Kupata taarifa sahihi za episode zetu mpya, tembelea mitandao yetu ya Kijamii Instagram @busatitv Facebook @busatitv TikTok @busatitv Pia tuna Group la WhatsApp
@SurprisedPotluck-ms1vhАй бұрын
Sawa
@CarinoSwaiАй бұрын
Chapu chapu basi
@modestazaverАй бұрын
Mambo ayo
@user-sx6zw1pr1wАй бұрын
Yatoka saa ngpi
@AngelThomass-ht8vvАй бұрын
Jina la kawimbo jaman nmeupenda sanaaa🥳😋😋
@marrytranceАй бұрын
Nawapenda wote mnafatilia house girl ❤ kama unanipenda py 😂gonga like hapa
@DaisyNyabutoАй бұрын
Mapenzi yanatesa unayempenda anapenda mwingine uyo mwingine naye ana mwingine , mwingine kapatwa na mwingine 😢😢😢😢😢 daaaah nipeeni Tano ❤❤❤❤❤❤❤tusisahau kujifunza wanandoa wenzangu
@FetrissJanni-lb5ilАй бұрын
Candy ana nifundisha kua mdomo sio kitu kizur eee mungu naomba niwe maneno mazur na kukaa kimya 😢😢
@Mrsmick712Ай бұрын
Mr tasha nitafulai ukimpata mke wa chiko kudadeki mtoto anasauti laini uyuuu😂😂😂
@elizabethmwafongo7829Ай бұрын
😂😂achepuke tu apate mimba maana sio kwa kunyanyasika huko
@Mrsmick712Ай бұрын
@@elizabethmwafongo7829 yeye inaonesha ana shida tatizo ni chiko mwenyewe
@AbdulazizMussa-sy2mzАй бұрын
Wanao amini kendi ni malay wanipe lakes kutoka mwanza
@RahmaomarymangosongoАй бұрын
Jamani nimeinjoy mno nilizan aifiki epsod 40
@estermpare4078Ай бұрын
Yaani move ijamaliza ata lisaaa tiarii matahiraa yashaomba like !! Ata kulike hamn wala kusubscribe
@HopeMmbando-wb8ciАй бұрын
Atari shoga sijui like zina Hela 😮
@KennethMAMBAАй бұрын
umesema neno wana niudhi hatar
@AwadhiMumbuАй бұрын
Nikwel wanaboa san haooo
@KampalaKmfznАй бұрын
Kai plz zuu mumependezana sana
@zainaburamadhani2982Ай бұрын
Kheee kimeumana, mimba ya mkongo, chiko naye anaamin kua ataitwa baba, uwiiiii makubwa cjui nn kitatokea😂😂😂 Neeeexxxxxttttttt
@Cuteeeee477Ай бұрын
Tunao isubiri kwa hamu tujuane hapa 😂😂❤
@user-pp3vo8rw5jАй бұрын
Yan saii najiona mshindi kwa kila upande wa zuu ❤❤❤❤❤
@aishaseif-zq6zxАй бұрын
Jmn Namm nipen like zangu nimekuwa wa kwanza na nimekuwa mfatiliaji Mzur tu
@HillarySendeu-ht3ljАй бұрын
Yaani mambo fire fire ukitoka hapa unaendelea na nyingine ewaaaah ndo maana tunawapenda na kuwasuport wanao enjoy kama mimi gonga like
@terimberejaliajalia8284Ай бұрын
Leo nimekuja tuu mapema nasubilia kwenye mlango😅.jameni na sisi watu wa Burundi tunawatizama sana na tunawapenda.nipeni basi like hata ngapi jameni 😂
@busatitvАй бұрын
Tunawapenda sana Watu wa 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@RizikiZikiАй бұрын
Waooo nasi tunawapenda sana wa Tanzanie
@user-xo7ns7bc8cАй бұрын
Waaah kumbe Candy kaz unayo mwanadada bado twasema mimba ni ya Chiko kumbe hata kuna mume wa Sania hapo then umsambaze mwenzako kua ni malaya😂😂😂😂
