BREAKING NEWS: DKT MWINYI ATUMBUA MAKAMANDA ‘3”SAKATA WAFANYAKAZI HEWA “VIKOSI SMZ”

  Рет қаралды 81,818

KTV TZ ONLINE

KTV TZ ONLINE

Күн бұрын

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametengua uteuzi wa Makamanda watatu wa Idara Maalum za SMZ.
Waliotenguliwa ni Kamanda wa Chuo cha Mafunzo Zanzibar Ali Abdallah Ali, Mkuu wa Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU), Kanali Ali Mtumweni Hamad na Mkuu wa Kikosi Maalum Cha Kuzuia Magendo Zanzibar (KMKM) Comodore Hassan Mussa Mzee.
.......................................................................................
Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
Follow Ktv Tz Online
Facebook | KTV TZ ONLINE
INSTAGRAM |@ktv_tz_online
Wasiliana nasi kupitia number
+255 625 323 932
Ktv Tz Online Journalists
cc: Sadia Rashid
cc: Sauti Byego
cc: Maryam Busara
cc: Masoud Maganga
Camera Department"
Dadi Ali
Omar (OJ)
Nassor Shaibu
Abdallah Juma
Editors:
Juma Maulid
Dadi Ali
Video Zingine:
Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima
Ali Kiba akiwa Oman
• ALICHOKIFANYA DIAMOND ...
• NI KWELI ALI KIBA AMNU...

Пікірлер: 213
@yahayapozi3405
@yahayapozi3405 3 жыл бұрын
Hongera Sana baba kwa hatua unazo chukua kusimamia pesa za umma mungu akujaalie afya njema na maisha maleefu
@rashidshamte3083
@rashidshamte3083 2 жыл бұрын
Aslaam alykum mh Rais pole na majukumu kuna kilio kikubwa kutoka vikosini kuhusu wastaafu wakati wa kulipa kiinua mgongo hesabu inayopigwa sio inayo takiwa kulipwa kwahio baadae hua tunadai tena tuwapo njee ya kazi kwahio tunakuomba ulifatilie ombi hili Asante
@eddynaeem6708
@eddynaeem6708 7 ай бұрын
nawewe vijana wa ACT wazalendo wanakusubiri baadae waje wakuulize kwa sababu wako taabani kimaisha
@annamtapila5761
@annamtapila5761 3 жыл бұрын
Hongera sn baba. Safisha safisha wezi na wabadhilifu wote nchi ipate maendeleo.
@nassormessi-zk5cz
@nassormessi-zk5cz 7 ай бұрын
Yeye mwenyewe anataka kutumbuliwa huyu subir 2025
@abkhamsalshamte429
@abkhamsalshamte429 7 ай бұрын
Tatizo lake mwinyi hawajishi ipasavyo unawaondoa kisha hawafanyi chochote
@thomastemu3332
@thomastemu3332 3 жыл бұрын
Hongera raisi wetu Dr mwinyi. Ulikua waziri wa ulinzi bara kwa hiyo unajua kazi yako vizuri.chapa kazi tuko nyuma yako
@mussayasini4130
@mussayasini4130 4 күн бұрын
Hongera muheshimiwa Rais ,vikosi wanapiga Sana Kisha hawana hofu na Mwenyezi Mungu
@kassimomar7589
@kassimomar7589 3 жыл бұрын
Hongera sna Raisi wetu pesa za wlipa Kodi lazima wazirejeshe hao
@gibishinchambi1971
@gibishinchambi1971 3 жыл бұрын
Mheshimiwa tunaimani nawewe safi sana wewe ni mzalendo MUNGU AKUPE AFYA NJEMA PAMOJA TUSONGE MBELE
@hamadatahir9307
@hamadatahir9307 3 жыл бұрын
Muheshimiwa pia liangalie sana suala la Askari kuingia ndani ya majumba ya wananchi wako wakati wa kampeni mpaka kupiga kura na kufanya vitendo ambavyo hata Mungu haviridhii. Tunakukubali sana Mzee wetu Mh Doctour Mwinyi.
@ramlatumba3965
@ramlatumba3965 3 жыл бұрын
Laa Haula Subhannah Allah Daah.
