UNABII WA MWAKA 2024 | Mambo yatakayo ipata TANZANIA SIKU ZIJAZO |Prophetedmoundmystic

  Рет қаралды 547,240

Prophet Edmound Mystic

Prophet Edmound Mystic

Күн бұрын

FOLLOW US BY CLICKING THESE LINKS BELOW:
INSTAGRAM:
/ edmound_mys .
.
KZbin:
/ edmoundmuye. .
AUDIO PODCASTS:
player.fm/seri....
.
FACEBOOK ACCOUNT
web.facebook.c....
.
church.heavenl...
‪@ITVTanzaniaTz‬
‪@CLOUDSMEDIA‬
‪@JamiiForumsJF‬
‪@himtv3‬

Пікірлер: 908
@mariamgodwin7186
@mariamgodwin7186 26 күн бұрын
Hii kitu kweli zanzibar saizi kumejengeka sana yaani kunazidi kujengwa majumba ya kifahari barabara nzuri na haijawahi kutokea unabii huu ni kweli kabisa ❤
@EmmanuelVenance-r4u
@EmmanuelVenance-r4u Ай бұрын
Mtumishi Mimi naitwa EMANUEL DAVID.....Kuna ndoto niliota ...niliona jeshi la nchi yetu lime kusanyika na katikati ya kusanyiko hilo kulikuwa na jukwaa lililo pambwa vizuri lakini likiwa halina msemaji likiwa tupu
@Abbellll001
@Abbellll001 Ай бұрын
He is very humble and calm in talking.I love him
@simonejengo9273
@simonejengo9273 7 ай бұрын
Hili la mpenyo wa biashara ni la hatari sana. Mungu atusaidie namna ya kulikwepa hili.
@barakamalisa7778
@barakamalisa7778 7 ай бұрын
Huu ndio unabii sasa sio kuanza kuongea maisha ya watu but hapa inareflect nchi nzima ili tuchukue tahadhari
@EsterTem
@EsterTem 10 күн бұрын
Asante kwakutufundisha
@bwizzydebway9001
@bwizzydebway9001 7 ай бұрын
Msiba wa kiongozi mkubwa aliyewahi kua waziri mkuu tayari unabii umetimia jana lowasa kafariki na Tanzania inaomboleza
@JosephinaMlowe
@JosephinaMlowe 7 ай бұрын
Amina mtumshi
@jesusiscomingback4896
@jesusiscomingback4896 7 ай бұрын
Mara ya kwanza nakuona lkn ndani yangu Roho inasisimka na unabii huu, ee bwana Yesu utusaidie
@EdvinarElish
@EdvinarElish 6 күн бұрын
Hii nimeielewa hasa,Mwenyezi Mungu Akuweke, akupiganie, pia aibariki na kuitetea sana' Nchi yetu Amen🙏.
@rosemuhandoofficial5676
@rosemuhandoofficial5676 8 ай бұрын
Hakika Mungu ni mkuu mno
@edmoundmystic
@edmoundmystic 8 ай бұрын
Tanzania tunakupenda Malkia wa Injili! Tuwasiliane
@victorkwemboi3725
@victorkwemboi3725 8 ай бұрын
Let's wait for its fulfillment if not prophet of doom
@lucystephano226
@lucystephano226 8 ай бұрын
​@@edmoundmysticuse
@EverlynKenneth
@EverlynKenneth 8 ай бұрын
Kweli MUMMY ❤❤❤ WE LOVE YOU SO MUCH ❤️
@MaryMichaelMaryMichael-i7o
@MaryMichaelMaryMichael-i7o 5 ай бұрын
Kabsaaaa.jamn😢.mm MUNGU akinionya uwa napenda sana kulko kupewa cfaaa😢.natendea kaz
@andrinisrael9289
@andrinisrael9289 8 ай бұрын
Nimeshindwa kabisa kuona mganga anaponya
@josephbundala1475
@josephbundala1475 8 ай бұрын
Haya ni mawazo ya kawaida tu kwa kuangalia mambo yanayoendelea Zanzibar na Bara kwa sasa. Vitu hivi vinaonekana wazi ingawa kuna nyongeza ya chumvi kidogo.
@kochaa6096
@kochaa6096 Ай бұрын
Mungu wangu
@monicandengo4680
@monicandengo4680 2 ай бұрын
Natamani dunia yote wayaone ha maneno unayo Nena baba najua Mungu ametupa wewe Kama taaa ya tanzania
@saviorministry4817
@saviorministry4817 7 ай бұрын
Balikiwa sana
@SimonPeter-j3r
@SimonPeter-j3r Ай бұрын
Usimlaumu nabii kwani yéyé usema anacho ambiwa namungu au ww unabishana n'a mungu
@ndayi7
@ndayi7 Ай бұрын
Nimeona maono mara mbili Kwa wakati tofauti,lakini ni ndoto inayofanana..kiufupi,Watu watataharuki...Ni tafaruku ,Watu wakuu,wakikimbilia kwenye nyumba ya Maskini nakutafuta hifadhi,Watu wa meza Moja wakatengana,Maafisa wakuu walio na miguu,Sasa wako kwenye viti vya viwete,wote wakitoka katika nyumba hiyo iliyofanyika kama kimbilio,na kutafuta pa kukimbilia,...Mauaji yakifanyika kati Yao na Watu Wengi wakikimbia makazi Yao..Kisha nikaona kiongizi Fulani AKIWA ameinama kichwa Kwa masikitisho...Hayo ndiyo Mungu aliyonionyesha.....Maji yaliyo mengi yameebea juu ya nchi.Yesu atusaidie.
