No video

Bustani ya EDEN imepatikana? Yazidi kutafutwa mahali ilipo, Siri za kushangaza zilizofichuliwa

  Рет қаралды 38,773

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 168
@peterchristopher3555
@peterchristopher3555 Жыл бұрын
KWENYE BIBLIA KILA KITU NI FUMBO .....EDEN INAYOZUNGUMZIWA NI HAPAHAPA DUNIANI
@edwarddavid8076
@edwarddavid8076 Жыл бұрын
Hapana eden ilitwaliwa kabla ya galika
@champion11537
@champion11537 Жыл бұрын
Umeonae bilblia fumbo nyingi sana
@mustafamsatimuhenga253
@mustafamsatimuhenga253 Жыл бұрын
Peponi ndio nyumbanikwetu tumsujudie mungu kama ibrahim mussa yesu mohamad tutaingia peponi ila tukienderea na sherehe za upako tu bas tutakwenda jikoni
@victorguapo7827
@victorguapo7827 Жыл бұрын
Kweli ndugu
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Жыл бұрын
Sky walker voice 👌💜💙
@jameswisdomtz8580
@jameswisdomtz8580 Жыл бұрын
Duh napenda sana makala kama haya kweli 💪💪💪
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 Жыл бұрын
Iyo bustani inawezaje kua dunian maana walivyokula tunda ndio walishushwa dunian ikisha akaambiwa adam utakula kwa jasho na eva atazaa kwa uchungu watafiti wamevuta cha chuga 😁
@cardozojonas9239
@cardozojonas9239 Жыл бұрын
😀😀😀
@gracesilayo7670
@gracesilayo7670 Жыл бұрын
Mh 😆😆😆😆😆😆😂aya bnhaaa
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 Жыл бұрын
@@gracesilayo7670 ila kweli siyo🤣🤣✋maana waliishi bustanini ikisha kula tunda mungu akawashusha duniani sasa wao wanatafuta bustani umesikia wapi eden iko duniani na ingekuwepo kila anaekwenda kutalii anachukua maua mwisho bustani ingekwisha yote
@ananiamkasu8847
@ananiamkasu8847 Жыл бұрын
Alieshushwa duniani ni Shetani na si Adamu na Hawa.
@neemambotola1139
@neemambotola1139 Жыл бұрын
Hapana tayari walikua duniani ila walifumbwa kuto juana na kuto kujua mabaya ndio maana baadae mungu aliwalaani akisema utatafuta Kwa jasho kwenye ardhi hii . Inamaana walikua duniani waana mbinguni hakuna ardhi.
@mweusiasili8345
@mweusiasili8345 Жыл бұрын
Nakubal bro kwa kubalance na sisi unatufurahusha watu wakupenda story
@juniorivany9087
@juniorivany9087 Жыл бұрын
Mungu alituumba tuishi na kufa tu,hayo mengine mnajiongezea tu mala nuhu mala gharika mala sijui nin,tusome kipi tuache kipi,kubali mungu yupo basi,na Mungu si mbaya kama mnavotukalilisha mungu atakuwa anacheka anataniwa pia anapenda kutaniwa pia mungu si mbaya kama mnavotukalilisha ila tumsujudu na kumtumikia yeye tu
@usetobe.1067
@usetobe.1067 Жыл бұрын
Umekalilishwa 😂😂 ok Kiswahili chako na upeo wako vinafanana,soma vitabu vya dini upate maarifa.
