No video

KWANINI SHETANI HUPAMBANA SANA MWISHONI? - NABII BG MALISA

  Рет қаралды 24,954

Ukombozi Church Dsm

Ukombozi Church Dsm

Күн бұрын

Kwa kutoelewa siri hii maisha ya watu wengi yameharibika. Nguvu za adui huwa kubwa sana mwishoni kwa sababu anajua ndipo penye ushindi. Ibilisi anajua akikupiga mwishoni yote uliyoyafanya muda mrefu yatapotea. Funguliwa kwa jina la Yesu unapoendelea kuangalia somo hili na Mtu wa Mungu Nabii BG Malisa.

Пікірлер: 48
@NeemaPaul-tc8ff
@NeemaPaul-tc8ff 3 ай бұрын
Najitabiria mwisho wangu ukawe mwema kwa jina la yesu
@ayubumapunda671
@ayubumapunda671 3 жыл бұрын
Naipiga roho hio kwa jina la Yesu! Ubarikiwe sana mtumish
@maribasimon47
@maribasimon47 2 жыл бұрын
Iyo roho inayopoteza hatima yangu naipiga kwa jina la YESU
@dicksonfocus9132
@dicksonfocus9132 3 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu ,nabarikiwa sana na masomo yako
@gladyssimiyu6134
@gladyssimiyu6134 3 жыл бұрын
Aminaa
@ambelemwaitebele1610
@ambelemwaitebele1610 6 жыл бұрын
amina tumishi wa mungu ubalikiwe zaidi mungu akupake mafuta kuhibili ujumbe wakufungua watu walichoka
@maribasimon47
@maribasimon47 2 жыл бұрын
Amina
@maribasimon47
@maribasimon47 2 жыл бұрын
Nafunguliwa kwa JINA LA YESU
@suzyjacob7073
@suzyjacob7073 3 жыл бұрын
Amen
@jimmymwenda7046
@jimmymwenda7046 4 жыл бұрын
Nabalikiwa saaNa Baba mungu hakupe maono ya kipeke
@davidkuyatv
@davidkuyatv 8 ай бұрын
2023
@marthanjwalile7801
@marthanjwalile7801 Жыл бұрын
I connect to madhabau
@mauaiddy7033
@mauaiddy7033 6 жыл бұрын
Amen""" Baba ubarikiwe sana kwani mafundisho yako yamenitoa nlipo kunipleka mahal pazuri kwa jina la YESU
@winniepoledearmichael9077
@winniepoledearmichael9077 6 жыл бұрын
bila wewe sjui ningekuwa wapi leo asante Baba asante yesu, kunawakati huwa nawaza najikuta natokwa machozi tu
@paulmgesi9244
@paulmgesi9244 5 жыл бұрын
amina
@patrikeramazani3806
@patrikeramazani3806 5 жыл бұрын
iyo ni kweli kabisa tena kweli sana
@bridgetnafula8001
@bridgetnafula8001 4 жыл бұрын
Hallelujah Mungu hanimbe ngufu yakumutumikie siko zote ni we mushindi kwa damu yesu 🙏🙏🙏😇🙏
@elijahmelau5578
@elijahmelau5578 5 жыл бұрын
God bless, Ni utukuvu wa mungu nikisikia hii mungu akubariki kwa maisha yako
@feristersam8960
@feristersam8960 5 жыл бұрын
nabii nitakupateje mm napenda sana kusali kanisani kwako
@simonkusekwa6366
@simonkusekwa6366 4 жыл бұрын
Ameee Baba Mungu Akubariki
@maribasimon47
@maribasimon47 2 жыл бұрын
Nafunguliwa
@actiontaker3984
@actiontaker3984 4 жыл бұрын
Jmni sjyani kwa nn atuteke mwishoni we mungu niepushe na hilo janga ninateseka mnoo
@ayubumapunda671
@ayubumapunda671 3 жыл бұрын
Naikataa roho hio kwa jina la Yesu
@isackbaton9759
@isackbaton9759 6 жыл бұрын
Amina nmebarikia baba
@ufufuowarohonitv5900
@ufufuowarohonitv5900 6 жыл бұрын