@HAAM670
@HAAM670 8 ай бұрын
Mungu amejibu Maombi yangu ya Janary 2022. Nilipata mzigo wa Kuombea Kanisa la Tanzania na huduma 5 na kipekee sana huduma ya Kinabii. Nikamwambia Bwana fichua Manabii walioko underground waonekane na Tanzania iipokee hii huduma ya Kinabii. Napita pita zangu KZbin kucheki kuna nini cha Kinabii for the yr 2024, mara paap Prophet Edmound. Wengi wengi mwaka huu 2024 watajulikana. Since then, I have seen the prophetic ministry in Tz, growing in an unusual way. Thank you Lord Jesus
@hajiyusuf3837
@hajiyusuf3837 8 ай бұрын
Chadema pure😂
@Juma-qd5eq
@Juma-qd5eq 8 ай бұрын
Nyie ndo manabii wa uongo ,,sasa hiv kila ,,kila nchi munatoa manabii sasa hiv hamtaki ,,tena manabii kutok ulaya 😅😅😅
@RastaSuma
@RastaSuma 8 ай бұрын
Hao ni manabii wa uongo ambao Mwenyenzi Mungu alishasema katika siku za mwisho watajitokeza sana!.pia tambueni kuwa mungu awezi kuwafanya washirikina na wazinifu na wanaotembea uchi kama wauza bar kuwa nabii. Hawa ni wasaka tonge na wezi wanaotumia biblia kujipatia kipato kwa watu maskini kwa slogans ya upako na miunjiza.hakuna nabii yeyote aliyeabudu miungu mingi yaani 1+1+1=1 where did you getting this devil worshipping? ITS really devil philosophy,while all the prophets waliabudu mungu mmoja.From the first prophet Adam and the last prophet Muhammad...
@FilipJohn-f3s
@FilipJohn-f3s 8 ай бұрын
@@Juma-qd5eq Juma jnabii waachie manabii wa Mungu. Wewe kama huamini kaa kimya. Maana haya aliyosema Nabii Edmund lazima yatatokea. Waliotoa unabii wa Raisi ajaye wa Kenya mlionaje. Acheni kuandika kwa vile mna midomo. Maana awazacho mtu ndicho kimtokacho.
@edmoundmystic
@edmoundmystic 7 ай бұрын
Joel 2:28!
@RashidMininga
@RashidMininga 2 ай бұрын
Pumbavu mkubwa ww hakuna kinacho wasumbua zaidi ya udini .mlikuwa wapi kipindi cha utawala wa mweshimiwa magufuli kutoa stability wenu. ww nawenzako mtaishia katanga uovu lakini mungo ataendelia kuilinda achieve yetu waking sikuzote uitaji vurugu itokee
@stevensosipita
@stevensosipita 8 ай бұрын
MIKATABA YA BANDARI ZETU ZITAVUNJWA NAKUELEWA SANA TUMEDHULUMIWA SANA ILA MUNGU ATATUPIGANIA INNSHAALAH AMINA
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 7 ай бұрын
Unaesema.bandari unajichosha tu dhambi inaharibu uchumi wa nchi.Elia.alimuambia.ahabu mvua.haitanyesha isipokuwa.kwa.neno langu.jamani.kama.tunaona.dhambi inazidi tusiwafariji watu njaa kubwa.magonjwa makubwa vita uchumi wa dunia.kwa.heri
@ElvisJastine
@ElvisJastine 6 ай бұрын
kama wewe kweli mtumishi wamungu tabiri ujio wa yesu kisto atakuja mwaka gani mwezi gani tarehe ngapi siku gani?
@EphraimMwenebatu
@EphraimMwenebatu 6 ай бұрын
Kuja kwa yesu kristo ni Siri ya Mungu pekee yake ndugu
@edmoundmystic
@edmoundmystic 6 ай бұрын
Kipimo halisi cha Nabii siyo kujua ujio wa YESU Bali kipimo ni hiki: “…”Atakaponena nabii kwa jina la BWANA, lisifuate jambo lile wala kutimia, hilo ndilo neno asilolinena BWANA; kwa kujikinai amelinena huyo nabii, usimwogope“ ‭‭Kum‬ ‭18‬:‭22‬ ‭SUV‬‬ Nabii akinena na jambo likafuata huyo MUOGOPE!!
