Wanaume Kazini | TMK Wanaume Family| Official Video HD

  Рет қаралды 1,818,431

Chege & Temba

Chege & Temba

Күн бұрын

Пікірлер: 444
@ArahanJames-gc8qv
@ArahanJames-gc8qv 4 күн бұрын
Hapo saw wanaum🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦
@h.mau9989
@h.mau9989 9 ай бұрын
2024 jmn tupo wangap nachukua idadi hadi mwisho wa mwaka
@abdulatifabubakar9470
@abdulatifabubakar9470 9 ай бұрын
Binafsi nyimbo hii hunipa hamasa muda wote!
@kelvinsmith7730
@kelvinsmith7730 8 ай бұрын
Tupo
@darluineirankunda3281
@darluineirankunda3281 3 ай бұрын
September
@shakilayusuf7802
@shakilayusuf7802 Жыл бұрын
Natamani kundi hili lingerudi tena kutuburudisha na kutufundishabtana.Kika msanii alikuwa na upekee wake .
@getrudeamos38
@getrudeamos38 3 жыл бұрын
Dah! Hizi ndo zilikuwa nyimbo za kuiasa jamii saiz kila wimbo mapenzi
@LutenganoCharles-d7t
@LutenganoCharles-d7t Ай бұрын
Chege aliubeba sana huu wimbo kwaa alichokifanya humu ndani big sana fundi chuma.
@edwinmutinda9462
@edwinmutinda9462 27 күн бұрын
Triple killed the song.. Best verse from kenya
@kapepah255
@kapepah255 4 жыл бұрын
Daah ilidude hatari Sana gonga like Kama unasikiliza 2020 twende sawa
@ernestfaustin9793
@ernestfaustin9793 4 жыл бұрын
Hii ni ngoma ya karnee
@anthonjohn244
@anthonjohn244 2 жыл бұрын
Ngoma hii inanifanya nisikate tamaa !!!!! 🌏
@Ingarukatv
@Ingarukatv Жыл бұрын
Tukingali tusikiliza ❤❤❤❤ gonga like hapa kama ukingali unasikiliza❤❤❤❤
@benardnzuki968
@benardnzuki968 Жыл бұрын
4000 years are you still listening to this😢😢😢❤❤
@AndreaJulias-vn5ov
@AndreaJulias-vn5ov 8 ай бұрын
Ngoma lkopoa sana
@msafirdanga6522
@msafirdanga6522 5 жыл бұрын
Da mlikua mnatisha nikiwaskiliza kwa radio fm nikiwa form one nouma sana kama na ww unawatazama mpaka leo gongo like
@arnaudnishimwe2577
@arnaudnishimwe2577 5 жыл бұрын
Burundi+257tanaukubalii haa wajamaa wakalii Sanaa gomaa nzurii snaa💪💪
@MiwagoTz
@MiwagoTz 4 жыл бұрын
Daah,Kitamboo niliwakubali Sana kitambo kileeee Disko
@munaahmed8499
@munaahmed8499 3 жыл бұрын
Nani anatizama 2021kam mm gonga twende sawa watu wng wa nguvuuuuu 💪💪💪💪💪💪 hili Goma la kufa mtu dahhh all brother rudin kwenye mlikuw poa mno
@yusufjuma264
@yusufjuma264 5 жыл бұрын
Mwanamume hasifiwi kula mwanamume anasifiwa kazi. Wapi likes za kr jibaba
@nasibuhassan593
@nasibuhassan593 4 жыл бұрын
Besitinnasu
@JoaoDaSilva-yq8pi
@JoaoDaSilva-yq8pi 5 ай бұрын
Hii hadithi mwalimu wangu alikuwa akiniambiya every day the same thing
@BenedictoKagoma
@BenedictoKagoma 5 ай бұрын
tuko pamoja kaka
@ramadhanimkwakwata5750
@ramadhanimkwakwata5750 3 ай бұрын
❤​@@BenedictoKagoma
@SuleimanSalum-kk7xx
@SuleimanSalum-kk7xx 29 күн бұрын
Mr Salum Music soft Rapper 🔈 2024up to 2025
@mauriceogola9243
@mauriceogola9243 6 жыл бұрын
Kama utaicheki hii ngoma 2019 piga LIKE
@hamisimwomboka3634
@hamisimwomboka3634 5 жыл бұрын
Sana
@frankmichaelmichael2865
@frankmichaelmichael2865 5 жыл бұрын
maurice ogola daah jomba naicheki Leo 27,01,2019
@stallonekakuta5342
@stallonekakuta5342 5 жыл бұрын
Nipo nipo.....
