Kama kuharibika ni ww mwenyewe hakuna anaeshikwa mkono tamaa zatu na kuiga ya watu ndio majibu yanatotukuta
@staanstaan87223 күн бұрын
Tuache dhana potofu
@AliKhamis-j9z2 күн бұрын
@@staanstaan8722 nawewe nikatika hao
@w40582 күн бұрын
Ndio kazi zao kudanganywa na kudanganya
@suleimanissa20892 күн бұрын
Mhesmiwa Rais kwa heshma na taadhima juu yako umeongea vizuri sana na umejipambanua kwa mazuri unayoyafanya na tunakuelewa sana isipokuwa uliteleza kidoogo katika maneno yako (ulisema kama umekasirika bai labda uhame nchi) ingekuwa vyema ungelisema kama umekasrika basi muda utasema wenyewe kwa unayoyafanya kwa sababu matunda yake unatumai yatamfurahisha kila mmoja wetu.huko.mbele tunakokwenda. Asante sana mheshmiwa huu ulikuwa ni ushauri wangu
@MuniraAlly-d2i3 күн бұрын
Mungu akulinde nakubali kweli kuliko wote nakumini namini zanzibari itabalika ila na sisi tuliko omani tunawo tumwa tufanyeyeni wepesi jabo kufagiya barabarani tupete tuliye kwetu tuomba ajira kufagiya hosipitali au masoko tuweza kupambana asate ❤❤❤❤❤❤❤
@salehmbarouk58673 күн бұрын
Ndugu yangu ww pambana tu huko maendeleo yetu ya Africa twayajua wenyewe
@dalfatsoud48672 күн бұрын
Mashallah Mashallah Mashallah mwenyezi Mungu akulinnde
@IsayaMala-v1r2 күн бұрын
Kazi nzuri muheshimiwa ila hizi ni nchi mbili tofaut ukiisifu nchi yako useme zanzibar na sio tanzania
@ChalomeJunior2 күн бұрын
ww ndio unajua hivyo bc ungekua ww rais..rohombaya tu!!!
@radaonlinetv19223 күн бұрын
Hongera sana Dr Hussain Mwinyi upo lmara sana
@PaulRPaul-z1qКүн бұрын
Well done President Hussein Mwinyi
@mrishongwikwi6448Күн бұрын
Mheshimiwa tunashukuru sana kwa kutuondolea ukiritimba kwenye soko la mafuta umeleta kampuni nyingi ambazo zitauza mafuta kwa ushindani asante kwa GBP, Lake Oil na wengineo yale mambo ya unakwenda kituo cha mafuta mtu anakuangalia kama umejisaidia kwenye nguo yataondoka, hakika umeufungua uchumi wa Zanzibar wewe ni Mwinyi lakini ule unaoitwa umwinyi umeutupilia mbali. Allah akuhifadhi Rais wetu
@meekman18052 күн бұрын
Maashallah! Shukran Mr Rais
@AbdallahJuma-wb8lq3 күн бұрын
Watanzania,wazanzibar
@MzeeMwadiniКүн бұрын
Upo vzr MWINYI bado MAMLAKA KAMILI
@MasterOil-qm6vw3 күн бұрын
piga kazi baba achana na hao wasiopenda maendeleo hao ni vibaraka wa marekani na magharibi ambako kuna mashoga wengi Kwani wakiondoka wana nn sio lazima tuwategemee wao kwanza ufaransa wanapenda ushoga
@hudhaimaismail3 күн бұрын
Utalii ushavishwa sanda bado kuzikwa tu
@asiakhamisi4693 күн бұрын
Mambo ni moto❤❤
@anuarmohammed68853 күн бұрын
D.k mwinyi piga kazi baba vijana tupo pamoja na wewe mitano tena ❤️🔥
@AllyHassan-e2m2 күн бұрын
Safi sana mashaallah
@R10_Rajab3 күн бұрын
MASHAALLAH MR PRESIDENT ALLAH AKUWEKE AKUPE UZIMA NA AFYA SIKU ZOTE
@AbdilnassirDaud3 күн бұрын
Rais Wetu yupo vizur mashallah ila kwenye utalii kwa kuweka travel insurance kwa wagen amefeli sana Tena sna utalii zanzibar byebye wagen wamepungua sana wananchi tutapata tabu sana mana utalii ndio tunaoutegemea😢🥲😔🫥🤷🏼na tujiulize Kwnn hio bima iwe kwa zanzibar tu Mbona bara haipo wakat ni nchi Moja that’s very very wiard. Kama ni Nzuri bas iwekwe kwa Tz yote sio Znz tu🤷🏼
@ibrahimngulungu3 күн бұрын
Wawapi wewe nchi moja Ina bendera mbili tofauti,katiba mbili tofauti na marais wawili??ni muungano tu haimaanishi ndo inchi moja
@hafia.0562 күн бұрын
Youngs leaders our young president please bring it on always and never ever stop tujeengee nchi yetuu mpaka sisi wananchi tusemee basii tujeengee New ZANZIBAR iws zanzibar oyeeee for ALL molla tunakuomba atujaalie Sooote yaaaaani Sooote Ameeen Ameeen Ameeen
@MkungwaNgwarumbwa3 күн бұрын
Huna baya Dk Mwinyi kazi iendelee💕💕
@am2323tze2 күн бұрын
Rais huyu amekuwa operation manager impressive!!!
