisha hizi hela kwa wakat ni mtihani maisha yetu kifedha ni Tia maji Tia maji tu dah😭
@hanifa9153Ай бұрын
💔💔😭😭😭😭😭😭
@Footballvideos-mr4hlАй бұрын
Daah kwel aisee inasikitisha yaan mpaka masanja anapewa M20 amalizie kanisa alfu huyu dada anahangaika kama hivi aisee serikali iangalie hili swala bhan
@omariputto3315Ай бұрын
Pole.mama😢pole mwanangu pole sana Mungu yupo tynamuimba sana😢😢
@LucyPeter-d2mАй бұрын
Mungu msaidie huyu mwanangu kwa jina la yesu
@saidimiarageАй бұрын
Ukifanyowa operation ya utumbo lazima utapike kweli kweli ila Mungu atamlinda inshaAllah
@AishaMohamedhaidariАй бұрын
Watu waongo si nilisikia et huyu Dada yupo nje ya nchi kapelekwa na MA samia na kashapona kumbe dada wa watu bd anaumwa dah mungu amsaidie
@beautyibrahim8428Ай бұрын
Alienda akarud alikuwa anaendelea vizur tu akaanza kuumwa tena
@shamsahaji6202Ай бұрын
Alisaidiwa na akaenda lkn ndo hivo hali yake mara inajirudia hakuna muongo yeyote usifikirie vibaya bure
Pole sana kweli unaumia mungu atakufnyia wepesi inshallah
@julianapeason6254Ай бұрын
Mungu uishie, ulieiumba Mbingu na dunia na vyote viijazavyo., hakuna kinachokushinda mbinguni na duniani....shetani ametutesa sana na magonjwa. Fanya kitu kwa huyu dada akayashuhudie matendo yako makuu duniani AMINA
@SelinaMatola-fb3xwАй бұрын
Mungu ni mwaminifu sana atakuponya
@farajaphilipo884422 күн бұрын
Eee Mwenyezi mungu mpe uponyaji mwanao
@sikujuadee3031Ай бұрын
Eeh mwenyezi Mungu mponyaji mkuu mponye huyu dada yarabb 🙏😥
@AnnahKelvinАй бұрын
Mungu naomba mponye huyu dada amepitia sana pole dada yangu mungu atakuponya
@freyjuma8426Ай бұрын
Mungu akuponye dada angu Nakuombea sana mungu akuponye
@hanifa9153Ай бұрын
Ilahi subhanna huwataala tunakuomba yarrab mpe shifaa dada yetu hyu inaumiza sana ni mda sasa😢😢😢
@siriyangu4724Ай бұрын
Allah mpe shifaa uyu dda
@JemaYusuph-c5rАй бұрын
Mungu akuponye dada ila pole sana kwa jaribu hili
@JoycePatriciaKadumaАй бұрын
MUNGU ni mwema kwetu na ni muweza wa yote mimi naweka imani yangu kwa Yesu, natuma damu ya Yesu ikakuponye usiku wa leo ukapate usingizi.katika jina la YESU, aaamina
@KhalifaAlnabhaniАй бұрын
Yaaa yaarabbi nakuomba kwaniaba niaba ya hawa msaidie huyu dada usiangalie wingi wamadhambi yake yaarabbi msaidie huyu dada anapitia wakati mgum san san yaarabbi 😢
@Fathasssane-vs2thАй бұрын
Allah akuponye dada yetu😢😢😢imeniuma sana 😢😢yarabi yrabby tupe mwisho mwema,dada hawa usipendi kujirusha rusha furaha yako bila kupitia maumivu kuna watu hawapend kukuona tabasam lako si kwa ubaya jamna😢😢😢
@happysaid6397Ай бұрын
Inshallah Kwa uwezo wake Allah utalipita hili Mama, Muda na wakati wake ukifika utakuwa huru Mama, pole sana Hawa nakuombea uweze kulipita hili kwa uwezo wake Allah
@YonaLengai-cc6tqАй бұрын
pole sana mungu akusaidie upone
@abdullahwaziri5499Ай бұрын
Pole sana dada yangu allah atakusimamia in shaa Allah inaumiza sana daah poleee mamiii
@Reyla255Ай бұрын
Naomba namb ya artel namm niweze changia chochote. Pole sana Hawa Mungu atokuach bali atakuponya nasis tunakuombea sana Allah akupe shifaa na sihanjema . Ninaiman hii kwako Inaend kua yamwisho inshallah.
@KhadijamussaMachapatАй бұрын
Sasa miye najiulizaga hawo Wachungaji wanajitokeza kila kukicha na Waganga Mbona hawamsaidii huyu au Matapeli Tu🤐🙏