@shadyabdallah7247
@shadyabdallah7247 Жыл бұрын
Ss hatujui ila Mungu yy ndiyo mujuzi zaidi
@aminasittusaid3830
@aminasittusaid3830 Жыл бұрын
Naam, Mashaallah, Alhamdulillah 🤲🙏🙏🙏
@farahanafarer7588
@farahanafarer7588 Жыл бұрын
Iraq inahistoria nyingi ya mambo ya dini. Sky uko vizuri. Hawataona kabisaa wasome suratul Tawba na Arafa ndo watapata ukweli wote
@nadrahassan5241
@nadrahassan5241 Жыл бұрын
Sini peponi jamani 😃🙈siniliskia Adam na Hawa baada yakumkosea Mungu wali fukuzwa naku wafkuzia duniani 🤗
@mohammedkombo9798
@mohammedkombo9798 Жыл бұрын
Mimi nimefarajika sana kwa hii makala, sikua na upeo mkubwa wa kujua hii , thanks Sky tupe , nafuatilia sana makala zako .. Mk from Isle of Man 🇮🇲
@queentoto3878
@queentoto3878 Жыл бұрын
Mambo nawenza kuwasiliyana nawe 😁
@BigZhumbe
@BigZhumbe Жыл бұрын
Edeni ni hapa hapa duniani
@onanarosse9657
@onanarosse9657 Жыл бұрын
SNS your the best 🔥🔥🔥
@upendo1020
@upendo1020 Жыл бұрын
Simulizi imetulia Sana, Kama vile imekuw fupi
@messaabbas739
@messaabbas739 Жыл бұрын
thanks SNS kwa simulizi pwendwa ❤️❤️❤️❤️
@nelsonlaiza284
@nelsonlaiza284 Жыл бұрын
We jama ni noma
@RobbyDejan1234
@RobbyDejan1234 Жыл бұрын
Dah! Shetani angeomba msamaha tu kwa mungu tukakae EDEN uchi tushachoka kununua Nguo kwa vunja bei.
@lovesallu5292
@lovesallu5292 Жыл бұрын
😝😝😝
@lovesallu5292
@lovesallu5292 Жыл бұрын
😝😝😝we kibokooo
@jonaspatrick8074
@jonaspatrick8074 Жыл бұрын
Good work #sns 🙏🔥🔥🔥
@Sadi_Tv
@Sadi_Tv Жыл бұрын
SKY OF THE LIMIT❤‍🔥❤‍🔥❤‍🔥❤‍🔥
@starmakervideos1984
@starmakervideos1984 Жыл бұрын
kawaida, knowlege(maarfa) hayatoki katika chanzo cha njee, isipokuwa ndani, ambapo ndipo chanzo cha kila ktu knachoonekana na kisicho onekana, kwa navofkiri, bustani ya eden si shm ilipo katka nchi(dunia) bali ni hali ilyo kuwepo ndani ya mtu, ikihusika hasa na maarfa ya ya mema na mabaya ambapo apo ndo kuna zaa kila aina ya matokea mazuri na mabaya yalyopo leo, hvo walvo fanya kinyume na maelkzo, hali ikafungwa ndan yao...
@peterdeus6093
@peterdeus6093 Жыл бұрын
Eden ilikuwa ni halisi kiumbo na sio dhana ya hisia au kufikirika maana kulikuwa na chakula cha kimwili lakin yalikuwa masikani ya viumbe vingine na adamu alipewa jukumu la kuitunza hata baada ya kuasi MUNGU alisikika akitembea wakati wa jua kupunga na baadae akachinja kondoo ili kutengeneza vazi la kuwastili wawili hao
@comics3437
@comics3437 Жыл бұрын
NICE documentary
@dullahmihuri
@dullahmihuri Жыл бұрын
Quran haina shaka. Mtaitafuta eden mpk kiama kitasmama hamuwez iyona ila Allah akitaka.
@neemanyove9130
@neemanyove9130 Жыл бұрын
@@malianonicass7029 umenena 👍
@machetebogota4218
@machetebogota4218 Жыл бұрын
Exactly edeni tutaiyona siku ya kufa na kiama Tu tuwaache waangaike
@youngpaincompany1440
@youngpaincompany1440 Жыл бұрын
@@malianonicass7029 mi sielw yesu Ndy mungu au Kun mbug juu yesu 🤔
@mussachichajr
@mussachichajr Жыл бұрын
Suratul Al-tawba na suratul Al-Aaraf
@godfreymuroba7973
@godfreymuroba7973 Жыл бұрын
Bustani ilifichwa,Adam na Eva walifukuzwa hiyo bustani ilikuwa ipo kati ya mto Tigris,na euphrates kule sehem za Iraq
@juniorivany9087
@juniorivany9087 Жыл бұрын