Nabii umenena mm nabii Joshua upo vizur umefundisha ufahamu wa rohoni mwenye sikio asikie
@donaldmgeso382
@donaldmgeso382 5 жыл бұрын
Naipiga hiyo roho inayopoteza hatima yang. Kwa jina LA yesu.
@aksamsuya9591
@aksamsuya9591 4 жыл бұрын
Nimepata kitu kikubwa sana God bles dad
@demidiusjuvenary1756
@demidiusjuvenary1756 6 жыл бұрын
amen lazima mwisho wangu uwe mzuri
@olivertadeo4358
@olivertadeo4358 5 жыл бұрын
Amina baba
@prophetochuodhoisayaminist2854
@prophetochuodhoisayaminist2854 6 жыл бұрын
BARIKIWA
@miserecordiuslema4071
@miserecordiuslema4071 5 жыл бұрын
Ameen ameen ameen
@kesiamenyaulilaizer392
@kesiamenyaulilaizer392 5 жыл бұрын
Shetani ashindwe mwisho wangu na ahadi zangu ziwe za kweli nifanikiwe
@clementineaho4302
@clementineaho4302 5 жыл бұрын
10. Ujumbe huu unasema ya kwamba uislamu, ukristo na uyahudi ndizo maroho tatu za chura zinazo zungumziwa katika Ufunuo 16:13. Dini hizo tatu zajidai kuwa wa Ibrahimu. Hizo Dini tatu zaamini Musa. Dini hizo tatu haziwaamini manabii waliyo hai ila tu kila moja hujidai kuwa wa nabii ambaye hakumjuwa. Kila moja ana kitabu chake kitakatifu. Na yote tatu yanangojea Mesiya. Ndizo roho tatu za chura katika Ufunuo 16:13. Ujumbe huu unasema ya kwamba ni yale yale mapepo ambayo yalitokeza Elvis Presley, Bob Marley, James Brown, Madonna, papa Wemba ndiyo yanayo tokeza leo haya makundi na wanamziki wa kikristo kama vile Tabitha Lemaire, Don Moen, Exo Eclats, Yolanda Adams na Céline Dion. #ProphetKacouPhilippe #PKPCHANNELTV #JezusChrystus #God
@estherkoya8410
@estherkoya8410 4 жыл бұрын
Umemtaja don moen una uhakika na unachokisema?
@elizabethmafuru3192
@elizabethmafuru3192 6 жыл бұрын
nahitaji no zako nitapataje mtumishi
@sharifatabook4697
@sharifatabook4697 4 жыл бұрын
Stagnant life
@jobmunyali7229
@jobmunyali7229 4 ай бұрын
🧎🕊️🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@maribasimon47
@maribasimon47 2 жыл бұрын
Amina
@ayubumapunda671
@ayubumapunda671 3 жыл бұрын
Amen
@ayubumapunda671
@ayubumapunda671 3 жыл бұрын
Naipiga roho hio kwa jina la Yesu! Ubarikiwe sana mtumish
@gilbertmakiro5636
@gilbertmakiro5636 Жыл бұрын
P
@gilbertmakiro5636
@gilbertmakiro5636 Жыл бұрын
P
@gilbertmakiro5636
@gilbertmakiro5636 Жыл бұрын
P
@demidiusjuvenary1756
@demidiusjuvenary1756 6 жыл бұрын
nimebarikiwa na somo hili be blessed my dad
@gladyssimiyu6134
@gladyssimiyu6134 3 жыл бұрын
Amina
@gladyssimiyu6134
@gladyssimiyu6134 3 жыл бұрын
Amina
@blandinaedvad3430
@blandinaedvad3430 5 жыл бұрын
Amina
@selestininchimbi5261
@selestininchimbi5261 4 жыл бұрын
Amen
艾莎撒娇得到王子的原谅#艾莎
00:24
在逃的公主
Рет қаралды 51 МЛН
123 GO! Houseによる偽の舌ドッキリ 😂👅
00:20
123 GO! HOUSE Japanese
Рет қаралды 5 МЛН
A E I O U Song - NAOMI ANANGISE
7:35
Ukombozi Church Dsm
Рет қаралды 1,9 МЛН
NABII BG MALISA NDANI YA MJI WA BUKOBA
1:58
Ukombozi Church Dsm
Рет қаралды 446