@salmahilal3577
@salmahilal3577 3 жыл бұрын
Dahhhh yaaani huu utitiri wa wizii kwenye hiii nchi sijui utaisha linii .... Yaaan hawa viongoz wa juuu ndio canserned zaid kwasasab wao ndio wanawajua hawa watumishi hewaa na ndio waoo wamewaweka waendeleee kutumia hizo pesaa zisio hakiyaoo ...
@adnanidarous3117
@adnanidarous3117 3 жыл бұрын
Asnt Mr.President kazi iendelee
@allyrashid8738
@allyrashid8738 3 жыл бұрын
Safi sana rais wetu Husein tuokoe sis wanyonge
@allykhamis5946
@allykhamis5946 3 жыл бұрын
Akuokoe? Tafuta kazi ufanye upate kipato ukisubiri kuojolewa dah kazi unayo. Siasa ni propagation kinachosemwa na kilichopo ktk nafsi ni tofauti
@allyrashid8738
@allyrashid8738 3 жыл бұрын
@@allykhamis5946 sina maana yakuwa sina kaz hpn mm nimejiajiri mwenyew na nimeajiri kwahiyo maana yangu nikwamba askar 300 hew waliojulikana wanaweza wakaajiriwa vijana waliokuw wanatesek kujenga taifa na mpk leo hawajaajiriw pia pesa zitakazorejeshwa zitasaidia serikal kuendesha nchi nakusaidia raia wake mfno madawa hospitalin kuwalipa wafanyakazi mishahara yao kikamilifu na kwaharaka na mengi mengne ktk jamii kuwa muelewa mwenzangu!
@zahorokombo3938
@zahorokombo3938 3 жыл бұрын
Safi mkuu
@zakwani885
@zakwani885 3 жыл бұрын
Ahsante dokta M winyi tumbua tupate nafuu ya nchi mafisadi watumbue ahsante ahsante
@prosistatarimo6964
@prosistatarimo6964 3 жыл бұрын
Hiyo iko poa sana. Mali za wananhi zinaibiwa. Tunabaki maskini tu hata mko wa pil kwa siku hakuna na eso wanapata mshahara bila kazi
@prosistatarimo6964
@prosistatarimo6964 3 жыл бұрын
Tumbua babaaaaaa
@kassimmussa7814
@kassimmussa7814 3 жыл бұрын
Mimi nahisi kutumbua tu sio dawa ni tumbua filisi weka ndani japo mwaka mmoja tu aaah lazima watakaobakisha ata chai nawatolea mpaka waje wakuulize kwanza🤣🤣
@mamussi6872
@mamussi6872 3 жыл бұрын
Hahahahaha ni kweli ila mie naona wafukuzwe kazi tu ndio dawa yao
@FeisalDoctor-yd2ge
@FeisalDoctor-yd2ge 6 ай бұрын
Rais wa mchongo yy mwenyewe antak atumbuliwe ameingia madarakanbkwcdhulma huyo hawez kufany chochote
@RioIpo
@RioIpo 3 жыл бұрын
Asante Mh Rais
@johncharles2686
@johncharles2686 3 жыл бұрын
Vikosi vimekosa heshima hata kidogo na kuwafanya wafuasi wapoteze Imani Kwa viongozi wao kumbe watu wachache waharibifu.
@ameeranassor1619
@ameeranassor1619 3 жыл бұрын
BismiLLAH Rrahman Rrahim, Kwanza Mwenyezi Mungu naomba uwadhalilishe wizi wote wa mali za Umma na uwafishe hali ya kuwa wanyonge Sana. Pili nauliza Dr Shein alikuwa anafanya kazigani? Wizi wote uo unatokea under his watch Jana mtu miezi michache Tu kaibua maovu chungu mzima, kweli Mzee alikuwa kalala.Baba Mwinyi Mwenyezi Mungu akuhifadhi Kwa kutetea Haki na hali za wanyonge
@ramadhantahila9131
@ramadhantahila9131 3 жыл бұрын
Uwiiiiiiii😭😭😭wanakula pesa wakati walimu wapo wanasota na mshahara wa lakitatuuu 😭😭😭😭😭Mungu atawahukumu InshaAllah ,naomba mheshimiwaa raisi,uwaonee huruma walimuu😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@OnlineMathsAcademy
@OnlineMathsAcademy 3 жыл бұрын
Kabisa Mwalimu mwenzangu
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 3 жыл бұрын
Dr. Hussein ukitaka Mungu akubarik kwenye kiti chako na MAISHA YAKO basi hao MADHALIM uwatiye mkononi imekuwa SEREKALI wanafanya wanavyo taka hawana imani wala UCHUNGU wa Zanzibar wala Wananchi. Dr. Hussein wafikiriye Waalimu mishahara yao ni MIDOGO SANA na kazi Ngumu. Mungu akubarik kwa kazi yako.
