Ngoma ndio inazidi kua tamu yani hapa nime subscribe pia nime turn on notification mkiweka tu nipo. Jmani Like za kutosha🎉🎉🎉🎉
@henrymwakajumba6 ай бұрын
Nakweli hapa mambo yana noga si mchezo zijazo zamotot sana
@AluluYankami-cc7xt6 ай бұрын
Fanyin kwel EP ya 10
@HamicyAthuman6 ай бұрын
Shimo la Jirani ni zuri alafu laini hako kamsamiati nimekaelewa
@AyshaTt-zp7yu6 ай бұрын
😅😅😅😅😅
@EdgarZawadi-dz4fn5 ай бұрын
@@henrymwakajumbasamaaan director hii movie mazingira ni ya moshi nimeyapendaa❤❤❤❤
@BarakaIssa-m5s6 ай бұрын
Jamani mimi mgeni kuomba like bas hata moja tu inatosha
@jasminselemani626 ай бұрын
unaipeleka wapi ???
@NasilaStylish5 ай бұрын
Jamani olivia anakipaji jaman yani anaonesha uhalisia kwanzia vitendo mpaka maneno yan mpaka laha yani utazan ni babaake kweli🥰🥰
@DimitrusWembo4 ай бұрын
Kabisa ndugu
@LissaAlly7 күн бұрын
Jamani mimi mgeni naomba like atamoja
@soumah_bajaji_body_disegner6 ай бұрын
waungwana ote tunao uelewa uepo wa gabo katika filamu tz tu juane apa😂😂
@Emmykamba6 ай бұрын
Olivia, fundiiii,, ❤
@ArafatiRamadhani-i6f6 ай бұрын
Hapaaaa nipo
@selemaniseed6 ай бұрын
GABO na KANUMBA ndio waigizaji nnaowatambua Tanzania miaka 60 ya uhuru..🇹🇿🙌🏼
@aishaomar22876 ай бұрын
Ila kwenye hio sherehe ndugu huyo mama mmemuona alivyoivaa miwani😂😂😂 🙌
@HunterBribol24 күн бұрын
Zigamba vip mzee
@ShafilSeif25 күн бұрын
Ni bonge la move linazidi kuwa tamu ila hivi vijitangazo vinaniboa bwana
@FATHMA-ef5zg6 ай бұрын
Mwalimu sio kwa kudeka huko mbele ya baba olivia nawapenda kiukweli😍♥️💝
@henrymwakajumba6 ай бұрын
❤️❤️❤️❤️
@AugustinoNgereja4 ай бұрын
Likes kwa Olivia jamani ananifurahisha sana huyu mtoto😂😂😂😂
@chrstopher45986 ай бұрын
Olivia Mungu akupe maisha marefu unakitu kikubwa🫶🫶🫶🫶🫶🫶🫶🤣
@BrightKikungwe5 ай бұрын
jamn mimi ni mgeni ila sio sana naombeni hata like moja tuui
@marialumbanga6 ай бұрын
Nampenda olivia na mama jemes 😅😅😅😅
@PrinceAmos-y8t6 ай бұрын
Movie nzuri sana leo nimewah namimi like kwangu🎉🎉🎉❤❤😂😢😮😅😊
@Magrethw-xp4ru6 ай бұрын
Ha😂😂😂😂😂😂 goba umetishaaa na shuka umechukua ya mwalimu wowoowow😂🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪
@NaziaMudi6 ай бұрын
Nizuri ila mnatupa wakati mgumu wakusubiria wiki nzima jamani tupeni ata kwa wiki malambili ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@ZainabSalum-tv2mu6 ай бұрын
Umeona eee bora wangekua wanatoa Kila baada ya siku kadhaa au Kila siku
@nguyamtwartz54136 ай бұрын
Ka Olivia kameunganisha waya kaona baba atachelewa😂😂
@AsifiweJoseph6 ай бұрын
😂😂😂😂
@CharityMutheu-s2q6 ай бұрын
Umeona eeeee😂😂😂😂
@TahilaRamadhan-hz3pd6 ай бұрын
Kwakweli🎉🎉
@TahilaRamadhan-hz3pd6 ай бұрын
Kwakweli🎉🎉
@scolarymahenge98676 ай бұрын
kamsaidia kabisa
@Hms-l1f6 ай бұрын
Jamani kwahio tuzo zimepita ama maana hii inahitaji tuzo kiukweli ❤️🥰🥰🙏🙏
@henrymwakajumba6 ай бұрын
❤️❤️❤️❤️❤️
@vumiliarichard93475 ай бұрын
@@henrymwakajumbaepisode ya 10 inatok Lin jamn au mm ndo siioni
@ALIMOHD-bk9lr6 ай бұрын
Mie na mwalimu tuu kiukweli. Shukriya Gabo kiukweli huyo mwalimu Bora basi tuuuuu
@MSWAKIMSWAKI6 ай бұрын
Bora mwaya Olivia ulivyo mwambia baba maana mwalimu wawatu kila anavyojitahidi baba anajifanya haoni 😄..kama unamjua mtaje 😜
@bettykihwele77136 ай бұрын
Baba Olivia ,filamu yenye uhalisia kabisa wa maisha ya Africa .
