Pole baba Dunia tunapita ,ila umeongea vizuri sana nimeelewa maelezo yako 🙏💔🥲🥲Mungu akufariji🙏🙏
@VeronicaStephen-v9vАй бұрын
Poleni sana familia ya muigizaji Freddy kwa kufiwa na mtoto wenu, mungu amuweke mahali peponi apumzike kwa amani,amini
@KhassimSuba2 ай бұрын
Baba unajikaza sana mpaka kutoa maelezo yalionyooka ila hakika unapitia kipindi kigum sana pale sana baba na mungu akutie nguv
@tinaminja55002 ай бұрын
Na wanafanana sanaaa pole sana sisi sote tutaenda kwa sijuzetu zikifika
@Gsamir6942 ай бұрын
Mwenye zi mungu aiweke roho yake fredy mahali pema peponi milele na milele daima aminaa kila siku tumuombeeni dua nimeumia sana poleni sana familia yake yote
@cherrypie-g7zАй бұрын
Anavyoelezea uyu baba dah yani nafeel vile ndani ya moyo wake anavyoumia uwi inauma mtu kufa mbele yako na ile hali anaipitia pindi akatapo roho kwanz hii kufutika kichwani ni ngumu ,japo binadamu tunasahau ila mmh kwangu ilikuw ngumu mungu alivyotaka niwe shuhuda pindi mama yangu anakata roho 😭😭😭poleni wafiwa poleni Wana series ya mizani
@itanzaniaAS2 ай бұрын
UKISHINDWA KUPUMUA NI HATARI MAANA UHAI NDO ULIPO😢😢😢😢POLE SANA BABA
@AzizSalumu2 ай бұрын
Pole sana baba unajikaza ila maumivu ya mtoto mzaz anaumia pole sana baba mung akupe nguvu kwa kwa iki kipind kigum
@gloryjohn45312 ай бұрын
Pole sana baba mungu akupe uvumilivu na faraja katika kipindi hiki kigumu na atupe faraja wote
@NeemaJumanne-h5dАй бұрын
Hvi kwanini mnapenda kuhoji familia kipindi kama hiki? Kwanini umuhoji mzazi, au mtoto wa marehemu hasa siku kama hii? Kwanini msiwe mnasubir hata wiki hivi mrudi kuhojo jamani mnakera inamaana hamuon watu wanavyoumia au
@jenniphernancecious4063Ай бұрын
❤
@annatemu4488Ай бұрын
Wanakeraga sana aisee
@LeilahAmollo2 ай бұрын
Kuna watu wanauwa watu in spiritual ways jamani tumwombe mungu sana. RIP bro
@JeannetteManirambona-o6m2 ай бұрын
Kweli kabisa
@judyngowi3912 ай бұрын
@kabisa yaani mimi wiki mbili hizi nimeona watu wamekufa vifo vya utata sana, watu wanauana kimyakimyaJeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m2 ай бұрын
@@judyngowi391 hao ni wenye roho za husda roho za kwa nini wanauwa wenzio
@SarahElias-kf5sp2 ай бұрын
Pole sana baba fledy kuondokewa na mwanao najua njisi Gani unaumia mungu akutie nguvu.
@JoyceLuhasha2 ай бұрын
Pole sana baba inaonekana baba ameumia sana ila tujitahidi sana kusali wachawi niwengi saa nyingine wamemuua maana tusiwaamini watu.
@AshaChilumba-f1l2 ай бұрын
Pole baba m/mungu akupe uvumillivu katika kipindi hili kigumu Amina🙏
@julianasamwel90892 ай бұрын
😢pole sana baba kwa kumpoteza mwanao ...pole kwa familia na tasinia ya filamu Tanzania... pole kwa mashabiki zake kwa ujumla
@southungujaАй бұрын
yaani huyu baba anamaneno ya matumainii mazima na kujipa farja mungu akupe nguvu
@jokhamohammed9762 ай бұрын
Pole Sanaa Baba M/mungu akupe nguvu na faraja😭😭
@ninayamat82132 ай бұрын
Huyu baba anajikaza mnoo kumpoteza mtoto saa hizi anavumilia tu Mungu ampe nguvu
@Eugeniasteven2 ай бұрын
Daah pumzka kwa amani fred mungu akufungulie mlango wa pepo
@zahraabdul96522 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢💔 majirani wetu tanzania wamepoteza wasanii wazuri sana poleni sana . Na rambirambi zangu ziwafikie Mungu awafunge mkanda wenye nguvu
@mejumaabaraza39892 ай бұрын
Pole sana baba kifo ni fumbo na kina Siri kubwa sana
@JaneMasenya2 ай бұрын
Pole sana baba umeongea maneno ya faraja sana mungu akutie nguvu pole
@joslinchuwa12982 ай бұрын
Pole sana Baba Mungu akutie nguvu.