@MnanilaMrsmnanila
@MnanilaMrsmnanila Ай бұрын
Kusudi la Mungu lisimame Tanzania,kusudi la mwanadamu livunjwe milele
@marylisso2822
@marylisso2822 7 ай бұрын
Uzinzi umewaangusha watu wengi sana..na ndio siraha ya shetani kuuua ndoa za watu na nyingi zimeshaanguka....tumtafute sana MUNGU maadamu anapatikana,tumuite yeye maadamu yupo karibu
@EdyTumainieduardo
@EdyTumainieduardo Ай бұрын
Ameni
@celyne5773
@celyne5773 8 ай бұрын
huu unabii ni mkali Kuhusu Tanzania , mungu ayirehemu Tanzania
@azizikalembo931
@azizikalembo931 2 ай бұрын
Upuuzi mtupu!! Hayo kamwe hayatatokea!! Never!!! Tuombe uzima!!!
@estonmosha769
@estonmosha769 2 ай бұрын
This man is a man of God
@PendoNyambita
@PendoNyambita 7 ай бұрын
Nibarikiwa na unyenyekevu wako Mungu akubariki natamani kuonana nawe unapatikana wp
@zeldakahitwa7509
@zeldakahitwa7509 7 ай бұрын
Ila Watumishi wa Mungu mtambue dunia imebadilika acheni kuwatembelea hata kukutana nao mbali na eneo la huduma watu hawa hasa wasio na wanaume. Jamani kesi nyingi zimewakuta watumishi wa Mungu Mungu atusaidie. Halafu mnapogombana mkamalizaneni huko au ukipewa mafunuo kwa mtumishi mwenzako muite muonye maana maubomoa mwili wa Kristo ndio maana watu wanasema duniani hakuna manabii wala wachungaji hasa madhehebu ya Kipentekoste. Watu wameacha kuwaamini ila ni kwa sababu mnajibomoa wenyewe. Tizama Katoriki ikitokea Mpakwa mafuta akakengeuka anaitwa kwenye vikao vya siri na hata ikiwezekana vaticani hiyo yote ni kulinda mwili wa Kristo usichafuliwe. Mungu atusaidie.
@susankilimtali5025
@susankilimtali5025 8 ай бұрын
Wamekuwa wakituongoza kwa kutumia nguvu za giza hakika Yesu kristo hajawahi kukaa kimya kwa wamuombao,
@Berchmansngendakumana
@Berchmansngendakumana 8 ай бұрын
Ombeni Mungu musikuwe na hofu tena muache dhambi Mungu atabadili mambo
@WenelaMwasenga-hc2gf
@WenelaMwasenga-hc2gf 7 ай бұрын
@KedrickMalila-lk6xh
@KedrickMalila-lk6xh 8 ай бұрын
Nimekuelewa sanaa na kila nikiingia kitambaa cheupe huwa napata mikwaluzano na wife na uharibifu wa pesa mtumishi Mungu aendelee kukutumia
@asrasanyunabadda2139
@asrasanyunabadda2139 7 ай бұрын
usiende tena
@asrasanyunabadda2139
@asrasanyunabadda2139 7 ай бұрын
usiende kakangu
@sara-os9dn
@sara-os9dn 5 ай бұрын
Usiende
@dorcasPhyuza
@dorcasPhyuza 12 күн бұрын
Usiend broo😊
@MinnahMtoo-cm8dr
@MinnahMtoo-cm8dr 7 ай бұрын
Mungu bado anao watumishi wake wa kweli aliojisalia.. Wewe ni mmoja wapo.
@shukranisilungwe1986
@shukranisilungwe1986 7 ай бұрын
Ningeomba mtumishi namba ya sadaka iandikwe namba za kuonekana
@edmoundmystic
@edmoundmystic 7 ай бұрын
0754091738
@priscapaulpaul6254
@priscapaulpaul6254 Ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi tulikua na mzee wa kanisa mchawi hatukumjua ila roho wa MUNGU😢
@teyllalugazia
@teyllalugazia 7 ай бұрын
Unachokiongea ni kweli mtumishi, ndoa zinavunjika sana 😭😭 Kuna Hadi page zinasapoti wanawake kuchepuka, kufanya uzinzi. Watu hawamwogopi Mungu
@agnesmbemba8073
@agnesmbemba8073 7 ай бұрын
Uamsho umeachiliwa Tanzania ni wakati wa Kumtafuta Mungu na nguvu zake...ni siku za Hatari.Tumuombe Mungu atupe uthabiti wa imani yetu kwake.Amen
@luhekohepautwa6998
@luhekohepautwa6998 7 ай бұрын
Huo ni uongo hakuna cha maono wala unabii enzi za manabii ziliisha kipindi cha akina musa na yesu kwa sasa tunatafuta riziki tu msituchoshe
@edmoundmystic
@edmoundmystic 7 ай бұрын
”Naye alitoa wengine kuwa mitume, na wengine kuwa manabii; na wengine kuwa wainjilisti na wengine kuwa wachungaji na waalimu;“ ‭‭Efe‬ ‭4‬:‭11‬ ‭SUV‬‬ ”Basi tulipokuwa tukikaa huko siku nyingi, nabii mmoja jina lake Agabo akashuka kutoka Uyahudi. Alipotufikia akautwaa mshipi wa Paulo, akajifunga miguu na mikono, akasema, Roho Mtakatifu asema hivi, Hivyo ndivyo Wayahudi wa Yerusalemu watakavyomfunga mtu mwenye mshipi huu, nao watamtia katika mikono ya watu wa Mataifa.“ ‭‭Mdo‬ ‭21‬:‭10‬-‭11‬ ‭SUV‬‬ Hawa manabii walioandikwa kwenye biblia nao waliishi enzi za Mussa?? Yesu hakuja kutangua torati na manabii bali kuotimiliza!