@allyabdallah7282
@allyabdallah7282 3 жыл бұрын
Safi sana mh kodi za wananch wamekuwa wakifaidika wat wachache na hao hao ndo wa kwanza kulalamika hali ngum wangetandikwa bakora tano kila m2,wakalejesh pesa hzo,mali zao zikataifishwa na kuwekwa ndan miaka 20 kila mmoja
@ahluljazira2259
@ahluljazira2259 3 жыл бұрын
Hongera baba Lao kila la kheri I wish ningerudi Kuja kufanya kazi nchini Kwetu
@hafsahajiabeid5768
@hafsahajiabeid5768 3 жыл бұрын
Ahsante Raisi watu Allah akupenguvu Kazija kuondowa mabaya n.a. kutuletea maendeleo Allah akulinde wafilisiwe hao
@dignakanje4508
@dignakanje4508 2 жыл бұрын
Daaar htuwezi kupaform kbisa katika hizi inchi masikini hivi.Kma watu wachache wanaamua kuujumu kiasi hichi bila woga wala kumwogopa Mungu,nishida sana kuuona ufalme wa mbingu.
@OnlineMathsAcademy
@OnlineMathsAcademy 3 жыл бұрын
Nice one, watu namna hii ndio waliokuwa wanasababisha fitna za Wazanzibari kuchukiana ili wagande milele kwenye wizi....waliokuwa wamelala sasa wa amke wajue adui zao nani..
@diamondgeyser7987
@diamondgeyser7987 3 жыл бұрын
Hongera sana Raisi Mwinyi, simama baba usikate tamaa.
@Onlyforfun1992tube
@Onlyforfun1992tube 7 ай бұрын
Piga kazi babaaaa mungu amueke CAG wetu na mwinyi baba sisi wanyongee tusikie
@salmahilal3577
@salmahilal3577 3 жыл бұрын
Hem waoneni waalimu na madaktar .... Yaaani hao ndio wenye kaz zaid kwenye nchiiii ..... Lkn mumekua hamuoni jitihada zaooo ....
@OnlineMathsAcademy
@OnlineMathsAcademy 3 жыл бұрын
Inasikitisha sana
@tiijuma795
@tiijuma795 7 ай бұрын
Na walimu pia
@khamicsaidichuga1761
@khamicsaidichuga1761 3 жыл бұрын
Taifa la Tz bado linahitaji Sana Raisi kama ww Mwenyi mshauri na Mama aendeleze mazuri ya JPM
@makongoronyerere1564
@makongoronyerere1564 6 ай бұрын
Mama hawez kuendeleza ya jpm, yy nimuoga, asante
@GilbertNhigula
@GilbertNhigula 7 ай бұрын
Hongera Sana Mh , Kwa Maamuzi mazuri kwajiri ya Maendeleo ya Taifa letu , .
@salumbelo8425
@salumbelo8425 3 жыл бұрын
Safi mh Rais sema nn kamata weka ndani liwe funzo na kwawengine
@hassankhamis9920
@hassankhamis9920 3 жыл бұрын
Mwakan tunakupitisha tu hatuitaji uchaguzi tukapoteza,hela bure izo hela tujetengeneza Barbara ya kwenda paje ili wazungu waache kutuuliza kwamba hii nchi Ina rais hiii.hongera Sana dct Mwinyi mama samia na majaliwa ninaiman na nyinyi kwa taifa hili. Ninaamini baada ya mda mbeleni hata n sisi raia tutapata mshahara kama hao waliojiriw .
@junioryasin5306
@junioryasin5306 3 жыл бұрын
Hahaha et mshahara unachekexha weye
@nipherbaraka2987
@nipherbaraka2987 3 жыл бұрын
Mwinyi fanya kazi baba usiangalie watu wanaofanya kazi kwa ajili ya maisha yao wewe ni chuma wa jpm
@aminaomary5567
@aminaomary5567 7 ай бұрын
Hivyo hivyo Mhe ongera sana❤❤❤
@fatmasaid1911
@fatmasaid1911 3 жыл бұрын
Wameeingiza hadi watoto wao wadogo kwenye ajira looooh!! Asante raid mwinyi tunaumia tunayashudia PA jusema hatuna!!