@henrymwakajumba6 ай бұрын
❤️❤️❤️❤️
@almaarifonlinetv6 ай бұрын
Gabo huyu mtoto Oliva usimuache. Kijana ana confident na uwezo mkubwa sana. Mtoto anajua nini anatakiwa kufanya.
@ukhtymwana406 ай бұрын
Team strong wakwanza wenu leo 🎉🎉 nawapenda sana wana gulf
@Hms-l1f6 ай бұрын
Na vile ni wifi za bure tunawhiii😂😂😂🙏🙏
@ukhtymwana406 ай бұрын
@@Hms-l1f siyo poa 😂😂😂 tupewe mua yetu
@MiriamShani6 ай бұрын
Tunakubal
@SalmaKenyatta-cn8tg6 ай бұрын
Na sisi twakupenda leo weekend kipnz😅😅😅
@ukhtymwana406 ай бұрын
@@SalmaKenyatta-cn8tg acha tujifarague
@chuvalousАй бұрын
Lucas, Olivia na Gabo yaani Athur mnaweza sana mnatukusha na sinema yenye burudani na mafunzo mengi mazuri ndani yake.Mungu awajaaliye mfike mbali na uigizaji wenu natumaini iwe hivyo.Hongereni Mashallah.
@retiekadarling9926 ай бұрын
Like nayo ni kitu ya kumnyima mtu kweliiii 😅😅😅
@swabraswarina73315 ай бұрын
Ndio hiyo nimekupa mwenzangu😂😂❤
@yussufshaaban94176 ай бұрын
Kuna w2 watasema wao wa mwanzo 🎉
@Bonykarupat6 ай бұрын
Si wanawake wote wako na tabia mbaya babake olivia,Olivia asha kujibu😅😅
@Thabitiyasini3 ай бұрын
Uyu oĺivia ananitoa mqchozi yani yupo verry talented
@chiefg60196 ай бұрын
shimo la Jirani LAINI,lako GUMUU😂😂!!
@HunterBribol24 күн бұрын
Hahahaha
@jumaaabdillahi45346 ай бұрын
Mwalimu umzuri Masha ALLAH
@jumaaabdillahi45346 ай бұрын
Alafu Olivia uko swa na wenzako ila ww Zaidi Alafu baba Olivia na Mwalimu mupendane banaa muanze maisha na Olivia wenu
@JescaCastor16 күн бұрын
Naona wtu hawamzingatii mama Tina jmn ,anakipaji kizur Cha uigizaji
@othmanhamad78875 ай бұрын
Katoto Olivia kanafurahisha sn, na ww baba Olivia mwalimu Janet ameshasema ucmwite mwalimu😀tena hadi amekupa shuka lake la kimasai umejifunikia wakati mnatoka kwny shrh ya vijana na Olivia ameshaligundua hilo hadi amekwambia,mmb yanazidi kunoga.Baba Olivia Good Job👏👏👏
@KendrickShaban6 ай бұрын
We mtu kaitwa achimbe shimo la Janet eti yye kaenda kuchimba arthi🤣🤣🤣
@MohammedKazembe-rj3kl5 ай бұрын
hhhhhhh ameshndwa kuchmba shimo
@swabraswarina73315 ай бұрын
Nawe basi😅😅😅
@JamalHamidu-h2x6 ай бұрын
I have never commented before but due to Olivia talent I have to salute for. Bravo
@henrymwakajumba6 ай бұрын
Thanks 🙏🏾 🙏🏾 🙏🏾 🙏🏾
@martinpaul27705 ай бұрын
Olivia ni bonge la talent Hongera Mr. Henry Mwakajumba kwa kuona hiko kipaji nmeipenda sana hii tamthilia haichoshi na inafundisha pamoja na kuchekesha
@henrymwakajumba5 ай бұрын
Asante sana Shukran!
