Amen,Amen Mungu akulinde na mabaya yote ❤❤❤❤ tufungulie mwaka vyema kwa neema ya Mungu
@leahdaniel11178 ай бұрын
Siku zote shetani huwa hana uhakika huwa anabahatisha tu jibu la Mungu huwa kamili sababu yy anajua mwanzo na mwisho na kila kitu kipo wazi kwake.
@eunicekengajaha29538 ай бұрын
Washindwe kwa jina la YESU AMEN HALLELUJAH
@AmosiMicha-cs5sh3 ай бұрын
Ameeeeeeeeeeeeen
@user-ch5tq6lo2b8 ай бұрын
Mungu Atahukumu kwa haki subiri tu
@HosianaGodfrey-wo9nf7 ай бұрын
Mungu amlinde Rais wangu mama Samia Suluhu Hassan
@costamasuba10998 ай бұрын
Rabish
@ryobanchagwa24998 ай бұрын
Yaaani wewe nakushauri mgeukie Yesu Kristo aliye hai na uachane na maroho yakipepo yanayokutumia
@PitakombaMatinange-xi5dc8 ай бұрын
Shetani wewe
@Mwanaumewashoka8 ай бұрын
Pumbafu
@user-lv5np3ys1j7 ай бұрын
Takataka wewe
@chulelubella28197 ай бұрын
Hili kanisa nimesali miaka 4hakuna Mungu huyu jamaa ameshaasi anatumika kuzimu
@chulelubella28197 ай бұрын
Anadanganya watu alipewa ufunuo wa mafuta na maji na Mungu kumbe uwongo
@josephatlaurent-sz9pf8 ай бұрын
Kwanini usitaje nchi moja kama hilo ni kweli.
@kalebphilip34268 ай бұрын
Istawi kuichumi kwa serikali ipi?serikal hii ya mgao wa umeme?chini ya ccm sahauni ukuaji wa uchumi labda ashuke malaika aiongoze hii hii,huo Ni mtazamo wako tu ndugu
@kristofuraha33698 ай бұрын
Hakuna kitu hapo!
@user-lv5np3ys1j7 ай бұрын
Pepo wewe
@winnesakara69578 ай бұрын
Mgeukie mungu
@user-lv5np3ys1j7 ай бұрын
Takataka wewe
@barickmkenda64098 ай бұрын
Joe Biden aje kuchukua ujumbe wake tafadhali 😂😂😂
@ryobanchagwa24998 ай бұрын
MUNGU akusaidie na usipo iacha kazi hiyo ya shetani nakuhakikishia Jehanamu inakusubiria
@user-lv5np3ys1j7 ай бұрын
Unahakili timamu kweli au nikichaa
@user-wo9iz5kk1j8 ай бұрын
Wambie baba
@mariamfaicalhassan28908 ай бұрын
Hii ya samia ?
@user-uc8og1jx3d8 ай бұрын
Apana Mungu atamtetea
@paulbaharia4108 ай бұрын
Ivi haya ni mahubili au hadithi.
@PitakombaMatinange-xi5dc8 ай бұрын
Wewe unaona nin au unasikia nn bira shaka wewe ni kipofu na kiziwi njoo uombewe hayo mapepo ambayo yamekufunga
@ashaahmad7208 ай бұрын
huyu n yule nabii aliwaleta wale manabii w kuvaa heren na vipensi au sio huyu?
@Renuskitego8 ай бұрын
Kujua vya kimungu ni neema si kila mtu atajua, MUNGU hatokuja Kwa namna MTU anatarajia
@HappyBernard-ni7zg8 ай бұрын
Amna sio uyu yule anaitwa crea malisa
@PitakombaMatinange-xi5dc8 ай бұрын
Tena nyie ndo mnamapepo mnamtukana mtumish wa. Mungu nyie mashetani wenyewe anayehukumu ni sio kabla hujatoa borit la mwazako toa kwanza la kwako