Asanteni wakristu wa katolika kule nchini Tanzania. Hongera mwaka mpya Elfu mbili isirini na mbili. Tafadhali nafurahia nyimbo zenu nzuri sana wa kanisa ya katolika. Mungu Baba hawabariki. Amina.
@marynanjala8649Ай бұрын
😊
@MwendwaMutua-w7tАй бұрын
Nimejivunia na imagine ya kanisa katoliki
@gustavkunkuta62634 жыл бұрын
Mtunzi Mwalimu Bruno Seif Mpepeo aliwahi kufundisha hesabu Mzumbe High School, na pia alikuwa mwalimu wa Kwaya ya Mtakatifu Augustino Parokia ya Mzumbe. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
@chilufyachisanga47383 жыл бұрын
Lovely proud to be a catholic
@enockkiptanui2548 Жыл бұрын
Wimbo bora zaidi , Mungu atutume tuwahubiri mataifa. Tuwe chombo cha amani yake
@mariej69625 жыл бұрын
Nikiangaliaga napadre Nashukuru Mungu sana kwa ajili yao. Wamefanya maamuzi magumu ya kuishi maisha tofauti kabisa na kumfuata Yesu ili kuifanya yake. Tuwaombee na kamwe tusiwahukumu wanapoanguka . Eeh Yesu nisamehe pale nilipotoa kauli dhaifu juu ya watumushi wako hawa na uniongoze nisirudie tena.
@sr.elizabethmbuligwe55405 жыл бұрын
Jamani tuseme mungu asante kwa yote
@yohananyami18895 жыл бұрын
Safi nimebsrikiws
@winslowzirops35985 жыл бұрын
Amina Mpendwa
@samuelmacumi605 Жыл бұрын
Asanteni sana nyimbo munazotengeneza zinatusaidia zaidi ya sana
@gilberthjohn19153 жыл бұрын
Am proud to be a catholic member 😍😍
@patrickmkambilwa99324 жыл бұрын
Bwana amenituma kuwahubiri mataifa Bwana amenituma mimi Bwana amenitia mafuta kuhubiri abari njema asante sana kwa maneno ayo yenye umuhimu katika maisha yetu yote Mungu awabariki na kuwa Linda katika maisha yenu yote nakuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
@rakastefanus10603 жыл бұрын
Woww👏👏👏 it's the very good and amazing song, may God bless you all, my family, the catholics people ini Tanzania, This is from Indonesiaa
@theosaimon69333 жыл бұрын
Welcome my brother to Tanzania
@michaeldias18123 жыл бұрын
@@theosaimon6933 (km
@Abelly-j4w3 күн бұрын
Nabarikiwa na nyimbo nzr 2024 ❤❤❤❤
@gracerwega42365 жыл бұрын
Kweli nimemuona Bwana Yesu kupitia Wimbo huu.... big up kwa Mtunzi.... naipenda imani yangu ya UKATOLIKI najivunia Viongozi waadilifu na waelewa Mungu aendelee kuwalinda
@katororoiddy33374 жыл бұрын
Am keen kanisa lak
@ellyakartikaningtyas54333 жыл бұрын
Wartakan Injil keseluruh dunia Dan Tansania tengah panen berkah Tuhan Yesus memberkati Amin
@lucymkenda90695 жыл бұрын
Asanteni nyimbo Nzur imenibariki sana
@cratoshell48434 жыл бұрын
Jesus
@cratoshell48434 жыл бұрын
Jes us
@vladimirlobkowicz58075 жыл бұрын
You make me proud of being Roman Catholic. Greetings from Central Europe
@constancengoto253 жыл бұрын
Amen
@carne10693 жыл бұрын
Hongereni Sana kweli bwana amewatuma ninyi.
@josephzammit84833 жыл бұрын
I’m publishing a weekly KZbin video on episodes from the life of Don Bosco, entitled ST JOHN BOSCO by JOE ZAMMIT. In this series I’m narrating events and miracles from the splendid life of Don Bosco. St John Bosco used to perform a miracle almost every day, through the intercession of Mary Help of Christians. From the lives of saints we can learn how to love God more and draw closer to him. Thank you
@isidoremuhawenamungu5924Ай бұрын
Nyimbo nzuri sana !Ahsante!!
@munnyadrian906719 күн бұрын
Huu wimbo umenikumbusha miaka ya 1990 nikiwa mdogo. Umenifanya nimkumbuke marehemu padre Christopher a.k.a Mganda aliyekuwa paroko wa parokia ya Mawella Moshi. Alipenda sana kuuimba wimbo wakati wa misa ya watoto. Eeh Mungu naomba utujalie tufike katika makao yako tufurahi pamoja nawe Mbinguni.