@MemoryKamutandiАй бұрын
Nataman kay akutane na zuuu❤❤❤❤❤
@SalvinJastinАй бұрын
Ndio ninachosubiri na mm😢😢
@carowamakalo7993Ай бұрын
Mm nasubiri harusi ya zuu na kai ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉
@jedenecostaАй бұрын
5/5 Nawafatiria Nikiwa Nairobi.kenya Movie Njema
@mvinyo99Ай бұрын
Mke wa chiko n pisikalii pia mke wa kiramb ni motooo🥰🥰🥰
@user-ii3rb6uj7g6 күн бұрын
Umesahau bb pia nmkal ila nmekupa comment mana ujaomba
@MauaSaid-t4bАй бұрын
Au ndio hao wachafuzi wako hadi kwenye busati wanakula futari 😅😅😅maana haifunguki imeingia nikaiplay hola 😅😅
@user-sx6zw1pr1wАй бұрын
Kutoka 🇰🇪team Zuu team strong mko wapi tujuane kwa likes💪💪💪
@user-qv1jx5nj2uАй бұрын
Team strong tupo tuna enjoy house girl ila kendi pia wewe malaya usiseme mwenzio
Jamani huku kila kipindi kinafika kwa muda...Chukueni ladole langu❤❤
@Saumu254Ай бұрын
Yaan kumoto kila kikicha yaan candy umeyatimbaaa leo Papaaa baba mutoto😅😅😅😅
@merinazyd0532Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Cendy ametiwa ka petii😂😂😂😂😂😂
@user-mv6vi1gv6fАй бұрын
Leo12naomba mwenye atakuja nyuma anipe like 🇧🇮🎉❤🎉❤
@user-yk5sl9bk3xАй бұрын
😂😂😂😂Jmn naona Kila mtu niwa kwanza Sasa wa mwisho nnan au n mm🙈❤❤🎉nam nipewe likes
@Kinyua-ye8kkАй бұрын
Candy wewe mnafiki kweli lkni Mungu yupo plan zako ujue zitafeli zote
@HalimaJafari-yv2thАй бұрын
Makubwa kuliko yote kendi na papa hatari na nusu😅😅😅
@JustinJoseph-jf9xjАй бұрын
Namba moja leo ❤🎉🎉🎉
@user-zw9jg7ne8kАй бұрын
Mbona mnachelewesha jamani 😊
@user-fy4fo5yx2bАй бұрын
Naombeni likeee jamani na mimi❤❤❤
@anfrashadvertiser4801Ай бұрын
Wale wa HOUSE GIRL GANG😅
@IlhamShaban-vq3kxАй бұрын
Chiko we na kujisifu kote kumbe mimba ni ya papa uweweeeee❤🎉
@user-bf3ij2ie5kАй бұрын
Hahaaa sasa nimepata jibu hapa chiko hazai .....hii kimba ya candy niya huyu papaa afu chiko hazai mkewe ako sawa
@LydiaJeremiah-vg4vlАй бұрын
Walaki moja leo naombeni like ata sifur tuu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mana watu waako bize kuomba jamn kumbe busat mna gawaga like nahamsemi jamn
@LilianJoseph-nw3hqАй бұрын
😂😂😂
@safarimbawa-ri9lcАй бұрын
Unapenda like ww😂😂😂😂
@AllyShabanyАй бұрын
Acha ushamba kaombe kanisani mfyuuu
@user-dw8eb4zf2eАй бұрын
Nicee one❤
@LydiaJeremiah-vg4vlАй бұрын
@@AllyShabany mm wala sihtaji like yamtu ndio mana nika malizia na kicheko
@user-pi4oi9np3zАй бұрын
Nyie watu ht mwaboa wallahi mtu akiingia kwa comment aangalie vile movie yaenda ywaona like like tu si m comment vile movie yaenda jamnii achni sifaa
@jasminselemani62Ай бұрын