@Lily-rn6xc2 ай бұрын
Baba anamzika mtoto😢😢😢
@farajaphilipo88442 ай бұрын
Poleni sana wafiwa fredy alifanana na baba yake
@AidathRweyongeza2 ай бұрын
Kabisa walifanana
@sarastephano34092 ай бұрын
jamani ugonjwa wowote unaohusu kwenye Moyo ni mbaya na ni hatari sanaa😢
@tantinebettynduwimana3802 ай бұрын
dah 😢😢😢kijana mdogo sana mwaka 1992, pumzika kwa amani Matei tulikua tumepanda Kandumba wa pili sasa na wewe unaondoka😢😢
@mihayorungwecha80202 ай бұрын
Kaniuma huyu kaka jamani daah kifo hiki 😢😢😢😢😢
@gladnessfinda75342 ай бұрын
Ooooohhh jmn Mungu amlaze mahala pema Fredy wetu. Kifo ni siri sana. Mungu tufunulie maisha yetu.
@EmmyRodgers2 ай бұрын
Daaah mzani wa mapenzi ndo umeishia njian kaka pumzika Kwa amani
@wizboyfriend2 ай бұрын
mshikaji alikuwa Alikuwa anakuja na moto sana kwenye bongo movie dahhhhh...rip talented fred
@mohammedyusuph91072 ай бұрын
Nilikufahamu kama matei kwenye lawama nkakuona tena kwenye ripoti hata hii mpya mzani wa mapenzi as Dr maja so sad😢 fredy umeondoka mapema we mkaka Inalillah waina lillah rajiun
@RoseGeofreyАй бұрын
Pole sana baba fredy kupoteza mtoto kunauma kusikie tu kwa mtu😢😢
@lovenessmagige65172 ай бұрын
Huyu Baba ukimtazama anaumia Sana
@SuzanaMonary-fn6fmАй бұрын
MUNGU ampumzishe mahala pema peponi Amina!
@AshaAlly-w3p2 ай бұрын
Kiukwel inauma sana anajikaza tu baba wa watu ndani ya moyo wake unamaumivu makali
@ZuwenaNoman2 ай бұрын
Baba anaongea Kwa uchungu mnoo pole sana baba
@emilianachami8432Ай бұрын
Daaaaa inaumiza.a sanaaà. Kweli kazi ya mungu aina makosa. Mbele yetu nyuma yake
@ShufaynaAlly2 ай бұрын
Poleni jmn mungu awatie nguvu kipind hichi kigumu inshallah
@maryamsuleiman63402 ай бұрын
Pole baba ,Mungu amempenda sana kuliko tulivompenda sisi ,hakika hatukumuona kwakaribu ila tulivomuona kwenye michezo yake ,tulimsoma nikijana mwema ,hakua namaskendo ,Mungu akamsameh alipoteleza Amiin😢
@AngelAfric2 ай бұрын
Pole mzee Mungu akutie nguvu, wanaume mna roho ngumu sana jaman unaongea lakin machungu ndani yako hapo ni makuu. R.i.p bro
@zafaranmohammed72722 ай бұрын
Innalilah wainnalilah rajihuun, pole sana baba
@spreadlove53002 ай бұрын
Pole sana baba ila matibabu yake ni kama kuna kuzembea fulani 😢😢😢💔💔 japo kazi ya Mungu haina makosa. Apumzike kwa amani 😢
@johnbernad39902 ай бұрын
Daah! huu mwaka unataka kufanana na mwaka wa 2012 😢
@victorjohn58372 ай бұрын
Dah kweli
@MagrethCostantine2 ай бұрын
Pole sana baba kwa kumpoteza Kijana wetu
@FatimaAbdulla-s4i2 ай бұрын
Kazi ya mungu Haina makosa babangu,pole sana
@abedysteven49302 ай бұрын
Dah😭😭😭😭😭 nlikuwa siamin kama jamaa amekufa xaxa ndo naanza kuamin!! Ila pole Mzee wang! Dah jamaa mwigzaji mzur xana!!
@DorothyFrancis-j5z2 ай бұрын
Zamani watoto ndiyo walikuwa wanazika wazazi wao,ila now days wazazi ndiyo wanazika watoto,MUNGU tusaidie
@ProscoviaAntony2 ай бұрын
Jamani kijana mdogo mungu watie nguvu wazaz wake na wafiwa wote😭😭
@HosianaNakaza2 ай бұрын
Pole san baba mungu akutie nguvu
@dignakanje45082 ай бұрын
Jmn huyu mungu nimkuu wakila jmbo.Htuna budi kusema kazi yamungu Haina makosa.Mbele yke nyuma ytu.Pumxika kwaamani kaka.
@GraceIdama-r1r2 ай бұрын
Daah,Mungu awatie nguvu ndugu jamaa na marafiki,R.I.P Fredy
@josephinecletus93102 ай бұрын
Pole sana coordinator wetu mungu awatie nguvu
@judithtitomalyeta40002 ай бұрын
Jamani kaka Mdogo sana shetani Gani anamua
@janethmonge55942 ай бұрын
Poleni jaman tulimpenda ila mungu kampenda zaidi
@NusratYusuph-y2u2 ай бұрын
mungu hakulaze mahari pema peponi
@TumainiNjema2 ай бұрын
Baba huyu anaongea Kwa hekima Sana. MUNGU akupe moyo wa uvumilivu kuondokewa na mwanao.