@samwely328
@samwely328 5 жыл бұрын
maurice ogola
@mahamudahmedeen3848
@mahamudahmedeen3848 5 жыл бұрын
Wanaume kazini habari ndio hio hatuogopi mgambo
@giriadbirusha7006
@giriadbirusha7006 2 жыл бұрын
Natamani kaulimbiu ya Taifa letu la Tanzania ingekuwa ni hii "Wanaume Kazini" !!!! Bonge moja la ngoma ya kiume !
@calvinmshanga9333
@calvinmshanga9333 2 жыл бұрын
Kaka 🤲
@balengamatama7261
@balengamatama7261 2 жыл бұрын
😂😂 kabsaa
@FrancoisBulambo
@FrancoisBulambo Жыл бұрын
This song was released when I was little kid in Bukavu DR.Congo !today I'm playing it in Kampala Uganda on 21st October 2023 ❤
@YakoboSimon-wr7ru
@YakoboSimon-wr7ru Жыл бұрын
Oaaaa😂😂2023 still kitu ni 🔥🔥
@ismailndayishimiye9347
@ismailndayishimiye9347 2 жыл бұрын
Tmk wanaume family ✌✌ From Burundi
@timooselector7046
@timooselector7046 6 жыл бұрын
ngoga like kama unakubali hii ngoma ya tmk....Kenya tupo
@SuperMatmos
@SuperMatmos 6 жыл бұрын
Nipo
@samwelnyabasi5569
@samwelnyabasi5569 6 жыл бұрын
Nipo
@collinmsaka5923
@collinmsaka5923 5 жыл бұрын
kwer
@faridamatambi623
@faridamatambi623 4 жыл бұрын
Tmk noma kweli
@renatusmatungwa6800
@renatusmatungwa6800 4 жыл бұрын
Dah kumbe hata wakenya hizi ngoma mnazielewa?🤣
@saidifaustine9573
@saidifaustine9573 5 жыл бұрын
Kama kuna mwingine kaangalia hii ngoma 2019 tufahamiane
@annasumaili6429
@annasumaili6429 5 жыл бұрын
Who else watching with me 2019 from 🇱🇷🇱🇷
@hamadblack4321
@hamadblack4321 5 жыл бұрын
Yeremia Sumaili it's me Mady
@eliairankunda6561
@eliairankunda6561 3 жыл бұрын
Ppppppp
@eliairankunda6561
@eliairankunda6561 3 жыл бұрын
Ppppppp
@gagoke4914
@gagoke4914 3 жыл бұрын
Am here watching in 2021...from Kenya
@antonkilawa9042
@antonkilawa9042 2 жыл бұрын
@@eliairankunda6561 i...oii
@abdoulkarenzo3138
@abdoulkarenzo3138 5 жыл бұрын
naisikiliza kila mara kutoka Uturuki indapo nataka kupata ushauri wabure ingilikuwa mimi njo mtoamatunzo ncini Tanzaniya mimi mpaka sasa matanzoyote ningekuwa nawapa TMK
@lukakllkahitila3347
@lukakllkahitila3347 5 жыл бұрын
😄😄😄😄
@davidkokomushagalusa6566
@davidkokomushagalusa6566 2 жыл бұрын
TMK was the best crew ever ....old is gold for sure
@espoirpaul376
@espoirpaul376 8 ай бұрын
Tuko tuko 2024 hata 2025temba rudi ufanye remix ya hii wimbo ,n nzuri Mwanaume kazini💪💪💪💪💪💪💪💪👊👊
@ndayambajeelyssa
@ndayambajeelyssa Жыл бұрын
Legends never die,keep moving forward and go together and give us another hit from TMK Wanaume Family
@gervasbeno5589
@gervasbeno5589 Жыл бұрын
The Intro King ' Mansu-Li😊
@dejaevevents
@dejaevevents 2 жыл бұрын
bado napeeeenda hii track...more love from kenya
@abibemedy2195
@abibemedy2195 4 жыл бұрын
Kama uko pamoja na Mimi 2020 wakati wa corona like hapa stay at home
@mathiasstive6301
@mathiasstive6301 4 жыл бұрын
Pamoja
@lindaziti7545
@lindaziti7545 4 жыл бұрын
Bado tupo🇧🇮
@lekenollemoita9343
@lekenollemoita9343 2 жыл бұрын
We nawe umeiga comment ukatafsiri huku😅😂
@kalolocostantino2620
@kalolocostantino2620 4 жыл бұрын
Jaman kuna wimbo unaitwa,sijawahi Kula good time ,uliimbwa 20006 au na 5 Nani aliimba???,sioni recoding ningeimba
@jeandedieucirhigiri7659
@jeandedieucirhigiri7659 2 жыл бұрын
The concept of this song was brilliant. Then came the meaningful song. Congolese hearing the song at a break time in Germany.
