HOUSE GIRL FANS WHATSAPP chat.whatsapp.com/CssprKjGJcP3Xcwj3Jlusl
@mercywafula122119 күн бұрын
Wow
@mercywafula122119 күн бұрын
From 🇰🇪
@Amal-iq1wg19 күн бұрын
From JED
@happinessjuma17718 күн бұрын
Safi sana kazi nzuri
@modestazaver18 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@FATMARAHMARahma19 күн бұрын
Wanao ona maman kendy na bibi niwatu muhimu sana kwenye team zuu gongeni like hapa
@ABIGAIL67-tria19 күн бұрын
Alipata Long time ago already
@lucyrif-np8ik18 күн бұрын
Mm wa kwanza hapa🎉🎉🎉🎉🎉
@isabellahchuma19 күн бұрын
Nilikuwa naingoja imagine hadi sai😅🎉🎉mnipee like hata moja sijai omba😅
@user-pt6nl5vt2g18 күн бұрын
Ulisema lazima uone wa kwaza
@isabellahchuma18 күн бұрын
@@user-pt6nl5vt2g kabisaa 😂😘😍
@aishaomar228719 күн бұрын
Ila busatiiii umenipa moyo wa subira ila busatiiii nitashindwa vumilia 😢 # busati tv mpo vizuri 🎉🎉🎉🎉 👍
@busatitv19 күн бұрын
Asante sana
@SunGod-i4b18 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉
@sumayyahmanyasi45319 күн бұрын
Ila sania kama kaamua kubadilika abadilishe na mavazi kidog ❤❤❤
@Rizikialiamechannel76319 күн бұрын
Kweli macho yngu daaa nyie ctaki kusikia mm wa mwanzo weken like za kutosha kma uko macho 😂😂😂 from Oman 🇴🇲
@user-oj5sb8dk1m18 күн бұрын
Wana omani oyeeeeee me npo
@JanethMasima18 күн бұрын
Jamani naomba watoe haraka movie hii haraka wanatukosha??????😢🤗🤔
@mapesaomary-ip3vf19 күн бұрын
Wengine zam yenu ni kesho mungu akipenda tulio kubali kuwa macho ndio tumewai
@user-jl8kp7gu7x19 күн бұрын
Wakwanza Leo Ni peni like nzangu from USA Leo ❤❤❤❤
@PeninaQueen19 күн бұрын
😊jamani mimi Sipend ihi movie Ihishe mapema nani mwengin anakubaliana na mimi❤❤👍
@user-ky7jn3xq9g18 күн бұрын
Kwani umelazimishwa kuangalia kwenda zako
@fatumabakari264018 күн бұрын
Ulitumwa kuangalia
@JanethMasima18 күн бұрын
@@user-ky7jn3xq9gvp uko poa umeipenda hiyo❤❤😍😍😘
@JanethMasima18 күн бұрын
Me nakubaliana na wew🤝🤝👍
@user-ky7jn3xq9g18 күн бұрын
@@JanethMasima kwani ulitumwa
@susana764519 күн бұрын
Team strong number one mnipe like
@Husna-dj1zq18 күн бұрын
Mambo
@zainabzwena315616 күн бұрын
Sisi ndo tuko usijali❤❤❤😊
@Husna-dj1zq16 күн бұрын
@@zainabzwena3156 mamb upo Omani mi nipo Iraqi
@OmbeniShendwaDaniel19 күн бұрын
Leo wa kwanza toka Africa kisini nipeni basi hata likes 10 tuu
@JoyceAndrea-yt1vg18 күн бұрын
Zimeisha
@UmmyZakiah18 күн бұрын
kumbe ni afrika kisini 😂😂mm nikajua ni afrika kusini😂😂😂
@tumafreedom6kenya37519 күн бұрын
Nipeni like hebu sije nikapiga teke mfuko kama zuu halafu nikimbie Kwa kai 😊
@StevenMatimba19 күн бұрын
Mi WA kwanza jomon like Zang mhimu sana
@mohamedlopa841019 күн бұрын
Kama unahiman babake kai ata msamehe mwanae gonga like zakutosha,,, 😂😂😂❤❤❤😂😂😂l
@mohamedlopa841019 күн бұрын
😂
@SunGod-i4b18 күн бұрын
😂😂🎉🎉
@JanethMasima18 күн бұрын
@@mohamedlopa8410❤❤❤❤❤
@JanethMasima18 күн бұрын
@@mohamedlopa8410❤❤❤
@JanethMasima18 күн бұрын
❤❤❤❤ I like😍😍
@estherezzy13619 күн бұрын
Candy candy candy 😢😢😢 kuwanahofu yamungu hata kidogo tu hatakama nimaigizo ila daaa sikwahalihiyo 😢😢
@adelinaomani901218 күн бұрын
Candy nadhani ni katabia a ako na dharau anazo
@NasraKingazi18 күн бұрын
Inamaaana kosa la kubakwa nila mama au mbakaji jaman kina mama tunaonea kama naww unaungana namm gonga like
@MawazoJustin-fw2ws19 күн бұрын
Wakwanza jamani nahomba like zangu namimi
@user-mb8nc4oh2j19 күн бұрын
Jaman dunia ina mengi kwl kumb kuna watoto wanao fany wazazi wao ivo
@fammamourchy216418 күн бұрын
Leo mnipe like jameni hâta 10 Tunafika mwisho wa lala salama weeeeeh
@JosephOchieng-hj7fg18 күн бұрын
Eeeee
@JanethMasima18 күн бұрын
❤❤ jamaa Yuko vizuri mpen like zenu.