@jn438
@jn438 8 ай бұрын
River side madada poa wanasimama mapema sana na wanawalazimisha boda boda. Kuna baadhi ya boda boda ukiwatuma usku hawaendi
@theemperor8229
@theemperor8229 21 күн бұрын
Hivi wewe mtumishi wa MUNGU upo wapi? Kweli MUNGU bado amejihifadhia watumishi wake hata wakati huu, ninaomba kwa neema yake niwe mmoja wapo. Naomba mawasiliano yako ya WhatsApp nipo nje ya nchi.
@fabianmbwambo1462
@fabianmbwambo1462 8 ай бұрын
Yer 29:11-14 SUV Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema BWANA, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho. Nanyi mtaniita, mtakwenda na kuniomba, nami nitawasikiliza. Nanyi mtanitafuta na kuniona, mtakaponitafuta kwa moyo wenu wote. Nami nitaonekana kwenu, asema BWANA, nami nitawarudisha watu wenu waliofungwa, nami nitawakusanya ninyi, nikiwatoa katika mataifa yote, na katika mahali pote, nilikowafukuza, asema BWANA; nami nitawaleta tena, hata mahali ambapo kutoka hapo naliwafanya mchukuliwe mateka. (neno la bwana ni Taa na mwanga wa njia zangu hunimulikia..kila nnapokwenda🙏)
@LeahDavid-vb4br
@LeahDavid-vb4br 7 ай бұрын
Eee....Mungu tunaomba uturehemu Watanzaniaj
@SarahKapella-rm2of
@SarahKapella-rm2of 7 ай бұрын
Tuzidi kumlilia mungu Kwa Toba. Tuombe Sana Kwa ajili ya Tanzania na vizazi yetu. Tuombe Sana.
@SprianGoye
@SprianGoye Ай бұрын
Ee mwenyezi mungu turehem waja wako tuvushe salamaa WATANZANIA katika mabaya yote yalioko mbele yetu ammen
@yovinampale4873
@yovinampale4873 8 ай бұрын
Hakuna lolote, acha kuogopesha na kuchonganisha watu kupitia muungano. Huyu ni muongo kama manabii wengine waongo mf. Mashimo.
@nemeskilagula3119
@nemeskilagula3119 6 ай бұрын
Jichungusha Acha kubisha pasipo kufanyia kazi
@OzonMwangosi
@OzonMwangosi Ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏,ee mungu zidi kumfunulia mtumishi wako uliemchagua,jina lako liinuliwe kupita majina yote,ninavyosikiliza unabii huu moyo wangu unasisimuka,mungu ibariki nchi yako Tanzania ikumbuke
@evanccast6228
@evanccast6228 8 ай бұрын
Mchungaji nimekuelewa Mungu akutunze uzidi kukua jina bio🙏🙏🙏
@MaryamMohammed-bi9cy
@MaryamMohammed-bi9cy 2 ай бұрын
Kwani I hukumu isitolewe kwa wayahudi walioua watu wengi, biblia haikuona waliofanyiwa wPalestina, usimsingizie mwenyezi mungu, coco Beach imo kwenye biblia? Wewe je? Umetabiri unakufa linii usiongopee wasioakili hatukuelewi
@chomasongidion6047
@chomasongidion6047 5 ай бұрын
Mchungaji jamani acha kukilu na kutamka mavitu mabaya yaani ichi yetu haina dini,ndo maana tunapendana tu mambo ya waraabu ukitaja ni ubaguzi ,tuna ndugu zetu bibi zetu walizaa nao shindwa KBS
@clemencemlelwa1496
@clemencemlelwa1496 Ай бұрын
😊😊😊😊😊😊
@issacklyandala7023
@issacklyandala7023 9 күн бұрын
Sasa nimetambua,kinachoendelea ktk ulimwengu wa roho
@EdwardSemwenda
@EdwardSemwenda 6 ай бұрын
Mungu ikomboe tanzania kwel hilo janga lolote baya kwa nnchi
@augustinechitemo8207
@augustinechitemo8207 8 ай бұрын
Naogopa Mungu tunusuru,kama ulivyosema tuombe mabaya haya yasituathiri hata kama yatatokea maana wananchi hazina makosa!
