This message ni yangu, without God Mercy in my life mimi sina Kitu. Kama Si God Mercy, I could be dead and forgotten .God mercy, imenifanya niwe another creature 🙏. Kama nivile niko mzuri or Alta za kwetu I can stand before God . God mercy imefanya niwe hivi .This kind of teaching huwa na ichukua na uzito sana. Kwa sababu mimi, it is not my effort but God mercy and Grace imefanya niwewe hivi. Mimi, what I eat, where I work the country niko saa hii, it God mercy. I pray for more God mercy in my life.