@MeckyMathew6 ай бұрын
Shimo kama shimo walio elewa tukutane kwenye comments😂😂😂😂 bila D mbili huwezi elewa
@janethdavidsanga59996 ай бұрын
😂
@MohamedAlawi-of1on6 ай бұрын
Ila elewa Neno SHIMO
@mwajumakaisi62125 ай бұрын
Simon la jirani ni nzuri na laini
@ahmedimarusu-rp3bk5 ай бұрын
Shimo la jiran zuri alafu laini😂😂
@MARIAMARK-x7p5 ай бұрын
😂
@KinyogoliBinkinyogoli6 ай бұрын
Naipenda sana hii tamthilia Yani
@OmaryKingo-hr7kw6 ай бұрын
Wakwanza mimi 😂😂leoooo na msicoment coment yangu wala msi like😂😂😂
@SamTumwesiger6 ай бұрын
Wa kwanza kukomenti ila sio wa kwanza kuangalia😂
@wilsonmazengo6 ай бұрын
Umeniwahi eeeeeh!!!?
@SamTumwesiger6 ай бұрын
😂@@wilsonmazengo
@PriscaGodfrey-fl6cs6 ай бұрын
Hmm upo moto ndugu yanguu
@SalmaKenyatta-cn8tg6 ай бұрын
kwan ww hutaki like😂😂😂❤❤
@Officialtz014 ай бұрын
Nikipata mtoto kama Olivia tafurahi sana maana ni mchangamfu sana❤❤
@ringstone53886 ай бұрын
Dah!!!! Aiseee kwenye movie hii kuna vya kujifunza vingi sana Baba Oliva Mungu akubariki sana🙏🙏🙏
@iddymsulwafurniture65896 ай бұрын
olivia umetisha knomaaa..mzee zigamba hongera kwa kumlea vyema olivia🎉🎉❤
@paulinekombe37536 ай бұрын
Olivia huwa wanifurahisha hongera sana mungu akuzidishie kipaji ❤❤❤
@Masterfeda6 ай бұрын
Bonge la movie inafunza sana sana😊😊😊
@henrymwakajumba6 ай бұрын
Asante
@Simonkid-2556 ай бұрын
Wa pili 🎉tokea Djibouti Naikubal Tz yangu ❤❤ Alooo
@LydiaErnest-j1b6 ай бұрын
Leo Olivia kajua kumuchana baba anajifanya haelew❤
@emmanuelkato23755 ай бұрын
mzee anajifanya kichwa ngumu
@davidyona95555 ай бұрын
bond ya baba na mtoto kwenye hii series ni zaidi ya acting. so perfectly matched.
@HabibuKhan.org4215 ай бұрын
Congratulations to you Henry Mwakajumba🎉🎉🎉 Kazi nzuri Kiongozi Allah awaongozee
@henrymwakajumba5 ай бұрын
Asante sana!
@keviBoy-d7k6 ай бұрын
wakwanza hapana kutokea Tz
@magnibrondi31525 ай бұрын
Kazi nzuri sana baba Olivia yani naelimika sana
@wisemusic25 ай бұрын
huyu mwalimu mzuri kinyama yani daah nimekupenda bure teacher janeth..😂 ila shimo mnaloliongelea sasa duuuh😅😅
@wisedulayo65316 ай бұрын
Moja nyengine,,,safi sana
@salimNdendya6 ай бұрын
Muvi nzuri sana mmeupiga mwingi
@AksaGirbert-ok3xy6 ай бұрын
Jamn Olivia nakupenda San uwe n tabia hiyo hiy jmn wazaz tuwalee watoto wetu kweny misingi Bora aisee Cabo honger san
@phibiojaxbrand6 ай бұрын
Think i just became the number 1 fame of this series
@MrImma6 ай бұрын
Movie inafundisha sana I like it so baba olivie keep up
@igiranezadjabili26865 ай бұрын
This movie is amazing in Rwanda tunabapenda sana
@swabraswarina73315 ай бұрын
Halafu hao majirani wanavyopendana baba olivia my best actor ever in the building much love from kenya❤❤❤
@FALUKUZAWADIBUKUKU4 ай бұрын
Oliva kanyosha maelezo ..kuhusu madam😂
@RemercksimRedsea5 ай бұрын
Olivia namkubali san an vile anaweza kuigiza❤❤❤
@HadijaMwakipesile5 ай бұрын
Mama Tina na mwaliamu nawakubalii saan
@mujibumuskula17866 ай бұрын
Brother Gabo ur the best Actor in da world
@JospinJospino-wd8fx4 ай бұрын
Jamani ka olivia bana, yani ame ni furahisha, lakini ame muambiya baba ukweli, arthur mwalimu janet hapendi visenti vyako ila ana mapenda ya dhati❤❤, bawa fwata toka inchini congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩, mpo??❤