@zamratallly4148
@zamratallly4148 3 жыл бұрын
Wallahy yani inauma wenye mamlaka yao ndo wanapeana ajira wenyewe kwa wenyew sisi ambao hatuna jamaa wenye mamlaka ndo tunagargar tu
@hawrajehan2398
@hawrajehan2398 3 күн бұрын
Dah!Baada ya Rais hakuna kiongozi yeyote mtendaji ni wezi tu mbwa hao
@amiryhamza1984
@amiryhamza1984 3 жыл бұрын
safi sana rais wetu
@yugoally9476
@yugoally9476 3 жыл бұрын
safi sana njoo huku bara hatuelewi
@robertzamani5612
@robertzamani5612 6 ай бұрын
Mkuu wa Majeshi alitoa taarifa kuwa kuna viongozi katika serikali yetu tena wapo kwenye maamuzi ya juu ya serikali sio raia wa nchi yetu lakini hakuna hatua zozote zilizochukuliwa,Rais Mwinyi hongera sana kwa uamzi uliochukua
@wizzditto747
@wizzditto747 3 жыл бұрын
Safisana mhe
@la_raib953
@la_raib953 3 жыл бұрын
Zetu dua tu
@santostzsantos2083
@santostzsantos2083 3 жыл бұрын
Safi sana muheshimiwa mungu atakuwa pamoja nawe najuwa unaelew jinsi gani wananchi wako wanavonyanyasika na wafanyakaz wako pia najuwa umepunguwa kas kutokana na kuondokew na wakubwa wako ila usikate tamaa pambana na hali yako kuwTetea wanyonge
@johncharles2686
@johncharles2686 3 жыл бұрын
Mh: Rais tunakuombea maisha marefu ili uwatumikie Wazanzibar. Tunahitaji maendeleo ya kiuchumi ajira ziongezeke vijana wako hawana ajira. Uongozi ni wito hawakuwa na wito wa kuwatumikia WATUMISHI wao na kuwadhuluma haki zao na udhalilishaji pia upo umejaa Tele Baba.
@becks3898
@becks3898 3 жыл бұрын
Safi sana
@hassanhajj6804
@hassanhajj6804 3 жыл бұрын
GOODLUCK
@zamratallly4148
@zamratallly4148 3 жыл бұрын
Tunaomba milango ya nafasi za ajira ifunguke baba
@mbarakali4726
@mbarakali4726 3 жыл бұрын
Kazi hii Zanzibar Badoo Sanaa Tunaimani na ww mh Raisi
@suleimanally4394
@suleimanally4394 3 жыл бұрын
Hongerw Raid Husein Allah akulinde
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 3 жыл бұрын
Dr. Hussein waondoshe ........... Madhalim kwenye SEREKALI.. ya SMZ au badilisha hili jina SMZ hiyo M ndiyo inawafanya waibe wanaona .. ndio pesa zao. Iwe hivi😊 Serikari ya Maamuzi Zanzibar. Au mna jina jengine Wananchi?
@ilhamhabuba5241
@ilhamhabuba5241 3 жыл бұрын
Asilimia 100 MH RAIS cjutiii kukupa kura yng ya ndio✅
@fatmasaid1911
@fatmasaid1911 3 жыл бұрын
@@ilhamhabuba5241 kabisaa
@Awatee
@Awatee 3 жыл бұрын
Subhana ALLAH madhwalim siku zote hawafanikiwi
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 3 жыл бұрын
Huyu ahamie Bara 2025 Inn Shaa Allah
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 3 жыл бұрын
WEKA NDANI HAJI OMAR KHEIR NA UACHE KUBWABWAJA!