@zeynab761719 күн бұрын
Jamani ni Mimi tu nayimwa like ama tupo wengi😢
@lavenderokunani19 күн бұрын
Kwanza jamani like zenu sije mkipita
@Zainabu-xn3vd19 күн бұрын
waaaah hyu ss anambia mzazi hivo ghaiii!!!! hayo yasinikute Mungu wangu anyway nipe likes msisahau ep 40 mapema please ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@Precious-j3l19 күн бұрын
Nimekaa kwanz Leo naomba like
@AkimanaVely-gq9cu19 күн бұрын
Watatu leo jomn like kwangu
@KhamisJuma-ni1vk19 күн бұрын
Big Up Mother Kendi Wewe Unabaya Na Mtu Ongera Kwa Ushujaa Wako... Shania Ongera Sanna Achatu Subiri Arusi Zenu Na Mimi Nataka Zichanganywe Pamoja Liwe Bongela Arusi ❤❤❤❤❤❤
@user-sx6zw1pr1w19 күн бұрын
Candy candy candy nimekuita mara ngapi mama ni mama hata iwe nn utakuja jiuta maishani huu ni mwanzo team Zuu twangoja harusi 😍😍💪💪💪💪
@annayambayamba861419 күн бұрын
Watu Qmllali kwelki Busati tv Mnajuwa kutufurahisha kweli sisi mafansi. Wenu Asanteni sana mim nishaabikieenu kutokea swiden Nawapeenda saan❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@busatitv19 күн бұрын
❤❤❤🥰🥰🥰
@SunGod-i4b18 күн бұрын
❤❤❤🎉🎉🎉
@Marlenapilikitsao-gk9je19 күн бұрын
Pole mama umetoa cri nzito mayoni wako .ndosabani kendi akaamua kukukataa jeiungeitoa mbimba hugeyapitia Haya polle sn❤❤❤❤❤❤❤ kend analana ataidhia kutafuna manyasi 😭😭😭😭😭
Nime mskia kocha aki elekeza. Sijapenda. 😅😅 na. kendi. Ni mtoto wawa baba wa 6. 😂😂😂😂😂
@user-gv7to8is6y19 күн бұрын
Hii movie mbon naipenda jamani
@AyshaSalumu19 күн бұрын
Kichwani bibi cheupe akuna ata nywele nyeusi 😂😂😂
@MwanalimaAbdallahkea19 күн бұрын
Sijachelewa sana naomba like 🎉🎉❤
@merinazyd053218 күн бұрын
Nimemuelewa rafiki yake kai hana mpango na Sania ila tu ana taka afanikishe mambo ya rafiki yake kai umepata rafiki Aiseeey
@Saada-g4j18 күн бұрын
Sana ni wachache
@rosemarenga83218 күн бұрын
Hongeren San Kwa Kaz nzur🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@EviathaEdistedius19 күн бұрын
Jmn nmechelew kdg nlienda kununua vochaaaa
@angelmauja184619 күн бұрын
Saa nane kamili ,mlijua tumelala alooooo
@tabithakamau748419 күн бұрын
Wa kwaza nipeeni zangu❤❤❤❤
@Asma-hn1jk18 күн бұрын
Candy anaonyesh tu nimtu wa dharau mbali n ugizaji 😢😢 team kai tujuan ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@SidathMauricio17 күн бұрын
Kama munahamini wamsumbiji wapo pamoja najiji weka like yako apo.🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@busatitv17 күн бұрын
🙏🙏🙏
@musomahomeland-ry9uo19 күн бұрын
Am the first ❤ & appreciate U guys big up Something to note We need moooo
@user-pp3vo8rw5j18 күн бұрын
Kai kimbia nyumbani zuu anakutafuta huko ❤❤❤❤❤😂na amekimbia mbio nyingi nawakubali sana nyie watu
@user-gg9wi7oi8h13 күн бұрын
Dah malaika mzuri jaman🎉
@user-zd2ij3de8u19 күн бұрын
Tunasubiria 40 fanyeni haraka basi ❤
@user-pp3vo8rw5j18 күн бұрын
❤❤❤❤hii yaleo naiona kama tela picha lenyewe ni part 40 🎉🎉😂😂😂😂kai zuu kakimbilia kwako
@EmmyNassor88519 күн бұрын
Alloooo i 🇧🇮 ♥️ ❤️ 💖 😍 🇹🇿
@NasraKingazi18 күн бұрын
Leo nimechelewa jaman ila hivyo hivyo sio mbaya ila jaman mwanamke kama huyu cand tumueke kund gani mama azalilishw jmn
@MalaikaBrighton18 күн бұрын
Aise kaka kai weee na zuuuu nawakubari sana move nzuri mwaaa😍😍😍😍😍😍😍😍😍
@UniceMsomi18 күн бұрын
Ivi hii move nyiee mnailewa Kwan jaman 😢wanatuwekea matukio Yanajirudia kila mala dah😢😢
@linnahmshama18 күн бұрын
Sijapenda kt kimoja apa kai na mwezie yan mnakaz zur atakama kai kapoteza kazi ila alikuwa na kazi mwazo na mnanyumba zuri yan niseme washua natembeaje na miguuu asa na izo sut na wakuchoma àaaaaaaa sijapenda 🙈