BREAKING: TRUMP NA ELON MUSK WAUNGANA KUMALIZA VITA, URUSI ITAICHULKUA ARDHI YOTE YA UKRAINE

  Рет қаралды 14,870

HABARI 24

HABARI 24

Күн бұрын

Ukraine imesema leo kuwa imepokea miili ya wanajeshi 563 kutoka kwa mamlaka ya Urusi, wengi ikiwa ya wanajeshi waliouawa katika mapigano katika eneo la mashariki la Donetsk.
Katika taarifa iliyochapishwa kwenye mitandao ya kijamii, makao makuu ya uratibu wa matibabu ya wafungwa wa kivita, ilithibitisha ripoti hiyo ya Ukraine.
If you find any error in material provided please take a minute to tell us about it. We will resolve it at the earliest.
COPYRIGHT VIOLATION
For Copyright Issues: We try our best to verify the ownership of content with the contributor. If you think your material is wrongly used, or if its a violation of copyright.

Пікірлер: 18
@JosephAlakonya
@JosephAlakonya 4 күн бұрын
Andika kichwa Cha habari vizuri
@Josephmatiko-y9b
@Josephmatiko-y9b Күн бұрын
Dw, kwendeni huko? Na taarifa zenu za uongo
@hamisiziota1590
@hamisiziota1590 4 күн бұрын
🎉
@MnyepeSelemani
@MnyepeSelemani 2 күн бұрын
😢😢
@raymondmushi9019
@raymondmushi9019 14 сағат бұрын
Ally inawezekana uko sahihi katika comenti yako.
@allysimu6856
@allysimu6856 4 күн бұрын
Vita vitakwisha lakini mwisho wa vita ndo mwanzo wa mipingo mingine ya vita lasmi kati ya NATO na Russia itakuwaivi watapendekeza Ukraine ikubali kupoteza maeneo yaliyochukuliwa na Russia lakini watamuunga lasmi na NATO iliwayachukue maeneoyake Tena akiwa ni mwachama rasmi wa NATO kwaiyo upatanishaji ndaniyake uunamitego
@imamushafiiforgoodislamict5420
@imamushafiiforgoodislamict5420 3 күн бұрын
Hapana hilo halitokei, coz NATO na mataifa ya ulaya wanaiogopa sana urusi kijeshi, kama urusi ingelikua ni nchi dhaifu t na yakawaida sasahiv NATO wangelikua wameshaingia jumlajumla, lakin wenyewe wanaijua Rashia, umoja wa ulaya walizania vikwazo ndio silaa pekee ya kuingamiza urusi na sio vita, lakin bahat mbaya vikwazo vimewarudia wenyewe, maana wanajua kwavita hawawez kushinda hata kwann coz haiwezekan kuishinda nchi inayoongoza kwa kumiliki mabomu mengi ya nyukria, usione vita vipo mwaka wa pili utusi yupo kama mjinga vile kunakikundi hapo kinasubiriwa kiingie jumla jumla ndipo urusi akiwashe na aionyeshe dunia kua yeye ni nan, lakin kikundi chenyewe nacho kinaogopa kuivamia urusi nakama hawaogop basi siwajaribu t kumuingiza huyo Ukreni huko NATO alafu waone au waingie waivamie urusi kama walivyozifanya nchi dhaif akina LIBYA, IRAQI SYRIA, n.k, nakama wakijifanya kujizima data NATO na marekan yao wakaivamia urusi iwe kinyukria au vyovyote vile, wenyewe wanajua kua urusi sawa itadhurika lakin pia na wao nchi zao zitakua hakuna kiumbe kitakacho baki, maana kunausemi unasema hakuna mshindi ktk vita vya nyukria, nawazungu wanapenda kuishi ili wale raha za dunia, hakuna aliye teyar kuivamia urusi ili mwisho wa maisha ya dunia ufike, dunia iangamie kwa nyukria na wazungu wakose kujivinjar kula maisha, ukitaka kuliamin hilo Zelenaki kila siku