@neylamaina
@neylamaina 7 ай бұрын
Nyakati za mwisho , Mungu uirehemu Tanzania
@emanuelmkama1325
@emanuelmkama1325 Ай бұрын
Uyu nabii ki umri n mdogo ila namfuatilia sana kla aksema inakuw
@bonabonala5559
@bonabonala5559 8 ай бұрын
wakati huo mama wakambo samia yupo icc kwa kesi ya mauji kwa kupinga katiba mpya ya bara huku mr msoga akienderea kuishi kwa furaha samia anaumia baada ya kuipinga katiba wakati ni huu pole samia jk anakuingiza cho cha kiume
@Fred-Ma
@Fred-Ma 8 ай бұрын
Rais atakuwa nani?😅😅
@surehamlela8538
@surehamlela8538 5 ай бұрын
Nimekuelewa unabii upo wazi kikubwa tuombe sana kweli miaka ijayo kuna jambolitasumbua kidogo lkn tuta shinda
@MinnahMtoo-cm8dr
@MinnahMtoo-cm8dr 7 ай бұрын
For the first time i meet a real and genuine prophet in Tanzania, sina maana wengine hawapo ila sijawahi kukutana na hata mmoja kwa maana walio wengi tunaowajua na wenye majina sio watumishi wa kweli wa Mungu.. Im so grateful kukujua na kuanzia leo nitaendelea kukufuatilia na kujifunza zaidi kutoka kwako.
@agathadaudi3300
@agathadaudi3300 7 ай бұрын
Mimi pia.. hakika Mungu amejisalia manabii wake wa kweli...Damu ya Yesu imlinde
@jeremiahmasuke8375
@jeremiahmasuke8375 7 ай бұрын
Karibuni sana
@ainamuhate9051
@ainamuhate9051 8 ай бұрын
Sasa tuombe nini tena? Si wewe umesema mungu kakwambia mungu? sasa hofu yako ninini? ,wewe kijana acha siasa Fanya injili isiyokuwa na chuki ndani yake .unaonekana kama unachuki na ccm, wewe ninani? Na unatumika na nani?
@christopherjoyce1903
@christopherjoyce1903 8 ай бұрын
Ee Mungu wetu turehemu Tanzania! katikati ya ghadhabu kumbuka rehema
@LujaLukalanga
@LujaLukalanga 2 ай бұрын
Kwa kweli asiyesoma maandiko anasubiri kusomawa tu Bible hakika atajazwa hofu kwa huu unabii was nabii ,,, kwa sababu Bible inazungumzia utawala was kidini sio inchi ambapo, tangu Rumi Hadi leo na yeye ndo atakommesha tawala zote hizo,,,jamani kuweni makini huyu mtu amehusanisha matukio ya inchi yanayotokea ,,,,mbona haufiki Mwisho wa unabii was kumtaja raise coz hajachaguliwa,,,,,mwanamke Safi Ni kanisa la mafundisho ya kweli Bali mwanamke kahaba Ni kanisa la mafundisho ya uongo au kanisa lililoacha mafundisho ya kweli au lililo asi Kama huyu,,,
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 8 ай бұрын
Wamasai . Watarudi. Msigwa katekwa, madhabahu mengi ni ya kishetani.wanaume kuoa wake wengi Raisi Kisha kishahutubia hii.
@MsonjoSicario
@MsonjoSicario 8 ай бұрын
Sijaona unabii hapo...ulichosema kipo wazi wazi kila mahali twaelewa...hata mjinga anaelewa....issue ni namna ya kukwepa liana hiyo....
@Juma-qd5eq
@Juma-qd5eq 8 ай бұрын
Bongo ukisoma saikojia ,,na ukasoma hali ya hew na bible kidogo ,,ushatoboa ,, 😊😊😊
@JumaMlei-ff3rp
@JumaMlei-ff3rp 8 ай бұрын
Ni kweli kweli kab🎉
@mamyomar1241
@mamyomar1241 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 wanashindana na wanasiasa hao. Kwani hasa hivi nabii wanaijua maana yake au kukurupuka na kujiita nabii. Tumuogopesa sana Allah. Halali wa hasinzii. Hakuzaa wala hakuzaliwa. Walahakuna anayefanya naye.
@Dianamwansasudddw
@Dianamwansasudddw 8 ай бұрын
Kasome nawe hali ya hewa,saikolijia na Qur'an
@glorynguma3593
@glorynguma3593 8 ай бұрын
Nenda kasome na ww utoboe
@Juma-qd5eq
@Juma-qd5eq 8 ай бұрын
@@glorynguma3593 ,,sasa Quran ushaongea hayo yote,, ila sasa mim cwez kuongea namuogop Mungu kujitangaz mim ni Nabiii daaaah hiyo siwez ,,sabb naona kabisa napingan nae !!!
@SamwelLodorumbe
@SamwelLodorumbe 28 күн бұрын
Sibure tangu lini kiungo kimoja Kuta wala kichwa wakati tangu uumbaji night kuinyume?