Naamini mungu yupo ayo ya edeni sijui nuhu mi sijui,Wala siyaitaji Mungu kamuumba adamu na eva alafu kawapa mtihani na wakati alikuwa anajua kuwa utawashinda huo mtihani,kwaiyo alifanya makusudi ili awatese au,wazungu watachapwa viboko sana mbinguni
@anchortechnicx5014
@anchortechnicx5014 Жыл бұрын
Ndio kitu ambacho hata Mimi Huwa NAJIULIZA aiseee
@emanuelgavile3503
@emanuelgavile3503 Жыл бұрын
Hahahah
@FAMILYSIMBA
@FAMILYSIMBA Жыл бұрын
SASA heden sindo TANZANIA 🇹🇿
@TITOtz
@TITOtz Жыл бұрын
Tanzania ni eden 💯
@bryson0772
@bryson0772 Жыл бұрын
Waendelee kutafuta waendelee kubishana na Mungu wakipata na ikawa kweli waniite mm mbwa nmekaa pale👉
@soniahassan6769
@soniahassan6769 Жыл бұрын
Bustsi ya eden hsipo duniani ipo mbingun kwasababu tunda hilo walikula wakiwa mbinguni na ndipo waliposhushwa kuja duniani baada ya kua wamesha mkosea mungu so tunaamini ya kwamba bustani hiyo ipo mbingun yote na yote Allah yaalam tumshukuru kwakua allah katuruzuku uzima na haina haja ya kufatilia siri ambazo mjuzi ni yeye
@jwisetv4833
@jwisetv4833 Жыл бұрын
Skay umesahau Arusha ngorongoro crta maana kuna wazungu wengi wanadai ndio eden ilipo maana kuna mito minne inaingiza maji kwenye bwawa moja.......Search where edern is in east Africa then utaziona hizo makala
@jwisetv4833
@jwisetv4833 Жыл бұрын
Na ndio maana fuvu la mtu wa kale lilipatikn huko
@geraldbenjamin9302
@geraldbenjamin9302 Жыл бұрын
Bustani ya Edeni na sanduku la agano ni vitu ambvyo hayupo ataayesema ukweli wake
@lutaburchard2659
@lutaburchard2659 Жыл бұрын
Waafrika tumedanganywa sana,Hakuna bustani ya Eden na wala haikuwai kuwepo ni uongo ulioletwa na wazungu na waarabu kupitia dini zao ukristo na uislam
@MosonVevo
@MosonVevo Жыл бұрын
Unaamini mungu yupo?
@salmamkota2882
@salmamkota2882 Жыл бұрын
@@MosonVevo swali zuri mnooo nimelipenda Wallahi
@davidsaibu2930
@davidsaibu2930 4 ай бұрын
ipo
@bhaleeali8459
@bhaleeali8459 Жыл бұрын
kwani hio bustani ya eden si ndio pepo au? mana kwa imani yangu najuwa kuwa Adam na Hawa walikuwa wakiishi peponi kabla ya kushushwa duniani.. sasa hao wana sayansi wanaitafuta pepo ilipo au?? daah ulimwengu huu watu crayz saanaa.. ok waendelee kuitafuta then watujuulishe wapi ilipo hio pepo.. 🤣
@aishachambo8663
@aishachambo8663 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@hammytototundu9292
@hammytototundu9292 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@peterdeus6093
@peterdeus6093 Жыл бұрын
Edeni ilikuwa hapa duniani maana baada ya uumbaju wake MWENYEZ MUNGU alitengeneza maskani kwa ajir ya wanadam hivyo Edeni ilikuwa na ikologia iliyo kamilifu mara baada ya dhambi MUNGU aliondoa ikolojia hiyo ili watu watawanyike na kujitegemea na hata baada ya kiyama atairejesha ikolojia ilio kamilifu nakuwapa watu kama masikani yao
@deejayvlctz
@deejayvlctz 10 ай бұрын
Walipomtenda thambi ya kula tunda la mti waliokatazwa kule Eden Mungu aliwashusha wapii na aliwatamkia nini?? Jibu lipo wazi
@geofreypatrick6667
@geofreypatrick6667 Жыл бұрын
Skywalker Jaribu kumfuatilia mtafiti Stan Deyo kuhusu bustani ya Eden, ufafanue vizuri kuhusu hiyo mito Minne na mengine.