Wanakera mpka wanakera Tena 😏🙄
@AbdulazizMussa-sy2mzАй бұрын
Nami naombeni Lake kwa wale wanaowakubal busati tv
@rashdmwikonАй бұрын
Wakwanza mm Leo naomba like nyiing
@MauaSaid-t4bАй бұрын
Sania bana et hata yeye anamtaka ila msimamo tu😅😅😅😅husemi kama tayari kimekurama chuma😅😅😅😅
@user-le6xc6ei5xАй бұрын
Kwel kendi nyani haon kundule 😂😂😂😂mm hamu yangu nasbr kai amuoe zuu😂
@user-bb6oy5dl6yАй бұрын
Ambao walikuwa wakifikiri kuwa house girl itaishia ep40 like hapa 😂😂😂
@user-tj9gk6rr8wАй бұрын
😂😂😂😂Yamenoga sasa
@adelinaomani9012Ай бұрын
Yani ifike hata mia
@RizikiZikiАй бұрын
Sitamani iishe kiukweli ❤
@user-xq5po1di7wАй бұрын
Nawapenda sana wanafatilia house girl dj leta vitu ausio nnakukumbali sana🥰
@axmedhussein5721Ай бұрын
Kuna wachoyo wa like..cimtupee jameni...
@jackilinekaini8744Ай бұрын
Mambo yanazid kupamba Moto wapendwa
@kenethmwasengaАй бұрын
Wakwanza leo nipeni like jameen
@blandinedusabeАй бұрын
Basi team fulus mukija mupitie hapa❤❤🎉🎉🎉🎉
@ZaithuniNassirАй бұрын
😂😂😂
@JacklineNamahalaАй бұрын
Yan Sasa hv ubaya ubaya tu Iła marafiki 😅😅😅😂😂😂
@user-bj1gu8cw3bАй бұрын
Kendy acha umalaya usikute na huyo ushamtamani😂😂
@groryaidan7386Ай бұрын
Sania mi 5 tenaaa....😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@Mery-st4nuАй бұрын
Nimecheka sanaa 😂😂😂😂 alinipiga kubwa nikawa naona wakinamariamu😂😂😂😂
@jacklineshayo3962Ай бұрын
Wanaoamin hii movie inakarbia final gonga likes hapaa🎉🎉🎉
@melanianjau3244Ай бұрын
Kumbe si mimba ya chiko ni ya papa daaaah candy kashindikana hongera yake🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂😂😂😂
@user-ys3wz1sf7sАй бұрын
Sawsaw,, yaan candy yupo katikati ya baari na maji yamejaa yamemfikia shingon amebaki kutapatapa2,, kibaya zaidi ajui kuogelea,, alafu maji yenyewe kwa luga yetu ya wadigo twayaita maji ya msindizi yale yakutoa mwezi 😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤ nawapenda sana from Kenya 🇰🇪
@MwandeguАй бұрын
😅😅😅😅Wacha nipite tuu yauma lkn
@GraceJulius-kv3rzАй бұрын
Ma mimi nimewah jamani naombeni like 5 tuu
@MaryChemnyetichАй бұрын
Aki leo musininyime like😂😂❤❤❤nimesubiri kwa hamu sna
@bethkendi5157Ай бұрын
Tunaisubiria Kwa hamu sana
@user-ro7sk9ic7zАй бұрын
Huyo jamaa anaeish na baba yake Kai 🎉🎉🎉yuko vizur 😅😅
@user-if7rb1su9jАй бұрын
WA Mia moja leoo naomben like😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅
@GraceOtieno-vo3sjАй бұрын
Haaa nasubiri zuuu mie sasa
@fatuma6011Ай бұрын
Busati mnafanya kaz nzuri hongera
@user-wm7gu8os2iАй бұрын
Hodi humu ndani nimewakuta house gri naweza kupata laki namieee😂😂😂mana nina shida
@Sayd-pi5lqАй бұрын
Yaani kilamba ukwaju katisha nime kubali kazi bg up sana