@safiaothman5175
@safiaothman5175 3 ай бұрын
Anayejua mambo yoyote yatakayotokea duniani ni Mwenyezi Mungu aliyetakasika tu na si mwingine.
@NurathYunusu
@NurathYunusu 3 ай бұрын
Apana iyo ilikua kinyume alionyeshewa Kenya iyo,sisi atuna mbamba mba
@Immanuel-tb8ys
@Immanuel-tb8ys Ай бұрын
Kaa apo
@MwahijaAlly-wg4uj
@MwahijaAlly-wg4uj 24 күн бұрын
Mungu akupe maono zaidi ili tupate kuyajua yajayo
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 8 ай бұрын
Mi wiki iliyopita niliota Luna kiongozi mmoja kavaa bendera imechakaa na ina tundu kubwa sana ,nikamuuza kuna shida gani akawa analaumu kiongozi mwingine kwamba ndie sababu ya bendera kutoboka. lakini akaniambia nisijali atashona bendera mpya
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 2 ай бұрын
Wazungu wameshajenga Zanzibar. Lakini itawaletea shida baadaye. Mzungu hana jema wala zuri.
@madidolla
@madidolla 5 ай бұрын
Sema gwajima namuona sana kwenye hii nchi kupewa kwa mshangao mkubwa sana,kwa utabir huu namuona makonda kurud chini tena na gwajima kupanda mara dufu mmmh!
@elizabethvenans3672
@elizabethvenans3672 Ай бұрын
Acha uongo
@haroungeorge7603
@haroungeorge7603 Ай бұрын
Makonda ni bonge la mtu hata gwajima pia
@AzizaMohhamed
@AzizaMohhamed 2 ай бұрын
Jamanii viongozii wabadirikee, piaa watanzaniaa viongozii tamaa,,wamekuaa makatirii hawana hurumaa na watanzania wenzaoo,,kila anachaguliwa anataka ajinufaishee yeyee,, munguu,,awadhibuu wao tu viongozii ,,tena wangekufaa wotee ,,tumechokaa ,,,
@getrudamartine4120
@getrudamartine4120 7 ай бұрын
MUNGU pekee atusaidie sana 😭 maovu yamekua mengi sana
@mulungiester8675
@mulungiester8675 7 ай бұрын
But that is pride kusema eti yakitokea wakutafute na wakikutafuta wasikupate. I think ulipaswa kuongoza congregation on how to pray about it ili yasitokee
@ZabronAdrofu
@ZabronAdrofu 7 ай бұрын
Tuombe pasipo kukoma jamani,eeeh mungu tusaidie
@mhlegusekambona2818
@mhlegusekambona2818 2 ай бұрын
Hivi ni kweli hapa Tanzania mikataba mibovu ni ile iliyoingiwa na Waarabu tu mingine yote ipo sawa inatunufaisha Watanzania? Ya Wazungu, Wachina na Wahindi yote ni ipo sawa inatunufaifa Watanzania? Kama ipo kwanini Wakristo wanataja ya Waarabu tu? Wazungu na watu wa matabaka mengine wapo safi kabisa hapa Tanzania na dunia kwa ujumla? Kunani kwa Waarabu?
@resgoldphilays1800
@resgoldphilays1800 8 ай бұрын
When God speaks, the wise listen
@christinekhevali1559
@christinekhevali1559 8 ай бұрын
Mungu yupo na kwakweli unabii uko kwenye maandalizi kwani barua iliotumwa kwa mama mkuu wa inji unamashaka ukitafsiri kwenye ulimwengu wa kiroho so ni tuombee sana nae baba yetu wa mbinguni atatusaidia
@baghabaghaingwengwe1750
@baghabaghaingwengwe1750 8 ай бұрын
Freemason akitaka kufanya kitu anajidai kuwa umepewa unabii kumbe amedhamiria kufanya mwenyewe hayo
@NancySimon-dm8zp
@NancySimon-dm8zp 8 ай бұрын
Usifungue kinywa chako juu ya watumishi wa mungu hata kama huamini my dear
@danielmlwafu4380
@danielmlwafu4380 8 ай бұрын
Ukawe wa kumuogopa sana Mungu,, usiongee usichokijua freemasonry kitu gani, uchafu tu. Bwana akukemee
@NdeshaPaul-uz9bw
@NdeshaPaul-uz9bw 4 ай бұрын
Je nabii hayo yote unayosema yasipotokea itakuwaje? Kwa nini unaogopa kusema ukweli kutoka kwa Mungu? Sema yote wazi kama kweli yanatoka kwa Mungu maana ndiye Kinga yako
@SikujuaEmmanuel-fj4mg
@SikujuaEmmanuel-fj4mg 7 ай бұрын
Ikawe kama ilivyo tabiliwa kwa jina la yesu kristo,
@MaryamMohammed-bi9cy
@MaryamMohammed-bi9cy 2 ай бұрын
WA cha kufanya mafumbo usichanganye mambo tumekuelewa lengo lako hiyo ni tafsiri yako yakudangannyia mkono uend....................