anaomba aruhusiwe kwasilaha alizopewa za masafa marefu aushambulie mji mkuu wa urusi mosko lakin hao akina NATO ndio wanaomkataza wanamwambia mmmmh kijana sisi hatutaki na ukijaribu hilo lako sisi hatupo, ndio maana hata tramp anasema hakua nchi yaishinda urusi kijeshi zaidi ya kupoteza muda t na kungamiza pesa zetu bure, kwahiyo hakuna nchi wala kikundi kitakacho jaribu wala kuwaza kuivamia urusi kiujumla, unaweza ukasema mbn ukrein kaivamia krusk nchin urusi ? nakujibu kua miji ming ya urusi ipo shwari na wala hawajuw kama wamevamiwa pia urusi hanawasiwasi na krusk anajua ataikomboa t ndio maana hatumii nguvu kubwa kuiwaza kursk, ukitaka kuliamini hilo hakuna wanajesh hatakidogo waliotoka Donbas kuja kursk kutia nguvu lakin pia kwaakili ya kawaida t kama urusi akiamua kabisa kuwatoa wale wavamiz pale kurusk hata mwezi haufiki ila kupitia kurski urusi amegundua vitu ving sana, kagundua kua kumbe mataifa ya magharib wanamamluk walioingia kuivamia rasia maan kakamata vitambulivyo vya wanajeshi kutoka ufaransa, marekan, uingereza n.k, ndio maana kabadilisha doti za zake za nyukria na pia ndio maana nayeye kayakubal majesh ya korea kaskazin yaje,
@salehkhamis-ob8ln
@salehkhamis-ob8ln 3 күн бұрын
Hilo haliwezi tokea hususan chama cha trump hawataki vita. Trump ni mfanya biashara na nitajiri mkubwa . Na matajiri wote duniani hawapendi maswala ya vita wanajua uchumi wa dunia utashuka na kuathiri biashara zao
@DavidSikira
@DavidSikira 2 сағат бұрын
​@@imamushafiiforgoodislamict5420uko sahihi kabisa
@deborahmsuyah5345
@deborahmsuyah5345 2 күн бұрын
God they dont like everything bad
@harithimahmoud1577
@harithimahmoud1577 2 күн бұрын
DAH HUYO JAMAA NI MNAFKI KWELIKWELI YANI
@amonezekiel4893
@amonezekiel4893 4 күн бұрын
Putin kiboko na hawezi kukubari ukraini ijiunge na nato,
@MnyepeSelemani
@MnyepeSelemani 2 күн бұрын
😢M😢
@isaacorengo1404
@isaacorengo1404 3 күн бұрын
Kumbe hata ninyi ni wahongo😂
@PamelaGodfrey-q9b
@PamelaGodfrey-q9b 3 күн бұрын
Jamani watu wa Mungu someni biblia iko wazi kabisa kwa sasa kuliko siku zote
@salumomar5234
@salumomar5234 3 күн бұрын
Mbona unafurahia mauwaji ya palestina halafu unahubiri amani
@JacobernestMlula
@JacobernestMlula 3 күн бұрын
Panaaza kupendeza
@HarunaShabani-hy8mx
@HarunaShabani-hy8mx 3 күн бұрын
haooooooo Putin na trampu ni baba mmoja
🎙️ RSF'24: Episode 1: "The UN in a Fractured World: Relevance, Reform, and Resilience" #RSF2024
45:11
Latvian Institute of International Affairs | Latvijas Ārpolitikas institūts
Рет қаралды 10 М.
ROSÉ & Bruno Mars - APT. (Official Music Video)
02:54
ROSÉ
Рет қаралды 328 МЛН
Car Bubble vs Lamborghini
00:33
Stokes Twins
Рет қаралды 40 МЛН
GWAJIMA MASHOGA WATAKIONA CHA MOTO BAADA YA TRAMP KUWA RAISI
9:28
Mpalla Updates
Рет қаралды 10 М.
URUSI:KUNA NCHI  ZA EU NA NATO ZINATUCHOKOZA|TUTAZIKABILI KWA MOTO
4:01
MSAIDIZI WA NETANYAHU AKAMATWA BAADA YA UCHUNGUZI,AVUJISHA SIRI
5:02
ROSÉ & Bruno Mars - APT. (Official Music Video)
02:54
ROSÉ
Рет қаралды 328 МЛН