Kwanza mm ningekua rais ningetumia njia yyte ile kupata nguvu babu kubwa dunian kwa mataifa mbalimbali nikisha fanikiwa la mwanza waarabu wote walovamia afrika ningewaamisha kuwa peleka lile bara lenye mabarafu wakaishi uko kama huna D mbili huwez elewa
@PiliAlmasАй бұрын
Timu zinazofanyiwa uchunguzi ni za 10 bora afrika kama aupo kwenye rank hizo we akujui mtu kafe mbele. Tuchunguzieni goli letu anakujua nani wewe kapuku
@Last403Ай бұрын
Wewe naye huna akili, kwa hiyo hao aly hilal tripol wapo 10 bora .?
@HasnatMustafa-n1qАй бұрын
😂😂😂😂😂😂 ila wew
@stewartsylvester2353Ай бұрын
Akili za wanasimba bana😂
@sirpaza8513Ай бұрын
Kweli kabisa HATA ULE UCHAWI WALIOUFANYA SIMBA WALIPOCHEZA NA ORANDO PIRATES mlikua nyinyi
@nuhumaalim4976Ай бұрын
@Last403 tunazungumzia simba hapa ndio imefanyiwa hivyo sio Al ahl Tripoli wengefanyiwa wao ingelikua kimya
@MillanFAHMIАй бұрын
Jaman mm mwana simba tena nimekujwa uji mwekundu tangu nipo tumboni ila ikifika swala la mtanzania mwenzangu kufanyiwa vibaya naumia yan haijalish team gn uzalendo kwanza na wasiombe niwe rahis mbona nitatolewa akili ila ao makolo wote wangenikoma kwa njia yyte ile
@ShekhMufyd-mn9znАй бұрын
Wawape simba Point 3 waungie makundi bila kupingwa iwe fundisho kwa wengine
@VemamEllyАй бұрын
Sisi kama CAF tunawapa moyo madunduka😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@maase2023Ай бұрын
Fujo gani wafanyiwe? Hao simba nd89 zao kudanganya siku zote wakienda arabuni tu kusingizia hayo ya kufanyiwa fujo! Caf msipoteze muda wenu kwa ujinga huo
@thehustlerafrica4368Ай бұрын
Last born wa Caf ,Simba
@NapeDkiliaАй бұрын
Nimesoma coment nyingi nimekumbuka kauli ya mzee Magufuli alisema watanzania nani katuloga.. uchunguzi unaweza kukamilika wakaonekana wako na makosa zaidi ni faini au kuzuia mashabiki. Kuingia uwanjani. Asa sisi huku eti simba ndio kila kitu cuf dooh
Tukiwaambia Simba ni kiziwanda wa CAF hamwelewi sasa mtaelewa😂
@MohamedBakari-gw9idАй бұрын
Yanga ndio mdudu gn ww
@yuwenmwashitete2932Ай бұрын
Atuludishie goliletu
@InezamethodebrightonАй бұрын
Uchunguzi gan ten wakati nikitu kiko dirct afrik bhana kila kitu ni uchunguzi😂😂😂😂😂
@HamisMussa-j5kАй бұрын
Laxima iwe hvyo maana yanga ilimihaibisha
@yosefamlumbe7044Ай бұрын
Hujui mambo ya Sheria lazima ukitaka kumhukum mtuhumiwa Kazima afanyiwe uchungiz na vyombo kutoka ofic za Shelia then zipeleke ushahidi baada ya ushahid kukamilika wao ndio huamua wakupi pigo la aina Gani wakufungia kucheza Au wakucrashi kabisa huruhusiwi kujihusisha na michezo popote ulimwenguni Au laa
@josephsisa8139Ай бұрын
So bad action
@HamisMussa-j5kАй бұрын
Kwa nn asingefanya uchunguzi kwenye goli lililokatiliwa baina ya yanga na mamelodi hao wamefanya hivyo ni hasira baada ya kunyimwa penut
@NtamamiloGibsonАй бұрын
Yanga ndio kifaa gani hicho, Mimi sikielewi kiko kwenye mkokoteni au treka😂😂😂
@Mwinyi-xo7jtАй бұрын
Yanga ndio k2 gani Dunia
@IbniAbbas-yz3ktАй бұрын
Wamenyimwa penalty gani!?😮hivi nyie wengine mpira mnaujua au mashabiki maandazi!