BWANA HARUSI AFARIKI SIKU 5 KABLA ya NDOA - BIBI HARUSI AVAA SHELA AKISHUHUDIA MWILI wa MPENZI WAKE

  Рет қаралды 74,323

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер
@globaltv_online
@globaltv_online 5 ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@siaammo1104
@siaammo1104 5 ай бұрын
Poleni sana kwa familia zote mbili Mungu akawe faraja kwenu.
@MariamuJuma-t8z
@MariamuJuma-t8z Ай бұрын
namabwanaharusi wanakufa jaman baada ya harusi au kabla ya harusi shidaninini jamn au wanawaterekeza walosotanao wakifanikiwa ndo wanatfta wengine maana hawawanaumenao mmh MUNGU atusaidie tu mwanamke mwingine unakutaanalia chozilakelinakufata ndoyanatokeaaya mtashika wachawi
@elizammari
@elizammari 5 ай бұрын
Pole sana kwa bibi harusi ila katika ulimwengu wa roho wakisema avae gauni la harusi kwamba ndio harusi yao atakuwa amefunga ndoa na huyo aliyekufa na hicho kitakuwa kifungo. angevaa vazi lingine tofauti na tukio liwe la maazishi kawaida kama mpenzi ili awe huru kuolewa na mume mwingine japo inauma sana
@annettemalechela7543
@annettemalechela7543 5 ай бұрын
Ulimwengu wa roho ni mpana sana, maana mnaweza fikiri mnaoana watu wawili lakini bila kujua kuna mabibi na mababu ambao usipopokea uponyaji kabla ya harusi kuwakatilia mbali ktk jina la Yesu ndoa itakuwa ndoana tunahitaji kukombolewa na damu ya Yesu Kristo
@neemareuben311
@neemareuben311 5 ай бұрын
😢😢😢😢huyu kaka wa biharusi unaweza kuona kama Ana furahi ila hapana kwenye ilo tabasabu lake lini maumivu makubwa sana mno ogopa sana watu wa ivyoo wenye tabasamu wakati wa maumivu ogopa sn 😢😢😢😢😢polen jmn
@EstherSamamba
@EstherSamamba 5 ай бұрын
Nimesoma na huyu kaka yupo hiyo hata kama anahasira😢
@romanambelle6356
@romanambelle6356 5 ай бұрын
Heri mlojua mipango ya Mungu si ya mwanadamu ishikeni imani. Mungu awavushe salama
@Chakol123-k7s
@Chakol123-k7s 5 ай бұрын
Mungu mkali sana 😢😢 bi harusi ana uchungu sio wa kawaida 😢😢
@brantywilson1347
@brantywilson1347 5 ай бұрын
Hiyo ni imani kubwa sana...Mungu atabaki kuwa Mungu hata asipotujibu kama tulivotarajia...
@maryamsuleiman6340
@maryamsuleiman6340 5 ай бұрын
Kwa WA Islam ndotunapenda kusema Insha Allah ,kwamana mipango rasmin ajuae ni Mungu ,poleni sana Wana family
@ArabiaRashid
@ArabiaRashid 5 ай бұрын
0:44
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 5 ай бұрын
Sana neno lnshaallah. Wengi hawajuimaana yake wanasematu. Kumbe linamaana kubwa
@SafiaOmar
@SafiaOmar 5 ай бұрын
​​@@HanifaOman-oo4plIn Shaa Allah ni neno kubwa sana na usiposema ni dhambi. In Shaa Allah maana ake Mungu akipenda. Allah katika QURAN anasema na wala usiseme chochote nitafanya kesho isipokua utangulize In Shaa Allah. Matumizi ni mfano useme kesha nitaoa. Basi useme In Shaa Allah kesho nitaoa.