@romanambelle63565 жыл бұрын
Mungu awabariki sana viongozi wetu wa kiroho. Furaha imeja moyoni mwangu. Wimbo na matendo vipo sambamba sawia. Amina.
@sulehassanshall61405 жыл бұрын
Paulo alikua akitombwa kanisan na lusifaa kisha vipi unakubali dini kma hio yakishetan. .yesu huku jnga kanisa wala Hakuenda kanisan vp ninyi muko na kiherehere cha makanisa
@sulehassanshall61405 жыл бұрын
Shetan Amewajaa kwakichwa yenu lkn mujue Adhaabu Kali yamoto wamungu inawasubiri Wndeleeni kumfurahisha shetan kwa kumkasirisha mungu. Kwa mnno yauongo kumcingizia nabii yesu uongo...bc Adhaabu yamngu inawasubiri.mukirudi kwake Atawasmhe lkn mukafa mukiwa wakrsto Bc Adhaabu Ita wapta kuanzia mkburini
@mihatamnyaturu90695 жыл бұрын
Sihami ng'o kwenye ukatoliki,sasa hizi raha zote nimwachie nani,hongereni sana wakatoliki wenzangu wote,mungu awatie nguvu na awabariki kwa amani.
@marcelinamassawe1005 жыл бұрын
Yaan sio wewe tu mimi walishanishawishi ni hame lakin waliona ilishindikana mimi kuhama badala yake wakahamia wao
@sulehassanshall61405 жыл бұрын
Usihame lkn Moto Mkali unakusbiri ciku hio. .mungu Alileta dini moja kwamanabii wote. Nao niuslam Atakae kanauislam bc Asubiri Moto Ciku hio wataingia pamoja na mashetan. .ukirsto nidini yawazungu cidini yamngu..ole wao Atakae kufa nahakua muislam Moto utmsbiri
@marcelinamassawe1005 жыл бұрын
Niache na imani yangu fuata yako nami nafuata yangu wewe hijawa Mungu anaye hukumu kwa haki kama wasema moto unanisubiri sintaenda motoni utaenda wewe unaye hukumu kuonhilia kazi ya Mungu
@mathewmassawe59824 жыл бұрын
Ama kweli "MUNGU NI MWEMA:
@aichaabdul58444 жыл бұрын
@@sulehassanshall6140 duuu!!!! Kuliko kufuata hicho unachokiamini bora kuchomwa moto tu
@MwachayekaMussa7 ай бұрын
Namshukuru Mungu kumtumikisha Mwl Mpepo BS.Nilimsikia akiongoza kwaya pale Mzumbe parokiani akitoka Mzumbe SS,tulisikitika alipohamishiwa mkoani Kigoma(Mwandiga SS)baadae akahamia Katumba SS.Utumishi wake ukaishia pale.RIP Mwl Mpepo,sauti yako iliinua nyoyo za Wanamzumbe the late 80s and early 90s.
@monicakamenya8805 жыл бұрын
Amina sana napata faraja nisikiapo nyimbo za ijiri za kikatoliki jina la bwana libarikiwe
@josephatmahona47765 жыл бұрын
Ee Mungu daima nifanye mtumishi wako na unijalie imani iliyo ya kweli daima moyoni mwangu,Amina
@dorcussememba42512 жыл бұрын
Good evening once songs alike so inkaleging
@florentinussamson36913 жыл бұрын
Proudly....to be Chatolik from Indonesia
@patriciahkiio96924 жыл бұрын
Asubui namuuka na huu wimbo,,, much love from Kenya 🇰🇪🙏🙏🙏
@ponsianaprotas8990 Жыл бұрын
Mungu Baba nakushukuru kwa kuwa nilizaliwa kwenye dini ya kweli iliyoanzishwa na Yesu Kristu mwenyewe. Kanisa ni moja, Takatifu, Katoliki, la Mitume.