@HudhaimaYussufАй бұрын
Nilidhemma dhikudhemma mimba siya chiko jaman kendi 😅😅😅
@Hilda-qp7giАй бұрын
Achen kuomba like 😮😮
@salmamwakabutamaАй бұрын
😂😂kilamba ndio mimi sasa nikikuona nasepa sitaki shari
@twinkledestar4277Ай бұрын
Izo like mnapeleka wapi nyie 😂😂😂
@christinewanga7385Ай бұрын
Mr.Kilamba kwa hii Episode 41 amenichekesha kweli😅 Eti alipigwa kikumbo mpaka nrtwk ikamutoka mpaka akokosa kujielewa ni wa jinsia ngani🙆🤭 Cjui Mariam au Sakina 😂😂🙌
@RachelJoseph-dy2jhАй бұрын
Kazi nzuri sana❤❤❤
@user-if4zn5vf5zАй бұрын
Kma unampend Sania gonga like tukisong mbele
@VailethYusiАй бұрын
Wa Kwanza mim naomba like zangu kutoka Dodoma
@RahabuMwashilindeАй бұрын
Ila watu mnawahi
@eunice1808Ай бұрын
Nyie watu wa likes mmeangalia movie wapi😂😂😂
@LucyKhachitiАй бұрын
Zuu tangu atoke mbio bado hajamfikia Kai jameni
@GladysOmwandoАй бұрын
Atlest leo nmejarb nnewayi 🎉🎉🎉nipee hta like bas
@Zainabu-xn3vdАй бұрын
Jameni nangoja kwa hamu na ghamu msichelewe please 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@user-vd9cj5ro4uАй бұрын
Jaman na me like leo hata siku 1
@tausimctАй бұрын
Wakatikati leo naomba like zenu
@MetrineKhisaАй бұрын
Aki s pia leo nmewai mapema like ata moja tu😂😂😂
@nurumwinyi796Ай бұрын
Baa imezua baa kwa candy,haelewi mimba ya nani
@LindaEDWARD-tu7hoАй бұрын
Nyie mnaroho mbaya hata like Moja jmn yaan tokea nmeanza kuangalia cjawahi kupata jmn wakenya wenzangu naombeni likes
@user-bq9zj5sm7iАй бұрын
Jmn siku ni nyingi ndipo twamis kumuona zuu
@user-hf9fh6nk6hАй бұрын
Wallah hii kipindi nimeipenda sana toka kanumba afe niliacha kuwarch move zakitanzania lakini toka nilivo kuta hii tiktok nimeanza tena kuwafatilia jamani mbarikiwe kwa kipaji mungu awazidishie ujuzi zaid na sisi tufaidi nawapenda sana jirani zangu 🌹🌹🌹🌹
@user-vi2gs5ie9mАй бұрын
Leo nimejaribu kuwahi ila tatizo sijazoea kuomba like 😌😌😜😜
@user-qh3xy2hi4tАй бұрын
Nategea chenye caddy atafanyiwa na sania
@daxpcomandomz3450Ай бұрын
Jamani sehemu moja dakika 10 munaboa bana
@esterkulwaАй бұрын
Candy bigup😂😂😂😂😂
@FelisterBuhitu-xf9qvАй бұрын
Mbona scene mnzirudia jamanii sa ndo nini dakika chache wahusika wananirudia
@salamamwazuma315Ай бұрын
Kiramba ukwaju 😂😂🙌
@Igra254Ай бұрын
Naona maajabu kweli mwanamke mdangaji ni mdangaji tu
@jacklinelenatus712Ай бұрын
Nawapendaaa sanaaa busati tv yaan kwa siku epsisode moja uhakika ❤❤❤
@AliceCharo-wz9ozАй бұрын
Naiaubiria kwa hamu 😂😂htkma 41 sijaimliza ju ya network munipee likes guys
@user-mb8nc4oh2j29 күн бұрын
Bwana kiramba nakupend bure kbs yaani unovo igize kwny film ukiwa n roho nzuri n maisha y kawaid uwe ivo ivo