@Lordrich-m7y
@Lordrich-m7y 25 күн бұрын
Kwa kwel mm naona vifutwe vyama pizani vyote..tubaki na ccm yetu tuu..nadhani nchi ingekuwa na utulivu mkubwa
@humphreygodfrey5400
@humphreygodfrey5400 8 ай бұрын
Huna lolote wewe ni uongo mtupu hizo ni ndoto za mchana ,mko wengi sana mnaoijiita prophet wakati wa corona mlijificha kwa kuogopa kufa na corona leo hii mnajifanya eti umenon'gonezwa na mungu.let's me tell u what Tanzania 🇹🇿 mean,Tanzania is god nation, stop fools people's.
@GiftBatista-u9l
@GiftBatista-u9l 7 ай бұрын
Mungu atusaidie ujinga utoke, ninyi mnadanganya watu kwa mafundisho yenu. Unabii huu umefananishwa sana na mambo yaliyokusudiwa katika ufunuo wa Yohana kuhusu siku za mwisho wa ulimwengu.
@theemperor8229
@theemperor8229 21 күн бұрын
​@@GiftBatista-u9l lowasa anawasalimia
@theemperor8229
@theemperor8229 21 күн бұрын
Kitambaa cheupe, Lowasa
@theemperor8229
@theemperor8229 21 күн бұрын
​@@GiftBatista-u9lkitambaa cheupe, Lowasa
@hamoodhhamoodalsharji7584
@hamoodhhamoodalsharji7584 4 күн бұрын
😂😂😂😂😅😅😅Dunia hii tunayaona mengi kila anaeibuka ni nabii
@asbornkaduga6001
@asbornkaduga6001 8 ай бұрын
Unabii huu ni fake,unatuingiza chaka nabii, naona umefananisha unabii wa ufunuo na mfanano wa Muungano.
@emmanuelmanga25
@emmanuelmanga25 7 ай бұрын
Let's talk about kitambaa cheupe mzee baba
@mwakiboy968
@mwakiboy968 7 ай бұрын
Let's talk about prime minister
@ninkambazielitwaza7859
@ninkambazielitwaza7859 7 ай бұрын
Huyu arudi ajifunze kitu Kuna manabii hata Sasa na Mungu yupo😢na anasema
@CharlesMisungwi-f8t
@CharlesMisungwi-f8t Ай бұрын
Zambiziko.kwawatawala zitaondokaje kwa hao.? nasisi?.
@edmoundmystic
@edmoundmystic 8 ай бұрын
Let’s watch and Pray!!
@NancySimon-dm8zp
@NancySimon-dm8zp 8 ай бұрын
Amen
@AliAli-hj6ty
@AliAli-hj6ty 7 ай бұрын
Hamna nabii apa watu muwe mnatafakari
@joannoel-g3r
@joannoel-g3r 4 күн бұрын
Ata tusiombee hii nchi tuache tupate hiyo adhabu ili tuheshimiane tu
@OlympiaSilvan
@OlympiaSilvan 8 ай бұрын
Mungu na ayatimize kusiwe na kizuizi chochote Amen
@nozesybafikege8417
@nozesybafikege8417 Ай бұрын
Yeremia 5:31 Manabii wanatabiri uongo, na makuhani wanatawala kwa msaada wa hao; na watu wangu wanapenda mambo yawe hivyo. Nanyi mtafanya nini mwisho wake?
@getrudaolomy9112
@getrudaolomy9112 3 ай бұрын
Mungu atusaidie sana
@BakariCheo
@BakariCheo 2 ай бұрын
Fungukeni waumn so kil kit amee km akin mwjk mtumish toa mahubr ndoto watafsr n manabii n mitum ty wa ss n wabshr km watk madark kagombee ty
@RogerLwamatwi
@RogerLwamatwi 8 ай бұрын
Unabii hauwezi kuwafikisha watu mbinguni ila kuhubiri watu waache zambi. Ingine ni kishetani. Kila mpubavu Na mushenzi anaanza kujiita nabii. Munatumia nguvu za malaika walioshushwa Na ibilisi kutoka mbinguni
@peterrulagora7403
@peterrulagora7403 8 ай бұрын
Ubarikiwe sana
@hajiameir8688
@hajiameir8688 2 ай бұрын
We mchungaji achana na zanzibar ni nchi usioijuwa historia yake huyo ulimuona ni shetani kama ww acha mara moja
@anchelouskyaruzi3992
@anchelouskyaruzi3992 7 ай бұрын
Kwakweli wewe ni mtumishi wa Mungu
@pastormosesmwananyama6139
@pastormosesmwananyama6139 6 ай бұрын
Hii ndiyo karama pekee ya kinabii iliyonibariki kwa ule ulweli uliomo ndani yake. Manabii wa uongo ni wengi sana. Mungu anao watu wake wenye roho ya uaminifu ndani yake
@baghabaghaingwengwe1750
@baghabaghaingwengwe1750 8 ай бұрын
Mwongozo kuliko waongo wengine iweje Mungu akupe mambo mengi hivyo , huu ni mfululizo wa mawazo yako