@consolatawamwea4723 жыл бұрын
Napenda huu wimbo kila siku lazima nisikize ...from Kenya
@janembula10583 жыл бұрын
Mungu awabariki
@chemosgilphillian40405 жыл бұрын
Wimbo huu unabariki xana.... najivunia kuwa mkatoliki
@erestinaandrew28315 жыл бұрын
Safi sana napenda Ukatoliki wangu najivunia wimbo unachoma Moyo
@bagenisomba23275 жыл бұрын
Erestina Andrew Asante yesu
@erickkili41664 жыл бұрын
Asanteee yesu wangu
@yovithaobed55743 жыл бұрын
I feels proud to paticipate in this event i was very happy. Congraturation my bishop Gelvas Nyaisonga to reach another step
@emmanuelsenge46725 жыл бұрын
eee mungu tunakuomba ulijalie kanisa katoliki hekima ,na ulitie nguvu siku zote na uwajalie watumishi wako hekima katika kazi zao na utujalie moyo wa kukutii wewe mungu wetu ,tunaomba hayo kwa njia ya kristo bwana wetu.amina
@ndindachristine37713 ай бұрын
Tafadhali mtu anitumie maneno ya huu wimbo ni mzuri sana
@robert.maganya10515 жыл бұрын
Praise and thanks God, Thank you for the great Gospel music, may Father God, Almighty bless us All in Jesus Christ our Lord and Savior
@janethmkumbi87455 жыл бұрын
hata km na hasira nikisika nyimbo hii uwa zinaondoka najivunia ukatoliki wangu
@belindananjala88445 жыл бұрын
Wow wow congrats wanachoir, God's blessings upon you,proud to be a Christian, when I listen this I feel as if I'm in heaven
@justusmutiso26672 жыл бұрын
wow that's good song.congratulation.
@wabulegrace63352 жыл бұрын
Servants of God, you are so wonderful and you deserve a distinction.
@fredetal6525 жыл бұрын
wauh! I will never leave the church of christ! God Bless
@liliankwizera85465 жыл бұрын
ALFRED KAUNDA me too! Proudly Catholic
@felisterligwa5 жыл бұрын
I too,born Catholic ,raised Catholic,staying Catholic and will die Catholic
@cynthiamutesa86405 жыл бұрын
Naipenda imani yangu...daima nitasalia kuwa mkatoliki
@liliankwizera85465 жыл бұрын
Cynthia Mutesa Mimi pia najivunia kuwa Mkatoliki! The Church which were built on foundation of St.Peter!
@blessedelizabeth53925 жыл бұрын
Naupenda huu wimbo,love from Kenya
@wiliminajustin76364 жыл бұрын
Abari njema safi sana
@marykarebeti94103 жыл бұрын
Love from Tz
@garciaspanjopanjo84433 жыл бұрын
@@marykarebeti9410 lk
@franciskalistus69872 жыл бұрын
Hakika
@restutakamili96143 жыл бұрын
Amen! Wimbo umenitia mafuta glory to God👫👩👩👧👦
@edwinkalara95585 жыл бұрын
Proud to be a Catholic Christian
@AgnetarPatricia10 ай бұрын
Nice song I love it❤
@AgnetarPatricia10 ай бұрын
Nice song I love it❤
@dominusmcstella58285 жыл бұрын
Proud of my catholic The universal church ⛪️ on planet 🌏
@josephzammit84833 жыл бұрын
I’m publishing a weekly KZbin video on episodes from the life of Don Bosco, entitled ST JOHN BOSCO by JOE ZAMMIT. In this series I’m narrating events and miracles from the splendid life of Don Bosco. St John Bosco used to perform a miracle almost every day, through the intercession of Mary Help of Christians. From the lives of saints we can learn how to love God more and draw closer to him. Thank you
@mgkujur58473 жыл бұрын
Absolutely
@josephinegravasiano88605 жыл бұрын
Mungu awasimamie viongozi wetu wa kiroho inapendeza wimbo mzuri wa kuwatia si kazi rahisi
@sulehassanshall61404 жыл бұрын
Kila Asie msujudia mungu Amelaaniwa namungu. ...ukirsto nidini yamashetan. ..bibilia ishasema kanisani kuna kiti cha enzi cha shetan. Ikasema tena waliolala kwenye ukiristo wamepotea. Ikasema tena yesu Alikua Akienda misikiti Akiabudu mungu wake. ...Munaenda kufanya ninini kanisani kwa shetan? ? ? ? ? Shetan Ataendelea kuwamiminia maji yake machafu kwamikundu yenu musio msujudia mungu nikazi yashetan kuanzia zamani kuwabaka wanaadamu wasio msujudia mungu. .. Jee ww uko tayari kumiminiwa maji machafu yashetan kwamkundu wako Kila siku uciku??????? Shetan Hana huruma nawatu wasio msujudia mungu. .. Ukirsto nidini yamashetan walio kuja nawo wazungu Afrika. Shetan mshenzi sana Anataka wanaadam wote wasimsujudie mungu. Mungu nae Anataka watu wote wamsujudie yeye.ndio waislam wanamsujudia mungu... Makundi mawili moja lashetan wasio msujudia mungu.namoja lamungu linalo msujudia.....