@aishaswab2413
@aishaswab2413 Жыл бұрын
Thanks
@elenmikeli2943
@elenmikeli2943 Жыл бұрын
thanks again
@amillahqueeen5586
@amillahqueeen5586 Жыл бұрын
Asante kwa hii makala 🥰
@sa3dasa3da87
@sa3dasa3da87 Жыл бұрын
Haya na watafiti wetu wa TZ wactafute bustani wala mabaki ya Safina,watafute maeneo mazuri ya kilimo na selikari icmamie hicho kilimo ili tuwauzie wazungu chakula na sio kuwategemea wao wenye ardhi ya mabarafu na majangwa Africa yakijani history about TOZO
@UFC_HIGHLIGHT123
@UFC_HIGHLIGHT123 Жыл бұрын
😂
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
Itafuteni mkiipata mtuambie
@bhaleeali8459
@bhaleeali8459 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
@@bhaleeali8459 😁😁
@michaeljohn9070
@michaeljohn9070 Жыл бұрын
Sitaki kuamini msimuliaji haijui Ashuru mmoja kayia mito iliyokuwepo kwenye bustani ya eden na ni Arusha ya sasa,,bonde la ngorongorp pia tz ndio nchi pekee yenye wanyama wa kila aina duniani,, kuna denge aina flamingo wanatokea south africa lkuja tanzania pale arusha kwenye hilo bonde lenye bustani na hali hewa ya kushangaza huja apo kwa ajili ya kufanya mapenzi tu na kutunga mimba ya mayai yao then wanakwenda kutotoa watoto wao south africa,,hii ni hali ya kipekee sana duniani,, hata kupatikana kwa fuvu la mtu wakwanza duniani ni ushahidi tosha ,,,maana Adam na hawa walitolewa nje ya bustani lakini hawakuishi mbali sana na eneo la bustani na walitaka kuwa rudisha watoto wao kain na abel kwenye bustani ile kwani wao hawakuwa na makosa lakini hawakuweza kuiona kwamaana ili ondolewa kwenye macho yao na pakawekwa ulinzi mkali sana wa jeshi la malaika waitwao makerubi mahali wanapokuwepo hawa malaika ,, hata israeli mwenyewe hasogei kabisaa
@ImpressiveFacts
@ImpressiveFacts Жыл бұрын
Biblia haitafsiliwi kwa elimu ya dunia hii. Biblia imejawa na mafumbo mengi. Eden ni neno la kiebrania linalomaanisha presence yaan uwepo. Mungu alipomuumba adam na eva aliwaweka kwenye uwepo wake Mungu wakiwa hapahapa duniani ndio maana walikuwa hawaendi kanisani wala kuabudu lkn walikuwa na urafiki wa karibu na Mungu . So eden sio bustani kama mnavyodhani.
@amehassan8792
@amehassan8792 Жыл бұрын
Qur ani takatifu ndio mwisho wa matatizo pepo haiwezi kuw dunian dunia ni chafu san kwn adam na haw hawakuw dunian ispokua baada ya kuasi ndo wakashushwa duniani hivyo ata wafanyej kwa duniani kutafta pepo ni uongo tu pepo haipo duniani pepo ni maalum kwa watu ambal dunian halipo kabisa
@anchortechnicx5014
@anchortechnicx5014 Жыл бұрын
Daaah hili swala Mimi Bado linanifumba akili maana biblia ni msitu mnene hasa kwenye hiyo bustani ya edeni eti naambiwa walivyokula lile tunda Hilo tunda ni tunda Gani kwa nn Mungu aweke tunda ambalo sio zuri kwao ....
@magrethjohn4929
@magrethjohn4929 Жыл бұрын
Ifike kipindi binadamu tujue mipaka yetu siyo kila kitu utakachoambiwa au kusikia basi lazima ufatilie ni vizur km tukijifunza kushukuru kwa yale Mungu ametujalia, mwana kulifind mwana kuligeti yetu masikio tu
@ROSEROBERTROBART
@ROSEROBERTROBART Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣👌
@magrethjohn4929
@magrethjohn4929 Жыл бұрын
@@ROSEROBERTROBART Rose mbona macheko best?????
@brownmwaibole8414
@brownmwaibole8414 Жыл бұрын
No whare to go SNS is top
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Жыл бұрын
Nilijuw bustan ya eden ni pepon kumbe ni hap hap Dunian
@patsonmichael2428
@patsonmichael2428 Жыл бұрын
Hahaha dah mungu afiche mwanadamu aione
@BigZhumbe
@BigZhumbe Жыл бұрын
Historia ya Adamu na matukio ta Edeni ni ya miaka elfu sita iliyopita ikiwa waafrica wameishi miaka zaidi ya milioni iliyopita sasa sijui Adamu anakuaje wa kwanza.... na hata Arabuni kuna fuvu la modern man lililopatikana nina date back to 10 thousands years ago.... Dini za Ki-ibrahimu zisituvuruge.... Adamu kama ameishi kweli basi kakuta watu wanaishi.
