🇹🇿me naomba Mungu aziwekee vikwazo nchi zote zinazo sapoti ushoga
@festinamwakipale391923 күн бұрын
Askofu gwajima Mungu amewakata mabawa.marekani
@kharidkinono24902 ай бұрын
Asante sanaaa Mungu Kwa ajili ya Mtumishi wako ameniinua Tena
@loycep778521 күн бұрын
Amina mtumishi barikiwa sana waambie watu wapone
@ImanLuzaria17 күн бұрын
Gombea uraisi bishop gwajima
@IpyanaPartsonmwakasungula2 ай бұрын
Amina ubarikiwe sanaa kwa injili hii nakusikiliza nikiwa ipinda kyela mkoa mbeya
@JAMESMORICE-bf8pb2 ай бұрын
That's why you're may God be with you keep going postor
@GoimNikodem2 ай бұрын
Nakukubali sana mtumishi wa Mungu uliyebaki kama akiba na hazina ya taiga la tanzania
@ImanLuzaria17 күн бұрын
Hama ccm hamia Chadema
@GenerosaKinemo2 ай бұрын
Amina Mungu akubariki. Natamani uwe rais wa Tanzania
@KeddyMnagamba12 күн бұрын
Sasa Gwajima unasubiri nini kuwa raisi, mbona kura zako zipo nyingi tuu🤔🤔🤔🤔🤔🤔
@everlineeverlinewamalwa2432 ай бұрын
Asante man of God, ushoga hatumutaki kwa inchi yetu, oooh mungu ingilia kati huyu zakayo ameharibu watoto wetu kizazi chetu
@MatronaThomas-wz5si2 ай бұрын
Gwajima hongera❤❤❤
@PatrickMashallah-n1w2 ай бұрын
Barikiwa ❤
@rodrickkimaro-fb5tn2 ай бұрын
Ongera baba mchungaji naeshimu ilo ameni
@AnethMushi-c3e2 ай бұрын
Asante Mungu!Hamna Cha kumumunya et wakubwa Kwa wakubwa na wadogo Kwa wadogo !!
@JeanettekebeanifaАй бұрын
Amene baba nashukuru Kwa neno lauzima
@angle360018 күн бұрын
Baadhi ya wafrica wanawabudu wazungu,, mzungu chochote atakacho kifanya hata kiwe kibovu kwao hawawezi kupinga ama kukataa,,wanamuabudu zaidi ya Mungu
@christinewomanoffaith54792 ай бұрын
It makes sense 🤔 Yes ht TBJoshua alishawahi kusema hii kuhusu Africa kuja kuwa giant revival kwenda huko Kwa wenzetu
@elnorahmjomb18962 ай бұрын
I tell you man of God,you bless my heart
@Mari89wx2 ай бұрын
God forbid. Jina la yesu litatawala ktk nchi za African. Africa imeifadhiwa na Mungu.that is powerful Bishop🔥🔥🔥
@mohamedwaziri-fl3re2 ай бұрын
Gwajima,mung akutie nguvu kwenye kulipambania hili,maana ushoga ni dhambi kubwa xnaa,Zaid pambania maisha ya watoto wetu wa badae wasije wakafika huko
@florencemuganda60052 ай бұрын
Stay in scripture. Some Biblia na umombe Mungu mara mbili kwa siku, kila siku. Mwambie Yesu akusaidie atakusaidia
@MfarisayoMfarisayo2 ай бұрын
The best President Donald Trump
@remmyalfred67362 ай бұрын
⛪🇹🇿 HEKIMA YA JUU SANA
@JamesJumanne-h5c2 ай бұрын
Ameen kubwaaa baba
@EsterAngolwisye2 ай бұрын
Amina Mtumishi wa Mungu barikiwa na Mungu
@sarahsamsoncsermak42492 ай бұрын
Baba Mungu atusaidie. Aminaaa
@josephatfedrick6932 ай бұрын
Strong 💪 message
@IsraelietBukombe2 ай бұрын
Ameen
@NyandwiAran2 ай бұрын
Gwajima mungu akurinde weyenjorico rafurika
@emmanuelpeter67422 ай бұрын
Noted with thanks, Yehova awe nawe Mtumishi wa Bwana
@re.emmanuelmdoe334515 күн бұрын
🗝️🕎🤝
@peninauae23092 ай бұрын
Ameen lini mungu atainua huyu mjungaji awe kiongozi wa Tz
@eliasbonda98022 ай бұрын
Kwan saiz ni kiongoz wa Togo? Huyu ni mtunga Sheria wa nch,
@christinewomanoffaith54792 ай бұрын
@@eliasbonda9802😂eti togo
@eliasbonda98022 ай бұрын
@@christinewomanoffaith5479 😂😂
@AngelAfric2 ай бұрын
Miaka mingi sana Sijui kwanini huwa nataman gwajima aje kuwa rais ❤, sjui lakin Mungu ndo anauejua atakayetufaa
@MaikoRashku2 ай бұрын
@@AngelAfric hivi unazani Kila unayempenda anafaa kuwa Rais wa nchi ?
