Bwana Misosi ft Juma Nature & Fid Q - Pilato Na Game (Official Music Video)

  Рет қаралды 183,815

Bwana Misosi

Bwana Misosi

Күн бұрын

Пікірлер: 81
@moseschansamukupa4506
@moseschansamukupa4506 3 ай бұрын
❤Kiduumu..Bwana Misosi kutoka enzi zile za "Nitoke Vipi?"..Rap ya Ujumbe sio Madharahau..Namkubali Sana Misosi..Much Love kutoka Zambia🇿🇲
@ZakayoKenga
@ZakayoKenga Ай бұрын
hii noma baba nikweli siwasanii wote Wana lala Kwa kitanda
@jacobkimathii6373
@jacobkimathii6373 Жыл бұрын
So underrated 😥. Kwani watu hutaka ngoma haina gani? Real legends here na mistari 🔥 🔥
@GeraldGspack
@GeraldGspack Жыл бұрын
Watu wako so complicated i started music 2013 na Ngoma zangu hawajai cheza ata,but we do it for passion hatuwezi Acha
@thosmaenterprises9968
@thosmaenterprises9968 7 ай бұрын
hata mm bado najiuliza sanaaa
@josephmarigi6374
@josephmarigi6374 Жыл бұрын
Fid q N zaidi ya Noma ... watching 2023 Old is Gold❤
@alfredlaurent1728
@alfredlaurent1728 9 ай бұрын
Kama fedha ni shida basi nisinngètafuta
@rashidigombe380
@rashidigombe380 4 жыл бұрын
Hiyo ndo mistari ya kibabe imekaa sawa na inasikika fresh, kudumu chama cha masela
@bakariismail8
@bakariismail8 4 жыл бұрын
Kibabe sana
@SampleKiller99
@SampleKiller99 4 жыл бұрын
I miss this rap style so much. Everyone performed to the maximum. Very unique chemistry. Kidumu 😂😂.
@GrizBaba
@GrizBaba Жыл бұрын
Apani Congo DRC tuna wafata wezee.....big up sana
@ibrahimmbogela1107
@ibrahimmbogela1107 5 жыл бұрын
unaweza kaka
@shedrackdaudi3403
@shedrackdaudi3403 Жыл бұрын
Ngoma moja kama ngoma mia moja
@ladislaustumbu4509
@ladislaustumbu4509 Жыл бұрын
Mwanangu Misosi uendelee kuwepo kaka. Hii nyimbo kali na umeimba harakati sana
@EsauGabliel
@EsauGabliel 8 ай бұрын
Jaman nature... Ahsante mungu kwa kumjua uyu mtu
@ronaldmwanakawa4943
@ronaldmwanakawa4943 Жыл бұрын
Bongo old hip hop ndo me huskiza achana na izi zingine, 🇰🇪
@Queenlay.11
@Queenlay.11 6 ай бұрын
Kidumu chama Cha Masela 🎉🎉
@queenbelleaudreyiranzi8850
@queenbelleaudreyiranzi8850 Жыл бұрын
Music wa bakubwa...,miss u
@ladislaustumbu4509
@ladislaustumbu4509 Жыл бұрын
Acha kufaninisha huu muziki na kizazi cha sasa. Ukiwa na picha ya juu juu huelewi kama hapa wanazungumzia unyonyaji kwenye mziki wao. Unaweza sikiliza biti ya makochali ukawasifia wana kwa kufurahi tuu, lakini wana wanaelezea heshima na uhalisia wa maisha magumu wanayopitia. Nimefuatilia brother Bwana Misosi nyimbo zake zote, hii nadhani ndo inatakiwa kupewa heshima zote kuliko hata ile #NitokeVipi. Hapa anaua halafu anakuja Fid Q njuzi na mbobezi anaelimisha. Nilitoka hapo nikagutuka na ulimbo wa Juma Nature kwenye kiitikio. Hili song ni colabo matata kama ile ya Mtazamo Solo Thang, Prof Jay an Afande Sele. Kongole kwenu wadau wenzangu wa muziki handaki.
@thosmaenterprises9968
@thosmaenterprises9968 7 ай бұрын