@rukiyamohammed2945
@rukiyamohammed2945 5 ай бұрын
Cc sote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea. Poleni sana familia kwa msiba mzito ,kazi ya mungu haina makosa
@hawamafumbi7513
@hawamafumbi7513 5 ай бұрын
IPO Siri kubwa!,cc watumishi wa MUNGU tunafikilia zaid.Hatupokei kila jàmbo.ila vyote vitafumulowa cku Ile.Amina
@lizzynkifu4179
@lizzynkifu4179 5 ай бұрын
Hii Taasisi ya ndoa ni ya kuombea sana kabla na baada ya ndoa
@winnerjudith2007
@winnerjudith2007 5 ай бұрын
na saana na hata mkiwa ndani ya ndoa ni kuomba sana
@angonzamujunangoma8775
@angonzamujunangoma8775 5 ай бұрын
Mungu utabaki kuwa Mungu siku zote😢😢
@bahatimagumula2653
@bahatimagumula2653 5 ай бұрын
Hili ni pigo kubwa sana! Pole sana mdogo wangu na familia kwa ujumla
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 5 ай бұрын
Inalillahi wainailahi rajuun. Kufo hakina huruma. Kikubwa tufanye mema na tuombe saana mwisho mwema Duniani mapitotuu. Poleni wafiwa mungu awape subra
@MariaIssack
@MariaIssack 5 ай бұрын
Pole Sana Mdogo wangu TINA Mungu akupe Subra na Nguvu kipindi hiki kigumu
@ReginaMsoka-pj4jc
@ReginaMsoka-pj4jc 5 ай бұрын
Ee Mungu wa mbinguni naomba umpe nguvu na ujasiri huyu bi harusi, maana neno lako linasema wewe ni mume wa wajane🙏🙏
@DativaMbowe
@DativaMbowe 5 ай бұрын
😭😭😭😭😭
@Namtumbo
@Namtumbo 5 ай бұрын
Binamu yangu alifariki kabla ya send off
@AnnaMmassy
@AnnaMmassy 5 ай бұрын
Yani acha tu
@MaryGeorge-zz3et
@MaryGeorge-zz3et 5 ай бұрын
Ameen
@fatnajuma1832
@fatnajuma1832 5 ай бұрын
Huyo bibi harusi alichukua mwanaume wa rafiki yake uyo mwanaume alizaa na uyo dada watoto wa 3 alafu akamuacha akaja kutaka kumuoa uyu rafiki yake na dada alieachwa ni yatima Mungu hawezi kaa kimya
@NeemaDamas-c3q
@NeemaDamas-c3q 5 ай бұрын
Poleni Sana wafiwa pande2 nabihalusi mungu akutie nguvu.
@Maya-bm9bu
@Maya-bm9bu 5 ай бұрын
Hii ni mipango ya Mungu, it is true kifo ni suprise! Tumshukuru Mungu! Poleni sana
@loycenicolao7488
@loycenicolao7488 5 ай бұрын
Kabisa, kabisa BINAFSI harusi iliahirishwa na bwana harusi akaugua mpaka Leo, Mungu alinipa ujasiri sana japo kuelewa Mipango yake inachukua muda ila Namshukuru Mungu Kwa Yale yaliyotokea. Mahari ilitolewa, vikao vilikaliwa pande zote 2.jamani acheni. Ila Mungu alinifuta machozi nikapata Mume baada ya miaka 3 tu na sijawahi kujutia Ndoa yangu maana UPANDE wa Mume waliniruhusu kuolewa... Mungu anajua why hiki kimetokea, sisi twafikiri kama binadamu tu
@rebecaisemi8349
@rebecaisemi8349 5 ай бұрын
Mwenyezi Mungu pekee yake ndiye mfariji wa kweli😢😢 pole pole binti huo ndio msalaba umeubeba Mungu akufariji😢😢😢😢😢
@margretben6920
@margretben6920 5 ай бұрын
Dah Pole Dada Mungu ana mpango na wewe.