@HappyBernard-ni7zg2 ай бұрын
Uyu ndie rais ajae Tanzania utaukumbuka ujumbe huu
@MobileMzalendo2 ай бұрын
Tujuze
@GEOFREYJOSIAH-c6q2 ай бұрын
amina san
@shanimanga55192 ай бұрын
Amina mtumishi Mungu akubariki sana
@peacemwesiga2 ай бұрын
Ameeeen
@Ismail-v5t2 ай бұрын
Mukome waisilamu si watoto wa mungu sisi bali ni waja ma mwenyezimungu sisi tumezaliwa na binaadam mwenyezimungu si mtu kama sisi
@fabianmkimbu88015 күн бұрын
Pole Kwa kutojitambua
@rhodapilla79512 ай бұрын
Wakae na misaada yao ya kishetani NEEMA YA MUNGU YATUTOSHA
@sandalakabalo54422 ай бұрын
Mchugaji gwajima 🎉🎉🎉🎉
@Juyo562 ай бұрын
Yeeeees man of God
@FrenkAshell-gj4jw2 ай бұрын
Yani woteApo Amujuikusoma bibulia tulapo kulidi kwenyemadalaka amujui kuwa unabii wandanyeri unakamilika tulapo uyo ameamuwa kuziilisha kabisa eti awandanganya kutumia bibulia wati yy shitani kabisa uyo nialama ya munyama abaye ni chui
@ezelinadavidmwampaja18042 ай бұрын
Ni upumbavu ushetani mungu Atusaidie
@paulinamwatwinza2 ай бұрын
Amina
@KM-hx8zy2 ай бұрын
Amen!
@kanezajoella66632 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@ZiggysebahZiggysebah2 ай бұрын
Asante Yesu kwa kumleta Trump ambaye analogue ya Mungu
@ZiggysebahZiggysebah2 ай бұрын
Ana hofu ya Mungu
@tinnahagustinolyelu42472 ай бұрын
Trump Hana mchezo kabisa anapinga ushoga vikali
@festinamwakipale39192 ай бұрын
Hakuna biblia inasema kuna baraka.ya dunia nimesoma.aya.nyingi zinasema heri Taifa ambalo Mungu ni Mungu wao wache wamarekani wabaki na shetani na hela ss africa tutabaki.na watu kuna kitu Mungu atakifanya.Africa wazungu watashangaa
@mohamedsaidalhabsi78622 ай бұрын
Kwani nyinyi mabishop hamuwezi kuzuia mashoga hadi marekani iseme msitegemee misaada kwa wamarekani hata tramp wanaweza kuwaletea mashoga kwa njia nyingine kama mtaendelea kutegemea misaada aridh mnayao mali mnazo kwanini misaada mkaekusubiri misaada
@alwiyiynmission28202 ай бұрын
UKOLONI BADO UPO AFRIKA!!
@KeddyMnagamba12 күн бұрын
Sema wewe, maana nikisema naonekana sina cha kuongoea
@magdalinewanjira7072 ай бұрын
Amen
@Rose-l1f7y2 ай бұрын
Amen 🙏🙏
@sundaystanley53222 ай бұрын
Gwajima,unajua kufundisha
@EstherLugha-hr3be2 ай бұрын
Amina baba
@petromagobonza40252 ай бұрын
True
@HusseinNgome2 ай бұрын
Emeen
@victormbaga57722 ай бұрын
Mwakani chukua form ya uraisi .tumechoka kuburutwa na wanaofikiria kupitia uti wa mgongo .
@joachimisack58342 ай бұрын
True Gwaji BOY
@PastorMsigala2 ай бұрын
Gwajima siyo mjinga ila si kila AKILI inaweza kumwelewa
@jamesedward10442 ай бұрын
tufanye jambo litakalo komesha ubadhirifu
@uzimameditv81482 ай бұрын
Yaani hapo unasema Raisi ambaye hajaokoka unakosea ni sawa vile ulivyosema nani alijua kama angekuwa Raisi lakini ukweli alikuwa ameokoka kuliko wewe.
@precioussao70652 ай бұрын
Kubali Sana mchungaji ubalikiwe
@re.emmanuelmdoe334515 күн бұрын
Nimeamka nasonga mbele Kwa Jina la Yesu wa Nazareth Haleluyaaaa🎉 Isaya 7:14
@LeahMgunda-l8c2 ай бұрын
Askofu nisaidie,unavyosikia Mwakyembe anayazungumza yapo katika jamii yetu yamezuka tu?
@tinnahagustinolyelu42472 ай бұрын
Kabisa umeongea pointi kabisa
@gracekisaka84612 ай бұрын
LULA..narejea somo lako la miaka ya nyuma...Mkuu wa anga la nchi ndiye anayesshikilia maamuzi ya nchi prince.... Ashindwe kwa Jina la Yesu
@LajohnMwalongoКүн бұрын
Sasa, inshu ya mashoga imeanzia USA!!? Ilianza toka Sodama & Gomorrah hiyo ni spirit, Africa pia kuna mazambi kibao Shetani kashika Dunia usiwazunhumzia USA alafu sio wote Wamarekani wanakubali ushoga
@christinewomanoffaith54792 ай бұрын
Km ss kanisa lilivyoomba duniani bila kujali dhehebu mpk Trump kashinda
@Rev-r2u2 ай бұрын
Indeed you are prophet
@ladislausmoris96382 ай бұрын
Huwa unamaneno ya busara ck mija gombea nafas kubwa uokoe jahazi hatuna wakutusaidia
@EmmanuelKamaka2 ай бұрын
Unamaono siobure unajielewa
@AgnesKalinga-if3uf2 ай бұрын
Mpango wa Mungu watu wote wamtumikie yeye
@uzimameditv81482 ай бұрын
Mbona ulisema nani alijua kama angekuwa Raisi
@HoseaMyovela-wg1kf2 ай бұрын
moyo wangu ua unaisi uyu ni laisi ajae na kama asipo kuwa basi kuna watu watakuwa wanakalia viti visivyo wahusu ndomana wanabolonga
@LushidulaJidamawi2 ай бұрын
Mbona hata dini zemesafiriswa
@olivernyange23492 ай бұрын
Askof si ugombee urais hii nchi inahitaji mtu km wewe
@MaikoRashku2 ай бұрын
Hivi gwajima utakuwa mjinga mpaka lini ?. Kama auna vya kuongea kwa Nini usikae kimya ?.