@OrisNiyintunze
@OrisNiyintunze 17 күн бұрын
Nakubal baba 🤜🤛🤜🤛🔥🔥🌎
@edibilychaula.3753
@edibilychaula.3753 5 күн бұрын
Wangapi tunaitazama hii nyimbo 2024
@wilsonkwizera6170
@wilsonkwizera6170 5 жыл бұрын
hapo vipi burundi tuko sawa ngoma tunazikubali gichizi
@abdulmasali3422
@abdulmasali3422 5 жыл бұрын
Chegge machine
@ShabaniAbdi-q1w
@ShabaniAbdi-q1w 2 ай бұрын
Kama bd up na unaskiliza hii ngoma 2024 mwezi 10 tarehe 1 ngoga like hapa eeh mungu tunaomba utuvushe salama huu mwaka🎉🎉🎉❤❤❤
@alaminnyakwaropondo
@alaminnyakwaropondo 6 жыл бұрын
Wangapi tunachapa kazi saii
@mr.patrick250
@mr.patrick250 2 жыл бұрын
Who else watching with me 2022 🇨🇩 🇨🇩
@ronaldmwanakawa4943
@ronaldmwanakawa4943 7 жыл бұрын
Izo ndozile nyimbo zimekwenda skuli
@mariamathuman2639
@mariamathuman2639 4 жыл бұрын
Nyimbo ndio izi sasa....yazumngumzia matokeo .....inaujumbe ndani ....daah TMK rudini bwana twawamic
@barakakayeba5206
@barakakayeba5206 4 жыл бұрын
Tmk wanaume aliyeua kundi hili kwa motive zake,pepo ataisikia Dodoma tz13//2020
@hitientertairner1909
@hitientertairner1909 4 жыл бұрын
Wanaume kazini 2020 gonga likes zako hapa
@BazimenyeranyArmee
@BazimenyeranyArmee 7 ай бұрын
Merci beaucoup et félicitations 🎉
@boazfrancis8767
@boazfrancis8767 6 жыл бұрын
TMK UKOO FLANI MAU MAU East Africas finest
@ayanmilitiatmk146
@ayanmilitiatmk146 5 жыл бұрын
Boaz Francis Umenena kama watu ishirini.
@ronaldmwanakawa4943
@ronaldmwanakawa4943 Жыл бұрын
Bring back these kind of musics,,,,, full of wisdom na mtiririko
@liamzuma5440
@liamzuma5440 2 жыл бұрын
Here in Kenya usipopiga kazi kitumwa sai wafa mchochole😥
@bonifacewokoni7602
@bonifacewokoni7602 2 жыл бұрын
Wanaume kazini good old dayz mashairi yaliyo kwenda shule mob love from +254
@stampermadmost9552
@stampermadmost9552 4 жыл бұрын
2020 nani yuko huku?wanaume kazini
@jessicaard8629
@jessicaard8629 8 жыл бұрын
Ninasikia kila siku wakati ninakuenda kazi. Poa sana.......asante.