@idrisaabdillahibpxkijykbs4162
@idrisaabdillahibpxkijykbs4162 3 жыл бұрын
Kweli huyu jamaa maneno mengi ndo yake
@zabiyafahmikhamis4873
@zabiyafahmikhamis4873 3 жыл бұрын
Kama nisafari baba ndo tunaanza na tuna imani na ww
@oxtinho159
@oxtinho159 3 жыл бұрын
Hana Jipya huyu Nae Si ulisema utatoa Ajira laki tano ndo tunasubiri Saivi
@omyismail8695
@omyismail8695 3 жыл бұрын
Hajasema laki tano ni laki tatu mwamba na km unasubiri kuajiriwa subiri tu
@oxtinho159
@oxtinho159 3 жыл бұрын
@@omyismail8695 Niajiriwe mara ngapi tena
@montawamontawa3688
@montawamontawa3688 3 жыл бұрын
Safi sana ya fukuzeeeee ndio hao wanatesa watu kumbe wenyewe majivi hayooooooo
@khatibali9319
@khatibali9319 3 жыл бұрын
Mwinyi oye
@suleimanomar6467
@suleimanomar6467 3 жыл бұрын
Kwanini hatugeuki korea kwa kiduku??? Warudishe pesa za walipa kodi na tusiwauwe lkn weka ndani miaka 10.
@OthmanMussa-u9d
@OthmanMussa-u9d 7 ай бұрын
Hongerra baba wamezoea sio hao tu.
@zeyanaalhabsi8636
@zeyanaalhabsi8636 3 жыл бұрын
Hapa kazi tuu .
@ramadhantahila9131
@ramadhantahila9131 3 жыл бұрын
Mbona mwendo wa polepolee ,baba kaza butiiiiiiiii😭😭😭
@mamussi6872
@mamussi6872 3 жыл бұрын
Anachunguza kwanza hakurupuki
@mrpazurioriginal579
@mrpazurioriginal579 6 ай бұрын
huseni una tuangusha na pia hongera sana na sasa simama imara kutumbua hadi wajitumbue wenyewe
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 3 жыл бұрын
Dkt mwinyi hongera sana big up
@issaally7607
@issaally7607 3 жыл бұрын
Fyeka muheshimiwa
@asafsulayman9375
@asafsulayman9375 3 жыл бұрын
Sasa kama pesa ndio suluhisho hizo pesa zote walizoiba waende wakanunue Roho ili wapate kuishi zaidi hapa Dunia watumie hizo pesa. Wajinga wanajuta sasa wezi hapahapa Dunia.
@godymbanyi1878
@godymbanyi1878 7 ай бұрын
🙈😭😭😭😭😭😭
@talibally8743
@talibally8743 3 жыл бұрын
Mweshmiwa weka sawa zanzibar hii wnaichfua sn mpk mpka mungu anawaon wanaofny dhulma mpka anawahkumu apapa
@abdullayahya8717
@abdullayahya8717 7 ай бұрын
Kama namuona kamanda wa KMKM na kigugumizi chake😢
@aliseif8729
@aliseif8729 3 жыл бұрын
Walitunyima ajira kila tukiomba kumbe kuna uchaf wao wanaufanya sasa leo zambi zinawatafuna wenyewe.Hongera rais tunakupendaa😃
@MrKhatibu
@MrKhatibu 3 жыл бұрын
Mbona Uliajiriwa katika paper jina lako lipo na umepewa ukoplo ila ndio hivyo afsnde a nakula mshahara wako na family yake hahaha
@khadijaabdallamasoud7690
@khadijaabdallamasoud7690 3 жыл бұрын
Wamekula na Hajji omar kheir hao ndo Boss wao shughulika na huyo pia
@jayblack4313
@jayblack4313 3 жыл бұрын
Yule hafai hata kidogo
@mariasaid6053
@mariasaid6053 3 жыл бұрын
@@jayblack4313 hafai Hata rizavu
@khamismwadini2169
@khamismwadini2169 3 жыл бұрын
safisha nchi raiswetu ilioza uchafu tupo tunao kuombea dua uongoze nchi kwa uadilifu ,kazakaza. wapo na walimu hewa ,madaktari wasionasifa walioajiriwa wamefeli hata form two. tunakuomba raisi wetu pitia secta kwa secta usafishe. wajinga hawawezi kuletea maendeleo nchi ,wasomi wamo nje wanaishia kucheza madrafti tu,tunatarajia kupitia ufagio huo heshma yanchi itapatikana,
@OthmanMussa-u9d
@OthmanMussa-u9d 7 ай бұрын
Wametiunyan,ganya wengi kwa mpango huo ndomaana MPAKA leo wamefikia waastaafu tunadai haki zetu kwa sababu ya uzembe wao.
