Naomba Serikali iongeze ushirikiano wa kutosha na Sheria hii ya Ubakaji na Ulawiti kwa watoto isimamiwe ipasavyo maana matukio yanazidi kuongezeka siku hadi siku, na watu wanashindwa kutoa taarifa kwani wahalifu hawa wanaachiliwa huru na kuhatarisha maisha ya watoa taarifa na wahudumu wanaoibua na kusimamia Mashauri ya kesi za watoto katika jamii
@wanderaothumani49193 жыл бұрын
God bless Tanzania
@susananyasani65263 жыл бұрын
Sheria ya ubakaji uko kila mahali katika Dunia nzima lakini Nchi za maendeleo Watoto wanafundischwa Shuleni namna ya kujikinga na hili janga la ukatili ubakaji lakini pia ni janga la Umaskini katika Familia
@JohnJuma3 жыл бұрын
Yaani hawa watu wamekataa kuvaa mask? Nyinyi mtakuja kufa kaa nzige
@ginnimoreno62393 жыл бұрын
Uko kwen Kenya mbona kila siku mnaongeza lock down na mnavaa mask naskia icu pia imezidiwa na bado mnavaa mask
@JohnJuma3 жыл бұрын
@@ginnimoreno6239 Mimi si mkenya wala sipafahamu huko.
@ginnimoreno62393 жыл бұрын
@@JohnJuma hata kama si mkenya point yang utakuwa umeipata nchi zte wanavaa mask na bado watu wanadanchi