@GeneGoodkid2 күн бұрын
Mambo mazuri hongera sana Lakini insurance imeleta kwikwi Vizuri ipitiwe tena
@nassorseif79073 күн бұрын
Mamlalaka kamili ya Zanzibar ndio muhimu kwa Wazanzibari
@hatimmohamed42992 күн бұрын
Hatufaidiki, ajira Munatoa kwa munaowataka, kujenga mtajenga sana, na nchi haina hata ulinzi watu wanaingia kiholela tu. Vurugu tupu
@kassim12622 күн бұрын
😂😂😂😂😂Tusheerekee airport mzuri lkn kumiliki ndege haturuhusiki au 😂😂😂😂
@yussufkhamis96003 күн бұрын
Ingependeza zaid tungekuwa na mamlaka kamili kuliko hivi sasa nchi yetu inajengwa ila haiwezi kujitangaza kama nchi huru
@FahadAbubakari-y3f3 күн бұрын
Yachukue mzee kwani umekatazwa
@dullyjabri83932 күн бұрын
Salute Mr. President 👏
@ZANAMBER2 күн бұрын
Huna lolote kazi kujisifu tu s s tunataka mamlaka yetu huwo ujenzi kajenge mkuranga kwetu
@FaridaAlita-jx6lt3 күн бұрын
Hahaaa ijenge nchi baba mabati hoyeee tena mabatti mji mzimaa 😂😂😂😂
@fadyaseif52713 күн бұрын
Wambie wasioelewa. Hongera Mheshimiwa Rais kamba ndio hiyo hiyo.
@HelefusalumAbdallah2 күн бұрын
Mamlaka kamili ndio mwisho wa matatizo ya Zanzibar na watu wake kinyume na hiyo ni shida zaidi shida
@w40582 күн бұрын
Khelef naam kabisa juu ya mstari CCM lini wanakubali jambo aaah
@mwanangusana2 күн бұрын
Dr Mwinyi 5 tenaa
@salyali78072 күн бұрын
Nikimuona huyu Mwinyi nahisi kutapika ... Hasbiyallah waneemal wakeel ... lengo lake ni kuimaliza zanzibar
@abdallahselemani6423Сағат бұрын
Weew kweli muislamu?? Mbona unachukua nafasi ya kumchukia binadamu mwezako!! Huna shukrani
@salehsaleh13052 күн бұрын
Unajitahidi mzee
@salyali78072 күн бұрын
Huyu Mwinyi hafahamu nini wazanzibari wanataka... hayo yote tumeyaona wakati wa ukoloni ... wazanzibari tunataka mamlaka kamili iliyobaki ni porojo tu
@MzeeKagambo3 күн бұрын
Uko SAHIHI MWESHIMIWA RAIS MWINYI SHUKRANI
@SuleimanAli-di3kk3 күн бұрын
Kule pemba waponyuma sana
@w40582 күн бұрын
Exactly
@hatibbaraka39563 күн бұрын
Nakukukubali sana,ila hatuna uvumilivu ni lazima kuna nyakati unapofanya ujenzi hata uwe wa domestic lazima uchumi uwe mgumu maana ubane sana matumizi ili kufikia malengo.
@jumajuma1324Күн бұрын
Dokta mwinyi tunaomba ufungue ubalonzi mdogo wa saudia zanzibar tunasumbuka kwenda dar kugongewa viza
@PakatJames2 күн бұрын
Tuna shida kweli ila wazungu kuzuia ndege zetu siende kwao kwa sababu za hovyo ili ndege zifanye biashara ni uonevu na murndelezo wa ukoloni 😢
@ZANAMBER2 күн бұрын
Hayo makampuni yote ni ya kwenu tanganyika ndio maana umeapa tenda hizo
@MshamAli-o4e3 күн бұрын
Zanziba hatuna bandari wala eyapot vitu vyote vya tanganyika ndo wanao kushana mapato zanziba ni sehem ya tanganyika wapi znz kimataifa wanajulikana mana raisi wa zanziba hanapaspot ya zanziba wala utaifa wa zanziba vipi tutakua nchi watanganyika wameupiga mwingi
@AbubakarSureboy-y4kКүн бұрын
Ndy maana wanasema zanzibar sio nchi ni kisiwa cha utalii
@mtulivu-ir1nq3 күн бұрын
🔥🔥🔥
@AaAa-vm8bb2 күн бұрын
Kaaa 😂
@utaani13 күн бұрын
Tunahitaji barabara Pemba mpaka za ndani maana zilizopo ni mashimo matupu
@alawiali34753 күн бұрын
Barabara za ndani hamujajengewa kumbe duh!unguja sasa ivi kila chochoro kuna barabara.