@cendrillonnam4549
@cendrillonnam4549 Жыл бұрын
Huna uhakika Adam ana myaka elfu 6 biblia ndo imeandikwa hiyo myaka ila dunia ina myaka mingi hata labda zaidi ya izo ma million! Na haina shaka Adam ndo bin Adam wa kwanza na hajazaliwa aliumbwa kwa udongo na kukaa ma elfu kabla apulizwe pumzi awe Kiumbe mwenye fahamu. Quran inaongelea kuumbwa kwake na kina nani walikua duniani kabla yake ilikua ni majini na sio bin Adam. Sisi tunaitwa binadam kutoka kwake Kama wanae Adam. Stop learning lies from science while using African race.
@kibelloh
@kibelloh Жыл бұрын
Daah tumepelekwa pelekwa sana na bado akili haiamki kua biblia kuruani budha taka taka zote tumelishwa ili tuweze kutawaliwa.nakama unataka kuamini go ask your kanisa or mskiti maswali ya ki logical na kama hauta itwa kafiri utaitwa mpotevu sasa sijui tulipewa akili ya nini daah kweli itatukosti miaka na miaka
@anchortechnicx5014
@anchortechnicx5014 Жыл бұрын
@@kibelloh 😅😅😅😅😅
@JASIRIGR
@JASIRIGR Жыл бұрын
@@kibelloh Upo sahihi, hawa mbwa wa kizungu na kiarabu wametuteka sana akili zetu. Tumeacha kuamini imani zetu walizotukuta nazo tuna amini za kwao. Mimi huwa naamini Mwenyezi Mungu tu pekee ndiyo yupo mwenye mamlaka. Lakini hizi biashara sijui Adam, Musa, Eva na wengineo hapana sitakuja kuziamini, Labda kama ningezishuhudia mwenyewe. Nakutoamini historia siyo dhambi. Walivyokuwa wana Mambo ya ajabu kwenye kitengo cha shetani mtu mweusi ndiyo sehemu yake.
@asumptharuhinda3471
@asumptharuhinda3471 Жыл бұрын
@@kibelloh imani ni kuwa na hakika ya Mambo yatarajiwayo ni bayana ya Mambo yasioonekana(Waebrania 12:1).
@beatricejoseph2347
@beatricejoseph2347 Жыл бұрын
Mm kiasi kidogo kwa maeneo ya Uturuki naweza amini ,ukiangalia historia ya biblia na namna mazingira yalivyo.
@machetebogota4218
@machetebogota4218 Жыл бұрын
Uturuki ni history kubwa Sana ya waliopita kwa sisi waislam natamani kufika turki kuuona mlima wa dhahabu na mto
@mhabimina4023
@mhabimina4023 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥👌
@jenywalker5246
@jenywalker5246 Жыл бұрын
ipo wapi niende nikajenge kanyumba kangu niishingi huko nikiwa lonely..lyf with no stress🤪🤣
@mohammedkombo9798
@mohammedkombo9798 Жыл бұрын
Viwaja bei mbaya tofauti na Kigamboni Dar… lol
@jenywalker5246
@jenywalker5246 Жыл бұрын
@@mohammedkombo9798 ulienda uko ukaona au
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 Жыл бұрын
Hakuna kitu kama hicho. Na ikiwa ilikuwepo sio hapa duniani maybe kwenye Sayari zingine. Quran ni copy ya bibilia hasa vitabu 5 vya kwanza vya bibilia. Na Ikiwa Adam na Hawa walikuwepo jua hili ni watu wa Juzi. Kwakua kwenye somo LA Theology Story ya Adam ni ya 6 BC. Kwa maana ni miaka almost 7 alfu kutoka kipindi hicho. Na mzungu angejua kua bibilia Ina ukweli hadi Leo hapangekua na bibilia kwa watu weusi
@josephatjosephat7448
@josephatjosephat7448 Жыл бұрын
sky ww ni 🔥🔥🔥🔥🔥
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j Жыл бұрын
Yani hivi sasa tungekuwa tunapiga mipicha tuuu nakudamshi 😅
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