@Rose-h9o
@Rose-h9o 5 ай бұрын
Pole dada Tina mungu akutie nguvu dada yangu
@joycemkeka3769
@joycemkeka3769 5 ай бұрын
Pole sana kwa familia zote mbili mungu awatie nguvu
@PiliKhamis-mb6ty
@PiliKhamis-mb6ty 5 ай бұрын
Pole sana mungu akupe subra mdogo wangu sio rizki yako mungu atakupa mwengine muombe kwa mungu mume wako apunzike kwa amani amin yarabilalamin inshaalah
@UpendoChami
@UpendoChami 5 ай бұрын
Ushoga ni kazi sana😢 mtu anakutambulish kwa bwana ake alfu unamzunguka unamchukua😢😢 Ulaaniwe ww dada😏😏 umemuibia shoga ako ASHA bwana wamekaa zaid ya miaka 5 na watt 3 juu Ww umetambulishwa tu hata mwaka haujaisha umempokonya unaolewa ww😢😢😢😢 Mungu ni mkuu siku zote hajawai kumuacha muovu salama…… Na nyie wanaume acheni tamaaaaa🙌
@ummycheedy2809
@ummycheedy2809 5 ай бұрын
Yaan cjaelewa
@ShabanMainde
@ShabanMainde 5 ай бұрын
​@ummychekedy2809 Kaml mm
@NeemaJoseph-d3w
@NeemaJoseph-d3w 5 ай бұрын
Nini umemaanisha eti🤭
@NeemaJoseph-d3w
@NeemaJoseph-d3w 5 ай бұрын
​@@ummycheedy2809hata mm eti
@Haika28
@Haika28 5 ай бұрын
@@NeemaJoseph-d3whuyo dada alimzunguka rafiki ake akampokonya mume akataka kufunga naye ndoa
@adelgotingingo8396
@adelgotingingo8396 5 ай бұрын
Pole sana dadaangu Christina sisi kama familia tumeumia sana ila MUNGU akawefaraja kwako
@suleasalum1123
@suleasalum1123 5 ай бұрын
Mungu akipanga huwezi pangua siku yake ilifika japo limekuwa fumbo katika familia mungu ampe pumziko 🙏🙏
@rahmanassor9153
@rahmanassor9153 5 ай бұрын
Pole sana mama yangu nakuombea kwa mungu aendelee kukupa nguvu sisi tupo nyuma yako
@ChristinaMosira
@ChristinaMosira 5 ай бұрын
Pole sana wajina mwenyezi mungu awape faraja
@PendoFelix-mn8lg
@PendoFelix-mn8lg 5 ай бұрын
Kaka kuwa na aibu. Mbona hamsemi kwamba dadako alikuwa ameiba mme wa mtu mwenye mke na watoto watatu. Mwenyezi Mungu hapendi dhambi. Mshahara wa dhambi ni hayo. Mtatafuta mchawi mpaka mwisho. Halafu bila aibu manamtaja mwenyezi Mungu kwa mambo ya kipumbavu. Wote mlioshiriki kuvunja ndoa ya Aisha mkishirikiana na Amina anayejidai kufunga ndoa na marehem Mungu anawaona😎
@JosephinaLyimo
@JosephinaLyimo 5 ай бұрын
Poleni Sana MUNGU awatie nguvu Sana tumuombe Sana MUNGU iziniroho zinazotenda kazi kwasiri izoroho zinasema kwetu avitendeki ivi😔 tupende kujifunza Jamani kunamafundisho mazuri Sana kipindi kinaitwa utaifaham kweli naiyo kweli itakuweka huru
@ajuayekilindi4401
@ajuayekilindi4401 5 ай бұрын
Pole sana dada Tina Mungu akutie nguvu Airtel wanaungana na ww kwa maombolezo
@stellarogath1876
@stellarogath1876 5 ай бұрын
Bibi Arusi, usiogope Mungu atakutia nguvu, na kukushika kwa mkono wake wa kuume. Mtumaini Mungu.
@dotnatajoseph2620
@dotnatajoseph2620 5 ай бұрын
Jamaniiiiiiii 😭😭😭 polen sana wanafamilia
@verombwambo3703
@verombwambo3703 5 ай бұрын
Mungu atabaki kuwa Mungu tu yote ni mpango wa Mungu.