@OrisNiyintunze
@OrisNiyintunze 3 күн бұрын
Kwl dup tena nyingin🇧🇮🔥🔥🔥🔥🎹
@nogonomachibya212
@nogonomachibya212 4 жыл бұрын
Nani mwingine anaangaria mwaka 2020
@philipdapash9951
@philipdapash9951 3 жыл бұрын
This guys should come again and give us encouragement to work
@eliakimueliakimu5451
@eliakimueliakimu5451 8 күн бұрын
Dah ya kale ni dhahabu kweli! December 2024
@drrama9975
@drrama9975 2 жыл бұрын
nikweli kabisa wana hume kazuni
@loner_wolf
@loner_wolf 4 жыл бұрын
2020 baada yakuona comeback ya kibossboss TUJUANE HAPA
@azizawadh5973
@azizawadh5973 5 жыл бұрын
Wasanii Wa sasaivi mnafeli wapi. Cheki wanaume
@tgeofrey
@tgeofrey 7 жыл бұрын
Vyuma havikazi hapa kazi tuu
@paragraphcomedy
@paragraphcomedy Жыл бұрын
kwakweli hatali mpaka sasa
@evansokoth9925
@evansokoth9925 3 жыл бұрын
One of my all time favorites with great message, keep rocking TMK Wanaume Family,mnafaa kufanya kazi pamoja Tena,you guys were great together
@bukurunestory3540
@bukurunestory3540 2 жыл бұрын
Hawa jamaa hawawezi kurudo lqa kundi lao kama walivyo waka perform tena na kipindi hiki watapiga pesa sana
@hassanimapanga7024
@hassanimapanga7024 4 жыл бұрын
2020 kama na ww umeiangalia gonga apa Like twende sawa #chegechigunda
@thedoctor8301
@thedoctor8301 6 жыл бұрын
Nani mwingine anaangalia 2018 kukumbukia miaka hiyo jeans 05 😂😂😂😂
@ryobamarwamwita5629
@ryobamarwamwita5629 6 жыл бұрын
Tmk 1o bola
@kafumash9816
@kafumash9816 6 жыл бұрын
Tupo kutoka +254 nairobei..
@j-markenterprises9155
@j-markenterprises9155 6 жыл бұрын
tunacheki bado kutoka +254 mombasani
@gideonkalumbu5220
@gideonkalumbu5220 5 жыл бұрын
Kama unacheki ngoma hii Nov 2019 na dec2019, likes jamani kama zote
@elishamakegocha4209
@elishamakegocha4209 2 жыл бұрын
2022.. still watching.. pure content.. from Kuria kenya
@prosperkisumbe5612
@prosperkisumbe5612 4 жыл бұрын
Naiangalia mwaka 2020 kitambo mno Tmk
@kachinyarukeha2281
@kachinyarukeha2281 6 жыл бұрын
jaman kipind cha nyuma wasanii walikuwa wanaluhusiwa kuvaa izo nguooooooo
@victormwanga835
@victormwanga835 5 жыл бұрын
awa jamaa kWa ngoma hii mi ntaiskilizaga miaka mia
@komboomar8275
@komboomar8275 3 жыл бұрын
*We miss nyinyi watu aaaah wasanii zamani sasa wamebaki mashetani tu nyimbo zao hazielimishi ila ndio matajiri.. still 23/06/2021*
@walternyabaro6602
@walternyabaro6602 4 ай бұрын
More love from Kenya this music hit different hii ndo music sasa
@michaelndalo6737
@michaelndalo6737 5 жыл бұрын
The first artist is called Omy a variation of homie or homeboyz. So the song basically changes people perspectives and shows that homies also work- Wanaume kazini- Men at work.
@rahmatumam357
@rahmatumam357 6 жыл бұрын
Yaani this song haijafikisha million viewers na vyenye inamafunzo
@jmwoodworking8773
@jmwoodworking8773 3 жыл бұрын
Damn when music was the reality message..... TMK IRUDIWEEEEEE
@simonlimagur9132
@simonlimagur9132 2 жыл бұрын
Much love TMK family 🇰🇪
@thomjunior9947
@thomjunior9947 9 жыл бұрын
WAPI LUKEZA MAN KATIKA HILI KUNDI...KAMA VP ARUDISHWEEEEE
@emmanuelmohammed1294
@emmanuelmohammed1294 4 жыл бұрын
Mh Temba 🔥🔥🔥
@stanleychamhene5876
@stanleychamhene5876 3 жыл бұрын
Ngoma ni hataliiiiii sana
@kaindooreld1087
@kaindooreld1087 2 жыл бұрын
Nakubali
@discretecocks7993
@discretecocks7993 3 жыл бұрын
Nikiwasikiliza nakuwa napata usinpgizi haraka muziki zamani kwanza mazingira tu mavazi sauti mribalikiwa na allah
@hamarahero7152
@hamarahero7152 3 ай бұрын
Mkali wao Mimi hapa
@frankhaji1387
@frankhaji1387 6 жыл бұрын
Nawaelewa sana tmk,Ngoma zenu zimeenda shule.