@la_raib953
@la_raib953 3 жыл бұрын
Watumbue baba
@MTAKWAKombo
@MTAKWAKombo 7 ай бұрын
Wazir anahusika kwa sababu ndie mwenye dhamana ya wizara
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 3 жыл бұрын
Na wengine washakufa lakini mshahara wao wanakula wakubwa mpaka leo wanatudia majina ya maherumu waliokuwa wamo ndani ya vikosi
@ahmedjuma2674
@ahmedjuma2674 3 жыл бұрын
Fanya wende na micheweni pemba
@mohdali2408
@mohdali2408 3 жыл бұрын
Uwa baba
@iddisaid1680
@iddisaid1680 3 жыл бұрын
MM BADO NINA IMANI NA WEWE RAIS WETU MUNGU AKUPE AFYA NJEMA
@allykhamis5946
@allykhamis5946 3 жыл бұрын
0
@mashamasha2854
@mashamasha2854 3 жыл бұрын
@@allykhamis5946 ndσ nn ѕαѕα😙
@aboudinternational1819
@aboudinternational1819 3 жыл бұрын
Askari nao wanajua kukamata bunduki tu na kuendesha raia mchura na kuwapiga bakora, kumbe yenyewe inachezewa vibaya na kufanywa vilaza huko makambini kwao. DKT HM bado uko slow kumaliziana na hawa watu ili muda wako uliobakia ujikite zaidi katika kuleta maendeleo na sio kushughulika na hawa watu. Balozi Seif bado sijasikia chochote kuhusu yeye kwani aliibia mpaka maiti wa MV spice
@MuhamadMista-bu3kp
@MuhamadMista-bu3kp 6 ай бұрын
Muheshimiwa tunaomba ututizame na ss tumesota sana tunasubir ajira
@eddyboshizo5549
@eddyboshizo5549 3 жыл бұрын
Raha wende jela na kufilisiwa mali zao italeta funzo kwa wataokaa upya sio wafungwe waiba kuku na wauza bangi tu hata hizi kesi kubwa nazo tuone adhabu za wazi
@mweyoms5548
@mweyoms5548 3 жыл бұрын
Ni uhuni,uhuni,uhuni kila mahali.Kodi zetu zinalipa mishahara wahuni kwenye maofisi ya umma.
@husnamohamed9245
@husnamohamed9245 3 жыл бұрын
Mijitu mijizi wala hawana imani kula dhulma. Mhe mwinyi wafukuze kazi wakakae barazani wasote hao hawafai hata kidogo. Bora kila kiwe na risiti na kila kitu kitiwe kwenye computer. Iwe ni record.
@GameZone-ww6hf
@GameZone-ww6hf 3 жыл бұрын
Ao jku 700 si ndio wale walikua wanakimbia na masanduku ya kuru vituoni 2020 😃😃😃
@hamadiali1310
@hamadiali1310 3 жыл бұрын
Tumbuaaa hakuna kuwaza ww ndio mrisi wa mjomba magu
@alijuma7204
@alijuma7204 3 жыл бұрын
Mm siamini kama wapo kwenye vikosi tu bal na wizara nyengine ziangaliwe
@kshdbzjnxksksw6567
@kshdbzjnxksksw6567 3 жыл бұрын
Apo kwanza kwani uhakiki umefanywa toka january
@yusufwarsame2633
@yusufwarsame2633 3 жыл бұрын
Hatua Gani Sasa watachukuliwaa BAAADA YA HUO UCHUNGUZI
@MwajumaMakameAme
@MwajumaMakameAme 6 ай бұрын
Asalam alyekum jamani jamani kunawafanyakazi wausafi michenzani mall jamani wanateseka awalipwi kwawakati wanafanya kazi kwenye mazingira magumu jamani tunaomba msaada wenu plz
@mohamedkhamisali6535
@mohamedkhamisali6535 3 жыл бұрын
Safi ndogo mdogo baba unaanza
@zulfaissa7814
@zulfaissa7814 3 жыл бұрын
Umejua kufatilia kwautuo maana wajilimbikizia ajira namishahara wakati watoto wamasikin wako majumban kwakukosa ajira
@abkhamsalshamte429
@abkhamsalshamte429 7 ай бұрын
Yani umekua unatupa uchungu na hasira na kukata tamaa, sichengi serekali haiogopwi inaonekan sichochote si lolote, nchi inanuka ufisadi. Maskin zanzibar yangu 😢
@salyali7807
@salyali7807 7 ай бұрын
Babaisha bwege tu hii ... utawaona wanadunda siku za uchaguzi kuwaadhibu wazanzibari
@MattarMohammed-f5v
@MattarMohammed-f5v 9 ай бұрын
Hata ccm wote ni hewa maana hawana uchungu na Zanzibar
@hijjafakky1381
@hijjafakky1381 3 жыл бұрын
Mbna kikoc cha mwanzo JKU kutajwa?? .maan yke ss ( J ) Jenga uumie ( K) kausha usiongee chochote ( U) ufe ukiwa huna umuhimu.😂😂😂😂😂😂
@mussamc641
@mussamc641 3 жыл бұрын
Kama vep mueshimiwa wazitapike tuu hela zetu izo ..au kama hawanazo sukuma ndani ..