@kolimbadaniel2412 жыл бұрын
Amina mungu ibariki jpili ya Léo tukapate lidhik familia yetu
@annakulanga54155 жыл бұрын
Ukiristu raha sana hasa ukiwa mkatoriki asiyejua basi aendlee kutokujua na kubiasha najivunia ukatoriki wanguu🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@carokipkoech10744 жыл бұрын
Am blessed with this song catholic truly aints much to me💕👍👌
@sherrygeofrey38684 жыл бұрын
Jenifer
@DavidDismas-w4w7 ай бұрын
Pax et Bonum, Syaloom from West Borneo.
@theresiamateru64263 ай бұрын
Asante Mungu kwamba mimi ni mkatoliki
@loraineogweno34405 жыл бұрын
Kuitika wito ni raha ,,,Catholic damu ,,be blessed all
@josephjosephat90295 жыл бұрын
Loraine Ogweno CCG
@ndiwelamsanga61902 ай бұрын
Hongera sana muhashamu Askofu mkuu
@josepaulino73183 жыл бұрын
Boa noite atodos irmão que Deus abençoe anossa terra.
@estherelias86765 жыл бұрын
Najivunia kua mkatoriki coz najua npo sehem sahihi ya mungu alipo taka niwe
@melaniapaul84363 жыл бұрын
Mung awabariki kwa wimbo mzrii ♥️ azidi kuwatia moyo katika utume wenuu was uinjilixhaji kw kupitia nyimb hz nzur
@JustinMukanirwa-nr2oq Жыл бұрын
Félicitations vraiment mungu awabariki Sana
@ezeniambokozi267 Жыл бұрын
Jamaniiiiiiii mungu awabariki wanakatoric wote popote pale mlipo
@josephinekessy19944 жыл бұрын
I'm proud to be Catholic
@hannahmwaura24633 жыл бұрын
Much love from Kenya..at st Francis of Assisi Catholic Church ruiru parish .
@agnesmaumenee85922 жыл бұрын
L'Éternel seul est Dieu ! À lui seul toute la gloire ; que tous le craignent et connaissent que L'Éternel seul est Dieu au Nom de JÉSUS CHRIST AMEN
@clovisbertoncini72854 жыл бұрын
Wonderful procissional.
@Nangondo4 жыл бұрын
The pageantry of this church just lifts God's praises higher n higher like David did
@ntakirutimanapatrick48763 жыл бұрын
Papi kereva
@jeanbaptistepaluku74383 жыл бұрын
Merci pour le chant
@adelamisanya41805 жыл бұрын
Bwana amenituma kuwahubiri mataifa. Nabarikiwa sana
@charlesmsonge56574 жыл бұрын
Proud to be Catholic 💘💘
@abedyabwe60174 жыл бұрын
Merci bcp pour cette chanson,que Dieu vous benissez
@flova70222 жыл бұрын
saluté des Congolese people
@johnritte43384 жыл бұрын
Namuomba mungu ukatoliki wangu uwe taa yakuwaangazia wengine
@benjaminilunga17362 жыл бұрын
La meilleure de toutes les Églises du monde
@eliasfassarella640311 ай бұрын
A única.
@ritabaitmetan52263 жыл бұрын
Congratulations so amazing voice
@namutebigorret90903 жыл бұрын
May God bless you and our catholic church
@quiricocuando9636 ай бұрын
I like you I thank you Jesus amen❤❤❤🙏🙏🙏
@lilililian5755 жыл бұрын
May all Catholics priests, sisters and brothers be blessed. Najivunia kuwa mkatoleki
@hildaenock83195 жыл бұрын
Lili Lilian najivunia san kua mkatork
@etalimeru38685 жыл бұрын
Proud to be a Catholic
@felisterligwa5 жыл бұрын
I too
@scholaminayo31794 жыл бұрын
I love my catholic faith❤️❤️❤️
@raphaelchua64785 жыл бұрын
Asante mungu kwa kutupa viongozi wa kanisa
@bagenisomba23275 жыл бұрын
Raphael Chua bwana
@winfridadeogratias63015 жыл бұрын
Asante baba, chunga kondoo Wa Mungu
@dominamosha8801 Жыл бұрын
Amen Glory be to God
@metinjula82513 жыл бұрын
Wimbo huu naupenda sana .. asante Mungu
@alexngelezi98643 жыл бұрын
Amen
@horaciocarlos14284 жыл бұрын
Bemçaõ de Deus fotifique a Igueja catolica .
@mariazonta32393 жыл бұрын
Que DEUS abençoe e proteja os sacerdotes da verdadeira Igreja de Nosso Senhor Jesus Cristo. Salve Maria.