🤤🤤
@Maishacanada
@Maishacanada Жыл бұрын
Zay kama Zay
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 Жыл бұрын
,😃
@hubimogela9167
@hubimogela9167 Жыл бұрын
SKY Subili Adhabu kali sana mbinguni sauti yako wewe ni Pastor kabisa ila wewe upo kwenye media nakuonea huruma PASTOR SKY
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti Жыл бұрын
😅😅😅
@bettycharles6148
@bettycharles6148 Жыл бұрын
kaitafuteni ngorongoro kwa maombi ya utulivu kwa Bw. Mungu
@ROSEROBERTROBART
@ROSEROBERTROBART Жыл бұрын
Hii bustani ya eden ipo hapa hapa duniani, lakini iko kwenye ulinzi mkali wa malaika,Pia ss wenye macho ya kawaida hatuwezi kuiona kabisa, lakini lusifa mjaa laana yy huiona lakini hapaingiliki
@anchortechnicx5014
@anchortechnicx5014 Жыл бұрын
Sasa kama ipo hapa hapa duniani halafu inalindwa wakati haionekani Sasa inalindwa Ili iweje Nan ataiba Sasa kama haionekani
@ROSEROBERTROBART
@ROSEROBERTROBART Жыл бұрын
@@anchortechnicx5014ndugu yangu bustani ya edeni ipo hapa duniani, lakini hatuwezi kuiona,manake hapo ni mahali patakatifu,fikiria wakati adam na hawa walipotenda dhambi,yehova alituma malaika waiwili tu,wakaja wakatimuliwa watoke nje ya bustani hio,coz ss binadamu tusichokijua hio bustani ipo katikati ya hii dunia tunayoishi, narudia tena kwa macho ya kawaida hatuwezi kuiona manake ni mahali pa watu wasiotenda dhambi,pia panalindwa na malaika wawili tu,ili shetani asije akaingia, manake yy anaiona vizuri tu, ndio maana alingia akawafanya wanadam wakatenda dhambi,pia mungu angetupa uwezo wakiona hio bustani hakuna binadamu angekubali kuishi nje ya bustani hio,ujue huku ni raha mstarehe,hakuna kuumwa,hakuna kufanya kazi,yani ukisikia utajiri wa mungu basi uko huko kwenye bustan ya eden,yani huko ni full kujiachia lakini hakuna tenda maovu.😆😆👌
@anchortechnicx5014
@anchortechnicx5014 Жыл бұрын
@@ROSEROBERTROBART ngoja nikubali Ivo Ivo japo Bado ni fumbo
@ajabudavid3040
@ajabudavid3040 Жыл бұрын
Ukweli nikwamba uko wanaposema wanawaza tu kama wanataka kuupata waje Congo watauwona
@maryaika9645
@maryaika9645 Жыл бұрын
Eden is on earth 🌎 Now it is somewhere but bible has to give understanding Now there is an angel guiding it Let’s be real most of us are in able to see viumbe we are living with how can we see angels
@emanuelchanya5182
@emanuelchanya5182 Жыл бұрын
Heshima kwako mkuu.
@kassebo
@kassebo Жыл бұрын
m.kzbin.info/www/bejne/d4jbaYZrgNR7oLs 🎥 KASSIANO KASSEBO (#AHSANTE)(#official ... - KZbin
@mwangiakila8020
@mwangiakila8020 Жыл бұрын
Iko Kenya muranga county
@khurlainashly5686
@khurlainashly5686 Жыл бұрын
🔥
@chelseafcinafrica4313
@chelseafcinafrica4313 Жыл бұрын
Mikafiri nimtihani kweli haya hao watafiti wanaamini kwamba EDEN ILIKUWEPO? AU IPO ?
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 Жыл бұрын
Tumia akili kabla ujaropoka utumbo , sasa kama hawaamini why?! wanachunguza , anamaana kinachotafutwa kipo ndomana kinachunguzwa, sasa wewe ulie kua hujui Imani ni nini au Mungu Nani! Na hao watafiti walioamini kabla yako Nani kafiri?