@safiasuleiman-t9d2 ай бұрын
Poleni sana jamaa nilikua nampenda anaigiza kiuhalisia mimi naangalia mzani wa Mapenzi kwa ajili yake pamoja na Irene wanacheza move aisee Mungu ni mwema...
@SuzanLyatuu2 ай бұрын
Aaamen kweli baba mzazi kazi ya Mungu Haina makosa
@priscaerick54242 ай бұрын
😢😢jmn nilitaman mtu aseme ni uongo jmn😭😭doctor maja
@paskaziasholla74712 ай бұрын
😢😢😢kiukweli maumivu ni makali sana pole sana baba
@HelenaStephano-h8y2 ай бұрын
Polen sana ndugu jamaa na marafiki😢😢😢😢
@devotabashome10902 ай бұрын
Tusipende sana kuamini uchawi....kifo tumeumbiwa binadamu.....pumzika kwa amani😪
@ZainabuHarida-e4k2 ай бұрын
Pole sana baba mwenyezi mungu awape nguvu wafiwa wote
@neemabenjamin2 ай бұрын
Daah mungu akutie nguvu baba
@QueenFeisal2 ай бұрын
Duh mara ya mwisho nilimuon kwa mwamposa dah R.I.P fredy😭😭
@StevenGiven2 ай бұрын
Daah kafanana na baba ake😢
@YusuphMwangobola2 ай бұрын
Pole sana father
@ChuiMelly2 ай бұрын
Pole san mzee sote safar ni moja tumuombee mung ampokee
@mwajuma-lr6hg2 ай бұрын
Ameen ameen ameen...
@FatumaBakari-c3l2 ай бұрын
Pole sana daddy fredy Allah akupe subra n ablaze roho yke pema peponi
@WilsonBoaz-c4j2 ай бұрын
Nilikua namkubali kupitia movie ya tandi
@juliettv66262 ай бұрын
Poleni sana mwanao alikuwa nakufanana.
@ElizaMwandu2 ай бұрын
😭😭😭😭Pole sana baba kwa kumpoteza mtoto wako mpendwa hakika ni huzuni kubwa sana alikuwa bado kijana mdogo.Mungu akutie nguvu ktk kipindi hiki kigumu ulichonacho.R.I.P Fred
@RebecaFaustne2 ай бұрын
Baba pole sana 😢 jaman tunamuombea apmzke kwa aman
Innah lillah Wainah Ilayhi Rajiun poleni sana wafiwa
@HarsonKisanga2 ай бұрын
Pole sana babba angu. Mungu akutie nguvu.
@MirajiMusa-s1f2 күн бұрын
Jaman km masiala mungu ailaze rooh yake maari pema
@mwanahamisjuma26062 ай бұрын
Anafanana na baba ake polen sana
@SarahMsengi-so7cb2 ай бұрын
Pole sana Mungu awe nawe katika Kipindi hiki kigumu unachopitia 🙏
@mbanga6759Ай бұрын
Hii shida yakupumua hii jamani ndo ugonjwa wangu kwa sasa naumiya jamani ikianza mimi amani sina huu mwaka wa pili inanitokea nachoma sindano ila. Namkabidhi Allah
@shakilamasoud29832 ай бұрын
Poleni sana wafiwa 💔😭
@rehemamuharami83452 ай бұрын
Kaka kaniuma huyu mim jmni😭😭😭
@gracemamnda36222 ай бұрын
😭😭😭😭😭
@JacobMbuni2 ай бұрын
Mungu amlaze mahari pema peponi
@tumainiellyimo46572 ай бұрын
Dah!inauma sana aisee
@floshkitchen30612 ай бұрын
Jamani mbona hawakumuekea oxygen 😢
@naswiharashid71662 ай бұрын
Nimeskitika kwa kifo chake ni ktk favourite wangu ktk tamthiliya anazo act pole mulofiliwa
@MaryKamanga-b4v2 ай бұрын
Fredy wewe😭
@RayChausa2 ай бұрын
😢😢😢m.mungu amrehemu poleni wafiwa
@agnettakamugisha49842 ай бұрын
Pole Baba na familia 🙏🏽🙏🏽
@AsahSalah2 ай бұрын
Pole sana bab Allah kupe moyo wasubira kipindi ikgum
@Mumlion26242 ай бұрын
Pole sana baba angu umeumia mno baba pole
@RoseMbise-rw9sz2 ай бұрын
Kwakweli kazi ya Mungu haina makosa ila huyu kaka alikuwa ananipa hamu kuangalia igizo la Slayqueen.😢😢😢😢😢😢
@SalamaFadhili2 ай бұрын
Mbele wao nyuma sisi wote ni safari moja😔😔
@JunioxJuniorsalva2 ай бұрын
Pole sana papa
@Mumlion26242 ай бұрын
Daah majaliwa wa mzani wa mapenz,matei wa lawama daah hii imeniuma 😭
@claudiakanyembo59492 ай бұрын
Iyo hospitali iko maarufu,ila people keep on passing away!!!😢😢