@emmanuelbenedict2805 жыл бұрын
Baba Fanya kazi kuhubiri neno LA mungu
@charlesowuorganda57525 жыл бұрын
Proudly Catholic. May God bless all Christian churches.
@olivamlai54313 жыл бұрын
Nice MUNGU awape afya njema
@MarySirengo-b1j Жыл бұрын
Nimefurahi sana na mbarikiwe.
@fredrickanastacia75884 жыл бұрын
Wakati ambapo Wazazi wangu na marafiki zangu wako against Mimi kujiunga na shirika ili niwe mtawa,huwa naimba huu wimbo na tiwa moyo nguvu ya kuendelea na wito wangu
@robert.maganya10515 жыл бұрын
Amina naipenda dini yangu katoliki, kristu atubariki wote
@mickeytissa65425 жыл бұрын
Nabarikiwa sana Na wimbo huu
@jenniferofosu-mensah81363 жыл бұрын
Wow wow congrats pastors and prophets, God bless you because your work is a very hard work and is a good work too. Well done Ayekoo
@raimundomarcaldecarvalho9503 жыл бұрын
Deus abençoe e ilumine estes bem amados irmãos
@amandoleverian35322 жыл бұрын
Kazi yamungu nzuri sana
@josephotto47853 жыл бұрын
God may give them life of joy and happiness to have mercy and forgiveness to canect us to ur words through your blessings amen
@sifamarieclaire65903 жыл бұрын
Nyimbo nzuri Sana kabisa
@lornahkhamuka69645 жыл бұрын
O God, May I and my children always pass through your ways! In Jesus's name I pray emen!
@josephzammit84833 жыл бұрын
I’m publishing a weekly KZbin video on episodes from the life of Don Bosco, entitled ST JOHN BOSCO by JOE ZAMMIT. In this series I’m narrating events and miracles from the splendid life of Don Bosco. St John Bosco used to perform a miracle almost every day, through the intercession of Mary Help of Christians. From the lives of saints we can learn how to love God more and draw closer to him. Thank you
@faustinefs11485 жыл бұрын
Amina Sana namuomba Mungu aendeleee kuliinua kanisa katoliki aminaaaaaa
@hillaryshao33694 жыл бұрын
ameeen
@wanjirokavishe48485 жыл бұрын
wooh a proud to be a catholic
@davishenrykibassa10385 жыл бұрын
Hongera Sana Mhashamu Baba Askofu Gervas John Mwasikwabila Nyaisonga Kuwa Askofu Mkuu Jimbo Kuu La Mbeya!
@eldamanyasi22885 жыл бұрын
Nanawashukuru wote so mungu awabariki sana
@camillucekiponda87074 жыл бұрын
Wimbo huu ni mzuri mno na ujumbe mzuri kwa Wakatoliki wanaojivunia ukatoliki wao.
@restrestmngano34945 жыл бұрын
Mbarikiwe sana
@robert.maganya10515 жыл бұрын
Amina bwana awabariki waimbaji nasi tupate baraka kupitia wimbo huu Amen
@sweetybati33744 жыл бұрын
Mungu Awabaliki
@SalomeMasolwa Жыл бұрын
bwana amenitia mafuta kuhubiri habari njema.amina kubwaaa
@gm7mathiasmichael9514 жыл бұрын
Mungu awalinde maaskofu wetu
@florenciasimba61525 жыл бұрын
Naupenda sn huu wimbo una hisia kali
@josephatharajick73925 жыл бұрын
Hongereni xna nmebarikiwa na wimbo huu
@adamdaudi61915 жыл бұрын
Ukitafakari kwa makini juu ya mafundisho ya kanisa katoliki kabla hata ya kusoma agano jipy(injili), utamwona Yesu kristo aliyekufa msalabani, lakini pia mapadre maisha tu ya useja ni sadaka kubwa mbali na huduma zingine watoazo, kiukweli kuishi bila mke si kazi ndogo hata kama kuna wakati wanaanguka bado wanasitahili kuthaminiwa na kuombewa kwa kuwa wanasimama kumwakilisha Kristo na na Mungu baba Mwenyezi!.
@marcelinamassawe1005 жыл бұрын
Kaka Adam umenena inatupasa kuwaombea jamani mana kazi ya upadre si lelemama
@aichaabdul58444 жыл бұрын
@@marcelinamassawe100 haaaaa! Sio lelemama kweli, kuanzia malezi ya seminary tu sio mchezo......mambo yanakuwa magumu mpaka unahisi sio wito wako