@pendomarco8928
@pendomarco8928 Жыл бұрын
Mimi najua ambae siyo kafiri hafi usingekuwa haurudi mavumbini apo tungejua wewe siyo kafiri tabia zenu chafu za kuita wenzenu kafiri ata Mungu hapendi kimoja kinaweza kukuponza usione pepo
@octaviantito
@octaviantito Жыл бұрын
Kwani fuvu la mwanadamu wa kwanza lilipatikana wapi? Kwanini pasiwe Eden???😜
@markovuruga86
@markovuruga86 Жыл бұрын
Sema kama unapoint hv..... Ila lile lilikuwa la nyani mwaisha😂😂😂😂😂
@triplea_pilot9938
@triplea_pilot9938 Жыл бұрын
Mimi nakupenda federal bundala ila kwa hii story ungeachana nayo tuu
@danfordmkwandule9528
@danfordmkwandule9528 Жыл бұрын
Bro Sky, Bustani ya Edeni ilipotea baada ya ghalika ya Noa. Kwakua kusudi la Mungu alikutimia ndomana ikawa ivo. Ivo ndomana leo kuna Ahadi Mungu anatoa kua Waadilifu wataishi Milele kwenye Dunia Paradiso. Zaburi 37:29. For more information waone Mashahidi wa Yehova walio karibu nawe upate madini konk hautajutia. Utapata maudhui adhimu sana kwa wasikilizaji wengi sana.
@redpromediat.o.tstrongteam1679
@redpromediat.o.tstrongteam1679 Жыл бұрын
🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@almasially6509
@almasially6509 Жыл бұрын
eden ipo buza nyie
@abrahamregnald1555
@abrahamregnald1555 Жыл бұрын
nauliza uyo Adam & Eva walikuwa weupe au weusi!?.
@IJUE_BIBLIA
@IJUE_BIBLIA Жыл бұрын
Kila kitu ni hapa hapa duniani....
@usetobe.1067
@usetobe.1067 Жыл бұрын
Neno litasimama wakati mambo yote yatapita,bali Neno litasimama.
@shabanikamamba2143
@shabanikamamba2143 Жыл бұрын
Yemen ipo
@magecmo3640
@magecmo3640 Жыл бұрын
Hakika tupo mwishon
@hafidhyakoub8369
@hafidhyakoub8369 Жыл бұрын
Duniani hakuna bustani za eden
@rebeckyusuph8058
@rebeckyusuph8058 Жыл бұрын
Natamani ningeishi huko Eden
@swahilibrotherhood
@swahilibrotherhood Жыл бұрын
Alafu wote walikuwa Wazungu blonde
@nozgeniuz1812
@nozgeniuz1812 Жыл бұрын
SKY amini usiamini bustani ya edeni ipo hapa tanzania tu na eneo hilo ni kigoma soma mwanzo 2:15 mpaka 3:15 inasema waziwazi kuwa edeni ipo tanzania
@rachellebahati6126
@rachellebahati6126 Жыл бұрын
Adam na hawa walikuwa weusi.sio wazungu. Na Eden ni africa. Ni Kati ya soudan na congo
@Manswabu
@Manswabu Жыл бұрын
Uyu jamaa sauti yake ni iko bomba sna
@zclassicfashionz1573
@zclassicfashionz1573 Жыл бұрын
Bustani ya edeni ipo mbiguni lbda kama wamepata sehemu Adam na Hawa walipoteremkia
@chocolatevivian830
@chocolatevivian830 Жыл бұрын
😂 😂 😂 😂 Ghai tutackia mambo mingi jmnn
@chunoree2797
@chunoree2797 Жыл бұрын
unajua san mkuu
@catherinemuhagama7338
@catherinemuhagama7338 Жыл бұрын
Lazma Itakua ilkua dunian sema tumefumbwa tu au ukute ndo njia ya kwenda mbingun 🤣🤣🤣
@kuringemartin1203
@kuringemartin1203 Жыл бұрын
Play at 1.25x speed. TML!
@godfreymuroba7973
@godfreymuroba7973 Жыл бұрын
Mbona bustani ya gethsemane ipo sasa hiyo nyingine iko wapi
@pendomarco8928
@pendomarco8928 Жыл бұрын
Walituponza wakanyanganywa utukufu
@singidaone5628
@singidaone5628 Жыл бұрын
Ni vingumu kuamini kwa sababu dunia iliteketezwa kila kona kipindi cha nuhu hivyo vyote vilipotea sasa wakina sisi tutaaminije hapo tumepigwa na kitu kizito
@jumaabas6837
@jumaabas6837 Жыл бұрын
Fact umeongea kunywa coca-cola kisha lipa
@rosemaryismaily001
@rosemaryismaily001 Жыл бұрын
Sasa niulize huko iraqi na turkey kuna wanyama kam wa Afrika
@zachmaselle6635
@zachmaselle6635 Жыл бұрын
mbona picha za watu ni za wazungu?