we jamaa unajua hip hop, unafuatilia na wewe ni wa zamani kama mm💥👋💪mi sosi hii ndo ngoma yake aliowahi chana sana na kuandika sana
@hosearioner3637
@hosearioner3637 Жыл бұрын
Ngoma Moja noma sanaa..nature's vocals is something else 🔥
@EbbyChaffu
@EbbyChaffu 11 ай бұрын
Dah imetulia Sana
@EbbyChaffu
@EbbyChaffu 11 ай бұрын
Nakubali Sana ❤🎉
@richardkwayson7202
@richardkwayson7202 7 ай бұрын
Huu wimbo mkali haswa
@RashidMrisho-u7d
@RashidMrisho-u7d Жыл бұрын
Mi mwenzako naimba densoo mieeeee
@tegezito.steve.146
@tegezito.steve.146 4 жыл бұрын
Nature. Corus imetulia.. I Like Hip Hop
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 7 ай бұрын
Mziki ulikua huu sasa. Sio huu wa chipi shanga wa jamaa zetu wa sasaivi
@hamzaadrin941
@hamzaadrin941 4 жыл бұрын
Jibaba rudi rudi nakungoja kaka
@ramadhanally4914
@ramadhanally4914 5 жыл бұрын
wapo wapi wana hawa daaaa walinazi sana
@bakariismail8
@bakariismail8 4 жыл бұрын
Wapi Kiroboto
@NdituTV
@NdituTV 2 ай бұрын
Fid Q huyu jamaa apewe tu maua yake. Anazingatia sana uandishi
@RashidMrisho-u7d
@RashidMrisho-u7d Жыл бұрын
Namfananisha na nsyuka na picha zangu za kharusi- fid q
@farajsogoma9370
@farajsogoma9370 4 ай бұрын
Big up ... Bwana misos ... More blessing popote ulipo .
@Baraka-gj8df
@Baraka-gj8df 5 ай бұрын
Zaman wasanii walikua wanaandika sana sio porojo za sk hz
@aishaissa2512
@aishaissa2512 Жыл бұрын
Hawa watu ni 🔥🔥🔥💪
@jumahalidi3652
@jumahalidi3652 2 жыл бұрын
Duh mziki ulikuwepo zaman jaman hawa waimbaji mashoga wasasa wangekufa tu tubaki na wasanii wetu wale wa zaman nakubali sana za kutambo jaman
@emanuelmsafiri9508
@emanuelmsafiri9508 4 жыл бұрын
Nakubali
@elibarikilymo8658
@elibarikilymo8658 9 ай бұрын
bonge la nyimbo 2024 bado tunaishi nayo
@RamadhanJuma-k7h
@RamadhanJuma-k7h 9 күн бұрын
Nakubali sana fid q
@mimibusarachibu
@mimibusarachibu 9 ай бұрын
freeeeshi sana, Fid kakaa vizuri na wakubwa zake
@lillianbarongo2807
@lillianbarongo2807 2 жыл бұрын
These were the songs.....talent at it's best. 👏👊
@buhiyejames6514
@buhiyejames6514 2 жыл бұрын
!11
@othmanseyyidy2235
@othmanseyyidy2235 Жыл бұрын
Bonge la Dude
@RehemaAbas-v8m
@RehemaAbas-v8m 28 күн бұрын
Bonge la ngoma
@justiceshelukindo
@justiceshelukindo 5 жыл бұрын
Nice song bro
@kamanda007
@kamanda007 3 жыл бұрын
Bwana misosi kanona inaonekana anapiga menu sana😁
@winfredykahwili1513
@winfredykahwili1513 4 жыл бұрын
Music Safi kabisaa😋😋
@freddiekipkoech4752
@freddiekipkoech4752 6 ай бұрын
real bongo flava ilikufa hiki kizazi
@GidionNgala
@GidionNgala 7 ай бұрын
Juma nature mkali wao❤❤❤❤❤
@AbuodSeleman
@AbuodSeleman 6 ай бұрын
plato na gameee
@cd4wakikandokikando742
@cd4wakikandokikando742 3 жыл бұрын
Nomaaaa sanaaaa
@MajitajuliusMarobe
@MajitajuliusMarobe 7 ай бұрын
Ngoma tamu kweli Yani adi rahaa
@nobleskillz7302
@nobleskillz7302 3 жыл бұрын
Nature kaua sana kwenye Chorus