@chumajoyce9951
@chumajoyce9951 8 ай бұрын
Kazi ipo
@fredylomayani8376
@fredylomayani8376 5 ай бұрын
Yametokea hayajatokea
@TRUEHUBBY
@TRUEHUBBY 5 ай бұрын
Stupid. Utapeli na Upuuzi wa ku flush chooni.😫
@apostlejacksonkalinga5191
@apostlejacksonkalinga5191 8 ай бұрын
Hakuna mlango wa Baa ulio salama
@mahomamahoma775
@mahomamahoma775 14 күн бұрын
Huduma ipo wapiii
@edmoundmystic
@edmoundmystic 14 күн бұрын
Huduma ipo Dar es salaam-kimara baruti , kwa mawasiliano na maelekezo ya kufika kanisani, tupigie simu 0629478927
@evanccast6228
@evanccast6228 8 ай бұрын
Nabii wa Mungu Mungu akutunze sana na mabaya 🙏🙏🤝🤝🙏🙏
@EMILIANASADOCK
@EMILIANASADOCK 8 ай бұрын
Hata wewe ni wakala wa shetani unasalisha watu jumapili siku ya kumwabudu shetani mmeloga watu mnawambia uongo mtupu wasiowaelewa wanawaamini kweli na kuwapa amina nyingi kipimo hamuenendi kwa isaya 8:20
@edmoundmystic
@edmoundmystic 8 ай бұрын
”Siku ya kwanza kutakuwa kwenu na kusanyiko takatifu, na siku ya saba kutakuwa kusanyiko takatifu; haitafanywa kazi yo yote katika siku hizo, isipokuwa kwa hiyo ambayo kila mtu hana budi kula, hiyo tu ifanyike kwenu.“ ‭‭Kut‬ ‭12‬:‭16‬ ‭SUV‬‬ ”Hata siku ya kwanza ya juma, tulipokuwa tumekutana ili kumega mkate, Paulo akawahutubu, akiazimu kusafiri siku ya pili yake, naye akafuliza maneno yake hata usiku wa manane.“ ‭‭Mdo‬ ‭20‬:‭7‬ ‭SUV‬‬ Kol 2:16 Basi, mtu asiwahukumu ninyi katika vyakula au vinywaji, au kwa sababu ya sikukuu au mwandamo wa mwezi, au sabato; mambo hayo ni kivuli cha mambo yajayo
@viousa
@viousa 7 ай бұрын
Wasabato acheni chuki haziwasaidii kuwa watakatifu huko ni kujihesabia haki na kiburi Cha uzima
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 7 ай бұрын
Nakataaaaa kwa jina la Yesu (roho ya mpinga kristo)
@ericamwkyokile4681
@ericamwkyokile4681 7 ай бұрын
Bora kuomba kuliko kupinga unabii.
@ruthmuja7792
@ruthmuja7792 6 ай бұрын
Mpinga kristo lazima aje maandiko yanasema, hivyo hatuwezi kumzuia kwa kumkemea 😢
@devidmaembe
@devidmaembe 2 ай бұрын
kwanza mimi binafusi naesabu kuwa sinalaisi mama aumwana mke maana kolowani inakataa mwanamke kuwa kiongozi wamwanaume vivyohivyo bibilia nayoina kataa mwana mkekuwa kiongozi wamwanaume atakatika nyumba yanikwenye ndowa alusiwi mwanamke kuwakiongozi katikandowa kwaiyo atakatika imchi sisahihi katika jambohilo
Alicho kisema Prophet edmound kuhusu UCHAGUZI 2025 | KUHUSU MAKUNDI MATATU
9:34
Prophet Edmound Mystic
Рет қаралды 157 М.
The Joker wanted to stand at the front, but unexpectedly was beaten up by Officer Rabbit
00:12
Остановили аттракцион из-за дочки!
00:42
Victoria Portfolio
Рет қаралды 3,8 МЛН
отомстил?
00:56
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
Officer Rabbit is so bad. He made Luffy deaf. #funny #supersiblings #comedy
00:18
Funny superhero siblings
Рет қаралды 12 МЛН
UNABII || FARASI WAWILI KUELEKEA UCHAGUZI 2025 || Prophet Edmound Mystic
9:19
Prophet Edmound Mystic
Рет қаралды 23 М.
RASMI, TANZANIA IMEREJEA GIZANI KITAIFA NA KIMATAIFA
27:22
SK Media Online TV
Рет қаралды 60 М.
NABII EDMOUND ALIVYOTABILI JUU YA SAKATA LA BANDARI NA DP WORLD 2022
11:05
Prophet Edmound Mystic
Рет қаралды 14 М.
THIS GRACE CALLED FAVOUR WITH APOSTLE JOSHUA SELMAN (KOINONIA SUNDAY SERVICE)
2:42:31
MAONO JUU YA MWAKA 2024
14:19
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 67 М.
The Joker wanted to stand at the front, but unexpectedly was beaten up by Officer Rabbit
00:12