@zuriathkajwangya9250
@zuriathkajwangya9250 Жыл бұрын
Hapo sasa?
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 Жыл бұрын
Musa hajaandika vitabu. Je Musa aliweza kuandika hata alivyokufa? Musa akapanda mlima, musa akafa, musa akazikwa,..ukisikia malaika wakaasi, ukasikia kua shetani kwamjibu wa Bibilia kua alikua malaika akaasi akachukua 1/3 ya malaika. Kuna uwezekano wa 100% wanaendelea kuasi hadi Leo. Na kumbe Malaika wako kama sisi kwenye kuchagua. Na Mungu Hana wanajeshi. Wanini?
@anchortechnicx5014
@anchortechnicx5014 Жыл бұрын
Daaah yaani kwa kweli ni kama wanatuacha midomo wazi hawa wazungu maana Mungu hawezi kuwa na jeshi maana yeye Si mwanadam
@FAMILYSIMBA
@FAMILYSIMBA Жыл бұрын
HEDEN MI NAONA NI TANZANIA... MAANA TUNA MKOA UNA ITWA DAARU SALAAM (jumba salaams) ALAF KOLONA KOTE DUNIANI WALIJIFUNGIA SISI TULIPETA TU.... TANZANIA TUNa Kila kitu....
@cendrillonnam4549
@cendrillonnam4549 Жыл бұрын
Duh
@kasindejonathan978
@kasindejonathan978 Жыл бұрын
Kweli kabisa Wala so uongo edeni ni Tanzania I'ma Kila kitu hata kitu ambacho dunia mzima hawana tz vipo madini Kila aina wanyama ndege milima Mito bahari maziwa Hadi Raha Sasa hapa ni edeni ...
@stanleymathias2529
@stanleymathias2529 Жыл бұрын
Kwa hiyo yule mtu wa kwanza kule ngorongoro ikoje
@asumptharuhinda3471
@asumptharuhinda3471 Жыл бұрын
Just story
@hellennjeri2431
@hellennjeri2431 Жыл бұрын
Inasemekana IPO Kenya 😂😂😂
@fedyaalzadjali8597
@fedyaalzadjali8597 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@pikanaauntzuu1466
@pikanaauntzuu1466 Жыл бұрын
😅😅😅😅ndio maana wakenya wanakila kitu huko kenye hata mi nina uhakaika itakuwa kenya
@pikanaauntzuu1466
@pikanaauntzuu1466 Жыл бұрын
Ipo huko huko kwenu
@khadijaabdala6876
@khadijaabdala6876 Жыл бұрын
😀😀
@mwangiakila8020
@mwangiakila8020 Жыл бұрын
Iko muranga Kenya
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️✌
@sinbadshauritanga6751
@sinbadshauritanga6751 Жыл бұрын
Eden ipo Arusha kasome bible sura ya pili lakini pia mwanadamu wa kwanza fuvu lake lilipatikana Arusha ambapo kwenye bible wanasema ashuru
@Manswabu
@Manswabu Жыл бұрын
Mpumbavu ww
@africanproudly4004
@africanproudly4004 Жыл бұрын
Waseme kuwa ipo Afrika ili muamke au muambiwe kuwa watu wa kwanza walikua weusi Mutu na Mwatu 😞 Tumeachiwa azina katika lugha zetu ila fumbo ambalo tumefungwa akili watu weusi
@BLINDREPORT2023
@BLINDREPORT2023 Жыл бұрын
GUSA HAPA kzbin.info/www/bejne/in-zqadtodl7idE UTANISHUKURU BADAE
@goodlucktemu3149
@goodlucktemu3149 Жыл бұрын
Fake story
@josephmoses2469
@josephmoses2469 Жыл бұрын
ILA SKY UNATISHA KWENYE HIZ KAZI YANI KWENYE KUSIMULIA LAZIMA MTU UKISIKILIZA LAZIMA UMALIZE STORY MPAKA MWISHO MANAKE UNATISHA
@BLINDREPORT2023
@BLINDREPORT2023 Жыл бұрын
GUSA HAPA kzbin.info/www/bejne/in-zqadtodl7idE UTANISHUKURU BADAE
Harley Quinn's plan for revenge!!!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 30 МЛН
Israel on Alert | News on The 700 Club - August 5, 2024
19:31
CBN News
Рет қаралды 192 М.
The Great Controversy Film
55:52
3AM:
Рет қаралды 504 М.