@joeljoseph785
@joeljoseph785 4 жыл бұрын
#Kituuu
@velejilyonatalis1787
@velejilyonatalis1787 3 жыл бұрын
2021 Kwa raha zangu nikiwa Chamwino nasikiliza hii ngoma
@genevieveemanuelnori1599
@genevieveemanuelnori1599 2 жыл бұрын
All I remember is you Emmanuel keep rest easy darling your smile thou😪
@lanya_0143
@lanya_0143 4 жыл бұрын
That game....💪
@kennedymuema6087
@kennedymuema6087 2 жыл бұрын
hii ni mbaya.
@rahimbigupally3081
@rahimbigupally3081 2 жыл бұрын
Fantastic music 👏👍👍👌.🔥🔥🔥🔥🔥
@eliamgusa3641
@eliamgusa3641 3 жыл бұрын
Kali💪
@mwalimuomari9981
@mwalimuomari9981 Ай бұрын
Fid q aliuwa kinoma
@ShaniaAbdalah
@ShaniaAbdalah 8 ай бұрын
Imenigusa sana
@charlessospeter6478
@charlessospeter6478 Жыл бұрын
Fd.q nikiwa mipango
@charleschiro1993
@charleschiro1993 Жыл бұрын
Q kama Q Dude kama dude 16/12/2023
@zainaramadhan7769
@zainaramadhan7769 4 жыл бұрын
woooow
@hassanabdallah5889
@hassanabdallah5889 4 жыл бұрын
Tisha
@pepchallanga3626
@pepchallanga3626 2 жыл бұрын
Ngosha
@CoachHafidh
@CoachHafidh Жыл бұрын
Really desperate to know which year this song dropped
@bharugahalejoseph585
@bharugahalejoseph585 4 жыл бұрын
Bado upo na madini yako tim hii unatoka kwa rap
@davisalphonce7001
@davisalphonce7001 3 жыл бұрын
daah jamaa yuko wap huyu?
@dickensooko1202
@dickensooko1202 7 ай бұрын
Lyrics zi wapi jamaa
@kelvinsiingwa7153
@kelvinsiingwa7153 Жыл бұрын
Nyc
@iteritekaradjabu6953
@iteritekaradjabu6953 Жыл бұрын
Marco chali
@mutambukamubaraka
@mutambukamubaraka 7 ай бұрын
✌💪💪🙏♥️♥️♥️💯💯❤
@WANJIKUTV254
@WANJIKUTV254 8 ай бұрын
2024!!
@israelchanga551
@israelchanga551 3 жыл бұрын
Old school
@jemxruni
@jemxruni Жыл бұрын
😂❤❤❤❤❤
@athanassospeter4748
@athanassospeter4748 Жыл бұрын
a bang
@RehemaAbas-v8m
@RehemaAbas-v8m 28 күн бұрын
Bonge la ngoma
Inaniuma sana - Juma nature (HQ audio)
8:02
Mellody
Рет қаралды 24 М.
namba nane ...dazbaba ft fid q
4:40
dazbaba
Рет қаралды 28 М.
Маусымашар-2023 / Гала-концерт / АТУ қоштасу
1:27:35
Jaidarman OFFICIAL / JCI
Рет қаралды 390 М.
She wanted to set me up #shorts by Tsuriki Show
0:56
Tsuriki Show
Рет қаралды 8 МЛН
GIANT Gummy Worm #shorts
0:42
Mr DegrEE
Рет қаралды 152 МЛН
Caleb Pressley Shows TSA How It’s Done
0:28
Barstool Sports
Рет қаралды 60 МЛН
Juma Nature - Mtoto Iddi (Visualizer)
5:00
Bongo Records Ltd
Рет қаралды 239 М.
Bwana Misosi Feat Hardmad - Nitoke Vipi (Official Music Video)
4:43
91 FID Q FT J.NATURE = AUGUST 13 {Deejay Alex Extended} ++A++
4:22
Mapozi
5:15
Mbechezi Ibrahim
Рет қаралды 391 М.
Wanaume Kazini | TMK Wanaume Family| Official Video HD
5:27
Chege & Temba
Рет қаралды 1,8 МЛН
Bwana Misosi Ft Suma Lee - Safari Ni Ndefu (Official Music Video)
4:55
Gwear ft juma nature & KR-msela audio
3:56
Jerome INK
Рет қаралды 85 М.
Маусымашар-2023 / Гала-концерт / АТУ қоштасу
1:27:35
Jaidarman OFFICIAL / JCI
Рет қаралды 390 М.