@hijjafakky1381
@hijjafakky1381 3 жыл бұрын
Hakuna kusukuma ndan uzaa nyumba zao zote ili wapate paralysis au koma wafe mapema😂😂😂
@yusufwarsame2633
@yusufwarsame2633 3 жыл бұрын
Sasa Hao waliokuwa wakilipwa mishahara Washastaafu Je hawachukuliwiii hatua ? Mh Raisi kama hawachukuliwii Hatua ni sawa na kutwangwa Maji kwenye kinu
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 7 ай бұрын
Mpaka askari waliokufa waliowafukuza bado mishahara yao wanakula wakubwa wa vikosi wakat hao wenywewe hawapo
@moddysaid9515
@moddysaid9515 7 ай бұрын
Serikali yote toka juu aliko yeye mpk chini ni wezi
@salyali7807
@salyali7807 7 ай бұрын
Watapigwa vikofi hao ikisha watarudishwa siku za uchaguzi wafanye ufisadi wa kuiba kura ...
@harithmohd6318
@harithmohd6318 7 ай бұрын
Mazali serekali hii si ya haki bc na watu wataendesha kizalimu t kutuumiza sisi wanyonge wachin kikodi maish yamekuwa magumu zanzibar kwa ufisadi waoo yaa rabii ikomboe zanzibar chini ya serekali ya ccm
@daudkhatib-qn5tr
@daudkhatib-qn5tr 6 ай бұрын
Tatizo umewachaguwa majizi bila kuelewa so kamata majizi sweka ndani wahusika wote
@user-pf9cd6zj1g
@user-pf9cd6zj1g 3 жыл бұрын
Hawa wa kukamatwa sio hao mlowakama
@OthmanMussa-u9d
@OthmanMussa-u9d 7 ай бұрын
Muheshimiwa tuone na sisi wasraafu tunaodai baba tunaumia.
@mohdsalum5675
@mohdsalum5675 3 жыл бұрын
Tumbuua baba
@alluabdallah6893
@alluabdallah6893 3 жыл бұрын
Vijan tupo tuna kila sif hatupew nafsi kumbe wanatuibia bure
@salimshaib879
@salimshaib879 3 жыл бұрын
أسمع جعجعتا و لا أرى طحين
@khatibali9319
@khatibali9319 3 жыл бұрын
Cjsfahamu
@issahassan8361
@issahassan8361 3 жыл бұрын
وش تسمع أخي
@cadabra7402
@cadabra7402 3 жыл бұрын
Safi baba
@mrpazurioriginal579
@mrpazurioriginal579 6 ай бұрын
wote hao watumburiwe na jera waende na iki wzekana iundwe sheria mtumishi yeyote yure atakae fanya uhujum uchumi auwaae kati kati ya ya mkoa au nchi
@idirisakhamis2127
@idirisakhamis2127 3 жыл бұрын
Hata wakati wa kupiga Kura huvishwa form za jesh
@kshdbzjnxksksw6567
@kshdbzjnxksksw6567 3 жыл бұрын
Ayo yeye hayamuhusu
@fatmasaid1911
@fatmasaid1911 3 жыл бұрын
@@kshdbzjnxksksw6567 kabisaaa
UFC 287 : Перейра VS Адесанья 2
6:02
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 486 М.
How to have fun with a child 🤣 Food wrap frame! #shorts
0:21
BadaBOOM!
Рет қаралды 17 МЛН
#MWINYI KUJIBU TUHUMA ZA UZUSHI ZINAZOVUMISHWA
7:25
IsleBlogTv
Рет қаралды 16 М.