@pendoanzigar3172
@pendoanzigar3172 5 ай бұрын
pole tina wangu Mungu akutie nguvu kamama
@berthamwakalebela7604
@berthamwakalebela7604 5 ай бұрын
Bado Mungu anabaki kuwa Mungu
@monicalucas3738
@monicalucas3738 5 ай бұрын
Daaaa,ila yoye ni mapenzi ya MUNGU, MUNGU akawe faraja kwa familia 🙏
@esnathshop7780
@esnathshop7780 5 ай бұрын
Polen sana😢😢😢
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 5 ай бұрын
Mmmmh mwenyezi wape nguvu wanafamilia na bi.harus 🙏🙏🙏
@veronicathomas9422
@veronicathomas9422 5 ай бұрын
Mungu tusaidie
@veronicangwale7159
@veronicangwale7159 5 ай бұрын
Hao walipendana kweli kweliiiii
@getrudaleonard8323
@getrudaleonard8323 5 ай бұрын
Mungu wng Bc TU 😭😭 Mungu wape nguvu wazazi wa Mwanaume uyo...Bi Harusi ataolewa TU...
@chikujuma18
@chikujuma18 5 ай бұрын
😢😢😢 inalilah wainalilah rajighun polen jaman bibi harus na family kwa ujumla
@shaomymusic4510
@shaomymusic4510 5 ай бұрын
Ernest jamani dah sina cha kusema mungu akupumzshe mahala pema.wafiwa poleni saba mungu awatie nguvu bibi harusi dah😢😢😢😢pole sana mungu akutie nguvu
@YustaMbilinyi
@YustaMbilinyi 5 ай бұрын
Mungu nimwema kwa kila jambo jina lake litukuzwe
@tegemeakyangenyenka6111
@tegemeakyangenyenka6111 5 ай бұрын
Poleni sana,kazi ya Mungu haina makosa
@AnnaAwaki
@AnnaAwaki 5 ай бұрын
Poleni sana jamani,ni ngumu kulipokea,ila tushukuru mungu Kwa yote
@PuritynaiNai
@PuritynaiNai 5 ай бұрын
Mungu awatiee nguvuu
@felixbwatota1279
@felixbwatota1279 5 ай бұрын
Pole dada angu ..Mungu
@AnitaApolinary
@AnitaApolinary 5 ай бұрын
Pole sana dada😢😢kila jaribu lina mlango wa kutokea,Mungu akusimamie 😭😭😭mpendwa wako apumzike Kwa amani
@philemornmutta1597
@philemornmutta1597 5 ай бұрын
Maharusi wanhitaji kuombewa sana naikumbuka mimi hii nilinusurika mala mbili kufa nikikaribia kufunga ndoa
@zakiaissa8202
@zakiaissa8202 5 ай бұрын
Pole sna kipenzi mungu akutie nguvu maana sio lahisi jamani
@rerisamba
@rerisamba 5 ай бұрын
Ooh Mungu ooh Mungu alipenda mnajifanyaga nikama hamjui ile maneno ya gambosh ya kuchukua misukule
@TabiaMwaisumo-ss7pz
@TabiaMwaisumo-ss7pz 5 ай бұрын
Kifo ni fumbo,Mungu awatie nguvu bi harusi pamoja na familia yote😢😢
@MaysoonBadat
@MaysoonBadat 5 ай бұрын
I can't say anything God is in control ,waa
@idinado-wk3lx
@idinado-wk3lx 5 ай бұрын
Mmmmh maumivu aliyonayo bibihalusi ni makubwa sana Maka siyo poa 😢😢😢😢😢pole sana bibi halusi🤲🤲🤲🤲Mungu akufanyie wepesi
@FatmaHamad-g6s
@FatmaHamad-g6s 5 ай бұрын
Pole dada Mungu atakupa faraja pole
@NeemaKisinga-q2l
@NeemaKisinga-q2l 5 ай бұрын
Alistahili hyo kwn alimfanyia unyama mwanamke mwenzie rafiki na amezaa nae na watoto kilio chake tu Mungu amekiskia
@namelockmaasailady8002
@namelockmaasailady8002 5 ай бұрын
Jamani mbona shemeji wa bwana harusi anacheka🙆🙆😭😭
@lovenessitiku6293
@lovenessitiku6293 5 ай бұрын
Mungu akutie nguvu inauma jamaa mweee😢😢😢
@HadijaOssodo
@HadijaOssodo 5 ай бұрын
Mh yaan nimeuvaa uhusika jamn 🙆‍♂️ allah akutie faraja dada yang dah nimeumia mno sn cha kusema
@VeronicaRugoyi
@VeronicaRugoyi 5 ай бұрын
Dunia hii inamambo jamani😢😢😢😢
@salomewandya7257
@salomewandya7257 5 ай бұрын
Saana 😢😢😢😢
@julithahonesti
@julithahonesti 5 ай бұрын
Pole jmn bi harus
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 5 ай бұрын
Sote ni wa ALLAH na kwake tutarejea ahadi yake imefika 😢😢apumzike kwa amani 😢huyu bi haruc mtarajiwa yatakiwa aolewe na yule kaka aliefiwa na mkewe mtarajiwa ( rehema ) aliepata ajali ya gari
@MomG-d6o
@MomG-d6o 5 ай бұрын
Hata wasipopendana?