@romwardyrevokatus6955
@romwardyrevokatus6955 5 жыл бұрын
Kama umeiangalia 2019 gonga like hapa
@bahatimahenge77
@bahatimahenge77 5 жыл бұрын
I euro is is
@kpkipuka325
@kpkipuka325 6 жыл бұрын
Kweli maisha yanachanganya hasa Mwaka huu 2018😢😢
@zuberilucas5117
@zuberilucas5117 5 жыл бұрын
hizi zilikuwa zenyewe
@evanccast6228
@evanccast6228 6 жыл бұрын
naikubali sana hii ngoma kipindi iki ilikua raha sanaa @ evanc-cast
@gwamakamlungu5679
@gwamakamlungu5679 2 ай бұрын
Chege alianza vizuri sana hapa
@malickkasagi6895
@malickkasagi6895 6 жыл бұрын
Wap masela chege unakimbiza mwenyewe
@nassoro6590
@nassoro6590 2 жыл бұрын
Chege chigunda mtoto wa mama said hatari sana
@aminahamisi2837
@aminahamisi2837 4 жыл бұрын
Wanarudi kwenye Gemu 2020 tmk
@olivertwist3991
@olivertwist3991 4 жыл бұрын
Much love ❤️ 2020 from Rwanda 🇷🇼
@nabilkhalwiz7492
@nabilkhalwiz7492 4 жыл бұрын
Daah ngom inaujumbe sanaa 2020 bado naicheki
@erickkilaboma6316
@erickkilaboma6316 4 жыл бұрын
Nomaa sana
@alihaji3734
@alihaji3734 6 жыл бұрын
hii ndo ilikuw mizik ya saiv ujinga tu
@oumamungai5355
@oumamungai5355 4 ай бұрын
Mheshimiwa Temba🙌🙌🙌💯
@salimkiken6773
@salimkiken6773 3 жыл бұрын
Living legends,watching from Nairobi Kenya 2021dec
@polishedbyfrank120
@polishedbyfrank120 3 жыл бұрын
These were the days... All I had to do is listen to this song when I almost gave up and boom new energy
@j-markenterprises9155
@j-markenterprises9155 6 жыл бұрын
nafunga mwaka 2018 na hii ngoma #tmk
@mrgodfreyg2501
@mrgodfreyg2501 4 жыл бұрын
2020 bado kitu ni ya moto
@IssaCaga04
@IssaCaga04 2 жыл бұрын
I wish these brands would return with this style. Still watching 2022
Kazi Ipo | TMK Wanaume | Official Video HD
6:10
Chege & Temba
Рет қаралды 738 М.
Dar mpaka  moro (wanaume family
4:18
mpangala
Рет қаралды 454 М.
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 138 МЛН
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 21 МЛН
Ngoma itambae-chid benz  dir : by hassan Kundamayi
5:02
Hassan Kundamayi bin Tambwe
Рет қаралды 1,3 МЛН
Ferooz ft. Juma Nature - Bosi  (Official Video)
5:26
Bongo Records Ltd
Рет қаралды 806 М.
Afande Sele feat Ditto - Darubini kali
5:19
Ami de jeune
Рет қаралды 287 М.
OFFICIAL VIDEO-LEKA DUTIGITE VIDEO-KIGOMA ALL STARS
5:43
ACT MEDIA
Рет қаралды 19 МЛН
Tmk Wanaume -Umri
4:43
Mziiki
Рет қаралды 1,4 МЛН
Chege & Temba ft. Emmy Wimbo - Go Down [Official Music Video]
3:55
Chege Chigunda
Рет қаралды 4,3 МЛН
Spack & Tundaman - Nipe Repoti
5:01
reggaealmi1
Рет қаралды 5 МЛН
Wanaume Tmk - Kichwa Kinauma
4:40
Mziiki
Рет қаралды 664 М.
YAMOTO BAND VIDEO MIX TZ-Dj Kips Dan
32:55
Duncan Kips Dan
Рет қаралды 2,3 МЛН
Professor Jay feat Ferooz - Nikusaidiaje (Official Video)
4:57
ProfessorJay
Рет қаралды 7 МЛН