@AaAa-vm8bb2 күн бұрын
Barabara za boda boda gari moja inatembea moja isubiri mwenzake apite ama kweli vichochoro
@ebrahimosman54772 күн бұрын
🙏🙏🤲
@IddiKhamis-u6c3 күн бұрын
Hao wanaokupa takwimu za utalii hawakupi uhalisia wa mambo yalivyo. Watalii wamepungua. Kisha uache kuzungumza uongo usitafute kupazwa kijana .
@FahadAbubakari-y3f3 күн бұрын
Mkweli wewe
@IddiKhamis-u6c3 күн бұрын
@FahadAbubakari-y3f Mkweli rais wako. Anaesema wageni wameongezeka. Kafanyeni takwimu kwenye macampany. Kama huna taarifa wageni wengi wamecancel Zanzibar wanaenda Kenya. Na wengine wanafika hadi bandarini wanarudi Dar es Salaam sababu ni hiyo bima.
@MshamAli-o4e3 күн бұрын
Mbona mnadanganya uma znz hatuna eyapoti huu uwanja wa tanganyika ndo wanao chukua mapato yote tra sio zrab wanakushana mapato znz sehemu ya tanganyika
@harounali90572 күн бұрын
Rais ana zungumza kama ame kasirika
@AbdilnassirDaud3 күн бұрын
Rais Wetu yupo vizur mashallah ila kwenye utalii kwa kuweka travel insurance kwa wagen anefeli sana Tena sna utalii zanzibar byebye wagen wamepungua sana wananchi tutaoata tabu sana mana utalii ndio tunaoutegemea😢🥲😔🫥🤷🏼
@mohamedrajabu90553 күн бұрын
Hongera sana rais wetu lkn bila ya kuwa na passport yetu id zetu na pia kujitengemea tukiwa na petu ndio tutaweza
@AbuufauzaanMohd2 күн бұрын
Apo kweliii
@delasdiego65372 күн бұрын
Weee zenengo tu kwa majengo jenga upendavyo ila sisi hatuna ela ya kupandia ndege wala gari la kupaki huko auna jipya
@iddijumaali71922 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@iddijumaali71923 күн бұрын
Labda njaa
@fahadomar58093 күн бұрын
Wageni wanakwenda TANGANYIKA TU KWAO HUYU RAISI
@AaAa-vm8bb2 күн бұрын
Kwao rais ni Bumbwini sio Mkuranga atakokwenda kwa kutumia boat sio gari
@RamadhaniMussa-xs5uk2 күн бұрын
Nchi utaihama ww
@w40582 күн бұрын
Hao wanompogeza labda wao au jamaa zao wanaambulia kupata hizo ajirs ikisha Rais hatakiwi kujibu jibu kwanza kunyamaza pia ni jawabu lakini anataka aonekane nae kafanya kafanya nini cha miujiza hata iwe kutwa yuko mtandaoni kama Yeye ndio kila kitu kwani Waziri au karibu wa Wizara husika hayapo
@TheTruth100713 күн бұрын
Ah
@w40582 күн бұрын
Na wewe kwenda uko huna unalolijuwa pumbavu mkubwa
@MmangaKombo3 күн бұрын
Dr Mwinyi wewe ni rais wa Unguja tu naona Pemba hakuulizwi au sio sehem ya Zanzibar ?
@MuammarAlly2 күн бұрын
Nchi ushaiuza na kuimaliza hatukutaki wazanzibari kaz kujisifu tu mbn hsemi icho kibunda unavykichota kingi haki zetu izo na htuko radhi kuzchkua wageni hmn kweli. na izo ndg pia zshasitisha.sagar zak zanzibar wnkwnd bara mbugani hlf wnmalzia kenya hmn lolote mijizi tu nyie
@abdallahselemani6423Сағат бұрын
Wacha makasiriko huyu ndio kiongozi na yupo madarakani mpaka miaka kumi iishe kama humpendi hama nenda hata songea sisi tunampenda mungu ampe afya njema
@w40582 күн бұрын
Wajinga ndio waliwao ndio hao wanosifu ujinga ujinga hawana elimu ya kujuwa nini khasa maana ya maendeleo mfala wakubwa wakikukaria tu utaambiwa halo mshikaja fanya nikastue tumbo
@R10_Rajab3 күн бұрын
MASHAALLAH MR PRESIDENT ALLAH AKUWEKE AKUPE UZIMA NA AFYA SIKU ZOTE
@TunauzaSimu-fn2ff3 күн бұрын
Kwanini njaa znz. Vijana wake walio wengi hawana kazi? Maendeleo ya majengo sawa lkn mtu mmoja mmoja jee? Njaa znz bwana.