@tausiferuzi9098
@tausiferuzi9098 5 ай бұрын
Poleni sana ndugu zangu mitihani yake rabana Kazi ya mungu haina makosa kikubwa tumuombee apumzike kwa amani marehemu
@EstherProsper-x4o
@EstherProsper-x4o 5 ай бұрын
Poleni sana wafiwa😢
@aliceshija3123
@aliceshija3123 5 ай бұрын
Jaman polen sana,lakn uyo bibi arudi asigevaa hiyo shera maana katk ulimwengu wa kiroho kafunga ndoa tayari na marehemu,atakosa mtu wa kumuowa
@emmadora7848
@emmadora7848 5 ай бұрын
Marehemu hawezi funga ndoa na yeyote ,biblia inasema wafu hawajui lolote ,kumbukumbu lao leshafutika hata nyumbani kwao hawakumbuki iwe kufunga ndoa?
@Minzatz
@Minzatz 5 ай бұрын
RIP Ernest pole kwa bi harusi😢 polen team ya kibangu
@maswamills3161
@maswamills3161 5 ай бұрын
MUNGU tupe UVUMILIVU. This is so sad😩😩😩.
@restitutakisamo7607
@restitutakisamo7607 5 ай бұрын
Siyo kama anacheka.ndiyo unatakiwa uwe mkakamavu.hata yey atakufa .ni kumjua Mungu tu.
@aishajeanine3552
@aishajeanine3552 5 ай бұрын
Poleni sana wapendwa
@marthakavishe5923
@marthakavishe5923 5 ай бұрын
Kwa kweli Mungu amtie nguvu huyu Dada
@OliverMkunde
@OliverMkunde 5 ай бұрын
Mungu amtie nguvu huyo bint.
@winnerjudith2007
@winnerjudith2007 5 ай бұрын
jamani mnaoandika mungu sio ivo ni Mungu au MUNGU
@upendomassawe521
@upendomassawe521 5 ай бұрын
Mungu pekee akupe faraja yake Tina maana kibinadamu ni ngumu mno.
@skilindaissa5441
@skilindaissa5441 5 ай бұрын
Eeeee Mungu Wngu gusa wafiwa wote Mungu hawape nguvu kipindi hiki kigumu hinauma Sana Mungu Wngu 😭😭😭😭
@rahmanassor9153
@rahmanassor9153 5 ай бұрын
Asante
@isunga1964
@isunga1964 5 ай бұрын
Dah kaka wa bi harusi ana mke nauliza tu kwa kweli nimemwamngalia mpaka mwisho nimemuelewa R.I.P Ernest
@jamesmzaki6041
@jamesmzaki6041 5 ай бұрын
Angalia usije kuomba maji
@RebeccaBhoke
@RebeccaBhoke 5 ай бұрын
Ama kweli kufa kufaana
@douglasmichael7494
@douglasmichael7494 5 ай бұрын
Mungu atukuzwe😢😢😢
@SallmaXg
@SallmaXg 5 ай бұрын
Pole sana my😢😢😢
@priscatarimo4282
@priscatarimo4282 5 ай бұрын
Hili jina la Zambi mbona kama lina matukio sana Mungu nisamehe😢
@AnastaziaMazengo
@AnastaziaMazengo 5 ай бұрын
Nyie wanaume mnaotuzalisha nakututelekeza nawatoto alafu mnaenda kuowa wengine mnapaswa kuyapata haya
@ShabanMainde
@ShabanMainde 5 ай бұрын
Eeeeeh 😮
@NeemaJoseph-d3w
@NeemaJoseph-d3w 5 ай бұрын
Uwiiii
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 5 ай бұрын
Aiseeee!