@poulmaginga-vt9rk6 ай бұрын
daaaah kiukweli hii tamthilia naipenda kweli big upo bro
@joycemachibya43806 ай бұрын
Mama Tina achana na huyo mganga atakula hela tu mzungu mwenyewe ungejua anataka akutapeli😂😂
@johnkamira22366 ай бұрын
😂😂😂😂Mwalimu Janet ana pesa kuliko wewe baba.that was so funny
@henrymwakajumba6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@MohammedBakari-q8d6 ай бұрын
Ndy 2peni ata matambiko kw win jamani ❤❤❤❤naipenda sana tamthilia hiyo
@robertbillal6 ай бұрын
Wakenya tupo wangapi huku😂.... anyways good show watching from 🇦🇪🇦🇪
@hassanihussein27316 ай бұрын
Haya mnaona sana mwalimu anasema akiwa na baba Olivia anafarijika na shuka kampa doooh nimekwisha.😂
@mohamedcharming74326 ай бұрын
Kwaiyo tukae tusubiri mpk ijumaa ijayo duh mnatueka sana
Baba olivia shikamooo watayarishaji na wote mlio husika kukamilisha
@NuruKapinga-nt7wm6 ай бұрын
Olivia anajua sana me kosekana mm tuh humo move ingewashangaza 😂 anyway ngojaa niendelee kuota
@estherpaul38646 ай бұрын
😂😆
@Manshynee6 ай бұрын
wewe upo songea au
@elishabrand96256 ай бұрын
We @henly mwakajumba Nataka kuchimba shimo la madam
@SallieCute6 ай бұрын
😂😂😂😂
@henrymwakajumba6 ай бұрын
Una vifaa vya kuchimbia? 😂
@AllyIbrahim-p3b6 ай бұрын
Dah gabo anajua sanaaaa ad anaboa
@Bintabubakar-id2so6 ай бұрын
Yan mukiangalia hii movie nahis furaha isiyo kifan nawapenda san ❤❤❤❤
@henrymwakajumba6 ай бұрын
❤️❤️❤️
@Anjira9606 ай бұрын
Jamni nampenda Olivia anaongea kama mdogo wang 😂😂
@fragrance-h1u6 ай бұрын
Natamani likes etiiii
@HamisiAdam-s5b6 ай бұрын
Msicheleweshe sana kuitoa bn wa2 2nasubiri kwa ham
@MacdonaldOtieno-e1m6 ай бұрын
Nawapenda sana, hope siku Moja tutakuja kutana, ila mimi mkenya naishi mjini Thika ila daah milima ndo haikutani ila binadamu hukutana... Nakupenda sana Olivia ❤❤❤
@AminaMwavita28 күн бұрын
Congratulations keep it up good job 💞❤💕♥️🥰😍😘
@maish60346 ай бұрын
Mimi ni mkenya hila niko na malalamishi. Mina chelewesha sana Ep.
@salimrashidy35136 ай бұрын
Em muache uyo Dude atapeliwe na yeye akili imkae sawa😂😂😂😂
@m.mmarckus62986 ай бұрын
Wezi hao.hata mwenyekiti hayupo
@glorymwero96936 ай бұрын
Olivia tuu anavyoongea me hoi mbavu Sina, ila very big shoot out for them nawapenda woote.
@henrymwakajumba6 ай бұрын
Tuna kupenda pia!
@RandB_Channel6 ай бұрын
Jirani kamesha ibiwa 😃😃 watu wabishi njodawa yao iyo
@TreasureMagumba6 ай бұрын
Mambo ni🔥🔥🔥🔥
@henrymwakajumba6 ай бұрын
🔥🔥
@YasintaMabumo6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂jiko la luku mabat ya umeme hahahahaha daaah atar😂😂😂😂
@HemstoneOnyango-lc4ds5 ай бұрын
Nimefwatilia hii movie Yani uyu olivya daahh moto huyu love you from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇺🇲🇺🇲
@henrymwakajumba5 ай бұрын
Asante sana!❤️
@AdelaidaJohn-l7b6 ай бұрын
Jaman movie ionyeshwe mara mbili kwa wiki ni nzur sana
@Rizikinassoro5 ай бұрын
Baba Olivia mwachelewesha mambo mazuri
@mohamedobo46506 ай бұрын
Jamani nawapa pongezi mnatupa burudani inayotupa mafunzo mazuri ya kupata kujifunza asanteni sana ..napawa pongezi sana
@abubakarkhamishaji28496 ай бұрын
Oliviaa msaniii wangu boraaa humuuuu
@-kagerayetubw9jx6 ай бұрын
Mko vizuri sana
@LovenessJames-j9o6 ай бұрын
Et shogangu nakuwekea jiko la luku mabati ya umeme😂😂