@EuniceHezron-g5j
@EuniceHezron-g5j 5 ай бұрын
Kabisa
@MariamuJuma-t8z
@MariamuJuma-t8z Ай бұрын
Kabisa mwaya hawawanatabia yakuanamwanamke wakutaftanae maisha wakatiwaahida wakifanikiwa wanatafta wakulanae afuwewe kakuzalishanakukupotezea mda anakuacha kwakweli mungu awazibu WOTE wanaofanya ivo
@modestamashoke9038
@modestamashoke9038 5 ай бұрын
Poleni sana jamani
@roseafrael75
@roseafrael75 5 ай бұрын
Inaumiza,,,haivumiliki,,haielezeki,,, MUNGU awe faraja kwenu.😢
@sharioobaby
@sharioobaby 3 ай бұрын
Polenisana jamani
@hisanmwakijungu10
@hisanmwakijungu10 5 ай бұрын
Ukisikia jaribu zito ndo ili sasa 😮😮
@joycemkeka3769
@joycemkeka3769 5 ай бұрын
Hakika nizito sana 😢😢😢
@TitusAyo-n5q
@TitusAyo-n5q 5 ай бұрын
Daaaaaa cweziiii kucoment chochote dada kiatu chako hakinitoshi Mungu akupe faraja jmn
@LinaSwai
@LinaSwai 5 ай бұрын
Jaman wakina mama tujifunze kitu kunaambae nam ananizunguka machoz ya mtu hayatokuacha salama polen wafiwa
@DxbYae
@DxbYae 5 ай бұрын
Pole sn family zote 2😢
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 5 ай бұрын
Poleni sana. Mungu awafariji wote
@JudicaShoo-x9n
@JudicaShoo-x9n 5 ай бұрын
Polen sana jaman kiukweli tukeshe tukiomba
@nadiatanzania
@nadiatanzania 5 ай бұрын
Mungu awatie nguvu polen sana 😢
@getrudaleonard8323
@getrudaleonard8323 5 ай бұрын
Ila swala la bi.harusi kuvaa shera cyo poah kabisa wanaume wataogopa kumuoa kwa kusema alishafungishwa ndoa tayari
@EsnathMwankupili
@EsnathMwankupili 5 ай бұрын
Mtihani kweli😢
@MonicaAgapitiBruno
@MonicaAgapitiBruno 5 ай бұрын
Lkn tunafuraha unaonekana una uzununi Kabisa 😢😢😢
@emmanueltillya2017
@emmanueltillya2017 5 ай бұрын
Kuna watu wanapitia majaribu kwenye hii dunia.Mungu awape nguvu wafiwa wote.
@ImanMarasi
@ImanMarasi 5 ай бұрын
😭💔
@mwajumakitoro8582
@mwajumakitoro8582 5 ай бұрын
Mbona unafuraha sana
@boniphaceonlinetv3878
@boniphaceonlinetv3878 5 ай бұрын
daaah 😢😢
@Oman-p8x
@Oman-p8x 5 ай бұрын
inalilahi wainailaihi rajiuni 😭
@SofiapaulolaizaLaiza
@SofiapaulolaizaLaiza 5 ай бұрын
Tujiweke tayar Kila wakati Mungu akawe faraja Kwa family zote
ITAKUTOA MACHOZI: MFANYA KAZI WA NDANI AMNYONGA MTOTO WA MIEZI 6/UCHAWI
25:46
MUNGU ALISEMA USIOGOPE SIKILIZA HII
22:13
TALIKISIO Tv
Рет қаралды 366 М.